DOLA BILIONI 190 KUTAFUTWA NDANI YA TANZANIA

  Рет қаралды 1,408

Daily News Digital

Daily News Digital

Күн бұрын

#ikulumawasiliano #ikuluzanzibar #ccm #samiasuluhuhassan #habarimaelezo #ktnnews #wizarayahabari #wizarayakilimo#tanzania
TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa masuala ya nishati barani Afrika utakaotafuta namna ya kukusanya dola za Marekani bilioni 190 ili zitumike kufikisha umeme kwa wananchi milioni 300 barani humo ifikapo mwaka 2030.
Hatua hiyo inatokana na mkakati wa Serikali ya awamu ya sita kupeleka umeme vijijini na vitongojini kwa kasi hali ambayo imezivutia taasisi za Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) kuamua kufanya mkutano huo mkubwa ifikapo Januari, 2025.
“Wameridhishwa na utendaji kwenye sekta ya nishati, wameridhishwa na mkakati wa Serikali wa kupeleka umeme mpaka vijijini, siyo tu vijijini lakini mpaka kwenye kila nyumba. Wameamua kuitisha mkutano mkubwa barani Afrika ambao utawakutanisha wadau mbalimbali, taasisi za Kimataifa na taasisi zinazotoa mikopo kwa wajasiriamali na makampuni ili waweze kuwekeza kwenye umeme.”
Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye mkutano wa kujadili ajenda ya upatikanaji wa nishati Afrika ulioandaliwa na taasisi ya Global Energy Alliance for People and Planet (GEAPP) jijini New York, Marekani.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: ....
SpotiLeo: ....
TWITTER;
Twitter HabariLeo: Ha...

Пікірлер: 3
IJUE COMORO
4:45
TBConline
Рет қаралды 34 М.
tagesschau 20:00 Uhr, 10.10.2024
16:15
tagesschau
Рет қаралды 271 М.
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
小蚂蚁会选到什么呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:47
火影忍者一家
Рет қаралды 58 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 30 МЛН
What are Israel’s goals in Iran and Lebanon? | BBC News
14:47
Return Petrol Price To What It Was In June 2023, TUC Tells FG
35:40
Channels Television
Рет қаралды 12 М.
PRECISION AIR WATEKA ABIRIA WA SHABIBY KWENDA DODOMA
3:17
Daily News Digital
Рет қаралды 3,8 М.
This is the Richest Family in Tanzania...
22:59
The Billionaire Chronicles
Рет қаралды 161 М.
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН