CZA AMPIGA SPANA MAKONDA KUHUSU WAMASAI HADI AKATAKA KUPANIKI - ''UNAKWEPA UWAJIBIKAJI''...

  Рет қаралды 31,048

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 58
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Ай бұрын
Mimi makonda namwamini na namkubali hayo mengine chuki na wasio penda maendereo ❤
@Amanikizota
@Amanikizota 29 күн бұрын
Safi sana mwamba 🔥💪
@NeemaElisante-zd2dt
@NeemaElisante-zd2dt Ай бұрын
,😂😂😂baada ya wamasai kujipigania mipango butu ikafeli wee wamasai big up BANA
@archbordygodfrey2614
@archbordygodfrey2614 Ай бұрын
Makonda yuko vizuri 🎉🎉🎉🎉
@eventelias3566
@eventelias3566 26 күн бұрын
Uwezo wa kujiamini wa Makonda ni wa kiwango cha lami.
@winfredmgindo3268
@winfredmgindo3268 28 күн бұрын
Waandishi wa habari mara nyingine tuwe na uwezo wa kufikiri! Amejibu kwa heshima sana! Jamii inapokuwa kubwa na eneo la hifadhi linapungua hivyo hatua za kunusuru makazi hayo! Sisi binadamu ndiyo wenye utashi na uwezo wa kuishi kunakowezekana lakini wanyama hawana utashi huo! Tukiamua kutunza wanyama na mazingira tuwe tayari ili tunusuru tatizo!
@eventelias3566
@eventelias3566 27 күн бұрын
Very true
@MsafirGervas
@MsafirGervas Ай бұрын
Nakonda🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AsifiweMbogela-vh6ou
@AsifiweMbogela-vh6ou Ай бұрын
Imeniuma sana yaani mwandishi anauliza maswali ya kuwalinda wamasai ila wamasai wapo upande wa makonda na samia ambao wana kikao cha kuwaondoa hapo tarehe 1😂
@1961nungwi
@1961nungwi 28 күн бұрын
Hili swali limemzidi kimo! Kumuuliza maswala ya Wamasai sio sawa.
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Ай бұрын
Makonda ni AKILI KUBWA. MAKONDA NI MWELEWA NA MSIKIVU HAPO WENGINE WANA TAKA AKOSEE KUJIBU BASI WAPATE KIKI ILI NINI SASA, SERIKALI. NI WETU WOTE. WAMERIDHIA WANASAI HAO KUONDOKA HUMO, NGORONGORO. TUMUOGOPE MUNGU KWENYE KAZI YA SERIKALI. RAIS WETU ANAELEWA.
@AlfredMichael-n4u
@AlfredMichael-n4u 27 күн бұрын
Matangazo mengi
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 Ай бұрын
Umeshajibiwa Kwamba Rais anakuja kuongea
@jahhloveyou4462
@jahhloveyou4462 25 күн бұрын
Hili swala la masai si limeenda mahkamani na kisa walikuwa wana wafukuzwa kuwaachia waarabu! Wakati wa magu au huu !! Ama nime vuta vitu visivyo
@kasobagilbert
@kasobagilbert Ай бұрын
Kiongozi safi anae tambua nini anafanya kwa jamii anayo itumikia
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Ай бұрын
Huyu MAKONDA ni habari nyingine mzee ukiwa kiongozi boya hapo hutoboi😂😂😂😂😂😂
@JAMBOBoy-v3k
@JAMBOBoy-v3k Ай бұрын
Makonda hakuna swali ata Moja kajibu inavyotakiw😂
@barakashingwa664
@barakashingwa664 Ай бұрын
Kajibu wewe inavyotakiwa
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 19 күн бұрын
Makonda mimi simkubali hata akiwa rais
@HarunaShabani-hy8mx
@HarunaShabani-hy8mx Ай бұрын
ukweli makonda anakarama ya uwongoxi
@pascalvitalis
@pascalvitalis Ай бұрын
Makonda akili nyingi sanaaa... Sidhan kama kuna kiongoz anaweza kutoa uhuru wa kuulizwa kila swali hivi na akayajibu kwa ufasaha
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 24 күн бұрын
Amejibu kwa ufasaha?
@faustinedeogratias4337
@faustinedeogratias4337 24 күн бұрын
Au upeo wako ndo changamoto
@pascalvitalis
@pascalvitalis 24 күн бұрын
@@faustinedeogratias4337 Mtazamo wangu huo, we mwenye upeo usio na changamoto umeonaje?
@aikt.
@aikt. Ай бұрын
Nimesikiliza baadhi ya hoja for sure sijaona Yale yanayojikita ktk Maendeleo honestly
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 Ай бұрын
Wamasai walijipambania wenyewe na waliandamana mbele ya watalii ndio maana Raisi hakuna na namna Ila tunajua wamasai hawapend na serikali hii huo ndio ukweli .. makonda elimu yak ndogo rudi shule Ccm ipumzike nchi inauzwa kila sehemu
@pascofp145
@pascofp145 Ай бұрын
Hakuna hata swali zito mtu anataka history sasa history inahusia na nini kitu kikumbwa hapo alitakiwa kuliza serikali inafanyaje au inatatuaje hili swala mtu ana lazimisha history mfano hata angemjubi kuna kiongizio alifanya makosa inafaida gani
@maimunaahmed3477
@maimunaahmed3477 27 күн бұрын
Swali la siza ni la msingi serikali inakua wapi leo maghorofa ya kariakoo yabomolewe wakati yana jenga walikua wapi?
@godfredkimaro3292
@godfredkimaro3292 28 күн бұрын
Kwenye mgogoro unachapwa swali😂 ukiropoka unaleta mgogoro mwingine.
@robertnyantile4291
@robertnyantile4291 Ай бұрын
Comment ya kwanza Hadi ya kumi 11 nimegundua wote akili hamnazo mbali mna ushabiki wa kisenge tu mwandishi anauliza swali la msingi SEMA huyu mtekaji anabwabwaja KWENYE kujibu
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 Ай бұрын
Kabisa hakuna Kiongoz hapa hao wanao comment kaka achana nao machawa wako wengi
@JoramBaraka
@JoramBaraka Ай бұрын
Kweli kabisa watu hawajielewi kabisa
@TatoTato-t7s
@TatoTato-t7s 26 күн бұрын
Kakuteka wewe
@maryamomar2034
@maryamomar2034 Ай бұрын
Cameraman alivomzoom mmasai 😂😂😂😂😂
@gambathegreat8997
@gambathegreat8997 28 күн бұрын
Majibu hayaendani na swali
@GeofreySolomoni
@GeofreySolomoni Ай бұрын
Barabara ilifungwa mm nilikuwepo
@stephanokaaya1881
@stephanokaaya1881 29 күн бұрын
Kwa hiyo kama ulikuwepo Barbara ikifungwa unatakaje?
@isayasimwinga2854
@isayasimwinga2854 27 күн бұрын
😂😂ulizui watalii ?
@jovinjoseph1247
@jovinjoseph1247 Ай бұрын
Kwa maelezo yake hapo wamasai hawana chao wanakuja kuambiwa waondoke take wasitake
@nasrimohamed7556
@nasrimohamed7556 Ай бұрын
Huyu muandishi ni zwazwa kabisaa.Huyu jamaa yupo vzuri sn alaf wanamuuliza maswali ambayo kwake ni mepesi sn na hajapanic chochte
@AugustineDigitalFinancialServi
@AugustineDigitalFinancialServi 29 күн бұрын
Mwuliza swali, Makonda wote chenga.....Hapo unaongelea uwajibikaji wa nini wakati tunahitaji udhibiti wa population yao ndani ya ngorongoro maana wao wenyewe ni vivutio kwa maana ya binadamu ambao wanaishi na wanyama bila madhara na kama yapo ni kwa uchache that is nature... MPO ARUSHA ULIZA KUHUSU ARUSHA, MAENDELEO,CHANGAMOTO,HATUA ZINAZOCHUKULIWA KUKABILIANA NAZO,WANA NINI CHA ZIADA KUUTOFAUTISHA NA MIKOA MINGINE, EXPERIENCE ALIYOIPATA KWA MIEZI HIYO SITA, Be professional maana MAKONDA naye anapenda media na kutrend kwa sababu Ana content (LAND-ROVER FESTIVAL)
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c Ай бұрын
Huyu mwandishi aliemhoji makonda kwa kina ajengewe sanamu
@leonardngoga7019
@leonardngoga7019 Ай бұрын
Ujue kuwatete watu wasio jielewa ni tatizo kubwa sana watu ninngweee ngweee ila hii nchi😂
@rajabumrope8732
@rajabumrope8732 Ай бұрын
HAITI TENA WWAANDISHI
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx Ай бұрын
Labda asiwe Makonda
@rajabumrope8732
@rajabumrope8732 Ай бұрын
@@SuleAmber-lw2tx HIZO SPANA NZITO
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Ай бұрын
​@@rajabumrope8732Spana gani hapo? Umeona ueledi wake wa kujibu maswali?😂😂😂 huyo ni mtaalamu yeye ndio kawaita na ndio karuhusu kuuliza chohcote kile alikua na uwezo wa kuzuia yasiulizwe maswali mengine ila kawaacha wajisikie huru Makonda kichwa mzee
@rajabumrope8732
@rajabumrope8732 Ай бұрын
@@MrTop-wj7no NOTHING
@tztanzania2262
@tztanzania2262 Ай бұрын
Viongoz mna kazi?maana kuna watu wanamaswal mazito
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Ай бұрын
😂😂😂 hatari yaani ukiwa kiongozi fala hutoboi
@tztanzania2262
@tztanzania2262 Ай бұрын
Kwa kweli inabd uwe na kpaj
@amedeustesha5947
@amedeustesha5947 Ай бұрын
Huwezi kuchafua oil chafu. Waandishi wengi mko hapo kuona Makonda anakosea ila mtambue mnao ongea na mtu mwenye akili kubwa kwanye taifa hili.
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Ай бұрын
Yaani hapo wamegonga mwamba mzee😂😂😂
@ramadhankavisille7482
@ramadhankavisille7482 Ай бұрын
Mbona sijaona kama amepaniki??
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 Ай бұрын
Ametaka kupanic wapi hovyo wewe utaiharibu media
@saidimpako5186
@saidimpako5186 Ай бұрын
sasa makosa yalishafanyika wewe unataka hadithi
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
🔴TAARIFA YA HABARI YA SAA MBILI USIKU, 19 DISEMBA, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 2,1 М.
Война, Сирия, цены: как прошла прямая линия Путина
33:29
BBC News - Русская служба
Рет қаралды 5 М.
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19