MAPYA YAIBUKA KIFO CHA MEMBE: USALAMA WA TAIFA WATAJWA/ ALITAMANI MAKUBWA/ NI HATARI TUNAKOKWENDA!

  Рет қаралды 80,551

Dar24 Media

Dar24 Media

Жыл бұрын

--
Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
⚫️ Website: www.dar24.com
⚫️ Instagram: @Dar24news
⚫️ Facebook: @dar24
⚫️ Twitter: @Dar24News
#nyerere #membe #tanzania

Пікірлер: 37
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Zamani Ujasusi ulifanyika kisiri sana,wala haukuwahi kuwaletea hofu watanzania Bali usalama ulikua mkubwa kwasababu uovu ulithibitiwa kabla ya kutekelezwa waivu walitiwa nguvuni. Kila idara na mkusanyiko,makazini, palikua na jasusi. Leo hii ujasusi umekua tishio,uko kisiasa zaidi, unatumika kukomoa watu kwa itikadi zao,au mawazo mbadala badala ya kuzuia biashara haramu,ugeni haramu,na kulinda usalama wa ndani ya nchi!
@miye2215
@miye2215 Жыл бұрын
Sio kweli, basi utakuwa haujui kuhusu ujasusi. Kama ujasusi ungekuwa umepoteza dira yake basi hata nchi isingekuwepo tena. Hakuna nchi inaweza kuendelea kuwepo na kutawalika kama hakuna ujasusi au umepoteza, hakuna mtu anajua kuhusu ujasusi wa nchi hata jasusi mwenyewe hakuna anachojua nje ya kile anachoagizwa kufanya na kazi yake.
@Tango696
@Tango696 Жыл бұрын
Uko vizuri kaka.
@andrewlimbe-vo8tg
@andrewlimbe-vo8tg Жыл бұрын
Ck hz vijana weng usalama wa taifa hupenda sifa,,hii n shida sana
@Baso1968
@Baso1968 Жыл бұрын
Ndugu zangu tupeane vyeo kindugu kila sehemu ila Usalama wa taifa tuogope sana ila kulinda sera za chama tawala na wananchi. 😢
@khajiussi6588
@khajiussi6588 Жыл бұрын
So kweli.
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 Жыл бұрын
Mbona huyu anafanana na Hayati Nyerere?
@jkifutu7936
@jkifutu7936 Жыл бұрын
Nakukubali sana bullaza
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 6 ай бұрын
Bullaza 😅😅😅
@sjosephmashany-eu6rf
@sjosephmashany-eu6rf Жыл бұрын
Maswala ya kiusalama si vema kuyaweka wazi kwa sababu mtu anapokufahamu siyo rahisi kukupa tarifa za kihalifu au kiuhatalishi katika nchi pia watu hawatakuwa marafiki na hawatakupa taarifa pia kujiweka wazi kunahatarisha usalama wa mtoa taarifa na mpokea taarifa .pia combo cha usalama nibora kiwajibike kisiri na uwazi
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
Upo sahihi kabisaaa. It's confidential
@wakwetu2444
@wakwetu2444 3 ай бұрын
Ni kweli wa Hindi ni wabinifu wa Biashara.
@lujobilz7482
@lujobilz7482 Жыл бұрын
💪
@meshackbinde1944
@meshackbinde1944 Жыл бұрын
Huyu jamaa kweli anafahamu sana masuala ya kijasusi, anafafanua hasa Kwa wasiojua masuala haya!
@zamberimturi5593
@zamberimturi5593 Жыл бұрын
Haka kajamaa kako vizuri kwa kuelezea
@anytime5685
@anytime5685 Жыл бұрын
Imeisha hiyo vijana wa sasa wanasema Muda ni shahidi mwaminifu
@machoguhamery3731
@machoguhamery3731 Жыл бұрын
Damu ni nzito kuliko maji; hujui hilo?
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 Жыл бұрын
Yaani Kwanza Nicheke tu..😅😅yaani Intelligent kujianika..hivi hivi..? Maadili ya wapi haya labda huko dunia ya 30...
@bethkatunx7677
@bethkatunx7677 Жыл бұрын
Du wanadamu wanadamu tu subili histolia itaongea hata kama hatutakuwepo sote kwa hili mungu yu juu ya yote mweza Wa yote
@nestor384
@nestor384 Жыл бұрын
Hii umaajabu wa membe uko wapi jamani
@ramlaibrahimu-zw5hr
@ramlaibrahimu-zw5hr Жыл бұрын
Jaman me nataman Chama pizani wachukuwe nchi jamaniiiiiiiiii
@BetreceTimoth-dd7lw
@BetreceTimoth-dd7lw Жыл бұрын
Mmmmh
@amenmushi5945
@amenmushi5945 Жыл бұрын
Poleni
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
huyu jamaa muongo muongo snaa😅😅😅
@saidyussuf2291
@saidyussuf2291 Жыл бұрын
Hhhhh kwann
@dicksonwanyama1689
@dicksonwanyama1689 Жыл бұрын
Sana
@flova7022
@flova7022 Жыл бұрын
Hahahahahaha
@honestlebisa1373
@honestlebisa1373 Жыл бұрын
Umesau krimu inayo aminika GPM
@bizmangwimo5823
@bizmangwimo5823 Жыл бұрын
Aende2
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Жыл бұрын
Kweli alikua mtaalamu hasa mazungumzo ya kijasusi
@wakwetu2444
@wakwetu2444 3 ай бұрын
Hatuwezi kuepuka mageuzi.
@denismugisha2
@denismugisha2 Жыл бұрын
Sasa unataka kutuambia wewe una elimu hiyo ya usalama??
@jumaamartin7929
@jumaamartin7929 Жыл бұрын
wanazengo huyu jamaa ni mjukuu wa hayat mwalimu nyerere?au ndio hivo tena binadam tuna kufanana.
@machoguhamery3731
@machoguhamery3731 Жыл бұрын
Hana uhusiano wowote na Mwalimu kindugu
@mamachacha6478
@mamachacha6478 Жыл бұрын
Mtangazaji huulizi maswali Bali unapiga soga maneno meeengi.
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS Жыл бұрын
RIP MEMBE MTAALAM WA MIKAKATI. AKA JASUSI
@yazidusaidi8843
@yazidusaidi8843 Жыл бұрын
Yericko Mbinguni na Ahera unapajua wewe?😀😃😄, acha basi kusimulia kama wale matranslator wa video za vibanda umiza🤣😂, hatahivyo, nafurahia masimulizi na uchambuzi wako👋
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 17 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
MISS CIRCLE STUDENTS BULLY ME!
00:12
Andreas Eskander
Рет қаралды 17 МЛН