HIKI NI KISA CHA MOCHWARI/ MAITI ILIKATAA/ USHIRIKINA MZITO.

  Рет қаралды 113,985

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

#Simulizizamaisha #Mbanga #Dar24Media
MBANGA, nikipindi kinachokupa nafasi ya kujifunza mengi kuhusiana na maisha kwa kupitia simulizi za kweli za maisha ya watu,kipindi hiki kinaruka kila siku za jumamosi katika kila wiki..USIKOSE KUTAZAMA.

Пікірлер: 68
@kaisamjunior3692
@kaisamjunior3692 2 жыл бұрын
Yaah ALLAH cjui kesho yangu cjui nan atanisha cjui nan atanizika yaah ALAH nipe mwisho ulomwema
@sulaymanshabani5342
@sulaymanshabani5342 3 жыл бұрын
Namkubali Sana huyu mtangazaji ANAIJUA KAZI YAKE
@salmasalma-pv2ue
@salmasalma-pv2ue Жыл бұрын
Allah akbar. Kifo ni mawaidha .Allah atup mwisho mwema
@robertmungai4055
@robertmungai4055 3 жыл бұрын
Great interview. Napenda kiswahili cha mzee Yusuf. Sending you love from Nairobi Kenya 🇰🇪
@leylahleylah4599
@leylahleylah4599 3 жыл бұрын
mwandishi jicho lako👀😍😍
@amosmahona433
@amosmahona433 3 жыл бұрын
Nimepanda babu anavyojieleza halafu na mtangazaji YUPO makini kusahihisha zaidi pale babu anapokuwa hajafananua zaidi Sana sana Global tv.
@ghatynyantebu592
@ghatynyantebu592 3 жыл бұрын
Mtangazaji nimekupenda sana, unaongea vizuri sana
@maqboulal-barwani2506
@maqboulal-barwani2506 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah brother Allah swt akuengeze kipaji .una talent and skills ya kuzaliwa.
@mussanachingulu823
@mussanachingulu823 3 жыл бұрын
DUH.... Huyu mzee ni wajina wangu kwa kila kitu kuanzia jina lake hadi la baba yake tofauti kabila tu.
@mayusay1225
@mayusay1225 3 жыл бұрын
Nilijuwa mwalimu kashasha
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 жыл бұрын
Subhanaallah Allah polen sna ndio changamoto za Kaz
@saidichilyenga2847
@saidichilyenga2847 3 жыл бұрын
Mzee Musa muda wa swala huu
@magwinahimself7316
@magwinahimself7316 3 жыл бұрын
Kazi nzuri
@angeljobu7449
@angeljobu7449 3 жыл бұрын
Mtangazaji na mzee wote wanajitambua
@kweka14l35
@kweka14l35 3 жыл бұрын
Muwe mnavaa Gloves jamani huko Mortuary sio sehemu salama Sana 😔😔😔😔
@bhokem4102
@bhokem4102 3 жыл бұрын
Mzeee anaonekana Ana siri nyingi sana lakini n ngum kuzitoa...
@bilhaagutu9788
@bilhaagutu9788 3 жыл бұрын
Kumbe Ata nyinyi mume ona kama mimi? Mzae anasiri mingi sana
@arqamibnarqam.7185
@arqamibnarqam.7185 3 жыл бұрын
@@bilhaagutu9788 Alipaswa kuwa msiri ili Naye akifa aje kustiriwa.
@subiramohd1895
@subiramohd1895 3 жыл бұрын
Huyo babu ni mtu wa dini hawezi kutoa siri ya maiti kaba unavokaba lakini hasemi na hivo ndivo inavotakiwa maiti hakashifiwi
@mtupeacetz2589
@mtupeacetz2589 3 жыл бұрын
Mzee mussa njoo! Umesikia hiyoo kama umesikia gonga like hapooo😁😂
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 3 жыл бұрын
😁😁😁
@frdausmwawughanga9047
@frdausmwawughanga9047 3 жыл бұрын
Mola atujalie mwisho mwema
@sabahiali6021
@sabahiali6021 3 жыл бұрын
Amin
@munirayakoub3682
@munirayakoub3682 3 жыл бұрын
Ameena🙏🙏
@nancyrivera8201
@nancyrivera8201 3 жыл бұрын
Amen
@r.kassimtoutautre3432
@r.kassimtoutautre3432 3 жыл бұрын
Nice kbx 🇧🇮Who lives 🇹🇷. Niko na mm namkasa ila niko Ankara now
@abdulraufmohammedsalum6806
@abdulraufmohammedsalum6806 3 жыл бұрын
Ankara
@luciahmwai567
@luciahmwai567 3 жыл бұрын
Eheee
@husseinremmyjohn2350
@husseinremmyjohn2350 3 жыл бұрын
Ni adithie Mimi
@husseinremmyjohn2350
@husseinremmyjohn2350 3 жыл бұрын
Ni adithie Mimi 🤔
@tylerbrown5333
@tylerbrown5333 3 жыл бұрын
Istanbul nitafute
@bahatihappy5693
@bahatihappy5693 3 жыл бұрын
Mungu nipe musho mwema
@user-ro3ke1vt5f
@user-ro3ke1vt5f Жыл бұрын
Mtangazaji uko vzr Ila hiyo v hapo usoni unaonekana ukiwa na hasira hua sio v Tena hapo usoni naona hua ni w
@ahmedsalim4930
@ahmedsalim4930 3 жыл бұрын
Anae muhoji ako vizuri
@hadijambwana9068
@hadijambwana9068 3 жыл бұрын
Dah
@aishahemedi7869
@aishahemedi7869 3 жыл бұрын
Pore sana babu
@samiaarimkonekonko5096
@samiaarimkonekonko5096 3 жыл бұрын
Mashaallaah baba mungu akujariee🙏🙏🙏🙏😭😭😭❤️❤️
@bundukitv1322
@bundukitv1322 3 жыл бұрын
(VIDEO) MWANAUME aliyekimbiwa na mke wake baada ya kupata ajali mbaya/Bodaboda walitembea na mkewangu 👇👇👇👇. kzbin.info/www/bejne/lajPqZZmna1sprc
@linahsemindu4261
@linahsemindu4261 3 жыл бұрын
Mtangazaj unajikaza na uoga unao🤣
@shaloboy3861
@shaloboy3861 3 жыл бұрын
Mbanga isipotee sana
@hawarama5533
@hawarama5533 3 жыл бұрын
Mzee hataki kufunguka kuhusu chenga Moto
@fadhilikawambwa5159
@fadhilikawambwa5159 3 жыл бұрын
MTANGAZAJI UKO VIZURI.KOMAA UTAFIKA MBALI SANA
@garertanderson5776
@garertanderson5776 Жыл бұрын
Mtangazaji andaa maswali mpe.mda mtu afunguke sasa unauliza swali reeeefu umenikera hii interview but take as a challenge
@derickclever6844
@derickclever6844 3 жыл бұрын
Duuh 😳
@kayiremetv648
@kayiremetv648 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/d5vGZZeurbd_fJI Kayireme Bohoka
@mrh2812
@mrh2812 3 жыл бұрын
kafanana na mwalim kashasha
@abdulraufmohammedsalum6806
@abdulraufmohammedsalum6806 3 жыл бұрын
Hhhhhhh afu kweli
@kweka14l35
@kweka14l35 3 жыл бұрын
Mwanzo nilijua ni yeye 🤗🤗
@aniahamisi7944
@aniahamisi7944 2 жыл бұрын
@@kweka14l35 😂
@yusufwewe8600
@yusufwewe8600 3 жыл бұрын
Hi
@salmaluhombero8466
@salmaluhombero8466 3 жыл бұрын
Kweli sinza kulikuwa mashamba nakumbuka
@Alphanblondi
@Alphanblondi 3 жыл бұрын
Room in
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 3 жыл бұрын
Ila usitaje aibu za mait
@kobajumakuziwa9976
@kobajumakuziwa9976 3 жыл бұрын
Mwisho kweli ni Magomeni lakini mpaka miaka ya 1960 70 sio 50
@luciahmwai567
@luciahmwai567 3 жыл бұрын
Kwa ivo Maiti husikia
@raniy0262
@raniy0262 3 жыл бұрын
Sanaaaa isipokua hana uwezo wa kujibu,, na ndio maana tunaambiwa maiti hasemwi vibaya
@luciahmwai567
@luciahmwai567 3 жыл бұрын
@@raniy0262 gai it's so dangerous then coz he or she feels so bad if
@abubakarihamissi4178
@abubakarihamissi4178 3 жыл бұрын
@@raniy0262 hiyo ni kweli kabisa kwa dini yetu tunaamini hivyo na pia wanasayansi wanaamini hivyo maiti husikia.
@swalehenyange9217
@swalehenyange9217 3 жыл бұрын
UYO MZEE NILIJUA KASHASHA KOPI LAITI
@salimumohammedsalimu1720
@salimumohammedsalimu1720 3 жыл бұрын
Umejua kufananisha
@junaidybwanamkuu3175
@junaidybwanamkuu3175 3 жыл бұрын
Good
@capteinchuimchafu7894
@capteinchuimchafu7894 3 жыл бұрын
Hyo n demons tu Wala sio chochote kile
@valenakomba4453
@valenakomba4453 3 жыл бұрын
Sasa kunyooka si ananyoka palepale anapokufaa!
@francisnzowa1385
@francisnzowa1385 3 жыл бұрын
Hapana,mtu akifa anakakamaaa miguu inajikunja pia mikono kwahyo lazima kuvinyoosha
@neemaedmund8224
@neemaedmund8224 3 жыл бұрын
Mjinga mbona hafunguki
@garertanderson5776
@garertanderson5776 Жыл бұрын
Muache mzee aongee acha ufala wewe mtangazaji.issue ni mortuary sasa story za magomeni za nn.embu muwe na ethics za kazi gademmit
@bundukitv1322
@bundukitv1322 3 жыл бұрын
(VIDEO) MWANAUME aliyekimbiwa na mke wake baada ya kupata ajali mbaya/Bodaboda walitembea na mkewangu 👇👇👇👇. kzbin.info/www/bejne/lajPqZZmna1sprc
@bundukitv1322
@bundukitv1322 3 жыл бұрын
(VIDEO) MWANAUME aliyekimbiwa na mke wake baada ya kupata ajali mbaya/Bodaboda walitembea na mkewangu 👇👇👇👇. kzbin.info/www/bejne/lajPqZZmna1sprc
SIMULIZI YA MORTUARY I SIMULIZI YA KUSISIMUA I #mwambafix
35:15
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 16 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 42 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 25 МЛН
MTANZANIA ANAELIPWA KWA KUCHOMA MAITI ZA WACHINA TANZANIA
15:04
Millard Ayo
Рет қаралды 296 М.
NILIVYOPATA MKE MOCHWARI NIKIWA MLINZI WA MOCHWARI.
27:24
SIMULIZI FUPI by Simulizi Mix
Рет қаралды 31 М.
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00