Amen dada ubarikiwe sana japo hawatakusikia wewetu Ongea kisha unawe mikono maana mimi nimeamini ushuhuda unaotowa umetokana na Roho wa Mungu bilaroho wa Mungu hungeweza kuongea na ujasiri mkubwa kamahuo amen amen
@agnesspaul186612 күн бұрын
Amina Mungu atutetee
@MiltraudNyagali-fw3hu3 ай бұрын
Amina mtumishi ubarikiwe kwa ujumbe mzuri ongea tupone
@happinessisaya3 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu barikiwa
@JuliethMagele3 ай бұрын
Amina Amina mama
@DannySanga-gh1oj2 ай бұрын
Ameni ameni,Mungu atusaidie
@JudithModestus3 ай бұрын
Amina Mamy,,,,
@AdrofinaRaymond2 ай бұрын
Ameena balikiwa mtumish
@EdwinMbwilo-fj6bf3 ай бұрын
Mtumishi tatizo siyo washirika tatizo ni wachungaji wetu hawakubaliani kabisa kama vyombo vya uzuri ni dhambi. Hata uchunguzi hawataki kufanya. Mama yangu mdogo aliokoka miaka ya themanini anasema hawakuruhusiwa kabisa hivyo vitu mfano kusuka, eleni, mikufu, bangili, nguo fupi, suluali, nguo za kubana nk. Yesu tusaidie
@EmmanuelaronEmmanuelaron3 ай бұрын
Asante kwa ujumbe nzuri kwetu tutalifanyie kazi Bwana Yesu atusaidie sana
@ModestaMwakalosi3 ай бұрын
Mungu atusaidie sana
@laita82182 ай бұрын
Tunamhitaji Mungu sana sana 13:21
@msuampinga82912 ай бұрын
Mbinguni huendi na mtu mpendwa, na hata Biblia inasema usiogope yule anayeweza kuua mwili tu na hana mamlaka juu ya roho bali muogope yule mwenye amri juu ya mwili na roho pia. Umeusikia ukweli, amua wewe kubadilika uiokoe nafsi yako
@noelmbosa2736Ай бұрын
Du mbinguni mbali sana kwa akina mama.
@emmanuelmmbaga52093 ай бұрын
Amina mtumishi
@HatibuEMwamboneke-g7c3 ай бұрын
Amina ujumbe mzuri kwa kabisa la Sasa!!!
@erickmsimbe54243 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@LylianeBaumaLyly3 ай бұрын
Kweli mutumishi wa Mungu ubarikiwe sanaaa nausiasha kutuambeye Mama
@jannefidelis13643 ай бұрын
Amina
@RehemaElias-el3jg2 ай бұрын
Mungu atuponye
@EZRA-b1c3 ай бұрын
AMEN
@MabelKaaya-hl2je3 ай бұрын
Halleluya halleluya halleluya
@alinependo-bk4jj3 ай бұрын
Amen amen amen 🙏🏽
@dianaesau3 ай бұрын
Amen
@GraciousPastor3 ай бұрын
Amen 🙏
@gfydfdf88693 ай бұрын
Barikiwa dada ,nikweri
@lydiabenjaminmgalula61893 ай бұрын
Amen 😔🙏🙌
@JosephinaLeonard3 ай бұрын
Nakata ukavu kwa jina la Yesu kristo Mwokozi, bila wewe siwezi Roho mtakatifu naomba uniongoze,amen 🙏
@nizigamaviolette-ig9dlАй бұрын
Kweli ivi wewe umecomment eti yeye nikufuru ivi iyo andiko umetowa unajuwa inamanishanini ao tsiriyake unafikiria inatafsiwa la vo ikiwa wewe umemwamini Yesu Kristo tayari wewe ni Bibiharusi wa Kristo nazani kila anayemwamini Yesu kristo awe mwananke aiza mwanaume sisisote tu bibi harusi sasa yakubaguwana muache pia nasisi wa mama tulikombolewa nayule aliye kukombowa bwana wamabwana amen
@EdithAyesa24 күн бұрын
❤❤❤❤❤Ok
@Phoenix-o1o2s3 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@mwambakibucheche11193 ай бұрын
Hii ni kwel kabsa maana kuna watu hawatoki nyumbani mwao bila kuweka hayo matakataka wanayoyaita urembo
@MjumbeAgano3 ай бұрын
Hakuna kanisa Sasa kanisa ni mtu aliyekamilika katika cheo na utimilifu wa kristo, majina ya hayo makanisa ni uongo wa shetani,
@EndrewPaschal2 ай бұрын
Mimi mwenyewe muhanga
@fridamwakipamba429210 күн бұрын
Jaman kuna waumini wanaweka kope bandia kwenye macho. Na kucha bandia na watumishi wanawaona sasa kucha bandia na kope ninini j
@PeterJackson-uh2ik2 ай бұрын
Kufuru ya kwanza inakuhusu pia... Hii hapa 1Kor.14:34..
@adeladaudi2047Ай бұрын
Endelea Mstari wa 35 na je. Km wanaume wameliacha kanisa tutamuuliza nan? ASHUKULIWE MUNGU WETU maana pazia la hekaru halipo tena.
@festinamwakipale391913 күн бұрын
@@adeladaudi2047amesoma.sehemu Moja mwanamke ameruhusiwa ila kwA masharti afunikwe.kichwa au skate nywele I'li kichwa chake.kifanane.na.cha mwanaume
@happinessisaya3 ай бұрын
Watumishi wanathamini pesa hawstoi hukumu ya haki
@WinifridaMushi-m5e2 ай бұрын
Naungana na wewe wachungaji wanaogopa kuonya dhambi kwa kuogopa waumini kuondoka na kukosa sadaka