MAKONDA - ''KAMA NDOA za JINSIA MOJA ni HAKI za BINADAMU - MIMI ni WA KWANZA KUZIVUNJA''...

  Рет қаралды 29,890

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 77
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 26 күн бұрын
Nakupenda sana makonda maneno mazuri sana kweli kabisa brother twakupenda sana makonda from oman 🇴🇲 ❤❤❤❤❤
@yusuphjohn6056
@yusuphjohn6056 25 күн бұрын
Mungu akubariki makonda kwa kutosapoti ushoga wewe ni mtu na nusu Bro
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 26 күн бұрын
Marekani sasa hivi hakuna wanaume wanataka kuolewa nje mtihani hawa wazungu wamejuwa kuharibu watoto dunia mungu akulinde makonda amen 🙏
@Pretty22750
@Pretty22750 Ай бұрын
From Kenya I like your speech we need leaders like this young Man God bless you abundantly 🎉🙏🏽👏🏽
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt Ай бұрын
Nimependa jibu lako kweli mtoa haki ni Mungu pekee barikiwa sana Kiongozi
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 Ай бұрын
Kaka mkubwa,Makonda! Kuna kipindi nilijikuta nina chuki sana nawe,Kiongozi. Chuki ambayo nilipandikizwa na viongozi ambao sikujuwa kama wanakuchukia kwa kuwa wewe ni msema kweli siku zote na ni mchapakazi pia. Now,I know! Nakupenda sana,Kiongozi wangu. Piga kazi mpaka mashoga wote wakimbilie kuzimu! Strong! 💪 Strong! 💪 Stroooong...! 💪
@didaspaints2001
@didaspaints2001 Ай бұрын
Hongera kijana makonda wewe Ni kidume unafaa kuongoza hata jeshi
@Elibarik-s6m
@Elibarik-s6m 17 күн бұрын
Makonda usiogope chochote nakupenda sana kwa kauli nzuri ,viongozi wengine wakiafrika wanaiyona marekani kama mungu wao wakat kuna urusi na China
@medicalmissionary7
@medicalmissionary7 Ай бұрын
Barikiwa mkuu wa mkoa .kazi njema .
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 Ай бұрын
Makonda nakukubali sanaaa 🔥🔥🔥 wenyechuki hawakosi sababu napia kizuri kinaweza tafutia sababu ili kionekane kibaya mwenye hakili timam akiona marekani wanakuchukia ujue ww unafanya mema🔥🔥🔥
@estermgata9617
@estermgata9617 Ай бұрын
Mungu mwenyezi azidi kukulinda, kukubariki na kukupigania. Mungu wangu tumechoshwa sana na haya machafuko ya dunia. Eti atanyimwa hati ya kusafiria kwenda Marekani. Ni kweli Marekani siyo lango la MBINGUNI. Halafu wala hata hana mpango wa kwenda huko.
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 Ай бұрын
Kwa kweli marekani sio mbinguni
@josephfrank4446
@josephfrank4446 Ай бұрын
Makonda ni mtu na nusu ❤❤
@SadaHasimu
@SadaHasimu Ай бұрын
Hongera Kaka yangu Makondo kiongozi bora inshaallah nakuombea dua siku Uje kuwa Raisi naamini uonefu utakomesha
@JosephOsanya-ik7bk
@JosephOsanya-ik7bk Ай бұрын
Napenda sana makonda my president ungekua mkenya kura zote zako
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no Ай бұрын
😂😂😂😂Huyu MAKONDA ni Nyoko kweli kweli daah nakubali🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@SleepyBabyPenguin-oh7fb
@SleepyBabyPenguin-oh7fb Ай бұрын
For that answer mr makondo u ar right ✅️ god bless you
@Babyvai-l2u
@Babyvai-l2u Ай бұрын
MAKONDA YANAYONDELEA IVI SASA INAFAA KUWA ATA RAIS WA TANZANIA ❤🙏👏👍
@AnnastaziaJeremiah-ch3vx
@AnnastaziaJeremiah-ch3vx Ай бұрын
Mungu akutunze
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi Ай бұрын
Makonda Mungu akulinda katika hilo
@ibrahimame7507
@ibrahimame7507 Ай бұрын
big up broo first time receive my 1000000%
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk Ай бұрын
Jeshi makonda 🇹🇿🇹🇿💕💯
@IshengomaRugemalila
@IshengomaRugemalila Ай бұрын
Marekani sio kitu kitu nikumbuka mungu anapenda nini
@estermgata9617
@estermgata9617 Ай бұрын
Wote wanaong'ang'ania kupigania maovu kwa jina la YESU CHRISTU MWANA WA MUNGU ALIYEHAI WASHINDWE NA WALEGEE!
@KhadijaMasoud-d2z
@KhadijaMasoud-d2z Ай бұрын
Nakumbuka alipinga ushoga ndio wakamzuwia kuingia marekani
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx Ай бұрын
Kwa sasa nchi hii hakuna kiongozi ngangali kama huyu Paul Makonda
@jasirimjasirimedia7940
@jasirimjasirimedia7940 Ай бұрын
Paul makonda my leader 👊👊👊👊❤️
@BarnabasYamseo
@BarnabasYamseo Ай бұрын
Uyu mtoto talented aachwe
@maharusiMedia
@maharusiMedia Ай бұрын
Perfectly answer Mr. Makonda
@adamrajabu7464
@adamrajabu7464 Ай бұрын
Katika hili na majibu mazuri kama haya hakika najifunza mambo kadhaa miongone ni makonda umeongeza mengi usiyokuwa nayo na pia umeongeza uwezo uliokuwa nao awali umeuongeza na hakika una majibu mazuri ya kimantiki na mtu mwenye akili timamu hakika moyo wake utakuwa shahidi kukubali japo mdomo wake unaweza kukukataa! Na nimependa wanahabari wamekuwa wazi hawana uoga mie najifunza mengi juu yako Br makonda.kama ww ungekuwa ua ua hata kukuhoji wangeshidwa kwa uoga kuhofia kupotezwa.
@BenjaminDida
@BenjaminDida Ай бұрын
Mwamba makonda pamoja mkuu
@mwashyombo9241
@mwashyombo9241 Ай бұрын
My future president
@FidelisBanga
@FidelisBanga 18 күн бұрын
Ivi hii ikoje,mbn juyu jamaa wanamuita wanamhoji live,wengne mbn hawafanyiwi ivo
@juniorsteve7582
@juniorsteve7582 Ай бұрын
swali la msingi Linageuzwa kuwa sehem ya mahubiri umeniitumia saikolojia vizuri kutupiga kwenye section ya dini Yan umeitumia huruma kujibu hoja na swali
@frankshirima4029
@frankshirima4029 Ай бұрын
My new President
@SulymanMtimbe-y1f
@SulymanMtimbe-y1f Ай бұрын
Safi sana
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp 24 күн бұрын
Nadawa wa pewa
@georgekarwani9173
@georgekarwani9173 29 күн бұрын
Makonda ni kiongozi
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Ай бұрын
Lissu ni mtu wa ovyoo yeye ana support ushoga na gayes ni jitu la ovyo lakini watu hawa mzomei huyo lissu ndio maana watu wanaopenda ushetani .
@JosephOsanya-ik7bk
@JosephOsanya-ik7bk Ай бұрын
Kenya sisi hatuna mtu kama makonda
@PakatJames
@PakatJames Ай бұрын
Hata tanzania ni mtu wa kipekee sana.
@jumatophili
@jumatophili Ай бұрын
Uko sawa
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Ай бұрын
MAKONDA 🙏🏾🙏🏾🇹🇿🇹🇿💯
@mohdhussein9749
@mohdhussein9749 Ай бұрын
Apo good🎉
@ErickJr-k5b
@ErickJr-k5b Ай бұрын
Nimeanza kukubali Sana mkuu.
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo Ай бұрын
Makonda malekani kini wajibu kwakua wanuunga mkono ushoga na usagaji wakaonjwe wao iliwasivunje haji za binadamu
@TiziraEnock
@TiziraEnock 12 күн бұрын
hv nyie maswali munayouliza mnaweza kuyajibu lakin
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Ай бұрын
MAKONDA NI RAISI MTALAJIWA ni maoni yangu tu. Si sheria neno langu
@Theironrod9373
@Theironrod9373 Ай бұрын
Maisha ni safari ndefu.. na safari ina mambo mengi.. wewe endelea na safari yako.. acha miti irudi nyuma ndio furaha ya safari!!!
@personalitiesan9806
@personalitiesan9806 Ай бұрын
Makonda ameshindikana......😂😂😂😂😂
@MejackPaul
@MejackPaul Ай бұрын
Makonda ww n mwamba kweli kweli
@JoshuaNk-d7h
@JoshuaNk-d7h Ай бұрын
Kumbe makonta ni musukuma
@adamrajabu7464
@adamrajabu7464 Ай бұрын
Inaonyesha wazi kuna maswali mengine silly questions lakini hujapaniki.😊
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo Ай бұрын
Achana na vibaraka wawazungu siku wakionjwa watoto wao ndio watajua
@hkaniugu
@hkaniugu Ай бұрын
Sasa utamshawishi vipi ambaye haamini dini wala Mungu, i think vifungu vya sheria ya nchi vinatosheleza, vinapinga ushoga, ata Lissu anazingua, cuz sheria inapinga ushoga
@del-mohaa7527
@del-mohaa7527 29 күн бұрын
Huyu jamaa watanzania mchagueni kuwa rais wachaneni na tundu lisu ni kibaraka wa wazungu mutakuja nikumbuka watanzania nawaambia hapa mm kma munakumbuka wakati wa magufuli alikua akimpinga magufuli wakati ule wacorona kwakupinga vigezo vilizowekwa na mabeberu mutalia mukimchagua tundu lisu mm ni mkenya hii comment mutairudia nawaambia
@PakatJames
@PakatJames Ай бұрын
Sijaona bado kidume cha simba kweli kweli kama Makonda kwenye viongozi wetu tanzania 🇹🇿 ukweli ndio huo kubali usikubali hivyo ndivyo ilivyo. Marekani hawajawi kumuandama mtu mpumbavu.
@FellaMbogela
@FellaMbogela Ай бұрын
MAKONDA WEWE KICHWA KUNA WATU WANATETEA USHOGA HADHARANI NA HATUJAONA MTU ALIEJITOLEA MCHANA KWEUPE KUKEMEA WANA MUNG'UNYA MANENO
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
@MOHAMEDMBAROUK-tc4ch Ай бұрын
Alafu sisi tulimpoteza dar esalaam huyu jamaa
@meshackthomas1341
@meshackthomas1341 Ай бұрын
Brother makonda. wepigania hak na wanyonge. tupo nawewe tumechoshwa. watafuta uongoz kwa vitsho nguvu nyingi. Huwa. Niaya yao mbaya sana pia wanakuaga nachuk tu na ubinafis tumechoka braabraa
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi Ай бұрын
Vitengo vya hàki ni vigumu
@DavidMollel-n9v
@DavidMollel-n9v Ай бұрын
🎉🎉🎉
@magdalenasirikwa517
@magdalenasirikwa517 Ай бұрын
Mwanadamu anatakiwa kutoa haki
@richardhezron2588
@richardhezron2588 Ай бұрын
Yuko mtu huku anajiita simwelu anazurumu alirdhi zawatu sana taperi mno
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 Ай бұрын
Picha ya president tundu lisu inafanya nn apo
@KhadijaMasoud-d2z
@KhadijaMasoud-d2z Ай бұрын
Umetajwa ushoga ndo maana picha yke ipo hapo
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 Ай бұрын
@@KhadijaMasoud-d2z kwaiyo tundu lisu ni shoga?
@ConstanciaShangali
@ConstanciaShangali Ай бұрын
Huyu mwandishi wa hbr sio Chaduma kweli..😂Katumwa huyoo😮
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Ай бұрын
Ujinga tu Marekani ni taifa Kama mataifa mengine tu
@JekoniaEzekia
@JekoniaEzekia Ай бұрын
Kiongozi Tanzania umebaki wewe tu
@mwashyombo9241
@mwashyombo9241 Ай бұрын
Hakika wewe ni kichwa
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 Ай бұрын
Ni tuhuma za hovyo China Ina ushoga! Saudi Arabia ina ruhusu ushoga, je Urusi ina ruhusu ushoga hapana why Tanzania ujinga na uchafu mkubwa mno!!?😢😭😭😭
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h Ай бұрын
Kuhusu KSA huo ni UONGO
@selemanichambo2944
@selemanichambo2944 Ай бұрын
Nani alikumbia Saudi Arabia inaruhusu ushoga. Ushoga ni nchi za Ulaya
@SonofJacol-t6h
@SonofJacol-t6h 24 күн бұрын
@@braystuskibassa3842 Nawe usijenge hoja yako kwa kuleta tuhuma za hovyo za kuokota okota kutoka kwa waongo na wenye chuki
@RoseKimishabhalemi
@RoseKimishabhalemi 28 күн бұрын
Tatizo viongozi wajuu walikubali ila mheshimiwa samia ni mama yako unamtetea
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Tuna 🍣 ​⁠@patrickzeinali ​⁠@ChefRush
00:48
albert_cancook
Рет қаралды 148 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
LIVE: Makonda Atoa Ripoti ya Uongozi na Ubunifu
2:52:47
CLOUDSMEDIA
Рет қаралды 13 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН