SIRI MAPINDUZI YA ZANZIBAR:WALIVYO WAUWA WATU/NYERERE,KARUME/WAHUSIKA...

  Рет қаралды 14,536

Dar24 Media

Dar24 Media

Жыл бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#zanzibar #karume #nyerere

Пікірлер: 29
@emanuelmaraki9758
@emanuelmaraki9758 Ай бұрын
Duu mko vizuri sana tungepata watanzania 100 kama Hawa tungekuwa na viwanda vingi sanaa
@farusaimon3490
@farusaimon3490 Жыл бұрын
Asante sana Dar 24 Media! Tungepata ratiba kamili ya kipindi hiki, ingekuwa safi sana.
@jkifutu7936
@jkifutu7936 4 ай бұрын
Nawakubali sana brs
@martensnshimi3613
@martensnshimi3613 Жыл бұрын
Kupata suluhisho kushirikisha Lila lundi la jamii katika utawala kama vile Mwalimu alivyoshuhurikia swala la ukabila ,région,wa udini,kuanzia ngazi za fini hafi ngazi za juu. Walimu shuleni wasibaguwe n'a kusababisha watoto kuferi maana katika secondaire n'a vyuo vikuhu.problemes hizo zipo.
@salesiomweda1747
@salesiomweda1747 Жыл бұрын
Napenda sana
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 5 ай бұрын
👍👊✌️。
@sangomamourice3539
@sangomamourice3539 Жыл бұрын
Asante
@mwasa_tv
@mwasa_tv Жыл бұрын
nmeijua historia vizuri
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 6 ай бұрын
wangefanya hivyo ungekuwa ukoloni daraja la pili,mwalimu alikuwa sahihi,tenda wema nenda zako,haina maana marekani na urusi wakifanya hivyo nasi tuwafuatte,we have our values.
@sulimanm6525
@sulimanm6525 Жыл бұрын
Ilipo vamiwa zanzibar tayari ina be dera yake umoja wa mataifa kama nchi je mnalijuwa hilo
@yazidusaidi8843
@yazidusaidi8843 Жыл бұрын
Hii stori ya mechi ya timu ya taifa kuchapwa na wachina naikumbuka ilikuwa maarufu sana😀😃
@wakwetu2444
@wakwetu2444 3 ай бұрын
Umesema kweli. Hakuna cha bure.
@wakwetu2444
@wakwetu2444 3 ай бұрын
Wakimbizi walikuwa wakinywa chai na mikate. Sisi tuliishia uji wa sembe. Sasa wanatupiga.
@sulimanm6525
@sulimanm6525 Жыл бұрын
Kabla ya kupinduliwa zanzibar shmte ndie aliyekuwa kiongozi mkuu wa nchi na ilikuwa inapeperusha bendera umoja wa mataifa huwo ndio ukweli
@abdullaalwikabil3371
@abdullaalwikabil3371 Жыл бұрын
Hi guys hichi kitabu alokuwa anachobjamaa hapa nitakipata wapi kama nataka kununuwa nijulishe bro thx
@kindysuleiman5935
@kindysuleiman5935 Жыл бұрын
Mbona munazungumza upuuzi mwingi sana
@chrisjacob4057
@chrisjacob4057 Жыл бұрын
Kati ya matahira ww ni tahira zezeta kabsa
@marrypius576
@marrypius576 Жыл бұрын
Kwan umeitwa hap mbwa ww
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 Жыл бұрын
Hiki kitabu alichokiandika, huyu, mzunguzaji, kinaitwaje, na kinapatikana wapi?
@jacobmwalituke8981
@jacobmwalituke8981 Жыл бұрын
Mwandishi anafanya kipindi ambacho hata hana uelewa nacho ndo maana muda wote anaitikia okey okey okey aaaaah aaaaah hakuna hata maswali ya maana anayouliza
@limo_7
@limo_7 6 ай бұрын
Sahihi kabisa, ni mfano wa hadithi za bibi na wajukuu....
@martensnshimi3613
@martensnshimi3613 Жыл бұрын
Umeshindwa kujibu swami.Generari NKUNDWABATWARE NI MUTU WA RWANDA.PIA ALIKUA ANTUMIKIAMASLAHI YA RWANDA.NDISABABU HAKUAZIBIWA.NAHUWEZI KUBUA MAHALI ALIPO ISIPOKUA RWANDA NA UGANDA
@khalidibrahim4579
@khalidibrahim4579 Жыл бұрын
Waziristan mkuu SHAMTE hakuwa Muarabu ni MSHIRAZI MZANZIBARI ASLI 80% YA MAWAZIRI KATIKA SERIKALI HAWAKUWA WARABU MFALME CONSTITUTION MONACH NDI MWENYE ASLI YA KIARABU MFALME ALIKUWA HANA SAUTI KWENYE SERIKALI
@mwasa_tv
@mwasa_tv Жыл бұрын
kwan uyu jamaa ni nan mbona anajua vitu vingi sanaa
@josephatjofrey7247
@josephatjofrey7247 Жыл бұрын
Huyu anaitwa yerico Nyerere, jasusi alisomeshwa na urusi huko huko urusi
@mwasa_tv
@mwasa_tv Жыл бұрын
@@josephatjofrey7247 asante sanaaa
@belgieboys9867
@belgieboys9867 Жыл бұрын
Hawa wamerithi historia kutoka kwa mababu zao ambao na wao walikuwepo kwenye mapinduzi
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 9 МЛН
NERF WAR HEAVY: Drone Battle!
00:30
MacDannyGun
Рет қаралды 52 МЛН
Did you believe it was real? #tiktok
00:25
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 51 МЛН
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 55 М.