SIRI YA WALIOPANGA MAPINDUZI:USALAMA WA TAIFA/KUNYONGA/WATU WASIOJULIKANA..NYERERE&KARUME

  Рет қаралды 24,693

Dar24 Media

Dar24 Media

Жыл бұрын

#karume #zanzibar #mapinduzi
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media

Пікірлер: 51
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 4 ай бұрын
Mwenyezi Mungu HAKUGHAFILIKA na watu WEZI WANAFIKI WAONGO MADHALIM HAKI ATAILETA IN SHAA ALLAH AMEEN
@patrickmsuguri
@patrickmsuguri Жыл бұрын
History ni nzuri Sana
@mwigaadam1179
@mwigaadam1179 Жыл бұрын
Mapinduzi hayakuwa ya wazanzibari Bali yalikuwa ni ya Nyerere zidi ya wazanzibari na Zanzibar Yao
@user-um8xn4ge4i
@user-um8xn4ge4i 4 ай бұрын
Kabisa nyerere alitumwa na uingereza na marekani ilimradi kuuwa nguvu Islamic km ilivyo bara
@mohammedshaabani6506
@mohammedshaabani6506 3 ай бұрын
Jama anatufunga kamba mchana kweupeeee
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu Жыл бұрын
Karume Hakuwa Na Nguvu ya Kunchukua Hanga kutoka Bara, Hanga alikabidhiwa kwa Karume na Nyerere
@sangomamourice3539
@sangomamourice3539 Жыл бұрын
Asante Mzee wa mizimu
@TheTarabist
@TheTarabist 7 күн бұрын
Kijana hukujibu suali kuhusu Seif Sharifu.
@Nyanda506
@Nyanda506 Жыл бұрын
Safi sana
@frankkimaro1354
@frankkimaro1354 Жыл бұрын
Uko vizuri
@hamiskalinga2416
@hamiskalinga2416 Жыл бұрын
Kaka yeriko nawezaje kupata kitabu chako naona kina simulizi kali na historia ya Dunia hii ya kutisha
@raymondonyona.2736
@raymondonyona.2736 2 ай бұрын
Niko Ilemela Mza, nawezaje kupata nakala za vitabu vyako hivyo?
@omarabdallah3883
@omarabdallah3883 Жыл бұрын
HISTORIA YA ZANZIBAR HUIJUI KAA KIMYA..
@ThobiasMarandu
@ThobiasMarandu Жыл бұрын
Yerico Amesema Uwongo Juu ya Hanga, Nyerere Alimlinda? Alichukuliwaje kwenda Zanzibar, Anasahau Masaa Machache Kabla ya Kurudishwa Zanzibar Nyerere alifanya Mkutano wa Hadhara Mnazi Mmoja na Akamtukana Sana hanga, Then Usiku Huo akapelekwa Zanzibar?
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 Жыл бұрын
Kwani nani aliekua hajui km alieongozà mauaji ya zanzibar km ni John okelo kumbe unajua km nyie na okelo ndio mliowauwa watu wa zanzibar acha fitna izo km huna kazi ya kufanya tafuta bao la Kete ucheze alf ivo unavoongea unaongea kinafiki kw kujichekeshacheksha hovyo tu
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 11 ай бұрын
Huyo alikuwa mwandishi wa habari wa Uingereza.Katika mahojiano hayo na Okelo,ambapo Abdulrahman babu ndie aliyekuwa akitasiri kwa vile okelo alikuwa hajui kiengereza.
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 Жыл бұрын
Okelo aliuliwa na idi Amin hiyo inajulikana duniani
@mohammedmfamau43
@mohammedmfamau43 Жыл бұрын
Si uongo vizuri havidumu kweli na muendelee tu kuwataja mana c okelo pekeyake mnaemkusudia wapo wengi mkimalizana nae
@yusuphrashidi-dr1kb
@yusuphrashidi-dr1kb Жыл бұрын
Huyu jamaa muongo sana
@jabarmalid5393
@jabarmalid5393 Жыл бұрын
Sefu Bakari, baba yangu aliwai kunihadithia kuhusu uyu mtu, alinieleza kuwa alikua hatari sana alikua namba 2 after Mzee Karume, hatari uyo. Baada ya yote akapelekwa kwenda mkuu wa mkoa..................
@marcusmalyceline7060
@marcusmalyceline7060 Жыл бұрын
😂😂😂 mwandishi wa habari huyu anachekesha eti enhhhhe,ndiyooo, anhaaaaa okay kumbeeee iinn hahahah hajui anajifanya anadandia mada kwa mbele alafu anakata sauti inapiga kelele ila anafili gudi alafu pia video fupi sana
@haidarykufakunoga5973
@haidarykufakunoga5973 Жыл бұрын
Brother Uko vizuri. KITABU chako kinapatikana wapi?
@samsonkibona7376
@samsonkibona7376 Жыл бұрын
Daaaah ama kweli vizuri havidumu yaani ndo NIMEKAA makini Sasa kumsikiza af ndo Kipindi kinaisha kati kati ya Radha duplin master usitufanyie hvyo bhana angalau Kipindi kiwe na dk 45 Hivi mpaka lisaa li1 hata Kwa tozo mtutoze tu 😂😂😂😂😂😂😂😂
@ramadhanhassan9308
@ramadhanhassan9308 Жыл бұрын
Uongo tu
@saidmasoud8449
@saidmasoud8449 4 ай бұрын
Kaka husemi ukweli. Karue alikuwa Unguja na wanamapinduzi wengine. Halafu Seif Bakari majeshi yalipata mafunzo Ujerumani Mashariki. Na huu muungano ni project ya CIA naMI6. Ndo maaana Wazanzibari hawaypendi ulianza kama project ya miaka 10 lkn alipouawawa Karyme ndo mambo yakaparanganyuka.
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 Жыл бұрын
Huyu jamaa anaongopa kama mtu anasoma hii comment asome Kitabu kinaitwa" Kwa heri Ukoloni kwa Heri Uhuru" hapo ndio kuna ukweli wa Mapinduzi.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU kisomwe kwenye Skuli za Tanzania.
@abubakariali9848
@abubakariali9848 Жыл бұрын
Kaka kumbe tupo wengi hunaojua historia yetu Soma na (Harakati ya Abdul wahid Sykes katika kudai uhuru) asitupotoshe
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
@Abubakari Ali. Wakiwa Tanganyika, Waislam wa Zanzibar walipinga Ukoloni na walishiriki harakati za kupigania Uhuru wa Tanganyika kabla ya Julius Nyerere kuunda Tanganyika African National Union (TANU) kwa Tanganyika. FADHILA ZA PUNDA Julius Nyerere aliuondosha Uhuru wa Zanzibar kwa Mauwaji ya Waislam wa Zanzibar. Baadae, alilazimisha Ukoloni wa Tanganyika kufuatana na Udini wake. KWAHERI UKOLONI KWAHERI UHURU.
@kamanyolabilajasho3833
@kamanyolabilajasho3833 Ай бұрын
Kwa Heri Ukoloni Kwa Heri Uhuru ndio kitabu nimesoma nikapata uhakika wa nani walihuhusika na mapinduzi kwa kuwa mwandishi alinukuu na waliohusika front line ktk mapinduzi na reference tele za kuhakiki!
@komboruga4271
@komboruga4271 Жыл бұрын
Naomba namba ya huyu jamaa.
@goodluckmolleltennis5980
@goodluckmolleltennis5980 Жыл бұрын
Kitabu chako kinaitwaje Bei Na Kufika arusha au kwa arusha unapatikana wap
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Tafuta mtu aliekuepo siku hiyo huyo 64 ht hajazaliwa stori kitabu ht mimi naandika anachokfanya huyu nikiwachafua viongozi tuu
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 Жыл бұрын
Hicho kitabu kinapatikanaje na bei gani
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Naukifatilia uhuru wa nchi za ulaya hutaamin hz dini mana wamezileta sababu yakuteka nakumiliki madaraka
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 4 ай бұрын
😮😮😮 Karume bastard killer 😮😮
@sulimanm6525
@sulimanm6525 Жыл бұрын
Na wewe sema ukweli basi sababu karume kipibwa risasi
@williamdevis3955
@williamdevis3955 Жыл бұрын
Nitakupataje hicho kitabu
@kamalbashir5127
@kamalbashir5127 Жыл бұрын
Acha kudanganya
@mbarakahaji4302
@mbarakahaji4302 5 ай бұрын
Wewe muwongo unawadanganya watu tunaojuwa mapinduzi ya znz tupo cc wazawa wa znz ucdanganye watu.
@omarabdallah3883
@omarabdallah3883 Жыл бұрын
MAPINDUZI YANATOKEA KARUME ALIKUA UNGUJA PAMOJA NA. ALI NABWA ,USIPOTOSHE WATU.
@menlandmutashobya8377
@menlandmutashobya8377 Жыл бұрын
Babu na karume walikuwa dar
@abdallahmsham-eb7jz
@abdallahmsham-eb7jz Жыл бұрын
upezani mwanzo mwisho mpaka kieleweke sawa
@abubakariali9848
@abubakariali9848 Жыл бұрын
📝 Kiongoz nimeanz kukufiatilia zamani san na nimejifunza meng ila naon kama sasa hiv unatupotosha hiv.., Hebu nenda kasome vitabu hiv 1 - Kwaheri ukoloni kwaheri uhuru ✅️ 2 - Harakati za Abdul wahid Sykes katika kudai uhuru ✅️ 3 - Pugu Haji Palamiho ✅️ Half uje udanganye ten watu wasioijua historia ya Uhuru na Nchi yao
@komboruga4271
@komboruga4271 Жыл бұрын
Mwongeze na 4. Siku 100 za Kuundwa muungano.
@athumanmapunda
@athumanmapunda 4 ай бұрын
Mpumbaviu msenge shoga Weeee samora humjui wa mondolane ukiwa dakitari huwezi kuwa mwananeshi
@MorganMwaipyana-tz9vc
@MorganMwaipyana-tz9vc 3 ай бұрын
Usiwe mkali sana,Samora alikuwa na medical background
@athumanmapunda
@athumanmapunda 4 ай бұрын
Weeeee unapotosha katoliki ana mchango Gani zaidi ya ujinga tuu pumbu zako
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 4 ай бұрын
Athumani jina tu kweli huna akili!
Каха ограбил банк
01:00
К-Media
Рет қаралды 11 МЛН
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 40 МЛН
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23
Каха ограбил банк
01:00
К-Media
Рет қаралды 11 МЛН