Рет қаралды 8,955
Karibu kutazama Dakika 10 za michano na Wanetu wanaounda Kundi la (Wabunifu) AZCOM & WAZAMANI Kutoka Mabatini jijini Mwanza kwenye Kipindi cha "Drop Bars" hapa VOT Media.
Unawapa % Ngapi wana kwa Michano hii..?
#votent #dropbars #hiphop #hiphopmusic #hiphopculture #tumechangamka