PENZI NI KIKOHOZI: BINTI KIZIWI, Z-ANTO WARUDIANA?/ SIRI ZA PENZI LAO ZAVUJA/ "TULIKURUPUKIA NDO..."

  Рет қаралды 36,133

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

Пікірлер: 48
@neemajoseph6596
@neemajoseph6596 3 жыл бұрын
Hongeren sn ivomlivo mliachan na bando mnashea mzungu mzo wote wa4 mnajielewa 😍
@bitunisebarua3884
@bitunisebarua3884 3 жыл бұрын
Jinijini ananipenda sana mimi z naupenda sana wimbo wa jini mpaka leo
@rahmaramadhan9773
@rahmaramadhan9773 3 жыл бұрын
Z D sijui una bahati mbaya gani nyimbo zako ninzuri Sanaa najiumiza why! Mnapendeza Sana na binti kiziwi yani
@husseinkombo446
@husseinkombo446 3 жыл бұрын
mashallah
@issaissah8832
@issaissah8832 3 жыл бұрын
Yani huyu mdada kisu yani ni nomaa
@Pascal08
@Pascal08 2 жыл бұрын
Hawakutakiwa kitengana hawa watu
@kalaluwakisaka3211
@kalaluwakisaka3211 3 жыл бұрын
Nakubali
@mosamossile9113
@mosamossile9113 3 жыл бұрын
Mara paa Wastara uyu hapa patawaka apo
@johnteonas3144
@johnteonas3144 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@myseramatamu7409
@myseramatamu7409 3 жыл бұрын
😄😄😄😄
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
Wastara shemeji yake wa damu mume halali wa dada yake
@mosamossile9113
@mosamossile9113 3 жыл бұрын
@@MohammedAli-rh5si 🤣🤣🤣
@mwanajumasaid1983
@mwanajumasaid1983 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@championtv255
@championtv255 3 жыл бұрын
Dah siamini.kwann ukaachana namtoto mzuri Kama huu
@mohamedsuleiman7215
@mohamedsuleiman7215 3 жыл бұрын
broo usiwe mshamba na limbuken kupendana na kuachana ni jambo la kawaida. na jaribu kuitengeneza akili yako.mdomo ambao unakwambiya unakupenda na ndiyo uwo uwo utakukwambiya nakuchukiya.
@bahatihassan5413
@bahatihassan5413 3 жыл бұрын
Hakuna urafiki hapo msitupige changa lamacho 😂😂😂😂
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
Mke wake ana wivu muacheni shemela wa dunia
@ilhamjulioo9655
@ilhamjulioo9655 3 жыл бұрын
Kakaanapenda machotara huyuu🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
@mirajimsomaketi941
@mirajimsomaketi941 3 жыл бұрын
Bint kiziwa kanona jaman
@khadijahamisi2711
@khadijahamisi2711 3 жыл бұрын
Vipodozi jamaniii atari
@antoinekatembo8520
@antoinekatembo8520 3 жыл бұрын
Vimefanyaje hivyo vipodozi jamani?
@israelnibigira4990
@israelnibigira4990 3 жыл бұрын
Z anto rudi kwenye game bwana ujue nyimbo yako binti kiziwi inapendwa huku zambia
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
Wewe tena
@zubeirsalum128
@zubeirsalum128 3 жыл бұрын
Kwani hawa wasanii hawapendezi Hadi wavae minyororo ya shingo?
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 3 жыл бұрын
😂😂😂
@issackjoseph6436
@issackjoseph6436 3 жыл бұрын
Yakiwa madini kweli yanakuwa yanakulinda na mionzi hatarishi,Note wasemavyo wajuaji ila cjalifanyia research ya kutosha,hvyo tulifanyie uchunguz kwanini ngozi nyeupe zinazipenda
@sofiyasofiya6469
@sofiyasofiya6469 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@firdausseif54
@firdausseif54 3 жыл бұрын
👏😆😆👏👏😆😆😆😆😆😆👏
@ibrahimissakhamis4268
@ibrahimissakhamis4268 3 жыл бұрын
Hakuna Urafiki hapo hao wanaficha ila ukweli bado wanakulana hao
@mohamedsuleiman7215
@mohamedsuleiman7215 3 жыл бұрын
huyu demu kapungua uzur na mi nahic akiwa bila make up ndo mi namuona mzur ila hapa namuona mrembo tu.
@kaykay9722
@kaykay9722 3 жыл бұрын
Urafiki uo kwiyoooo
@frenkdaud6175
@frenkdaud6175 3 жыл бұрын
Da mwambi pacha wangu z anto mbona kimya ana nitesa bana
@saadiaali5609
@saadiaali5609 3 жыл бұрын
Ndio maana hamtoachana hamuko kwa mahusiano unadhani ww dada ukipata mpenzi mwengine alafu munatoka kwa masherehe mpenzi wako atakuruhusu hawa wanatudanganya
@luthermbio7581
@luthermbio7581 3 жыл бұрын
Hakuna mahusiano yalovunjika alafu mkaja mkawa marafiki kiasi icho mpaka wapenzi wenu wakakubali,,never
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
Hapo alipo z yupo na mke wake dada yake wastara msitake kuvuruga ndoa za watu hao ni marafiki tuu
@maloomaalmnsj5111
@maloomaalmnsj5111 3 жыл бұрын
@@MohammedAli-rh5si dada yake wastara au wastara mwenyewe
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
@@maloomaalmnsj5111 dada yake
@mahmoodalghefeili5370
@mahmoodalghefeili5370 3 жыл бұрын
@@MohammedAli-rh5si heeee mm nikajua wastara jaman
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
@@mahmoodalghefeili5370 ilikua kiki wangu
@ashachitemo7816
@ashachitemo7816 3 жыл бұрын
Doooh maskini wastara ndo Kesha achwa hivyo
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
Wastara shemela wake dada wa wastara ndio mume halali sio danga tuheshimu ndoa za watu na pia alikua na mke kabla ya huyo dada wa wastara
@umbeaeastafrica7943
@umbeaeastafrica7943 3 жыл бұрын
Binti kiziwi ameanza kufanana na Z-Antony.
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 3 жыл бұрын
Mke wake mkali nyie
@MagdalineKwezi
@MagdalineKwezi 10 ай бұрын
Mbona huimbi wewe?
@عليغالب-ت5ر
@عليغالب-ت5ر 3 жыл бұрын
Nani mwingine hajaamini kua ni marafiki tu ila hawana mahusiano 🤔🤔
BINTI KIZIWI : RAIS NISAMEHE / SIFANYI KAZI TENA NA Z ANTO #NIPE5 TBC
30:38
Gangana Info Channel
Рет қаралды 49 М.
WASANII HAWA NI NDUGU WA DAMU KABISA UMESHAWAHI KUJUA??
10:15
THE THIRD TV
Рет қаралды 712 М.
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Z ANTO  Nilikimbia Majukumu kwa mwanamke wangu
17:20
Mbengo Tv
Рет қаралды 10 М.
Kumbe kiziwi
8:17
Joti TV
Рет қаралды 2,4 МЛН
WASTARA Na Z ANTO Wampiga Mkwara BINTI KIZIWI /JIPANGE TUNALINDANA
10:00
WARIDI WA BBC - HILDA NKABE, MAMA WA KIJANA WA MIAKA 18 MWENYE USONJI.
41:11
Lukiza Autism Foundation
Рет қаралды 257
Salama Na MR BLUE SE6 EP69 KHERI PART 1 SendTip MPESA LIPA NO 5578460
25:09
DUNIA (EP 33)
21:00
ASMA FILMS
Рет қаралды 253 М.
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН