MAUAJI MISITU YA CONGO: TANZANIA INAHUSIKA NA M23?/ KAGAME ATOA USHAHIDI/SAMIA, KIKWETE WATAJWA/JWTZ

  Рет қаралды 146,692

Dar24 Media

Dar24 Media

Жыл бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#Congodrc #kagame #mamasamia

Пікірлер: 386
@simonbir3835
@simonbir3835 5 ай бұрын
Unadanganya mukubwa m23 siyo wa nyamulenge wa nyamulenge wanayishi [south] M23 wana ishi North DRC M23 wanaitwa Banyamasisi. Tena niwa Congomana wa tusi.
@kilungahamis1270
@kilungahamis1270 4 ай бұрын
Congo ni wabantu watupu, ukisikia mtusi basi sio Mkongo.
@Caroline.1727
@Caroline.1727 3 ай бұрын
Toka uko amedanganya kwa nini iyo ni uhaki ,njo mahanq watu hawasikiya ,
@Caroline.1727
@Caroline.1727 3 ай бұрын
​@@kilungahamis1270wapatiye wengine anani ao wapatiye kwaho wahachunge peke yaho
@HusseinKagesho
@HusseinKagesho 4 ай бұрын
❤❤❤❤we were umesema ukweli kabisa..... Iakinihalitawezekani ikiwa kicks niAmerika.... Asante kaka Hussein kagesho kutoka 😮😮😮😮😮😮😮KENYA
@kingj9346
@kingj9346 Жыл бұрын
Ila wabongo kwa kujifagilia hamjambo! eti "ikumbukwe kuwa 2013 jeshi letu(JWT) liliwapiga m23 chini ya Brigadier Gen. Mwakibolwa" kwa wasio jua historia kidogo huyu jenerali aliongoza jeshi la umoja wa mataifa yakiwemo majeshi ya South Africa, Malawi, Namibia, etc kupigana na m23 so mtanzania kuchaguliwa kuongoza jeshi hilo hakuwa fanyi kuhodhi mafanikio yote. you were just a small part of the mission. DRC wenyewe wanamtambua Col. Mamadou Ndala kama shujaa wao alie washinda m23.
@user-gr7jk4vc7f
@user-gr7jk4vc7f 5 ай бұрын
Mjue kwamba 2013 m23 ilikua kundi ndogosaana, wakaamia kujutoa vitani, sasa wame recruit vijana kutoka camps za wakimbizi ya wenyewe huko Rwanda na Ouganda nawana silaha za kisasa, hivi subiri mda kitambotuu majeshi ya TZ yatarudi wakiwa maiti na casualties, south Africa 97 wamepigwa kabisa, na raisi Suluhu ametambuwa kama m23 ya Leo ni Kali sana naameanza juta, ameanza kupanga mbinu zakuwarejesha.walionusulika, jeshi la Burundi karibu waishe, mfuatilie namna m23 yaendelea.kukamata eneo zilizo acwa na Sadac ,TZ, Burundi, Wagners etc..😂
@maishacenter-eastafricatv3976
@maishacenter-eastafricatv3976 3 ай бұрын
​@@user-gr7jk4vc7fm23 haina ukali wowote ni America inawasaidia wakiwa vitani kuona wanaopigana wanajipanga vipi
@reisedyy4910
@reisedyy4910 Жыл бұрын
M 23 haijawai kua waasi Rwanda, M 23 wao wamezaliwa ndani ya Kivu, mchambuzi amechanganya FDLR na M 23.
@saidilupango3989
@saidilupango3989 Жыл бұрын
Huyu jama muongo kbsa.
@irorerotv2910
@irorerotv2910 5 ай бұрын
Huyu jamaa amajaribu kufafanua ingawa amechanganya haswa FDLR na M 23, Tena hakuna hata siku moja Rwanda inategemea FDLR kiuchumi, M23 angeifafanua kwa ile ya ukoloni
@KhalfanHabibu
@KhalfanHabibu 10 ай бұрын
Kamanda umetoa tarifa nzuri sana kuhusu congo
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 4 ай бұрын
Huo jama anataka ajulikane nayeye muongo sna
@munyakayanzaazarie1133
@munyakayanzaazarie1133 4 ай бұрын
Hauna habari kabisa, haujuwi historia ya congo, unajidanganya kama unafikiri kwamba shida za Africa zitaturiwa na wa zungu
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 4 ай бұрын
Haya we tuambie unae jua
@Habarizacongo
@Habarizacongo 4 ай бұрын
SIO KWELI, HUYU JAMA HAJUI LOLOTE, HUYU YUKO NA TAARIFA ZA BBC SWAHILI RADIO YA WANGEREZA, NDO KOSA LENU WA TZ, TUULIZE SISI WACONGO TUWAAMBIENI UKWELI.
@JohnclaudiLutuna
@JohnclaudiLutuna 4 ай бұрын
Umeanza vzr kbsa.Makovu ya ukoloni,rasili mali,ukabila.
@Caroline.1727
@Caroline.1727 3 ай бұрын
Jamani Wengine sikwaho M23 ni kwaho jamani soma history vizuri ,waho kukama bunduki ni kwaju FDRL iliwaanza kuwahuwa wakakimbiya,ndio watafuta uwaki waho
@musalaben9080
@musalaben9080 4 ай бұрын
Mimi ni mukaaji wa Rwanda nataka niseme hapa yakwamba huyu jama hajui cocote kuhusu Congo , Rwanda , hâta Burundi wewe ni mgeni kabisa hakuna unaco kijua , kujifamya tu unaerewa lakini wewe mgeni
@user-xm5xg1tt6d
@user-xm5xg1tt6d 3 ай бұрын
Huyu ni mwanajeshi alikua kongo kwe
@thulanijohn620
@thulanijohn620 5 ай бұрын
Samahani kidogo bwana news maker, your program is quite interesting, however the banyamulenge tribes or some sort of Rwandan speaking language in Congo been there for centuries, {kivu} and its territories was once Rwanda until 1910,these war zone areas where banyarwanda lives in Eastern Congo was part of Rwanda until the borders got cut on them. Mwalimu Julius Nyerere spoke about this topic in one of his messages. Thanks
@onegospelrecord7127
@onegospelrecord7127 4 ай бұрын
Foolish
@anacledondayizeye7857
@anacledondayizeye7857 Жыл бұрын
93% I agreed what you said
@Caroline.1727
@Caroline.1727 3 ай бұрын
Naweye kuko kwenye umedaganya.,wauwaji ni FDRL. Njo walikimbiya
@Caroline.1727
@Caroline.1727 3 ай бұрын
Asante baba ule raisi wa burundi amesema kama inatoka Rwanda niho nuwongo mutupu ile haseme kama inatoka congo 🇨🇩 M23 inapiganiya ukwelo apo ninkwaho ,FDRL inakimbiliya kwao ikimaliza wa tusi wa Rwanda inaensa congo inatafuta fanya iyo amefanya Rwanda 🇷🇼
@grevelworship2687
@grevelworship2687 4 ай бұрын
Hauelewe Congo vizuri, Mimi Niko mukaaji wa Congo mashariki, Goma
@maryamtan682
@maryamtan682 Жыл бұрын
Congo imekua chaka la magaidi
@nizamarakassongo3940
@nizamarakassongo3940 Жыл бұрын
Tatizo la congo ni kagame na wazungu
@NepporSabith
@NepporSabith 4 ай бұрын
Tatizo la congo hulijui kabisa ungelijua zaidi ungetupa evidence na namna yaktatua hilo tatizo bali wewe umekalilishwa tu
@user-hh7zz1bg1p
@user-hh7zz1bg1p 3 ай бұрын
Sikweri kbx mutangazaji
@user-hg5vv4yz3n
@user-hg5vv4yz3n 4 ай бұрын
Wewe muongo %hujyuwi ata istoria
@MeshackSindano
@MeshackSindano 4 ай бұрын
Banyamurenge awajatokea Rwanda Bali wanyamurenge niwatusi wa kivu kusini ndio wanajiita hivo...waliotoka Rwanda nakukimbilia Congo wanaitwa interahamwe
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 Жыл бұрын
Safi sana Mdupange
@user-kd1fb8jz4h
@user-kd1fb8jz4h 4 ай бұрын
Jamaniiii jamaniiii,askari wa TZ,M23 inawamaliza bure jamani
@HornoldKas
@HornoldKas 3 ай бұрын
Asante washabuzi wa abari mungu awabariki
@HornoldKas
@HornoldKas 3 ай бұрын
Nimimi kijana mukongomani ni muniji uvira jinalangu kangeta
@djumadjumbe6907
@djumadjumbe6907 4 ай бұрын
wagner wapo Goma Congo n'a wanalinda kwenye mpaka wa Gisenyi n'a Goma ila sio wengi wako kwenye mission maalum pâle n'a bila ile wagner kua pâle kama leo tunaongea mengine kuhusu Goma . Yerico uwe nafanya utafiti vizuri kaka nafataga sana mahojiano yako huwa apakosi kasoro nyingi hasa ukiongelea investigation . Mimi niliwaona wagner kwa macho yangu Goma mwezi 5 2023 . Yapo madudu mengi kwenye iyi interview ila ili ndo ninao usibitisho
@user-yc4ui2kn8c
@user-yc4ui2kn8c 4 ай бұрын
Kwani Samia kutwambia jeshi letu limekwenda kutatua mgogolo wa Congo tukifuatilia M23 ni uongo??
@jumanyakina2807
@jumanyakina2807 4 ай бұрын
😊
@higirovedaste1898
@higirovedaste1898 4 ай бұрын
Wanyamurenge siyo wakimbizi Kutoka Rwanda niwa congo kutoka myaka 800 inayopita lakini kincasa hakuitika niwa congole njomana congo inawaua wakajigombania peke wasimalizike 🙏
@benedictsumaili
@benedictsumaili 4 ай бұрын
Acha ujinga wewe wanyamulenge walikuja Congo mu 1957 kutoka Rwanda acha ufała kabisa
@TAYALITV
@TAYALITV 3 ай бұрын
Hauna habari kbs !!!
@DanyLukambo
@DanyLukambo 5 ай бұрын
Tunakufurahiya sana wakongomani nikweli red Tabara yaburundi n'a m23 yarwanda ,n'a ADF ya Uganda zina tesa wa congomani
@nassoromalengo5143
@nassoromalengo5143 4 ай бұрын
Nice story
@user-vd2hg3jf9o
@user-vd2hg3jf9o 3 ай бұрын
Semeni Bwana ...! Changanua habari hizo nivizuri tuelewe mzozo wa congo ume anzaje...?
@zamybukene
@zamybukene 4 ай бұрын
Ingelikuwa zingine inchi za africa zina akili zingejifunza politics ya tanzania kama africa nzima ipo salama,tanzania ongera sana siasa yenu juu ya wana inchi,vita kuvianza ni rahisi sana ila kuvimaliza ni tabu sana kwa hiyo Mungu awabariki sana
@EzzyEddy-il3ce
@EzzyEddy-il3ce 4 ай бұрын
Ameeeen tunawaombea na nyinyi mtoke kwenye hiyo vita
@johanesitembe2440
@johanesitembe2440 4 ай бұрын
Amina mungu ataweka mkongo wake
@johanesitembe2440
@johanesitembe2440 4 ай бұрын
Amina mungu ataweka mkongo wake
@ngwabijejames288
@ngwabijejames288 5 ай бұрын
Sasa mbone hamusemi FDRL imeuwa watu 1994 ikakimbila Congo nando chanzo cha shida ya M23
@songamberetv2219
@songamberetv2219 4 ай бұрын
Hakuna FDRL aca uongo ilo kundi unasema wameja katika GV ya Rwanda vita ya congo ni zahabu coltan na ilinium
@Caroline.1727
@Caroline.1727 3 ай бұрын
Jamani ile makundi yote aliyakamata akayaingiza katika jensi RDC akakamata M23 peke yake nikusema iko na ubaguzi ,njo mana M23 inawapiga sana ata watanzaniya wiko nakufa,aa rwanda inawasaidiya na moto na mayi ni rwanda inawakisha njo mana habawezi funga.ata ivi M23 ilifunga pote kwenye chakula inafika Goma ivi ni rwanda inawapa chalula
@user-nz6uq1fy5z
@user-nz6uq1fy5z 3 ай бұрын
Je, watanzania kama serikali ya DRC wajiunga na wauwaji wa FDRL(Interahamwe) kuendelea na Genocide zidi ya Watutsi, kimakusudi ao hawaelewi chanzo cha mgogoro inchini DRC?
@JerubaalXerxes
@JerubaalXerxes Жыл бұрын
Hizi ni stori zina chumvi nyingi hivyo hazina afya kwenye Taifa na maendeleo ya ukanda wetu.
@chancekambale3498
@chancekambale3498 Жыл бұрын
Niwajinga sana hawaongei uhakiki ya Mambo😅
@emmaemma6114
@emmaemma6114 Жыл бұрын
Saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaanaaaaaaaah jama niliongo
@vince_vinson.2083
@vince_vinson.2083 Жыл бұрын
Huyo jamaa anachanganya changaya mambo, story za kijiweni. Nadhani anafanya promo ya kitabu chake anachouza.
@cosmasmwaitete5004
@cosmasmwaitete5004 9 ай бұрын
Leteni story zenu Basi ili nanyi tuwasikilize
@EdwardSamson-uf1ee
@EdwardSamson-uf1ee 9 ай бұрын
Hii Stori haina Relevant yoyote , huwezi kuhamisha radar kutoka nje ya nchi kama burundi bujumbura mpaka Tanzania tena DSM ukiwa na makomando sita tu radar is very huge piece of machine . radar sio fimbo ya bunge useme kwamba wali ibeba mgongon aisee . pia taarifa kama hizi huwa ni highly classified huwezi kuzijua kirahisi na hata ukizijua huwezi kuzisema wazi hivi youtube.
@nanuno9346
@nanuno9346 4 ай бұрын
Umejidanganya kundi lilohusika na Genocide Rwanda 1994 ni FDRL sio M23 kama msemaji alivyojidanganya
@pastoraile7195
@pastoraile7195 Жыл бұрын
Kariakooo ndio dubai ya ista Africa
@Pamella.Muhorakeye76
@Pamella.Muhorakeye76 4 ай бұрын
Hivi mtu anapata wapi ujasiri wa kuitazama camera na kuongea uongo namna hii bila soni.. I am very disappointed in you Yericko, nilikuwa nakuona mtu msomi na muelewa.. dah haya sio matango pori tu yaani umeboronga vibaya mno..shame
@williamm.hamuli1695
@williamm.hamuli1695 4 ай бұрын
Umesema kweli.., Amezungumza kuhsu makomando 6 wa Tz kuchukua rada ya kijesh ya Burundi jambo ambalo kidiplomasia sio sawa kuliweka public. Lakn pia M23 hawajawah kuwa waasi wa Rwanda, uongo mkubwa. Amechanganya FDRL-Interahamwe na M23-Banyamulenge. Banyamulenge ni wakongo wenye asili ya Rwanda..!
@habimanajeanclaude6482
@habimanajeanclaude6482 5 ай бұрын
they can resolve problems peacefully
@user-tx5pf1bm6b
@user-tx5pf1bm6b 5 ай бұрын
Tatizo nimataifa yanayo shikiza Kongo kupigana iri wazidi kuiba mafuta na marizao😢
@lubungaetienealmasi1059
@lubungaetienealmasi1059 Жыл бұрын
Mimi nitakujibu swali lako: kama Congo ahito pata suluisho basi tambuwenu pia na Tanzania itakua kwenye mfumo wa Rwanda mfano leo Ouganda 🇺🇬 ipo chini ya Rwanda , pia Burundi 🇧🇮 ipo chini y’a Rwanda Kenya pia bref watu watakula nchini y’a utawala wa kitusi mfumo uho upo na sio kwa kongo tu ndo mkataba wa Rwanda kwa mabebro.
@nyembomajid1262
@nyembomajid1262 Жыл бұрын
kidogo umeongea points,kaka congo hakuna ukabila Wala kidini
@islachristabinastaravista8104
@islachristabinastaravista8104 Жыл бұрын
Ujinga Ni kwamba Kagame akianguka tu Rwanda your itavurugika arafu Tz uwez fananisha na hizo nchi zote ulizozitaja hapo ameweza huko lakin Tz kachelewa hatuwez kwasababu historia yet na hizo nchi Ni tofaut Sana rwanda Congo na Uganda hao Kuna vitu wanashare ndyo maana unaona wapo katka Hal hyo
@matabarosiradji2473
@matabarosiradji2473 Жыл бұрын
Historia huyo jama anachanganya mambo wanyamulenge hawajawahi kua waasi wa Rwanda waasi wa Rwanda ni FDLR na hilo ndo linashirikiana na jeshi la congo kupigana na M23
@elizabertkabadi3090
@elizabertkabadi3090 10 ай бұрын
Nyie watu wa mataifa ebu muogopeni mungu mkumbuke mliumbw nayeye mnapouana kinyama kisa pesa mtakufa mtaviacha hapahapa duniani mnakoenda napo mtaenda kuchomwa moto jehanam inawasubili mnadhambi kubwamno .
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 6 ай бұрын
Inawezekana
@user-ue9yh1gk8k
@user-ue9yh1gk8k 5 ай бұрын
😮jameni mtanzaniya vita siku hizo siyaleo tafautisha myaka iliyo pita na siku hizo natena kumbuvsikuzilizo pita hamujya washinda wa hasi hawo Leo mtapata kicapo hamujyaona mwa maisha yenu
@SanyengeAlex
@SanyengeAlex 5 ай бұрын
Ndugu yangu Tanzania sio nchi ndogo kivita sema tu Vita sio nzuri
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 5 ай бұрын
👍👊✌️。
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 Жыл бұрын
Congo wala sio Tanzania in hayo mazungu mnayoyakumbatia ambayo Jpm aliyapiga vita, ambayo Putin anayapiga vita. Congo in shamba la wazungu wezi... lakini kama tz inatumika basi ni hayo mazungu mahuni yamepenyeza kupitia hapa.
@DanyLukambo
@DanyLukambo 5 ай бұрын
Alakini wana dini hapa kongo wanaelewana sana hamuna tatizo
@user-bj7hc4pj5t
@user-bj7hc4pj5t 4 ай бұрын
Neema usiongee usichokijuwa wanyamulenge warikimbia nini kumbuka kaburaya nterahamwe kukimbilia Congo ndoakaanza kuwauwa wanyamulenge wanadaikuwaniwatutsi
@KennySolll-jk9vq
@KennySolll-jk9vq 2 ай бұрын
Ebwane mufafanuziwako anasema wongo kuhusu mambo yakongo hajuwi kayumba nyamwasa ni munyarwanda nawanyamurenge sio wanyarwanda niwakongomani na M23 wanapiganiya uhaki wawo kwakunyanyaswa kuhusu niwatusi
@pastoraile7195
@pastoraile7195 Жыл бұрын
This interview itakufanya utusuwe au ujutee watuu wakubwa dunia hiyii watakupenda au watakuchukia
@sylvesternkuliye7715
@sylvesternkuliye7715 Жыл бұрын
muache uongo jamani et wanajeshi 6 wachukue rada ilivyo nzito jama huyo muongo
@impixelmusictz3044
@impixelmusictz3044 5 ай бұрын
Fuatilia kuhusu makomando utaelewa
@sadickrichard7849
@sadickrichard7849 Жыл бұрын
27:54 😂 apo tunapigwa matango pori antananarivo ni mji mkuu wa madagascar
@kibokibosho7476
@kibokibosho7476 4 ай бұрын
Ujaelewa😢
@halimahamis3742
@halimahamis3742 Жыл бұрын
Nilicho jiffunza hapo tuu ni tundu lisu raia wa ubeligiji pia ni Jesusi😢wa Tz tuwe making na huyu mtu asipewe Kura
@frankwilliam144
@frankwilliam144 Жыл бұрын
Jasusi au Jesus? Weka wazi tukuelewe chief
@halimahamis3742
@halimahamis3742 Жыл бұрын
@@frankwilliam144 umesahau miwani naona
@LaizaErnest
@LaizaErnest Жыл бұрын
Mjinga wewe Wacha a na lisu fala
@adeltuszakumuha9618
@adeltuszakumuha9618 5 ай бұрын
Mbona unaingiza vitu vya kijinga?
@owenjuniorkravecki7874
@owenjuniorkravecki7874 Жыл бұрын
History nzuri, lakini mwambiye awe makini sana nama jina za watu, mfano: apo kwa FNL gen nyamwasa niwa rwanda, Angesema Rwasa
@jacksonnsabimana3920
@jacksonnsabimana3920 5 ай бұрын
Ndugu hujuwi hisoria ya m 23 ,baba wataifa ya Tanzania alisema ukweli WA M23 hamna ukweli jifunzeni vizuri Makena ni mkongo halisi eneo LA mashariki mwa Kongo ni LA watu WA masisi
@KevinVicent-xq6jz
@KevinVicent-xq6jz Жыл бұрын
Uyojamaa nimchambuzi mzuri katika vitavya mchiyangu Congo
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j Жыл бұрын
Hiv ni kwanini congo inamachafuko sana?
@levimukwiza1582
@levimukwiza1582 5 ай бұрын
Ndugu mtangazaji ungetoa number ya simu yako ili upate habari kamili hapo ndipo utafanya uchambuzi wa kweli.
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 Жыл бұрын
Pili Switzerland ansmskundi ya watu pale Congo kusafisha dhahabu hadi Uganda hakupakiwa na ndege za Emirate hadi Switzerland na kusema dhahabu ya Switzerland
@flkaka855
@flkaka855 3 ай бұрын
Beans, haufahamu historia ya wale wamejiita "wanyamulenge".
@KennySolll-jk9vq
@KennySolll-jk9vq 2 ай бұрын
M23 wanapiganiya haki yawo Hawa wanafukuzwa Kongo kuhusu niwatusi wanawuriwa kirasiku nakunyanyaswa sababu yawukabira ndio mana yakushika bunduki
@WillfraniKubwayezu-ub8tp
@WillfraniKubwayezu-ub8tp 5 ай бұрын
Channel Rusakaza TV iko pamoja nanyi
@user-gr7jk4vc7f
@user-gr7jk4vc7f 5 ай бұрын
Hiyu ni mchanga kwa.mambo ya geopolitics anacamganyaambo
@narrissajackson3869
@narrissajackson3869 4 ай бұрын
Tunaomba link ya ufafanuzi wako ili tuone unayojua
@jeanpaul9800
@jeanpaul9800 4 ай бұрын
Nyinyi watanzania munajifanya walimu wa kivita munapigania fdrl ambao wanauwa wa mama na watoto sasa musubiri M23 itawapa mafunzo ya kivita tunaitaji kikwete afike kiwanjani tumupe mafunzo
@Leminelimited
@Leminelimited 5 ай бұрын
Wakowapi Congo.
@Leodukuze
@Leodukuze 4 ай бұрын
Nimefuata uchambuzi wenu ila kuna mahali pengi mmekosea sana mnapochambua hitoria ya Rwanda.
@reisedyy4910
@reisedyy4910 Жыл бұрын
Huyu mchambuzi mmemtoa wapi?😂😂 hauwezi kuongelea mgogoro wa Congo DRC bila kuwataja waasi wa Maimai, na hili ndio kundi kubwa la waasi ndani ya Congo. Burundi hana ushawishi wowote wala hao Red Tabara hawana nguvu yoyote ndani ya Congo, hawa wako based na shughuli za burundi.
@yakoboesenga5754
@yakoboesenga5754 Жыл бұрын
Nyie mna wachukuliha wa maimai kama waasi la sivyoo
@baranderekanestor2014
@baranderekanestor2014 4 ай бұрын
Nyiye waongo
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 Жыл бұрын
Kagame hawezi kuwatafuta wanyamurenge kongo ye mwenyewe ni mnyamurenge ye anatafuta intera hamwe ambao ni wahutu (wabantu)
@MsAggie5
@MsAggie5 Жыл бұрын
Nilivyosukia na mtu WA Rwanda ambaye alikuwa serikalini, Kagame anajua kuna wahutu wako Goma, anahisi wanataka au wanaweza kuji organise kuja kumpindua, anacho fanya, ana wafadhili hao M23 ambao ni watusi Kwa manufaa yake I mean hao watusi wasije ji organise. Nahisi ni kweli au .......
@georgembise7234
@georgembise7234 Жыл бұрын
Kagame hana uezo wakupigana nchi kwa nchi anauezo wa kupigana vita yakuvizia!!
@stateofart1089
@stateofart1089 3 ай бұрын
Hizo kampuni za upelelezi za Tz ni zipi? Upana and IPS?
@valenakomba9218
@valenakomba9218 Жыл бұрын
Wenzao wanakufaa, wao wako nje wanakula kuku.
@hassansaul7098
@hassansaul7098 Жыл бұрын
Nakubaliana na wewe baadhi ya mambo ila yangine napiga, kweli ukitazama ukabila na rasilimali hayo mambo ndio anaharibu Congo, vile vile huwez kumaliza vita kwa kuizima M23 tu, nisichokubaliana na wewe ni kua katika makundi mabaya mno uliotangaza hukutaja makundi ya kina Mai Mai.... Hujataja matatizo yaliyopo baina ya Congo na Angola, ukitaka kujua mgogoro wa Congo anzia historia kuanzia karne ya15,, Mzee Mai Mai ndio kundi ambalo hatari mno, vile vile marekani yaijawahi kufunga misaada ya kijeshi kwa Rwanda wala Burundi Bali walipunguza bajeti tu ili kufunga watu macho
@user-vd2hg3jf9o
@user-vd2hg3jf9o 3 ай бұрын
Rwanda Ina utajiri zaidi ya EST African yote...utauliza vipi ? Kwanza ni kabila Moja lugha Moja usalama Hali ya juu,,, namwisho kabisa Wana elimu yakuweza kuilinda inshi Yao...
@grevelworship2687
@grevelworship2687 4 ай бұрын
Mambo fulani hivi hauielewi vema, ila unasema ukweli
@mbinonyoso7501
@mbinonyoso7501 4 ай бұрын
Kengevwewe hawuna hakiri timamu unasema maneno ya kishenzi sana soma kabra yakuja kubwabwa maneno yakishenzi
@mupendemichael112
@mupendemichael112 4 ай бұрын
Ndugu yangu, afadhali fanya utafiti wa kitu ki moja tuu ktk badhi ya mambo mengi ulioyataja. Wewe hauna habari wala hujui historia au Siasa yoyote ile kuhusu unavyoongea. Wewe ni muongo mtupu- ni dhambi kutumia social media ukidanganya wasikilizaji kama hauna habari. Unaongea utumbo mtupu!
@michaeldoroleo4864
@michaeldoroleo4864 Жыл бұрын
Kuna chai sana humu😅😅
@salumkagame509
@salumkagame509 4 ай бұрын
Wewe mwongo kenya haipo drc
@muhirefiston83
@muhirefiston83 4 ай бұрын
Irikua sai ishatoka
@user-zl7ez5bd3e
@user-zl7ez5bd3e 4 ай бұрын
sasa wewe kabisha nini?...mulikuwa Congo,...na nyinyi wakenya watapeli sana...tuli wafukuza.
@salimbilali5174
@salimbilali5174 4 ай бұрын
Waende Somalia bac
@christopherkanyalakc8941
@christopherkanyalakc8941 Жыл бұрын
Sijuwi
@joshuanyonyi3313
@joshuanyonyi3313 4 ай бұрын
Kwa Mtu muelewaa... Huyu Jamaa anapotesha kwanza sio Mtanzania... Ukisikia rafuzi yake...Ni Mnyarwanda Pia....achunguzwe....
@user-fg7ze9gr9z
@user-fg7ze9gr9z 5 ай бұрын
Faida yarayisi wenyu bana kuwa unasema ukweri
@eddiemay547
@eddiemay547 4 ай бұрын
Lakini mbona watawala wa zamani walizibiti nchi zao zaire ilikuwa imara sana ila baada ya mapinduzi na kubadilisha jina toka zaire kuwa congo machafuko yalianza
@yuyuiyungu7696
@yuyuiyungu7696 Жыл бұрын
Wa Tanzania wote weze hao
@KarambiziMartin-xv8op
@KarambiziMartin-xv8op 4 ай бұрын
Kumbukendi hili kundi la fdrl nilile lirifanya genocide 1994 na nia yao nikumaliza kabila la wa tusi. Na ideology tayali wame peleka kure congo
@lucykawala5174
@lucykawala5174 Жыл бұрын
Waongo
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION 4 ай бұрын
Viongoz wa makundi hayo washawekwa hotelin kinshasa kwa mazungumzo ila gvt ikawatelekeza according to Rwanda
@ericbishonda7755
@ericbishonda7755 4 ай бұрын
Jameni, uchambuzi wenu si wakweli. Kuna mambo kazaha mu mekoseya. # Wanyamulenge ni moja ya makabila ya wa congomani. Ila siyo kundi lawapiganaji kama vile ulivyo zungumuziya. Apana. Iyo ni uwongo mutupu.
@kumbukainnocent5444
@kumbukainnocent5444 Жыл бұрын
Brother rudi shule ninavyo kuona bado uneweza ukasoma historia naamini hata huyo huyo alie kualika naye bado zakwake mbovu sana
@rosamuhimpundo4516
@rosamuhimpundo4516 Жыл бұрын
Kusema kweri hana byakuogeya huyu jama hajuwi kitu kbs afuge hajuwe M 23 niya Congo ni WA kogomani toka
@Chishimba-bq6ln
@Chishimba-bq6ln 5 ай бұрын
Hiyoswali unaliongea ikosawa sasakwakulindamipaka wafwate mufumowalumumba waweke rahisiwatatu njowalindemipakayao viletu unaongea congo aitakuwanahamani 🇿🇲aponakusikiasana🙏
@MisagoFrancis
@MisagoFrancis 4 ай бұрын
Jambo mutangajaji cakwanza ujuwe sio congo wenyewe kwawenyewe ni Rwanda na uganda wamevamia congo
@NiyonkuruPapy-fv1sq
@NiyonkuruPapy-fv1sq 4 ай бұрын
Amekosea sio kivu kwarwanda wasi M23 nitafauti waasi warwanda ni FDRR
@joshuanyonyi3313
@joshuanyonyi3313 4 ай бұрын
CjAfurai na huyu.. Jamaa mbona anajua Mambo mengi ya Siri za nchi... Na usalama wa Taifa mpo...kamtafuteni mumuoji...
@user-pb7qp2yu4x
@user-pb7qp2yu4x 5 ай бұрын
Aiko wanyamulenge, ni Fdlr
@user-ki6mk5xx5g
@user-ki6mk5xx5g 4 ай бұрын
Huyu mtangazaji hata mimi simuelewi kuhusu radar mbona anajizalilisha historia anajua kidogo nakuomba ujipange kwanza kabla hujaenda kuongea
@MisagoFrancis
@MisagoFrancis 4 ай бұрын
Kunakitu bado amujatambua kagame yukonalengo yagushika congo burundi tanzania ndolengolake ariona anzie congo nama zambique ndolengolake
@wordoflifeministry5016
@wordoflifeministry5016 5 ай бұрын
Uyo mtu anajindanganya wanyamulenge ni raira wakongo wariyo toka Rwanda kwati barishindwa vita ni fdr interahamwe siyo banyamulenge
@johnndugu4851
@johnndugu4851 4 ай бұрын
Habari yaleo wachambuzi wetu naomba hapo muwe makini kwanza muifahamu historia ya wabanyamurenge kisha mje tena kwenye huu uchambuzi kwani mnachanganya historia ya mashariki ya DRC kwanza ujuwe nani kawafundisha wacongoman kuuwana kinyama Jamaa basi huifaham history ya wa banyamurenge wacha kupoteza kizazi cha kitanzania
@saidipara4134
@saidipara4134 4 ай бұрын
Sos madin sio Dini wala ukabila wala nn
@kevintimothy7333
@kevintimothy7333 4 ай бұрын
Nch jirani za Congo ndio adui mkubwa wakwanza wa Congo
@nelsonnaga3775
@nelsonnaga3775 Жыл бұрын
Muendelezo ni lini
@dukuzumuremyifrancois9627
@dukuzumuremyifrancois9627 5 ай бұрын
Tafadhali,kundi lilikimbilia congo siyo ya Wanyamulenge ni la wahutu waliofanya genocide Rwanda(FDLR).Inaonekana kama uko upande wa Kikwete, lakini Kikwete ataletea Tanzania shida kubwa,kuona Tanzania inaenda saidia watu walimwanga damu(genocide).M23 inagombania haki yake kuwa wakongomani kama wengine wakongomani.
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:25
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 17 МЛН
DRUMS OF WAR: Why THIS must be handled with extreme Caution…
24:11
Herman Manyora
Рет қаралды 11 М.
Waasi Wa M23 Wasalimu Amri
4:08
Ebru TV Kenya
Рет қаралды 161 М.
Вечный ДВИГАТЕЛЬ!⚙️ #shorts
00:27
Гараж 54
Рет қаралды 14 МЛН