Dakika 215 za Yusuph Manji kujitetea kesi ya dawa za kulevya leo

  Рет қаралды 21,378

Millard Ayo

Millard Ayo

6 жыл бұрын

Mfanyabiashara Yusuf Manji ametumia dakika 215 ambazo ni zaidi ya saa tatu kujitetea katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Mbali ya Manji, pia Daktari wa Hospital ya Agha Khan, Profesa Mustapha Bapumia ameeleza kuwa Manji anavyuma vinne kwenye moyo wake na hivyo anatembea kwenye kamba nyembamba.

Пікірлер: 10
@azizamusa9231
@azizamusa9231 6 жыл бұрын
polee sn
@jumachire7478
@jumachire7478 6 жыл бұрын
Mapito ndugu manji....tuna miaka saba tu...kila kitu kitakuwa sawa...
@zaudatmakula3454
@zaudatmakula3454 6 жыл бұрын
maskini manji Allah yu nawe daima hatokuacha
@zenasalumu2560
@zenasalumu2560 6 жыл бұрын
Mwaka huu kazi ipo
@messithedon9502
@messithedon9502 6 жыл бұрын
Makonda,Ana...Dhambu,,Xanaa Aixee
@prinsecdayana2143
@prinsecdayana2143 6 жыл бұрын
Jamn huu mwaka kama umepangiwa pole sn
@rosemarybenjamin5866
@rosemarybenjamin5866 6 жыл бұрын
Manji Nani anakupigiag cm ukishuk Tu kweny Gali 😂😂hutk kuongea na wanahabar
@alihijiiddi8977
@alihijiiddi8977 6 жыл бұрын
Mmmmmmmmmmmmmmmmmm😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂JAMANI MWENYE AKILI HAAMBIWI fikiri mm
@Tiffany340
@Tiffany340 6 жыл бұрын
pesa ndio kila kitu. nakwambia mwaka huu magonjwa yataongezea mahakamani.ata wezi wa kuku watajitetea wanaugonjwa wa kwikwi🙆
@ibrahimpius893
@ibrahimpius893 6 жыл бұрын
😂 😂
Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya
13:52
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 6 МЛН
Cat Corn?! 🙀 #cat #cute #catlover
00:54
Stocat
Рет қаралды 16 МЛН
"Yusuph Manji akitoka Hospitali aje, tunamuhitaji UHAMIAJI"
7:51
Millard Ayo
Рет қаралды 105 М.
Makonda Ataja Majina Mengine 65 ya Watuhumiwa wa Kuuza ‘Unga
10:39
Global TV Online
Рет қаралды 14 М.
Tribute to Marhum Yusuf Manji at HIC Orlando July 2 2024
3:42
Bachupira
Рет қаралды 3,7 М.
Dua kwa ajili ya Yusuf Manji, Kikwete, watoto wake wazungumza
1:00:51
Mawaziri waliotemwa na Rais Ruto
2:46
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 72 М.
Mengi ataja mafisadi papa (2008/09)
9:04
SK Media Online TV
Рет қаралды 2,8 М.
Habari via ITV  Kesi ya Manji dhidi ya Mengi
1:53
Kennedy Kimaro
Рет қаралды 65 М.
Mkasi | S14E03 with Mohammed Dewji Extended version
35:56
MkasiTV
Рет қаралды 1 МЛН
ОСКАР vs БАДАБУМЧИК БОЙ!  УВЕЗЛИ на СКОРОЙ!
13:45
Бадабумчик
Рет қаралды 6 МЛН