MAAJABU: NDEGE ILIYOPOTEA ANGANI/ABIRIA 227/KIKUNDI CHA MAUAJI /WAHUSIKA WATAJWA/INATISHA..| EP 08

  Рет қаралды 4,317

Dar24 Media

Dar24 Media

29 күн бұрын

Ni makala yenye kuelezea kisa kilichojaa utata, na bado ni kitendawili cha ulimwengu mzima, ni baada ya tukio baya la kupotea kwa ndege ya abiria ya MALAYSIA AIRLINE MH370, ikiwa safarini kutokea katika taifa la MALAYSIA ikielekea katika taifa la CHINA ikiwa na zaidi ya abiria 200.
Bado ni mtihani wako wapi watu hawa?, na maswali muhimu kama iko wapi ndege hii? na tukio hili ukweli wake ni upi?
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#makala #maelezo #malaysia

Пікірлер: 23
@hamisisalum2218
@hamisisalum2218 28 күн бұрын
Wakwanza piga like za kutosha hapa
@markmushi8940
@markmushi8940 28 күн бұрын
Nakufuatilia kwa makini sana nikiwa italy ni mm mark mushi wa italy. Mmiliki wa team ya kusini football club iliyopo shangarai arusha wilaya ya arumeru. Namiliki pia team ya netball ya golden girls netball club iliyopo shangarai arusha
@kelvinpeter7460
@kelvinpeter7460 Ай бұрын
Loading...🎉
@user-xr7fh9ht8o
@user-xr7fh9ht8o 28 күн бұрын
Dupa kwanza mungu akuweke uko vizuri kaka yani unajitahidi kwa kina uelezee ili watu tuelew bigap mkuu,yn hapo dupa tunacheza na watu wenye akili nyingi sn hapo wausika ni marekani na wametoa jela nyingi xn kwa hawo waongoza ndege chini kila kitu wanakijua hawo waongoza ndege,halafu pia serekali ya mareyshia kuna watu viongozi wajuu pia hiyo ishu wanaijua
@yohanakashinje1548
@yohanakashinje1548 Ай бұрын
Nasubiri mwendelezo kwa hamu leo nitakuwa wa kwanza
@wilsongithiji7256
@wilsongithiji7256 26 күн бұрын
From Nairobi Kenya.hongera kwa utafiti wa hali ya njuu.MUNGU akuzindishie hekima 7:14
@LugyPlan
@LugyPlan Күн бұрын
Ila mwandishi ni 🔥🔥🔥🔥 amenitoa tktok
@LugyPlan
@LugyPlan Күн бұрын
Mnampigia rubani sm na amewambia good night 😂 si atakua amelala jaman
@Mkemia..Kirigiti
@Mkemia..Kirigiti 28 күн бұрын
Nakupata vyema kutokea SURABAYA- INDONESIA 🇮🇩
@JohnKavula-xw7xl
@JohnKavula-xw7xl 28 күн бұрын
I'm waiting for
@fbfabien4709
@fbfabien4709 29 күн бұрын
24 mji taidi mwemna tupa episode 2 au 3 kwasiku
@Johnmalekela
@Johnmalekela 27 күн бұрын
Dupa mdupange na kukubali sana
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk 28 күн бұрын
Hatari binadamu ni shida
@MustymediaTv
@MustymediaTv 22 күн бұрын
Nakupata kutokea iraq
@JumaMussa-ul8oe
@JumaMussa-ul8oe 28 күн бұрын
Duper jitahid kuelekez vzl unazungunk sana mpak unataj vipande vilivo pita
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 28 күн бұрын
Nikopa1 kutoka Dalaman Turkey
@RamadhanHamisi-dt9sy
@RamadhanHamisi-dt9sy 28 күн бұрын
Mbona ule mkataba wa wale mainjinia ulikubaliwa badaa ya tukio Hilo hapa sijaelewa Iko vp
@BigoloFiston
@BigoloFiston 27 күн бұрын
Ndege hiyo ilitekwa nabatu j
@MairaAlly
@MairaAlly 28 күн бұрын
Mpaka mwisho tupo pamoja
@markmushi8940
@markmushi8940 28 күн бұрын
Hila huo utata wote why awaku2ma f16??
@mosesbarnabas3379
@mosesbarnabas3379 28 күн бұрын
Live kutoka Mafia
@abdillahirashid4092
@abdillahirashid4092 28 күн бұрын
#@dupamdupange! He is really master 😊😊😊
@Travis0nlineTv-vf2bd
@Travis0nlineTv-vf2bd 25 күн бұрын
Kwan hii stor mnashindwa kutoa yote mnaboa
Hiroshima - the unknown images
52:01
La 2de Guerre Mondiale
Рет қаралды 6 МЛН
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 77 МЛН
Summer shower by Secret Vlog
00:17
Secret Vlog
Рет қаралды 9 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 22 МЛН
WE CAN'T LAND! The Incredible Story of Air India 101
22:03
Wyngx
Рет қаралды 4,9 МЛН
From $42 Billion to $0 - How Anil Ambani Lost All His Money
23:56
Mambo 10 ya ajabu yanayoilinda Ikulu ya Marekani (White House)
14:40
UWEKEZAJI KISIWA CHA BAWE
7:10
ZIPA TV
Рет қаралды 12 М.
CUHAS DOCUMENTARY 2024
30:06
CUHAS BUGANDO
Рет қаралды 980
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 77 МЛН