Mungu ana taka kuku onyesha utofauti wa dunia, dunia ya umaskini ndiyo dunia nje ma enye baraka kuliko dunia ambayo mungu alitaka aku onyesha Nini kinacho endeleya kwaiyo dada mtumikiye mungu atakutumiya Kwa mamulaka yake utaona mabadiliko makuu . Wacha mungu aitwe mungu atukuzwe milele kwamaana ali kutumiya malaika akawa ame kuokowa
@MercyWanjeri-qw2ip28 күн бұрын
Pole sana. But hkuna kitu baya kama kujua boss wako wafanya niin mine bola salo yangu isikose
@eshasaid325828 күн бұрын
Pole sana😢😢😢😢dadangu umetoka salama❤❤❤❤
@alainmuhigirwa7026Ай бұрын
Yesu Kristo ni Bwana Yohana 14:6
@saidnoumani7244Ай бұрын
Lakini sio Mungu
@yusufmngangi4630Ай бұрын
Pole sana mama yangu mwenyezimungu amekuepusha na akusimaie update kazi hiliyo mzuri
@DamasAmos-ue2ghАй бұрын
Pore sana dada yangu komaa nanguvu zako mungu atalufungulia milango sisimasikini uwatuna tesekasana
@vailethDevid27 күн бұрын
Pole sana
@RechoMzava-gt7soАй бұрын
Jamani.bado ni mdogo sanaa
@kilogreekachananawatuwasio4054Ай бұрын
POLE SANA DADA YANGU HUYO MAMA RAFIKI YA MAMA YAKO ANA MTOTO WA KUMPELEKA KWENDA KUFANYA KAZI APO KWA MAMA FREEMASON ????😂😂
@zuhurahaji934Ай бұрын
Pole sana😢😢
@KassimAli-l8k20 күн бұрын
Iyo move
@LailathMasoud27 күн бұрын
Duuh pole jamn watu wanakutana na mambo jamn😮
@MamshikaАй бұрын
Mama! Hii story si ya kutunga kwel ?
@rashidkibavu1863Ай бұрын
JINA LA MOVIE tafadhali
@user-ml8fc2kf6pАй бұрын
Weweee Amiin❤❤❤
@CatherineMtewele-o7sАй бұрын
Pole mwaya mwenyezi Mungu atakusimamia
@ChristabellaJohnАй бұрын
pole sana binti ipo siku mungu atawaumbua waovu wote
@Yusufu940Ай бұрын
Pole sn usimua Mungu dada kakuepusha na malaha
@MpandalaNkoswe27 күн бұрын
😂 pole sana dada
@user-jf8do8pd9gАй бұрын
Pole sana dada yangu
@mwajumakaisi6212Ай бұрын
Pole sana pili mwenyezimungu yu pamoja na wewe
@BababooDominiqueАй бұрын
Pole sana dada yang
@BinAli-hv7hvАй бұрын
pole sana
@JfhandmadeАй бұрын
Aissee Inaaumiza sana
@MajaliwaMhungatiАй бұрын
Pole😢😢😢
@user-ih6ng6sf6oАй бұрын
Mmmmmh😢 pole sana kweli
@SolileMashineАй бұрын
mungu amsaidie
@NajmaMosha-wo9buАй бұрын
Pole mamy
@danamickle9739Ай бұрын
Wakina pili wengi wao huw n wachawi
@NuruMkumboАй бұрын
Inaumiza sana
@narutonaruto4303Ай бұрын
dah pole san mdog wang inaum
@JacklineAlistidesАй бұрын
Mungu wanguuuu😢😢😢😢😢😢😢
@SuzanaSuzanamwangingo-uu4ctАй бұрын
Yuwiii mimi naogopa .kweli kuwa uyaone .huyu mtoto haogopi kutoa sili za watu jamani.mh
@sophiakaluma8739Ай бұрын
Pole sana mdogo wangu cha msingi pambana mungu atakusaidia
@rehemamohamedy4007Ай бұрын
Mmmmh! Hii season gani??
@user-hy4dm4jm3xАй бұрын
Uyo mama anaishi wapi davpili
@sophiakimaro5174Ай бұрын
Story ya uongo kabisaaaa!!Next time muaandae watu wenu vizuri.
@AminaMtuiАй бұрын
Inauma wasije wakamfatilia jmn
@judithtitomalyeta4000Ай бұрын
Utajiri huu Kazi ipo
@msafirimaulidi5054Ай бұрын
Hii ni yakutunga 100%😂
@neemap9385Ай бұрын
inawezekana nikweli huku kuna mahali nyumba ina kabur ndani na wanapangisha mbon