NILITOROKA KWENDA AFRIKA KUSINI:BIASHARA YA MADAWA/MAUAJI YA KUTISHA, (S02EP06-PART 02)

  Рет қаралды 19,305

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

#Mbanga #Baharia #Dupamdupange
Ni kumbukumbu za maisha ya kijana wa kitanzania, akitoroka nyumbani kwao Tanzania na kuingia nchini Afrika kusini kwa lengo la kujitafutia maisha, anakutana na mikasa ya kutisha karibu utazame hii ni MBANGA.....
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24news@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Dar24 #Dar24Media

Пікірлер: 36
@danielmakelemo2395
@danielmakelemo2395 9 ай бұрын
Mtangazaji Hana utulivu
@nurdinshaban919
@nurdinshaban919 9 ай бұрын
Mtangazaji mapepe xn
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 2 жыл бұрын
Pamoja sana mbanga Kwa hewa 🔥🔥🔥
@jaydenkariuki6595
@jaydenkariuki6595 2 жыл бұрын
Asante sanaa broo tunashukuru kwa muda mrefu
@husseinhussein9971
@husseinhussein9971 Жыл бұрын
Mtangazaji acha mapepe, muache aelezee mwenyewe usiwe unaingiza maneno yasiyo na maana katikati ya stori yake.
@markmwaghogho9226
@markmwaghogho9226 2 ай бұрын
mtangazaji jinga sana, kuongea sana hata kuliko mwenye stori
@dj26number2
@dj26number2 2 жыл бұрын
Oya izo namba huzijui vizuri achana nazo mwana muwaki kinoma uyo ni fresh sana hajui izo namba zinasimamianini...
@shaloboy3861
@shaloboy3861 2 жыл бұрын
Tuambie ww unaejua tuanzie na hio 26
@captenndunga6745
@captenndunga6745 2 жыл бұрын
Sasa kwanini hukuenda wewe unaezijua?? Acha umbea utafirwa.
@petrojacob6070
@petrojacob6070 2 жыл бұрын
Mtangazaji hiyo stori ilitakiwa uisimulie wewe,maake unatajitanguliza sana
@majaliwaomary7171
@majaliwaomary7171 Жыл бұрын
Mjuaji tu wewe nenda wewe ukaeleze
@skulfees5453
@skulfees5453 Жыл бұрын
Tuambie mjuaji 26 nomber inamanisha nini
@didamanyanya4893
@didamanyanya4893 2 жыл бұрын
Twende kazi
@devmwalabu3193
@devmwalabu3193 2 жыл бұрын
Nakubal San kizaz
@alfredaloyce6835
@alfredaloyce6835 Жыл бұрын
Umezingua
@alvezog_3836
@alvezog_3836 7 ай бұрын
Yan umetoka kzn paka jozi alafu umechukua gari paka darban?😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
@chinamunezjr-fo7gm
@chinamunezjr-fo7gm Жыл бұрын
Muongo huyo ajui chochote kuhusu namba
@alvezog_3836
@alvezog_3836 7 ай бұрын
Kwaiyo sauth africa ulikua unatumia dolla?kutoka maputo lazima uingie daban kwa sababu manguzi ipo kwa zulu natal,deben ni sehem ila ipo ndani ya kzn ndio jina la mkoa.. Acha muongo sana alafu wewe mtangazaji ujaona mtu wa kumuoji umeenda kumuoji mtu ambae South kaenda 2018 karudi 2019.. Ujui chochote kuusu namba mzee.
@erneusgerazi7056
@erneusgerazi7056 8 ай бұрын
Mtangazaji tuliàa uskilize story ndo uulize
@hassansasi9171
@hassansasi9171 2 жыл бұрын
Hahahahah😂😂
@lupacrisamayc518
@lupacrisamayc518 2 жыл бұрын
Dizongaaa
@Ahmedsaid-cu3kh
@Ahmedsaid-cu3kh 2 жыл бұрын
Tupo pamoja
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 2 жыл бұрын
Ulipata mulangi kaladi
@vedamadalla6309
@vedamadalla6309 2 жыл бұрын
Shoga Wewe acha uongo Haujuwi lolote about Numbers
@dj26number2
@dj26number2 2 жыл бұрын
Kabisa nandomana yupo bongo kafeli...shit iz street code🤟🏾
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 2 жыл бұрын
Alaa
@kondoramadhan7840
@kondoramadhan7840 Жыл бұрын
Achanae mwanangu fata maisha yako matusi ya nini. Choko wewe utaenderea kuishi kwenu tu uwezi kutoka
@janerouhassanjanerou7933
@janerouhassanjanerou7933 Жыл бұрын
Sema uyu dogo sasa anatoa siri za kazi,,dogo anapasuka
@davidochieng7055
@davidochieng7055 2 жыл бұрын
Vipi stori is babu Haji mkuu
@southrowbeats419
@southrowbeats419 2 жыл бұрын
Mdogo wetu muhongo
@dj26number2
@dj26number2 2 жыл бұрын
Azijui namba ni fresh sana uyu D....
@vedamadalla6309
@vedamadalla6309 2 жыл бұрын
Shoga Wewe acha uongo Haujuwi lolote about Numbers
@treyvissy9854
@treyvissy9854 2 жыл бұрын
Na wewe unaonekana huna akili .. elezea hizo number acha kutoa matusi..
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 37 МЛН
One day.. 🙌
00:33
Celine Dept
Рет қаралды 65 МЛН
Nilikuwa Mwizi Niliiba Mamilion ya Pesa Africa Kusini / Nilizamia
1:05:48