DALILI ZA KIONGOZI ALIEPOTEZA MVUTO - JOEL NANAUKA

  Рет қаралды 6,085

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 30
@leahluhwavi7850
@leahluhwavi7850 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana Kaka Joel Mungu akutunze Kwa mafunzo yako mazuri🙏
@almannahcompany2365
@almannahcompany2365 Жыл бұрын
Kaka mungu akupe nguvu daima wewe ni kiongozi hakika.
@RedemptaShio-yi9dx
@RedemptaShio-yi9dx 8 ай бұрын
Nimebarikiwa sana
@Haleem_07
@Haleem_07 Жыл бұрын
Ngulii 🔥 🙌🙌
@drmapigimasunga3408
@drmapigimasunga3408 11 ай бұрын
Wengi sana wa aina hiyo. Sasa ukipoteza mvuto unafanyaje
@nicholausmbando2717
@nicholausmbando2717 Жыл бұрын
Asante kwa kusema ukweli
@josephatnicodemus
@josephatnicodemus Жыл бұрын
Brother thank you so much i like your videos
@Udindigwa
@Udindigwa Жыл бұрын
Amina
@rabanlameck8382
@rabanlameck8382 Жыл бұрын
Ubarikiwe
@JosephSarea
@JosephSarea Жыл бұрын
Absolutely correct
@joowzeyboyjoowzee4474
@joowzeyboyjoowzee4474 Жыл бұрын
Thanks u teach joel
@nurdininanjota4056
@nurdininanjota4056 Жыл бұрын
Sahihi kabisa brother 🙏.
@simbamaepo3192
@simbamaepo3192 Жыл бұрын
Tupo pamoja Brother
@nwntz
@nwntz Жыл бұрын
Wapo wengi tu
@farajiwanted8257
@farajiwanted8257 Жыл бұрын
Na kwetu Wapo
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asante sana
@Raphael99
@Raphael99 Жыл бұрын
Mimi nimekutana nae kabisa, nanikawa nimesha gundua nimemuschia nafasi ya salamu tu. MAMBO yangu simshilikishi ilishaanza kuwa na wivu wa maendeleo.
@clarasabutoke6907
@clarasabutoke6907 Жыл бұрын
Dah
@Udindigwa
@Udindigwa Жыл бұрын
Yahi Hakika %99
@asmaali1500
@asmaali1500 Жыл бұрын
Ila Leo umepende na icho kifulana jaman🤭
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
🌹🙏✌️
@jonfredkewe3451
@jonfredkewe3451 Жыл бұрын
Joe position huwa inalindwa wengine ni maadui penina,kaini,hamani,nk Kama ambavyoo huwa unaelimisha usipokuwa Makin wanakunyofoa Kichwa ohooo
@isikesamike
@isikesamike Жыл бұрын
Kweli sana. Wapo wanaopinga kwa lengo la kuchafua tu na kuharibu. Si kila anayekosoa ana lengo jema.
@bernadetachari7648
@bernadetachari7648 Жыл бұрын
Nikweli niwatu weghi huwahawataki mtu mwenghine afanye kwasababu ataonikana ,iliyule mwighine aside akasifiwa kwanimzuri,yuwataka yeye 2 awe kipaombele nasifa ziwekwake
@muhsinsalum8009
@muhsinsalum8009 Жыл бұрын
Hhhhhhhhh. Sasa kaka hizo dalili mbona zinawagusa wengi saana khususan viongozi wetu tulionao.... Hhhhhhhhhh. Inachekesha ila mengine uwe unayapotezea tu. Watu wengi ndo tabia zetu
@isikesamike
@isikesamike Жыл бұрын
Brother NANAUKA mie ni shabiki wako sana bro. Achana na politics na baada yake tupe madini yetu yaleee tuloyazoea. Siasa za Africa hazieleweki maana si kila anayekosoa ana lengo jema. Wengine wanakosoa ili kujipatia mtaji wa watu ama wafuasi. Wapo tayari kuharibu image ya mtu ili mradi tu uchafuzi huo unawanufaisha wao. Wapo tulowaona na kuwasikia wakipita huku na kule kusema fulani ni mbaya, yuko hivi na vile ila mwisho wa siku haohao walowachafua walipojiunga nao wakawa wema kwao na kuanza kuwasifia. Inasikitisha! Sikatai kuwa wapo viongozi wa hivo ila kwa siasa za Africa yetu hii - ACHANA NAZO BRO!
@phanuelmkenda2621
@phanuelmkenda2621 Жыл бұрын
Usimpangie cha kupost na si kila somo linakufaa you just skip it kama hupendi
@octaviantito
@octaviantito Жыл бұрын
Siasa iko wapi hapo? Kaongelea Uongozi kwa ujumla. Skip or acha hofu.
@Kingshine
@Kingshine Жыл бұрын
Masuala ya uongozi ni mazuri lkn hizi nchi zetu za kiafrika hawataki uelimishe watu mkumbuke HAMPHUREY Pole pole ,oy nakushauri masuala ya uongozi yaache Kwa ajiri ya usalama wa channel Yako kufungiwa na TCRA
@octaviantito
@octaviantito Жыл бұрын
Hofu hofu hofu
Je,Kiongozi Ni Mtu Wa Namna Gani?
21:45
Joel Nanauka
Рет қаралды 37 М.
JOEL NANAUKA - UFANYE NINI KUJENGA USHAWISHI?
7:07
Joel Nanauka
Рет қаралды 28 М.
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 118 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 80 МЛН
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 16 МЛН
HAUWEZI KUKUBALIKA NA KILA MTU - JOEL NANAUKA
6:02
Joel Nanauka
Рет қаралды 17 М.
Tabia 10 Muhimu za Mafanikio
30:39
Success Path Network
Рет қаралды 388 М.
VITU VINAVYOUA UWEZO WAKO/JOEL NANAUKA
7:08
Godly voice family
Рет қаралды 14 М.
AINA 7 ZA WATU WANAO MZUNGUKA KIONGOZI - JOEL NANAUKA
12:12
Joel Nanauka
Рет қаралды 7 М.
SIFA NA TABIA ZA KIONGOZI
23:38
Joel Nanauka
Рет қаралды 36 М.
Mambo Matano (5) Ya Kufanya Uweze Kuwa Kiongozi Mzuri
8:51
Joel Nanauka
Рет қаралды 54 М.
Joel Nanauka - Vitu Vinavyozuia Watu Wasifikie Malengo Yao
35:09
MAMBO 4 YATAKAYO KUSAIDIA KUPANDA JUU ZAIDI - JOEL NANAUKA
5:48
Joel Nanauka / Namna ya kutimiza malengo 3 / THE GATES TV
52:13
The Gates Media
Рет қаралды 126 М.
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 118 МЛН