UTAKUWA SHAHID SHEKH CKU YA KIAMA ALLAH AKUZDISHIE SHEKH WALINGANIE WASIJE WAKASHITAK MBELE YA ALLAH
@Yu-jr9uf Жыл бұрын
Allah naomba uwaongoze tu waijue haqqi na uwafanyie tawfiq waikubali haki na kuifata
@ummabubakar5319 Жыл бұрын
Lau inge kua hakuna kukumbushana dini inge shapotea Allah awahifadhi mashekhe wetu
@nooor1120 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh Ramadhan na waislam wote.
@user1873anon5 Жыл бұрын
BarakAllah feekum, Sheikh Ramadhan...Allah akuzidishie tena Ramadhan Kareem inshaAllah.
@husseinhassan9758 Жыл бұрын
M.a shukran
@binpodah6003 Жыл бұрын
Wallahi you are the best. I pray Allah akupe afya na nguvu za kueneza dini Kenya nzima. Wallahi. I feel happy with the amount of knowledge Allah has given you. And also I pray Allah akupe ujasiri zaidi. Na vilevile Allah akujalie Pepo.
@shueb123 Жыл бұрын
Mungu awaongoze kwa njia na dini sahihi Niko na imani kwamba haiwezikosa hata mmoja kati yao akawa mwislamu mwishowe inshaAllah Ustadh ramadhan mungu akurahisishie kazi nzuri unayofanya
@Roobkii_Gaalkacyo Жыл бұрын
6:58 😂❤❤❤❤❤❤
@jamalathman6219 Жыл бұрын
Allah waongoze hawa watu manake Wako katika giza tororo
@suleimanabdul-karim1212 Жыл бұрын
Sheikh Ramazani Allah akubarik akupe afiya njema akulinde na kila ubaya
@CalebOgembo-im3je Жыл бұрын
Wana Israeli awakutoka misri mwezi wa saba Walitoka. The first month of the year.
@sumayananabintmusa4442 Жыл бұрын
Subuhanallah 😭 😭 dunia watu washa potea kitambo jamani ,ila tunashukuru kwakuwaoongoza tunaomba allah awatowe ktk hiyo njia ya upotevu
@nooor1120 Жыл бұрын
Aamiin yaarabb
@Adolphembegu Жыл бұрын
youtube.com/@Adolphe20 🎉😂
@juliethuo4675 Жыл бұрын
I love the way you do this interview 😂😂😂
@julietnasamba9848 Жыл бұрын
I like this discussion,it makes someone to understand God better.
@yahyaadan3259 Жыл бұрын
Sheikh Ramadhan Allah akupe Janatul Firdhows kwa kazi unayomfamyia Allah
@nasiradan942 Жыл бұрын
Alhamdulilah for islam
@hassanbarasa7085 Жыл бұрын
Shakh Ramadhani Mwenyezi Mungu akujalie kila la kheri kwa juhudi unayofanya,akupe afya na umri ili uzidi kuelimisha umma.
@Sai.Mo69 Жыл бұрын
MashaAllah Ustad, Allahswt ibariki SADAKA lako, la CHAKULA ulioyi towa kwa hawa Watu! WaKristo angaliyeni vipi SADAKA la CHAKULA ina UOKOVU na BARAKA, siku za KIYAMA, soma hii: Luke 14:13-14 13 But when you give a banquet, invite the poor, the crippled, the lame, the blind, 14 and you will be blessed. Although they cannot repay you, you will be repaid at the resurrection of the righteous.”!
@abdijama955 Жыл бұрын
Shekh Ramadan you are one of a kind mashaallah mungu aku zidishie ❤ elimu yako
@naimaabuualii578 Жыл бұрын
Amin
@Paulastephen-rw4po Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣iyo Amina ina nichekesha 🤣🤣🤣🤣
@khamisjumaa-vm2tk Жыл бұрын
Mungu akupe pepo sheikh wetu sababu hii ni mtihani tosha
@FauziahNambaka-bn2ln6 ай бұрын
Assalam alleykum shekh Ramadhan mwenyezi mungu akuhifadhi na akujaalie umri mrefu wenye afya ili uzidi kulingania dini ya haki
@nadyajaffarali7289 Жыл бұрын
Allah Amjaalie Yesu wa Tongerani Aslimu na wengine watafatia.Nimependa si mkali anaongea taratibu.
@nooor1120 Жыл бұрын
Aamin
@abumuhammad7802 Жыл бұрын
Ni mjanja sana pia amesima bibilia sana na ni msikilivu sana
@fedrickluhanga2486 Жыл бұрын
Eti alitutoa katika nchi ya Misri, kwan we Yesu ulikuwa mtumwa pia? Daahhhh
@zakariakiema621 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 nimepata series yakuwatch as comedy,
@salimyreu149710 ай бұрын
😅😅😅😅 ati series aki wwe Zakaria 😅😅
@udaudauda8594 Жыл бұрын
Najivuania kua muislam alhamdulillah ya Rabbi kwa neema hii🤲
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
MashaAllah ustadh Allah akuzidishie na akujalie subra
@salmanassor8732 Жыл бұрын
Mashallah kwa jitihada yako shehe wetu maana huyu mzee anatia hasira
@derowmuktar1958 Жыл бұрын
Alhamdulilah fr Islam ☪️
@salumharuna5872 Жыл бұрын
Wangesajiliwa kama comedian aisee wangepiga pesa za maaana 🤣🤣🤣
@munawwarbashir2680 Жыл бұрын
Yesu anasema jua kali 😂😂😂 nacheka kama mazuri
@umazimwambezi8092 Жыл бұрын
Hongera kwa bidii zako sherk Rama Allah akubless xna kwakumulingania anaye jiita yesu mwenye bangi imemujaa kichwa
@mariammganga5061 Жыл бұрын
SHEKHE RAMADHANI POLE SANA,,, UNAJITAHIDI KWELI,,,
@zuusaidibushiri5556 Жыл бұрын
Yesu ashakula tikiti sasa kapata nguvu Aminaaaaaaa
@abdinassirhussein190 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@stoispapi2380 Жыл бұрын
This Christians make Abu jahl proud 😅😅😅
@mifunga3414 Жыл бұрын
Yarab wangoze uwafanyie wepesi yaallah
@fridahmulongo2697 Жыл бұрын
Mashallah ustadh Ramadhan Allah azidi kukujalia subra
@Adm9464 Жыл бұрын
Ajaabu Yesu hajui pasaka.
@blessyqueen1741 Жыл бұрын
Our country kenya is so interesting.tuna wapata watu wote funny 😂kuazia ruto gachagua ichugwa na yesu wa togareni😂😂😂, wonderful country haki
@SakinaAbdallah-mo4dh8 ай бұрын
Umesahau Jehova wanyonyi,Nuhu mjenga safina na nimwanamke😂😂na 5yonah alimpatiza yesu na ako na wake 46,watoto390+,wajukuu600+ na vitukuu1100+aki Kenya sihami mimi😂😂
@gitongazoneman4100 Жыл бұрын
Waa mm natii Ramadan sana bt Leo umeshidwa na uyo red angel apo Kwa baba .bt swali langu ni ni wapi imeadikwa tumsifu mungu ,na tumepewa instructions gani kusifu thn bona kuimba nyimbo za mungu na giter simekatazwa, so ni wapi twapashwa kumuimbia mungu , Alf mm sio prophesor masomo ilinikataa bt giter ikanikubali ninachezea adi waislam wakifurai sana nikiwa ninawasalamie asaalam aleikum Kwa jia ya wimbo, so kama kuimbia mungu ni halam hii talent nimepewa na mungu ama shetan ,
@woah.africa99 Жыл бұрын
Mungu w ibrahi na Muhammad isa ayob yagob musa nuh yusuf ishac na mana bee wotee ni wa mugu mmoja wajiga hao eti yesu midevu kaa mkutano wa inzi hv wanamchezea mmungu haowanajita mana bee wa mungu
@rizikiali328 Жыл бұрын
Vua kiatu miguuni miguu na roho ni vitu viwili tofauti
@judymoraamachongo99 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Welkam to kenya where everything is possible
@beautyandfashiontipsforbot4524 Жыл бұрын
Asalamu alikumu warHmatulahhi wabarakatuh ramazani kk Allah akuzidisheye takuwa mm ningekuwa ww naona kama sengeweza
@metrinenyakoe1764 Жыл бұрын
Tujiadhari na manabii wa uongo Tunajua Yesu mmoja aliye mbinguni kwa Mungu
@idrissatuppa3997 Жыл бұрын
Asifiwe Yesu Aminaaaa🤫🤔🤔🤔
@winceratieno2993 Жыл бұрын
Yesu alikuwa anatembea Kama binadamu, hakukuwa anaegeuka kuwa farasi ama nini. Hiyo Ni uchawi, wachawi wa siku hizi inasemejana atawanapaa na utao. Wuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mtoroke huyu msije mkadanganywe kuweni wangalifu sana kama mnataka kuingia ufalme wa mbinguni.
@ogdosho93 Жыл бұрын
Dah😂 sheh ramadhan naona mwishon unawaangalia wakicheza ngoma zao yan inamaanisha yameingilia apa yametokea huku😂.. endelea kuwaelimisha taratibu wataelewa tuu InshAllah Allah akujaalie afya na nguvu ..
@nooor1120 Жыл бұрын
Aaamiin Aaamiin Aaamiin
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
Eti Jua kali 😅😅 Yesu siushushe kivuli hapo 😅😅
@salimyreu149710 ай бұрын
Maasha allh brother damadhan god bless u 😢
@jamilaomari2444 Жыл бұрын
Ustadh in shaa Allah ukipata nafasi ya kuhonji na kuwafunza hawa wafuasi wa yesu huenda wakaelewa na kuslimu manaka naona wengine nikama wanamuogopa yesu 😂
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hahahaaa nimecheka nilipimuona Nuhu
@jirmomohamed7595 Жыл бұрын
Wallai hii ni maajabu wa yesu wa Amina
@amirmedia6586 Жыл бұрын
Sheikh Ramadan mungu akuhifadhi..tafadhali kuja na msomaji akusaadie.
@masaiboss Жыл бұрын
What always makes me happy,that word *Aaaaamina*,very funny🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@dorcasamina4551 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
@MASAI BOSS Me pia nacheka ivyo anavyo itikia 😂.
@mwanatumumchombo4702 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@asiyharoon9471 Жыл бұрын
🤣🤣🤣hiyo kweli mm inanichekesha mnooo et Amina aminaa ,shwaini kweli
@tamimakhalfanikhani8403 Жыл бұрын
Mie ndo mbavu sina
@SaidMgeni Жыл бұрын
Assallam Allaikum warahmatuAllahi wabarakatuhu ustadh Ramadhan una bidii na yesu wa tongaren but may be ni miongoniwa wenye macho na hawaoni,wenye masikio hawasikii na Kila kitu ni chake ni mapenzi ya mungu
@badmanno.1650 Жыл бұрын
Hawa watu wanalala kila siku wakiamini wako kwenye haki😢😢😢 ya Allah usiniondoe duniani isipokuwa nikiwa muislam ya rabb😢😢
@nasiradan942 Жыл бұрын
Sheikh ramadhan ALLAH akujalie janatul firdous
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Allahuma ameen 🤲
@hassantoure7472 Жыл бұрын
Ramadhan ukirudi muulize kuhusu "Jehovah " wanyonyi
@fussellugo-xw4nb Жыл бұрын
Aslm alkm anacheza na mwenyezi mungu kujihita nabii 😢 makosa
@halimaa9367 Жыл бұрын
Subhanalha tena wanawake wamekaa vvizur hila din haipo
@zenaahmedi8857 Жыл бұрын
Asalaam aleykum warahmatullaahi wabarakatuh .....SubhanAllah nimesikia hyo Yesu kasema jua kari 🤣 au vipi
@StraightPathDawah Жыл бұрын
NI hatari
@nooor1120 Жыл бұрын
Wsalaam warahmatullahi wabarakaatuh
@Adm9464 Жыл бұрын
Yesu ana angalia kitabu kila. This exactly tells yeye ni Yesu Feki. Even Yesu is admitting that Iddi ni siku kuu ya Waislamu.
@husna34562 Жыл бұрын
😅😅😅😅atuletee mkate na samak😂😊
@ibruzah001 Жыл бұрын
Mjenga Safina Nuhu,,, na ni mwanadada,,, weeeh! 😆😆😆
@evelynmumia5246 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ibnushaka2028 Жыл бұрын
Mola akubariki na akulipe kheri habibi
@stefanomasolwa8979 Жыл бұрын
Huyu Yesu inabindi asulubiwe kabisaa kwa Maana tuko mwenzi wa kwarezma
@Adm9464 Жыл бұрын
Western Kenya is a very interesting place. God bless it.
@shinnyinnocent1288 Жыл бұрын
AMEN
@AhmedZahor11 ай бұрын
Wakristo wana sarakasi nyingi na michezo ya kuigiza
@ahmedtvonline2304 Жыл бұрын
Subhanallah, dunia inaelekea wapi, innalilah wainailah rajiun.
@kajinjirashid5590 Жыл бұрын
Huyo mama mpuzi..eti ajiita nuhu mjenga safina 🤣🤣amelaaniwa
@rahmasoliman489 Жыл бұрын
Mtihani
@mwangimuhammad-sx9hb Жыл бұрын
Assalam alaykum salaam warahmatullahi....yesu wa tongaren amefoki sana hao mafive two.
@StraightPathDawah Жыл бұрын
Halafu wewe Muhammad nakupigia simu sana sikupati.
@simonkazungu-cx4nf Жыл бұрын
Mimi ni mukristo mungu akupe Uwezo ramazani uwafundishe wajuwe mungu wakweli I leave in Zambia God bless you so much
@hellen587 Жыл бұрын
Tangu lini yesu akatukia neno mteja, watu kuwapotosha watu wa mungu
@ashatybella8641 Жыл бұрын
Huyu jamaa mjiga sana hacha ku force watu wagehuke wa esalaam kila mtu hana dini yake na kwanini munahabudu muhamedi kuliko kumuhabudu Jesus wajiga tu hipo siku mtajutiya 😢😢 hila naskuru mungu kwasababu huku marecani tunahomowa wa esalaam wegi wamegehuka wa christo nakusema kwenye hu weslam kunavitu vibaya afu hupotovu wigi. I’m happy for that
@mangeraalbert7982 Жыл бұрын
Majizi, masafina, noma walunjes
@osmnaabubakar1230 Жыл бұрын
Asalamu aleikum shekhi ramadani plz mulize huyo ambae anajieta yesu hatukowa mgonjo wala hatukufa plz muliza alafu huyo dada nguo za read naona ako karibu na kusilimu
Mungu wetu ana uvumilivu wallahy lau si uvumilivu angeiangamiza hii dunia yan huyu mzee anatoa hasira mm nikiwa karibu nae nahis ntapiga vibao
@rahmasoliman489 Жыл бұрын
Yani Wewe ndo mmi kabisa
@salmanassor8732 Жыл бұрын
Yaani shehe ana subra Allha amzidishie maana anatia hasira kweli huyu mzee
@mimahmimah1595 Жыл бұрын
@@salmanassor8732 mm cwez msikiliza ata robo saa akiamungu napata hasira anavyozidi kudanganya watu
@mimahmimah1595 Жыл бұрын
@@rahmasoliman489 wallahy tena ni msiba mkubwa ndio mana ckuizi maisha ni magumu sababu ya kufru zimezidi
@sebastianzongoro8915 Жыл бұрын
Dini yetu inachezea sana na vichaa
@Adm9464 Жыл бұрын
Yesu can’t even pay his parishioners lunch. He is asking for 10 bob kwa kila mtu
@floinburton34904 ай бұрын
Huyo Yesu na baba yake ni magaidi Shekhe, waongo hao.
@jamilafuad-5702 Жыл бұрын
Allah akbar niwakaidi sanaa kuamini wallah
@nakundwamkubwe7823 Жыл бұрын
Uyo mwenye sare ya blue anaruka juu kama Mmasai 😅😅.
@abbasmakange Жыл бұрын
Eti "aaaminaaaa😂😂 subhanaallh
@bonifasiemanueli21 Жыл бұрын
Kiiukweli Ramadhani umenifurahisha japo Niko Tanzania mkiristo,
@StraightPathDawah Жыл бұрын
😂
@zainaal-nabhani9034 Жыл бұрын
Mtihani sana hii komedi
@assfzainab912 Жыл бұрын
ALLAH HAWASAIDIE HAWAJUI WALIFANYALO😭😭😭😭
@winceratieno2993 Жыл бұрын
Wewe Wekesa wacha kudanganya watu, si Yesu ndiyo alitoka na hawa misiri bali ni Musa ndiye aliwaongoza.
@hassanbarasa7085 Жыл бұрын
Kwakweli hii ni msiba mkubwa,Yarabb tuongoze pamoja na vizazi vyetu katika njia ilionyooka🙏
@mwangimuhammad-sx9hb Жыл бұрын
Jua lamchoma yesu wa tongaren
@mohammedabdullah4563 Жыл бұрын
Manshaallah ustad ramadhan mungu
@bonifasiemanueli21 Жыл бұрын
Kiikweli natamani kujifunza Kwa hawa akina mama utaratibu na ni dhamu yao isipokuwa kupotoka kwao juu ya kweli ya Yesu
@masabarambo144 Жыл бұрын
Vipofu wa Africa walio leta dini wanatucheka kweli Yani!! Shem upon them.....
@bignation6241 Жыл бұрын
Nabii Ephraim ataslim tu..ako na interest sana kujua dini ya kiislam.
@saint.m621 Жыл бұрын
Maswali yakiwa magumu inageuka kuwa ni kiroho, na huyo mama anavaa miwani si aponywe na yesu
@mercynjenga1780 Жыл бұрын
Sasa hii nuhu surely hawa malaika ni waajabu 😂😂😂 I have noticed they don't answer the questions as they are asked
@shifaazawadi4438 Жыл бұрын
Mavazi yao nimazuri wana jistiri lakini hayo mengine siwaelewi kbsa wanajua kusoma lakini wanapindisha maandiko kivyao watu na akilozao timamu kbsa lakini cjui huyu mzee cjui kawalisha nini hata hawajielewi