Dada wawili wakristo wauliza maswali kali kali kwa waisilamu,mwambudu mwezi mbona hamkuli nguruwe .

  Рет қаралды 17,836

Salim Daawah Kenya

Salim Daawah Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 53
@oklahommy9838
@oklahommy9838 Жыл бұрын
Sheikh Ali anafaa kuwa na subra maana kudeal na hawa watu kwahitaji hikma na utulivu wa hali ya juu si mihemko .....sheikh salim unadeal nao vizuri Mashallah
@Sal.0
@Sal.0 Жыл бұрын
MashaAllah. Mwalimu Hussein in action leo kum saidia Ustad Ali! Hassan and Hussein. AllahuAkbar! TabarakAllah Team Salim!
@Sai.Mo69
@Sai.Mo69 Жыл бұрын
MashaAllah. MashaAllah. Leo tuko na Hussein na Hassan at the controls! Very nice to Handsome Hussein helping out while Ustad Ali is injured! TabarakAllah Team hii mzima. Allahswt awa barik sana. nyote! Asantni kkwa Mafyndisho ya leo Ustad Salim!
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 Жыл бұрын
Sheikh Salim Mwalimu tosha,, MashaAllah.
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Mimi mwanafunzi tu karibu Sana my sister
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 6 ай бұрын
Tunakuombea.natunawaombewoote.mashehe.wetu.kwakutufikishiaUjumbe.WaHaki..ilawewe.nimwalim.kwangu.Allah.akuinuezaidi.nazaid.lnshaAllah
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Mashaallah mashekhe wetu nimefurahi sio haba kuwaona tena😊😊❤
@zakiaanwar677
@zakiaanwar677 Жыл бұрын
Sssallam aleikum mashekhe wetu Alhamdullillahi nimefurahi sana kuwaona twende nalo inshallah Allah awalipe mema kesho akhera
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ameen ameen ameen sote
@jumakumala1337
@jumakumala1337 Жыл бұрын
Naipenda timu hii ya Da'awah kwa ajili ya ALLAH, na ALLAH awazidishie kheir na awalinde na mitihani na misuko suko na awalipe pepo ya juu zaidi siku ya malipo
@bilalomar1185
@bilalomar1185 Жыл бұрын
MashaAllah kazi safi sana. Allah awabarik nyoze masheikh wangu Ameen.
@OmariMwamboga
@OmariMwamboga Жыл бұрын
Dawaa! inatolewa vizuri ktk Vitabu vitukufu Bible n Quraan.M/mungu awalipe kw wema.🤲
@fatimahrashid2356
@fatimahrashid2356 Жыл бұрын
Masha Allah kazi nzur zaidi yazote ❤❤❤❤❤❤❤
@daadeyare8382
@daadeyare8382 Жыл бұрын
maasha Alaaah our sheikhs’ i am happy to see them again 🎉Juzakumulah JANA🙏🙏❤️❤️❤️
@zakayolazoro48
@zakayolazoro48 Жыл бұрын
Wewe bosi unashabikia ATI mashara kunakitu kasoma chamana handi unashagilia Sasa anasema Musa anwambia nwe utasherekea idi yako bibulia hajasema hivo kumbukumbu ra torati 16 :14 bibulia inasema nwe utafurahiya sikuku yako nasiyo idi kunaneno idi hapo acheni kuwapotosha watu nano ra mungu nitaa ya mwili rakini taa ikizimika basi acheni kuharibu bibulia kwanza haiwasu muko na muhamadi kaeni na muhamadi acheni kuwapotosha watu kwamaneno yenu mengi mwambieni muzehe ahubili kweri nasiyo uongo wasipende kuonekana nawatu bibulia inasema wanao funga iri watazamwe nawatu kuwa wanafunga niwanafiki nyinyi ndo zenu funga yenu nimwezi na kufunguwa kwenu nimwzi kwahiyo nyinyi ndo munabudu mwezi acheni uongo
@nooor1120
@nooor1120 Жыл бұрын
Maa shaa Allah
@kadiriosmam
@kadiriosmam Жыл бұрын
Hapo kwa railway ni mahali poa sana kwa kufanya dawah, keep coming here
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
We will inn shaa Allah
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 Жыл бұрын
Mashalla Allah ❤❤❤
@deeqmohamed1801
@deeqmohamed1801 Жыл бұрын
MashaALLAH
@sheemaryam
@sheemaryam Жыл бұрын
Hawa watu wanajuwa vile nguruwe inaleta cancer wallahi nime watch story book ya Jamal April 😢mpaka nikawarahurumia sana wenye kula nguruwe😮😮 kube inamadhara mengi nimeona ata minyoo yake ati haikufi ata ikipikwa na pia ata inasambabisa kifafa,ugonjwa wa ngozi na kupooza left side 😮😮😮 ... MUNGU awafunguwe macho
@ibrahimetale9999
@ibrahimetale9999 Жыл бұрын
msomaji atoe pete vidoleni hizi ni vipuli za wanawake
@husha6372
@husha6372 Жыл бұрын
Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu kusWim kwa leisure Kama Starehe KIDOGO haikubaliwi Lakini Kama ni kwa Kazi muhimu Kama uvivu inakubaliwa HII ni Kama nilivyo some Shwa na walimu
@mwanamtotosaid702
@mwanamtotosaid702 Жыл бұрын
Masha Allah 🥰
@hassanpadi
@hassanpadi Жыл бұрын
Namuona Hussein Mwenja leo yuko ziara
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Kabisa daawah iendelee
@hassanpadi
@hassanpadi Жыл бұрын
Masha Allah kazi nzuri sana, Allah awalipe malipo makubwa
@ibrahimetale9999
@ibrahimetale9999 Жыл бұрын
Mama mjaa mzitoatalipa akijifubgu?Na mke mwenye hedhi pia
@sheemaryam
@sheemaryam Жыл бұрын
Aslam aleikum warahmaturullahi wabarakatuh dawa lazima...vipi banana mtafika lini
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh hivi karibuni inn shaa Allah
@abdazizahmed7113
@abdazizahmed7113 Жыл бұрын
Mashaallah
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Karibu sana brother
@abdazizahmed7113
@abdazizahmed7113 Жыл бұрын
Asante kaka kwa hakika nimefurahi sana kwa yale mnafanya endeleni na hii kazi ya dawah nzuri mnafanya
@samxx411
@samxx411 Жыл бұрын
Mwezi au mwezi na nyota ni ilama tu kuwezesha mtu kujuwa kuwa kuna msikiti sehemu fulani basi
@mwanaulusebe3002
@mwanaulusebe3002 Жыл бұрын
@ibrahimetale9999
@ibrahimetale9999 Жыл бұрын
SHAKAHOLA HEHEHE
@andallaathman3856
@andallaathman3856 Жыл бұрын
Sasa huyo dada asem wnapiga kelele kisha kuna ibada hapo ama nikelele?
@abubakarkassimmwinyimwinyi6382
@abubakarkassimmwinyimwinyi6382 Жыл бұрын
Huwezi ogelea bila kuonja maji
@michelshemikalamo2537
@michelshemikalamo2537 Жыл бұрын
Icjonkitabu cha 1korintho 11, 5 imeandikwa je? Inasema anapotembea ao anapoutubu!!! Soma vizuri sheh
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Hahaaaaaaa unapatikana wapi tufanye debate na wewe mchungaji ili ukweli ujulikane
@DansonMwasingo
@DansonMwasingo 9 ай бұрын
Nyinyi wachungaji ndo mnapeleka wakristo motoni kwa kufwata biblia na fikra zenu
@JoviniFaida-uj5qb
@JoviniFaida-uj5qb Жыл бұрын
Nahiyo ufunuoo mbona hajasoma mpaka chini
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Kuna mahali wakristo wametajwa
@JoviniFaida-uj5qb
@JoviniFaida-uj5qb Жыл бұрын
Shehe soma mpaka 9
@kassimabdilatif1802
@kassimabdilatif1802 Жыл бұрын
Nasaha kwa Mwalimu Salim: Ningeomba katika daawa kwa kina dada uenda Ki psychologiy. Ulipoleta mambo ya mavasi ya wanawake Ni kama dada anaona unamkashif personally. Kwa mwanamke she may feel humiliated. Kumbuka hata katika Quran mambo ya mavasi ya wanawake yalikuja baadae kidogo wakati watu washaukubali uislam. Hata Mtume alipotuma Muadh Bin Jabal kwa watu wa Yemen alimuadvice aanze one step at a time . Aanze kufundishe shahada then akwamwambia after they accept teach them the sealant, then saum,Zakat then the rest of the Deen. Also kuwambia hao jamaa wako kama wanawake mbele ya hao madada I don't think is the right thing to say. It makes it appear kama you disrespect women . I think there is a need to be sensitive to ladies wasije wakaona they are being demeaned au kudharauliwa.
@sammyomari8348
@sammyomari8348 Жыл бұрын
mze waupako
@imakubari6786
@imakubari6786 Жыл бұрын
Warim wa kisram mnapopeza watu Kwa uongo
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Kama gani please sema
@michelshemikalamo2537
@michelshemikalamo2537 Жыл бұрын
Kama kwakweli uyu Yesu alikuja tu kwa kondoo zilizopotea za Izraeli imzkua je?Katika Mathayo 28,19 anawatuma wanafunzi wake kwenda kufanya Mataifa wote kuwa wanafunzi wake ?
@salimdaawah123
@salimdaawah123 Жыл бұрын
Hahaaaaaaa kuwa mkristo ni kazi kweli kumbe 13:23 matendo ya mitume ni uongo wewe ningetamani tufanye debate hata kama ni kwa kanisa lako
@DansonMwasingo
@DansonMwasingo 9 ай бұрын
Katika matendo ya mitume ndo inatoa ushahidi kwamba hiyo aya ya 28:19 mathayo nj ya uongo ju kina petro na paulo hawakuwai kuifwata...nashukuru kupata neema ya uislamu..nlisilimu mwaka wa 2018
@MohamedAbdirahmanAhmed-s6u
@MohamedAbdirahmanAhmed-s6u 8 ай бұрын
Masha allaah
@LabiloWabikongo
@LabiloWabikongo Жыл бұрын
Mashallah
MKRISTO AKIRI KUWA ANA DHAMBI ZA KUWACHUKIA WAISLAMU
1:05:07
Straight Path Dawah
Рет қаралды 17 М.
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
College masomo yanoga hakuna kubahatisha pole pole wanaelewa
1:35:34
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 7 М.
Ma ajabu leo Mzee wakanisa msomi adai kunywa pombe ni sawa wakristo washangaa sana
1:13:49
JE, YESU NI MUISLAMU - EV ISHMAEL JUMA [PART 1]
38:53
Ishmael Juma-jamaa la mtaani (Yesu ndio njia)
Рет қаралды 35
Jackson ataka kujua kanzu na kofia inamaana gani kusujudu ni aje
1:31:24
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 4,6 М.
Jatero aleta hoja zake mwingine ajiunga na haki ujumbe waendelea kufika
1:12:07
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 5 М.
CHARLES ALIUACHA UKATOLIKI NA KUSILIMU BAADA YA KUONA KUWA HUKO HAKUELEWEKI
25:22
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН