No video

"SAFARI YA MATESO": NILIZAMIA SOUTH AFRICA KWA MIGUU/ NILITEKWA NJIANI/USIKU/ NILIJUTA (S02EP02"D ")

  Рет қаралды 18,460

Dar24 Media

Dar24 Media

Күн бұрын

Malume...Kijana wa kitanzania anae jaribu bahati yake maishani kwa kufanya safari ya kuingia nchini Afrika Kusini kwa magendo, safari inayo mgharimu na kuacha kovu lisilofutika maishani...... karibu hii ni MBANGA
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24news@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24Tz
⚫️ Facebook: @dar24news
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Maishayangu #Baharia #Uzamiaji

Пікірлер: 19
@paullwangili2235
@paullwangili2235 2 жыл бұрын
Kasoro simulizi haijapangiliwa kwa series hujui namba moja ipi ,mbili ipi na kuendelea.
@juniorjuma2562
@juniorjuma2562 2 жыл бұрын
inaboa sana haina namba hujui namba ngap
@jamesmaneno2281
@jamesmaneno2281 5 күн бұрын
Nikajua peke yangu TU ajapnga kujua namb Moja hivi au 2 hivi ajandika
@saidymbagalla6622
@saidymbagalla6622 4 күн бұрын
Yani hapo ndio kazingua
@zulfikakalumba1977
@zulfikakalumba1977 2 жыл бұрын
Jamaa energy yako yakusimulia imekua bora sana trip hii, chukua tano
@fredymagesa4463
@fredymagesa4463 2 жыл бұрын
Nice msg kuna kitu Cha kujifunza kupitia huyu mwamba
@josephmaganga1931
@josephmaganga1931 2 жыл бұрын
Nakubali kazi nzuri
@cassanovarcousin7973
@cassanovarcousin7973 2 жыл бұрын
Sio pow yanii hii story ya huyu mjomba inanihusu mpka sometime nacheka yaniii tulijimwaga kama huyu jamaa lkn hatukufanikiwa kufika south
@abdukhatibu1072
@abdukhatibu1072 2 жыл бұрын
Kwel noma
@lovenesally3816
@lovenesally3816 2 жыл бұрын
Safari za south, true tumeathirika wengi , tumetembea njia moja tokea mueda mpaka maputo, Ila hapo boda ya katembe wenzio tumetembea kwa miguu tu siku nzima,, kwa kushindia mikate migumu, paluuu,
@nasraramadan8213
@nasraramadan8213 2 жыл бұрын
Nice
@kingkendrickk
@kingkendrickk 2 жыл бұрын
Twende kazi ndani ya mbanga
@Mpakauseme
@Mpakauseme 2 жыл бұрын
Njia ngumu sana hiyo ya Mocambique
@juniorjuma2562
@juniorjuma2562 2 жыл бұрын
stori zako hazina namba unakosea sanaaaa
@elishaphilipo5133
@elishaphilipo5133 2 жыл бұрын
Uyo dogo yupo sahii na kingine police wa Mozambique awatupendi watanzania iyo tabia wanayo mpakaleo yani nikweli tupu namie kwenye izo safari miaka ya 90 imenikuta sana siyo maramoja
@rashidkachaa3666
@rashidkachaa3666 Жыл бұрын
Hyu jamaa anachosema nikwer kabisa hajakosea maana me na Mjomba angu nae alienda hko mweda alienda kwa pikipiki nauli 70000, mtu mmoja tena mwaka Jana Tu, lkn alinambia hela Zippo, changamoto ndo kama hizo
@dominicfrancis4073
@dominicfrancis4073 2 жыл бұрын
Maisha ni safari ndefu tusikate tamaa vijana hu ndio muda wa kutafuta
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw 2 жыл бұрын
Safi kamkubwa
@allyberto7617
@allyberto7617 2 жыл бұрын
Dizonga Ola Ola
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 44 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 7 МЛН
Nilikuwa Mwizi Niliiba Mamilion ya Pesa Africa Kusini / Nilizamia
1:05:48
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45