PART2:MUSSA CHESA MCHAWI MKUU TZ ALIUA MAELFU/MWENYE UWEZO KURUDISHA MISUKULE/MLA WATU/JAMBAZI SUGU

  Рет қаралды 26,228

Davistar Mata Media

Davistar Mata Media

Күн бұрын

Пікірлер: 254
@leahsilayo5126
@leahsilayo5126 3 жыл бұрын
Amina naami ipo nguvu kwenye jina la yesu kwel ubarikiwe unatupa elim dunia
@halimaomari7589
@halimaomari7589 3 жыл бұрын
Ikiwa ulikua unangojea kwa hamu simulizi ya Mussa gonga like hapa, wa kwanza leo duu....
@aishaally8811
@aishaally8811 3 жыл бұрын
Usitake kuchukuwa like zetu
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
Tuko pamojaa
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@credo7837 sanaa
@halimaomari7589
@halimaomari7589 3 жыл бұрын
@@aishaally8811 Hata wewe ukitaka tutakupea...hapa likes hazina mwenyewe
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats 3 жыл бұрын
Unabania sana za musa chesa 🔥🔥🔥🔥🔥 story ukikata kata hainogi mtu inabidi apate series nzima
@deusmakoye9999
@deusmakoye9999 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ananikoshaa! daa! kama move vile nakuomba davista mwambie asirukeruke vipande vingine yani hata kama mwaka mzima tutamvumiliia atupe mkasa wake wote pakiti likiwa limejaa nakushindiliwa asitupe nusunusu 👍👍👍👍
@annasilayo1405
@annasilayo1405 3 жыл бұрын
Mbona stor zake nizakitambo andika Musa utaziona
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 kabisaa
@kibemudy8137
@kibemudy8137 2 жыл бұрын
Kbx yn
@donardmwamaso2538
@donardmwamaso2538 3 жыл бұрын
Naqubal bro we upo siriaz na kazi 👏👏👏👏👏👏
@richardjoseph3347
@richardjoseph3347 3 жыл бұрын
Dah story ni nzur sana lkn mussa hatulii sehem moja ktk story yake
@mtindajafeti3400
@mtindajafeti3400 3 жыл бұрын
Leteni like zangu wakwanza leo kufika kazula mimba😀😀
@lizzybeth6344
@lizzybeth6344 3 жыл бұрын
Musa unatoka sana nje mada unaharibu story,ili story iwe tamu endelea kuadithia bila kutoka nje ya mada
@dianatessie8172
@dianatessie8172 3 жыл бұрын
Kweli kabisa...
@ROSEROBERTROBART
@ROSEROBERTROBART 3 жыл бұрын
kweli kabisa hata hajatuelezea baada ya kuokota zile punje za maharagwe kulitokea nn hakusema ameparuka 🤣🤣🤣acha janjajanja kama umeokoka kabisa tuelezee tuelewane so sad🙆‍♂️
@davidochieng7055
@davidochieng7055 3 жыл бұрын
Unajisifia sana tatizo bora Dani anajisifu kwa namna ya kupendeza ila Mussa una maneno mengi sana yasiyo na point na wengi walisubiri sana stori yako ila unatukata sana stimu kwa namna unavyojieleza Chesa
@bakarimbonjo7182
@bakarimbonjo7182 3 жыл бұрын
Hongera kwa mapitio mana kama si wew kyapitia hayo tusingekua na cha kuckiliza na kujifunza,,,ila binafsi nikuombe ufate mtiririko wa story ili tujifunze vzr zaidi...
@evelyneakech2677
@evelyneakech2677 3 жыл бұрын
Ndaaaani 🇰🇪wapi likes💃💃💃💃
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
🙏
@bambamikidadi8093
@bambamikidadi8093 3 жыл бұрын
Big up mr fact but mwambie chessa apunguze sana mtindo rukia atumie masimulizi ya moja kwa moja
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 3 жыл бұрын
Mussa kama Mussa lakin ndo mtoto wa Chessa.!!!!! Let's Go....
@janechristophermkumbi9046
@janechristophermkumbi9046 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana mimi naomba mussa chesa nikuone au nipe namba zako za simu naitaji msada nimeteswa asante tafadhari nijibu
@africano98.
@africano98. 3 жыл бұрын
Mr fact asee tuandalie historia ya Chief kingalu kutok morogor kamtafute ana vitu muhim watz wanapaswa kujua lifanyie ilo kazi ase
@florencerose859
@florencerose859 3 жыл бұрын
Mr fact umenichelewesha sana toka Jana, rusha numbers haraka yani on time
@ليلىفاكي
@ليلىفاكي 3 жыл бұрын
Lakini ww kaka mzur 👌👌👌
@saidmohamed9627
@saidmohamed9627 3 жыл бұрын
Story haijapangiliwa vizuri yaani haijulikani mwanzo upi na mwisho upi
@eliasgembe5800
@eliasgembe5800 3 жыл бұрын
Davista usiwe unamuuliza maswal.....aendeleee na stori
@fatumamwantumu4081
@fatumamwantumu4081 3 жыл бұрын
Watano leo ahsante
@jangombeboys4536
@jangombeboys4536 3 жыл бұрын
nusu 👍👍👍👍 4
@nellyrhn4349
@nellyrhn4349 3 жыл бұрын
Nice
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Hii story Davistar tupe back to back ni story tamu sana 🥵
@bakarimbonjo7182
@bakarimbonjo7182 3 жыл бұрын
Somoe kama nakukumbuka vilee,,,,,nahisi tulikua wote kweny sintasahau gamboshi ya bwana misosi(Zabron mwita),,,
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
@@bakarimbonjo7182 ndio nilikua
@bakarimbonjo7182
@bakarimbonjo7182 3 жыл бұрын
Kuna maandamano ya Amani yanakuja soon tu ya kumtaka bwana misosi aje atupe story yyte tu,,na vituko vyake vile bwana chief,,,kama mzee maraster na mch Dani wamerud why bwana Misosi!!!?
@fundiali4535
@fundiali4535 3 жыл бұрын
Ni kweli Davistar alitakiwa kurudi kwa Zabron tupate utajiri wa miaka 10
@nundabe
@nundabe 3 жыл бұрын
Wakwanza jameni, nipe like zangu🇧🇮
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
Hongera
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Ongera yako sana mdau mwenzangu pamoja Sana
@jeanbb1385
@jeanbb1385 3 жыл бұрын
Nzuri Sana nasubiri muendelezo
@peterstewart9935
@peterstewart9935 2 жыл бұрын
hizo punje za maharage alizungumzia Omary Mnyeshani namna zinavyopatikana
@deusntobi1450
@deusntobi1450 3 жыл бұрын
Mussa nilimsikiliza ezi hizo clouds fm alisimamiwa vzr na alitililika kwa mpangilio mzuri sana sana na story yake ilitikisa taifa nazan hadi ilistishwa na usalama kama sikosei.
@evelyneakech2677
@evelyneakech2677 3 жыл бұрын
Wakwanza from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💃💃💃💃
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
Hongera yako
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Ongera yako sana mdau mwenzangu pamoja Sana
@kawtharsaleh9229
@kawtharsaleh9229 3 жыл бұрын
Hii stry haijapangiliwa maongezi mbele nyuma nyuma mbele
@catherinewanjiru7136
@catherinewanjiru7136 3 жыл бұрын
Mr everything🇰🇪🇰🇪🇰🇪👍
@macamezunguzungu5697
@macamezunguzungu5697 3 жыл бұрын
Pamoja mzee baba🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@mundhir_salum1215
@mundhir_salum1215 3 жыл бұрын
Davista Zanzibar unakuja lini ?
@tayanabenard4392
@tayanabenard4392 3 жыл бұрын
Kaka Davistar unachotufanya Mungu anakuona....si kwa kutucheleweshea huku Chesa wetu
@paulndoya5805
@paulndoya5805 3 жыл бұрын
Sawa Mr. Chessa
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 3 жыл бұрын
Huyu kweli kiboko yao
@dionestermwinuka7520
@dionestermwinuka7520 2 жыл бұрын
Mimi ndo nasikia leo hii story nilikuwa wap jaman labda ningeokoa na wangu uwiii
@Patience.67
@Patience.67 3 жыл бұрын
Musa chessa😍😍🎉🎉🇰🇪
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
Somoe pili Fatma Aiyam Amina upendo Dodo salim Zuu Neema Aisha Zabiya kawthar sweet kevarist sapna credo goodlucku Eric blessed upo? na wengineo njoon mambo tayari❤❤🇪🇭🇪🇭
@gmdecoration6044
@gmdecoration6044 3 жыл бұрын
Mm hapa nilikuwa kazula mimba🙉🙉🙉
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
@@gmdecoration6044 Nmefurai kukuona 😂😂 shem wngu kipenzi😍😍😍🤝🤝
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
@@gmdecoration6044 vp hali yako😍😍😍
@Teacher_01
@Teacher_01 3 жыл бұрын
❣️❣️❣️❣️
@Teacher_01
@Teacher_01 3 жыл бұрын
Nakupenda ninja wangu.. ❣️❣️❣️
@agnesmwaizinga5401
@agnesmwaizinga5401 3 жыл бұрын
God's time is the best
@abuu_khaki4120
@abuu_khaki4120 3 жыл бұрын
Hot story 🔥🔥🔥🔥🔥
@livingwaterchurchmbulukahama
@livingwaterchurchmbulukahama 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@kevinlembela2455
@kevinlembela2455 3 жыл бұрын
Narrator yuko vzur anaeleweka
@evamerycostantin2458
@evamerycostantin2458 2 жыл бұрын
Tulikuwa na semina yake kanisani
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
Fatma Ezakia sapna upo? Amina Fundi wetu upo pili upo? Suleiman upo? Aisha Neema upendo na wengeneo njooon mambo n 🔥🔥😍😍🇪🇭🇪🇭🇪🇭🇪🇭
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Nimekuja
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@fatmaalrshdii7615 Nmefurai kukuona kipenzi 😍😍😍😍😘😘😘 🤝🤝🤝🤝
@suleimanmustapha101
@suleimanmustapha101 3 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 nimefika kipenzi changu 😍😍😍😍😍😍😍😍😍
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@suleimanmustapha101 Nmefurai kukuona wangu😍😍😍😍😍😍😍😍
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 жыл бұрын
Yaaani mi ndio wa mwisho aiseee naianza Leo duuu
@kevinlembela2455
@kevinlembela2455 3 жыл бұрын
Am the first today
@shaadenshaduni7755
@shaadenshaduni7755 3 жыл бұрын
🤔🤔🤔
@nindemkeremi3708
@nindemkeremi3708 3 жыл бұрын
Bro concetrate na storry...Maneno Mengi
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
Alhamdulillah w kwanzaa🤣🤣💃💃🇪🇭🇪🇭
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Ongera yako sana
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@fatmaalrshdii7615 Asante kipenzi😍😍😍😍😘😘
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@fatmaalrshdii7615 vp hali yako😍😍😍😍
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Hongera❤❤❤❤❤
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 Asante wngu😍😍😍😘😘😘😘
@nurushabani7152
@nurushabani7152 3 жыл бұрын
Hmmmm
@lilhydon452
@lilhydon452 Жыл бұрын
Kwani hii haikuendelea?
@mikaelamaiko83
@mikaelamaiko83 3 жыл бұрын
Wozaaahh
@ireneassey753
@ireneassey753 3 жыл бұрын
Jaman mko fast amjaingia Ibadan leo .... hello dav I hope uko ok..
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
Yaaan
@esthermaluko5621
@esthermaluko5621 3 жыл бұрын
Jina la yesu lina nguvu....
@boazambokile2587
@boazambokile2587 Жыл бұрын
😢😢😢
@chrimskasal4776
@chrimskasal4776 3 жыл бұрын
Oyaa davista huyo jamaa anaongea sn mwambie apunguze kujisifia bwn
@angelwadavid5353
@angelwadavid5353 3 жыл бұрын
Jamaa anaenda mbele anatud nyuma hadi anaboa
@jacklineakoth1016
@jacklineakoth1016 3 жыл бұрын
Wa kwanza leo
@magrethbenjamin4969
@magrethbenjamin4969 3 жыл бұрын
Yan kila unao wahoj ni walikuwa wakuu🙄🙄🙄🙄mimi ntaamin siku ukituletaea wazeee wa vijijin ukoo
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 3 жыл бұрын
We are here here😃😃
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
😀😀😀
@abdimohamed3953
@abdimohamed3953 3 жыл бұрын
@@FFL-X1D naaam
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
@@abdimohamed3953 🤝🤝🤝
@mshua337
@mshua337 3 жыл бұрын
Davista usiulize issue za mbele acha story iende kwa mtiririko huko mbele tutafika kwa uwezo wa Mungu
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 kabisa yani
@deusntobi1450
@deusntobi1450 3 жыл бұрын
Hii story ni nzuri lakini mtangazaji ameshindwa kumwongoza vyema Mussa au msimuliaji. Imepelekea kuondoa uzuri wa story yenyewe yaani anaenda mbele mara nyuma kimsingizi story kama imeharibika kabsa kwa watu wanaujua simulizi inavyopaswa
@eshalibaba1195
@eshalibaba1195 3 жыл бұрын
Namba 1 Leo kama ndoto
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
Hongeraa Esha
@johnwanuma7209
@johnwanuma7209 3 жыл бұрын
Stori nzuri but awe na mwelekeo juu niliacha akigangwa dawa ya kupotea Sasa tuko mbali kuokoa msukule sielewi
@angelmlay4173
@angelmlay4173 3 жыл бұрын
Kumekucha jamani njoeni huku Mr Everything keshafanya yake
@kenyanniggar357
@kenyanniggar357 3 жыл бұрын
Na hiyo pete ni ya nini?
@rappertinno4184
@rappertinno4184 3 жыл бұрын
Chapa nembo Davistar Nakubal
@mtengwadj9390
@mtengwadj9390 3 жыл бұрын
Taamu sanaaa
@violethrobson2332
@violethrobson2332 2 жыл бұрын
Anajisifia dk15 dk 1 story anaanza kutuboa 😥
@salamanauthartanzania6301
@salamanauthartanzania6301 3 жыл бұрын
Stori ya Mussa nzuri sana ila anavuruga vuruga' davi si mwambie mussa aende kwenye maada mnatumalozia mb bhana
@jotafungo4622
@jotafungo4622 3 жыл бұрын
Uchawi hoyeeeeeee
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
Hii story iko dope hatari
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
Sanaa
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
Za asubui kipenzi😍😍😘😘
@aiyamhassan1321
@aiyamhassan1321 3 жыл бұрын
Leo mapema mama
@somoeawadh7774
@somoeawadh7774 3 жыл бұрын
@@FFL-X1D alhamdulillah sweetheart
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
Nmefurai kuxkia hivo kipezi😍😍😍😍😘😘
@jjrussell081
@jjrussell081 3 жыл бұрын
Ufufuo na Uzima( wanamuita, “mheshimiwa “Askofu”...!
@rukiyaabdulrahman7770
@rukiyaabdulrahman7770 3 жыл бұрын
Mr Everything mwambie musa chesa awe kwenye Mada
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
Mussa Chesaaaaaa👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏😍😍😍❤❤❤
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤🤝🤝🤝🤝🤝😍😍😍
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@FFL-X1D mussa chesa anaweza kuwa shemeji yako sasa. Zabroni simtaki tena😂😂😂😂😂
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 maa shaa Allah 😂😂🤣🤣🤣 tsha sana wngu🤣🤣😘😘😘😘
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 жыл бұрын
@@FFL-X1D 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
@@pilimusa7770 😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
Fm morn khulood mwanaidi upo? Nasra Dodo salim mariam credo salim salim Fundi wetu upo? Rizki Fatma Nguwalo Ezakia Abdi upo? cute emmy najma Farhat salum upo? Aisha sophia njoon 😍😍🇪🇭🇪🇭
@Teacher_01
@Teacher_01 3 жыл бұрын
❣️❣️❣️❣️
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
@@Teacher_01 Nmefurai kukuona mdogo wngu😍😍😘😘
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
@@Teacher_01 za asubui😍😍😍😘😘
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
@@FFL-X1D nimekuja pamoja Sana
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 3 жыл бұрын
@@fatmaalrshdii7615 Nmefurai kukuona kipenzi😍😍😍😘😘😘🤝🤝🤝
@KariukiRoysambu
@KariukiRoysambu 3 жыл бұрын
Hapa kwa Mata sihami ng'o
@babymkuya359
@babymkuya359 3 жыл бұрын
Nimechelewa jamn
@kevinlembela2455
@kevinlembela2455 3 жыл бұрын
Yes mussa chessaaaa
@kalssambaboo9932
@kalssambaboo9932 3 жыл бұрын
Nihatr sana endelea kuleta tobha yakweli
@marthamaligo458
@marthamaligo458 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@oswardalphonce6352
@oswardalphonce6352 3 жыл бұрын
Nakubal kaka
@sheikhabdallahiddi3350
@sheikhabdallahiddi3350 3 жыл бұрын
Pwana mmpoona usemi .kama unataka kutobowa siri sema.unavuta maneno sana
@deusntobi1450
@deusntobi1450 3 жыл бұрын
Davsta mata. Jitahidi uwe unawaongoza wasimliaji wako vinginvyo story zinakosa mtililiko mzuri
@zoey2635
@zoey2635 3 жыл бұрын
Yani Mambo ya kichawi ni uchafu uchafu tu damu damu,vinyesi kuchamba vitabu vya dini Yani kinyume nyume tu , mungu tunusuru
@answarmusaanswarmusa5797
@answarmusaanswarmusa5797 3 жыл бұрын
Ndioo tuko ndani
@harididiuchile9468
@harididiuchile9468 3 жыл бұрын
Davista kuwa makini na sound ya beat cop
@salmaluhombero8466
@salmaluhombero8466 3 жыл бұрын
Kaka Musa inabidi uandike kitabu cha testimony isaidie wengine na utengeneze movie
@fatmafatoom6553
@fatmafatoom6553 3 жыл бұрын
Mmhhh hamlali ,,, yaaan dk zinaenda sw na idad ya walowahi
@Teacher_01
@Teacher_01 3 жыл бұрын
Mapenzi hayaa jaman.. tunazindikwa kisir kumbe.. Wanaume mungu anawaona jaman 😂😂😂
@msalimsali6989
@msalimsali6989 3 жыл бұрын
Nitumie no
@FFL-X1D
@FFL-X1D 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 3 жыл бұрын
Yani we Acha tu
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Huyu jamaa aliacha hii kaxi oneyr agoo mana nimeona iterview yake kwa channel fulani kumbe uliacha kuwangaa mdaa congr
@twalibmakau8380
@twalibmakau8380 3 жыл бұрын
Sema jamaa anao gea Sana yani too much talking na much know, but I anaimgizia story tofauti na anaruka kustopisha story,, anaboa
@vellarose2596
@vellarose2596 3 жыл бұрын
Ndani
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
😬😬😬😬😬😬😬damu yakuku wewe ulikuwa over jini kuiniwaaa AI AI
@credo7837
@credo7837 3 жыл бұрын
Haya sasa
@samakqlasamaka4508
@samakqlasamaka4508 3 жыл бұрын
🙇🙇
@mshua337
@mshua337 3 жыл бұрын
✌️✌️
@trixiecyja2513
@trixiecyja2513 3 жыл бұрын
Jamani hili li Agent la kuzimu limeanza tena.Damu ya Yesu ikomboe fikra zenu. This Guy is Fake.Sikilizeni kama story to au movie.Mungu hausiki hapa.
@hamisihassan2620
@hamisihassan2620 3 жыл бұрын
Wewe davister wacha maswali mengi watutoa moral bhana
@abubakarwadi5773
@abubakarwadi5773 3 жыл бұрын
Promo
@allyndingo1812
@allyndingo1812 3 жыл бұрын
Twend kaz
@zaytunhijja6771
@zaytunhijja6771 3 жыл бұрын
Lete nyengine tutachangia bado🤣🤣
@margaretachieng9887
@margaretachieng9887 3 жыл бұрын
Story power sana
24 Часа в БОУЛИНГЕ !
27:03
A4
Рет қаралды 7 МЛН
Thank you mommy 😊💝 #shorts
0:24
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 33 МЛН
UTABIRI HUU ALIO UTABIRI MWALIMU NYERERE UMETIMIA KWA ASILIMIA 100%..?
9:13
NON-STOP - FULL EPISODES - +4 Hours - The Beginners Bible
3:45:35
The Beginners Bible
Рет қаралды 17 МЛН