RAIS JPM AZUNGUMZIA SUALA LA MANJI, GWAJIMA NA VITUO VYA POLISI

  Рет қаралды 22,916

GSengo

GSengo

7 жыл бұрын

Пікірлер: 21
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 6 күн бұрын
Apumzike kwa amani Raisi wa wa awamu ya tano ..j.p.mafufuli.
@majutojackson5718
@majutojackson5718 6 күн бұрын
kwa kweli kwahili sikukuunga mkono maana ulituumiza wengi kwa ajili ya kijana wako makonda,hivi kesi iliishaje?
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 5 күн бұрын
Kuhusu madawa ya kulevya....unasema hukumuunga mkono.mmmmmh.....!!!
@irakozejclaude7869
@irakozejclaude7869 3 жыл бұрын
Hakika uhuru sio amani walio panga kuharibu kwa kimvuri cha uhuru uli wanyoosha kweli kweli Rip umeacha nuru
@mohammedhimba1647
@mohammedhimba1647 Жыл бұрын
Kweli itabaki kweli haki za watu hazipotei
@ElvisTabula
@ElvisTabula 8 күн бұрын
Kiburi cha uzima
@wosiakyunga9995
@wosiakyunga9995 5 күн бұрын
Tutakukumbuka daima
@musasalim7042
@musasalim7042 3 жыл бұрын
maisha ni kitendawili
@seemanishekiao
@seemanishekiao 6 күн бұрын
Rais
@adamdaudi6191
@adamdaudi6191 2 күн бұрын
Kila mtu ana mabaya na mazuri, ukiachana na mabaya, JPM alikuwa si wakutilia shaka juu ya uthabiti wa maamuzi, hayupo hata mmoja aliyekuwa na sauti juu ya serikali, na hiyo ndo maana ya serikali!.
@goodlackriwa6728
@goodlackriwa6728 5 күн бұрын
Acha kisasi na chuki weewe , wote ulio wa hukumu hatua Gani ilichukuliwa kuwahukumu ,kesi zote umeishindwa, huyo Gwajima unayomzungumzia kma kweli alikuwa mchafu Mbona ulimsamamisha kugombea ubunge wa Kawe,
@benswai8099
@benswai8099 3 жыл бұрын
Wewe mzee uliminya sana Uhuru wa watu kujieleza au kuonesha hisia zao. Hakika uliumiza sana wengi. Watu walikuunga mkono si kwa usahihi wako bali kwa kuhofia usalama wao
@yahyamassala1454
@yahyamassala1454 3 жыл бұрын
Hakika
@andreabulugu1430
@andreabulugu1430 7 күн бұрын
hakika ukipitia tena hii tweet unajuta kwanini uliandika
@MrA24G
@MrA24G 5 күн бұрын
Upo sahihi alikuwa ha tolerate upuuzi.Sawa sawa.
@emmanuellyatuu4103
@emmanuellyatuu4103 5 күн бұрын
Mpumbavu wewe!
@romanamassawe814
@romanamassawe814 Жыл бұрын
Umeenda kuzimu na roho mbaya yako, Sasa hivi unakula Moto
@mohammedkhimji7505
@mohammedkhimji7505 Жыл бұрын
Mungu akusamehe kwa huu porojo ulichotapika hapo....
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 8 күн бұрын
Ni wazi wako walio umia na wako waliofaidi utawala wake
@denismasele4130
@denismasele4130 11 сағат бұрын
We umeleta ukanda roho mbaya,,,,si haki yako kutoa hukumu
Yusuph Manji baada ya kutajwa na Makonda sakata la dawa za kulevya
13:52
路飞被小孩吓到了#海贼王#路飞
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 44 МЛН
KINDNESS ALWAYS COME BACK
00:59
dednahype
Рет қаралды 124 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 53 МЛН
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 565 М.
HD VIDEO: JPM alivyotangaza kuwasamehe Babu Seya na Papi Kocha
3:49
Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA
27:07
Global TV Online
Рет қаралды 1,2 МЛН
Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Terminal One JNIA Mei 13,2016
17:24
Papa yeh dila do ajse mein aapki behen 😢😊 #shorts
0:30
Sikha shorts and vlogs
Рет қаралды 148 МЛН
Mera Popat kar Diya 😂😂 #shorts #youtubeshorts #comedy #funny #viral
0:25
телега - hahalivars #семейнаяжизнь
0:36
HAHALIVARS
Рет қаралды 1,9 МЛН