No video

Mambo Matano (5) Ya Kufanya Uweze Kuwa Kiongozi Mzuri

  Рет қаралды 53,612

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 83
@leonism_tz
@leonism_tz 5 жыл бұрын
Kaka asante sana, your the best life coach and public speaker in this country, God bless you, Your future is Good
@meshackngadango6855
@meshackngadango6855 5 жыл бұрын
Ahsante sana kwa somo zuri SEE U AT THE TOP!
@mathewmwangomba8776
@mathewmwangomba8776 5 жыл бұрын
Asante kwa somo nzuri.. -Kwa kiongozi pia uwezo wa kubaini yaliyo muhimu na yasiyo muhimu.. -Pia napenda kiongozi awe na uwezo wa ufanisi wa kutenda kazi. -Napenda kiongozi wangu awe na dhana ya kujifunza kwa kupitia kwenye timu yake anayo ongoza. NOTE: Itakuwa vizuri kama mwisho wa somo lako utaweka jinsi ya kupata vitabu vyako au unaweza kuweka link ya jinsi ya kupata vitabu vyako.
@user-es7lw9od7l
@user-es7lw9od7l 6 ай бұрын
Nabarikiwa
@mohamedothumanhussein2792
@mohamedothumanhussein2792 4 ай бұрын
Ahsante
@MwambaDidier-wq4qu
@MwambaDidier-wq4qu 7 ай бұрын
Asante sana ubarikiwe Ungetuba mifano katika maandiko,kwa neno la Mungu hayo mambo Maine jambo la kwanza pekee ndio umetupea mfano wake kuhusu baba mukwe wa Moses aliye mushauria kugawa jukumu kwa watu wengine.
@alihassanhaiba6937
@alihassanhaiba6937 5 жыл бұрын
Ahsante sana kaka Joel kwa kunipatia elimu kubwa kama hii ,katika maisha yangu ninayo ndoto ya kua kiongozi bora na si bora kiongozi
@msleny6767
@msleny6767 5 жыл бұрын
Asante kwa funzo nzuri kaka, kuwa na uwezo wa kusikiliza wengine ni muhimu sana kama kiongozi manake ndipo unapo jifunza maombi mapya kwa wadogo wako, huu umenisaidia sana kupata suluhisho katika mambo mengi maishani na katika mahali pangu pa kazi👍👍
@KelvinHenry-iy4pu
@KelvinHenry-iy4pu Жыл бұрын
Good topic
@mohamedimbaga6583
@mohamedimbaga6583 5 жыл бұрын
Be blessed 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 ... nahitaji tupate mada ya ^life after campus ^ mean college in relation ya kujiajiri na uhaba wa ajira asante Utanisaidia sana boss
@mwl.peterhebroncitymjiwama598
@mwl.peterhebroncitymjiwama598 5 жыл бұрын
Safi sana kaka kwa ELIMU ya uongozi me pia ni kiongozi
@ukhtyhalimasubscribedismai6497
@ukhtyhalimasubscribedismai6497 5 жыл бұрын
Ni kweli hiyo tabia IPO MTU anaweza kuekwa kiongozi katika kazi akajisifu Sana na kusema boss kaniweka niwe kiongozi coz najua kumbe anajiharibia
@neemamaganga9774
@neemamaganga9774 10 ай бұрын
Asante
@gwakisamagaga5298
@gwakisamagaga5298 Жыл бұрын
Mr. Joel N, i appriciate your commitment.you see what others do not see, keep moving🏃🏃
@brianisack7673
@brianisack7673 28 күн бұрын
Asante be blessed
@upendo6009
@upendo6009 Жыл бұрын
Hahaha maagizo nusu nusu....taarifa nusu/nusu!!! Imenijenga Sana 💚🍂
@babalois7240
@babalois7240 5 жыл бұрын
Thankx Sir #Joel Uongozi,Uongozi, Hi ni sehemu muhimu sana ya kujua uongozi katika ngazi zote, blcd
@BarakadanielbarakaSulle
@BarakadanielbarakaSulle 2 күн бұрын
Respect Joel 🎉
@BakariLazima
@BakariLazima 6 күн бұрын
Nice
@alimambabazi3666
@alimambabazi3666 5 жыл бұрын
thank you for you to educate us continue to help us may Almighty God bless you and your ministry Amen.
@neemaamon4960
@neemaamon4960 5 жыл бұрын
Nataman viongoz wang wangepata huu ujumbe
@fedharmmark6398
@fedharmmark6398 3 жыл бұрын
Ahsante kwa Elimu yako @Joel nanauka
@sabatomjungu9727
@sabatomjungu9727 5 жыл бұрын
Uongozi Ni Jambo muhimu Sana , ahsante bro kwa somo zuri
@bravohaji4843
@bravohaji4843 4 жыл бұрын
Nimeweza kusema kwamba your my modal Mungu azidi kukuweka ili tuzid kujifunza mengi kutoka kwako
@mariammasatu4785
@mariammasatu4785 5 жыл бұрын
Asante sna kwasomo zuri ubarikiwe sna bro,napataje vitabu vyako
@mercywanjiku3740
@mercywanjiku3740 5 жыл бұрын
Be blessed Joel
@bmiinsparationtalks5675
@bmiinsparationtalks5675 5 жыл бұрын
Thank you for morning rising knowledge
@mwitachegere2716
@mwitachegere2716 5 жыл бұрын
Great stuff Joel. Be blessed always!
@leechuntv4346
@leechuntv4346 5 жыл бұрын
Well done brother I love you're talking from first I know u up to date
@sulejureij3799
@sulejureij3799 5 жыл бұрын
Somo zuri limeeleweka, utekelezaji ufuate. Ahsante kaka
@franckcharles4834
@franckcharles4834 4 жыл бұрын
Nakukubali sana kka ww ni mentor wa maisha yangu
@kakekofarniture.5375
@kakekofarniture.5375 5 жыл бұрын
Kama unamkubali koching wetu konga like kwangu.
@cheddykipingu8087
@cheddykipingu8087 5 жыл бұрын
Thnkz Doct Urther kuna kiongoz wetu lazma nimwambie ukweli kwenye briefng leo...
@evaristmbunde7947
@evaristmbunde7947 2 жыл бұрын
Nc
@kelvinmagath5506
@kelvinmagath5506 5 жыл бұрын
nakufatilia sana Bro nashukuru najifunza mambo mapya kila day
@andreymalisa1625
@andreymalisa1625 5 жыл бұрын
Inabidi niamke saa 11:00 ili niweze kujifunza mengi toka kwako..Naamini nimeweza.. Asante sanaa Mwalimu Barikiwa
@judithmbwilo7470
@judithmbwilo7470 5 жыл бұрын
Asante sana brother Joel, nimejifunza sana leo 🙏🙏🙏
@mujunichristian
@mujunichristian 11 ай бұрын
Ni vigumu ku handle people Because there more you add your value may higher education more than them. Automatically issues gonna be planned for you to make sure you drop for any means
@immamwangasi4435
@immamwangasi4435 5 жыл бұрын
Umenijenga sana
@selemanimkonga8150
@selemanimkonga8150 5 жыл бұрын
Ahsante kwa chakula cha ubongo bro
@worshipertv9968
@worshipertv9968 5 жыл бұрын
Asante sana Kaka kwa kunielimisha hakika nimeelimika
@joseefaidabutu6467
@joseefaidabutu6467 5 жыл бұрын
Asante kaka
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 жыл бұрын
Joel stay blessed.
@judithwambura9234
@judithwambura9234 5 жыл бұрын
Many thanks
@najmachami547
@najmachami547 5 жыл бұрын
Asante kaka "nijifunze kusikiliza"
@peteryohani1672
@peteryohani1672 3 жыл бұрын
God bless brother joel
@henerikokasiani7726
@henerikokasiani7726 4 жыл бұрын
Poa sana
@chrismassawe326
@chrismassawe326 5 жыл бұрын
Asant sana bado najifunza Elimu kubwa kwako
@luomusicchannelfromtanzani5650
@luomusicchannelfromtanzani5650 5 жыл бұрын
Thanks alot
@abdulmohammed3567
@abdulmohammed3567 5 жыл бұрын
See you too at the top brother..
@janethzefa2808
@janethzefa2808 5 жыл бұрын
thank you Joel
@veronicabiaka4730
@veronicabiaka4730 2 жыл бұрын
🙏🙏
@mdtv2625
@mdtv2625 5 жыл бұрын
Thanks
@zuhuraabdillah6941
@zuhuraabdillah6941 5 жыл бұрын
learn to listen hii imekuwa changamoto sana especially kwa maboss
@dicksongadson238
@dicksongadson238 2 жыл бұрын
kutoa motivet & ushawishi
@msengisimoni2087
@msengisimoni2087 5 жыл бұрын
mawasiliano mazuri na pia motivate huwa haipo kabisa,mm kwa sasa nimejiajili Mara nyingi huwa nafanya motivate kwa vijana wenzangu Mara kwa Mara.Kupitia masomo yako Joel nanauka
@kingoman7895
@kingoman7895 5 жыл бұрын
#seeuatthetop#
@kakekofarniture.5375
@kakekofarniture.5375 5 жыл бұрын
Asate koching wetu wa life Tunajivunia uwepo wako ktk maisha allah akupe maisha yenye afia mzuri.
@boniphacemgolozi9417
@boniphacemgolozi9417 5 жыл бұрын
Hiro mi linatesa kwenye familia Mara nyingi naraumu sana!
@mohamedkudura8114
@mohamedkudura8114 2 жыл бұрын
Natamani hii video aisikie nimetumia
@mwajumayunus2041
@mwajumayunus2041 5 жыл бұрын
aiseeeh umenibadili sana kaka ukiwa na semina yoyote please tuarifu nitakuwa wa kwanza kununua tiketi
@subiraomar4771
@subiraomar4771 5 жыл бұрын
Asnte sana
@giftibrahimuamulike5963
@giftibrahimuamulike5963 5 жыл бұрын
KWENYE motisha
@piusgiringa409
@piusgiringa409 5 жыл бұрын
Kaka Nanauka hakika umebadilisha Maisha yangu tangu nianze kukufatilia nakuelewa sana
@godfreyguleha3790
@godfreyguleha3790 5 жыл бұрын
mm kaka joeli napenda sana niwe kiongozi mzuri ila kuna kitu kina mfano ume mpa kazi mtu maelekezo umesha mpa lakini anafanya ile kazi avyo jisikia yeye ukiuliza ana onaona una muonea kwa hapo una fanyaje kaka
@freesociety7858
@freesociety7858 3 жыл бұрын
Je mtui atajitambuaje Kama yeye anakarama ya ungozi
@winfridaadam7951
@winfridaadam7951 Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏💕💕
@msengisimoni2087
@msengisimoni2087 5 жыл бұрын
kupita masomo yako tangu mwaka Jana nimeachana na kuajiliwa.Nataka kuwa kiongozi mzuri zaidi
@abuuharuna4278
@abuuharuna4278 5 жыл бұрын
nakuerewa uchambuzi wako mzuli uliokaa kiplofessa
@omaryshafii50
@omaryshafii50 5 жыл бұрын
Naam kwa kukosa elimu hii kuna viongozi wanafanya watu hawafurahii kazi yani kila mtu anataka ahame na hata wengine kuacha kazi na viongoz wa namna hii mwisho wao unakuaga mbaya sana... Ahsante sana
@petergroup4133
@petergroup4133 5 жыл бұрын
ahsante sana kwasomozuri
@gershonerasto7824
@gershonerasto7824 5 жыл бұрын
Kaka naona nimechekewa sana kuku faamu ,ningekua mbali sana ,ahsante sana kwa somo hilo
@kelvinmagath5506
@kelvinmagath5506 5 жыл бұрын
ila na Shauri ufungue group la watsaap Bro
@kisembomaliyamungu572
@kisembomaliyamungu572 3 жыл бұрын
Mimi ni kiongozi alakini kanisa ninao ongoza bado ni kidogo sijagawa nazi niko DRC
@mtanzaniahalisimungunimwem673
@mtanzaniahalisimungunimwem673 2 жыл бұрын
Gawa Kazi hata kwa mtu mmoja kwanza au wawili hata km mko 10
@joaxz100
@joaxz100 5 жыл бұрын
Esa Misma wea digo yo
@olipahpaul8023
@olipahpaul8023 4 жыл бұрын
Ninaweza kupata namba yako kaka ninaitaji concelng
@user-es7lw9od7l
@user-es7lw9od7l 6 ай бұрын
Nabarikiwa
@tabithaerastoshukrani.90
@tabithaerastoshukrani.90 4 жыл бұрын
Asante
@alistidiaalistidesgablieli7365
@alistidiaalistidesgablieli7365 3 жыл бұрын
Asante
@kelvinmagath5506
@kelvinmagath5506 5 жыл бұрын
ila na Shauri ufungue group la watsaap Bro
@beatricemapembe8941
@beatricemapembe8941 5 жыл бұрын
Nani atamlipa huko!!!! Hapa analipwa.
PART 2 : Maeneo 7 Ambayo Kiongozi Anatakiwa Kuwa Nayo Makini
14:31
Joel Nanauka
Рет қаралды 33 М.
KANUNI ZINAZOPELEKEA KIONGOZI KUWA MZURI - JOEL NANAUKA
16:40
Joel Nanauka
Рет қаралды 7 М.
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 11 МЛН
Little brothers couldn't stay calm when they noticed a bin lorry #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 20 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 23 МЛН
LIFE WISDOM: VITU VINAVYOFANYA UNG'AE - JOEL NANAUKA
17:12
Joel Nanauka
Рет қаралды 26 М.
Je unaweza kujisimamia | Elias Mwinuka
6:38
Elias Mwinuka
Рет қаралды 414
EPUKA MAKOSA HAYA KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO  - JOEL NANAUKA
10:22
Gender Intelligence  Mwanamke Vs Mwanaume - Joel Nanauka
15:13
Joel Nanauka
Рет қаралды 31 М.
Mambo ya Kuzingatia Ukitaka Kufanikiwa Kwenye Maisha - Joel Nanauka
17:05
Je,Kiongozi Ni Mtu Wa Namna Gani?
21:45
Joel Nanauka
Рет қаралды 36 М.
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 11 МЛН