Aisee mradi huo ukikamilika utakuwa kitovu cha uchumi wa kanda ya ziwa.
@FrolaMwita-j9v8 ай бұрын
Jaman dataj nzr sana
@dorcasmogiti15548 ай бұрын
Utakamilika mwezi wa pili huu wa nne karibia mwishoni na bado haujakamilikia au tusingizie mvua. Viongozi wa tanroads wSipokua ngangari huu mradi utachukua miaka 10 kukamilika
@rockygappi101811 ай бұрын
Mwandishi kwanza picha uliyotumia (video cover si halisi) Pili umesema ujenzi wa daraja utaondoa vivuko sio kweli hapo umepotosha vivuko vitakuwepo...
@Ceramicmedia11 ай бұрын
Kabla hujakurupa kasikize hotuba ya waziri wa ujenzi, hapa tunaeleza kilichoelezwa, karibu sana
@rockygappi101811 ай бұрын
@@Ceramicmedia we unaona mimi nimekurupuka na wewe kuweka picha isiyo halisi ni umekurupuka au umejikurupusha??
@rockygappi101811 ай бұрын
@@Ceramicmedia ..pia nawe fanya utafiti wa kina usikariri kwa kilichosemwa na waziri nao pia huwa wanakosea..tafuta hotuba za Late Magufuli..pia pitia taarifa za wahandisi walipokuwa wanatoa tathmini ya maendeleo kwa raisi Samia alipotembelea kukagua
@herodiduma99069 ай бұрын
@@Ceramicmedia toa hiyo cover picha siyo ya hilo daraja acha ushamba wewe