I'm in China but I'm listening to you cause I'm Chinese who born in Tanzania
@tiamo7263 жыл бұрын
Awww so cute can u speak swahili
@fredrickmichael23173 жыл бұрын
Vinzuri
@xinyingmiao49963 жыл бұрын
Yes mimi penda sana swahil
@laulentselestine25853 жыл бұрын
@@xinyingmiao4996 basi me najitolea kuwa mwalimu wako kwanzia leo hii laulent012@gmail.com, nitafute
@luciamutongore7993 жыл бұрын
Waaooo hongera sana! Karibu😘
@yvettekyalika9073 жыл бұрын
💃💃🔥🔥Glory be to God!.. Aksanti sana kwa ushuuda yako ndugu Musa... Thanks for your team , may GOD guide you Davistar..
@carolinetalam58323 жыл бұрын
Good afternoon Mr Everything tuned from 🇰🇪 🇰🇪
@RobisonJuliusАй бұрын
Mussa chesa i mis you, Barikiwa pia Mungu awe nawe,
@babyboss28863 жыл бұрын
Aah mie siku Ali ku aki nmefika jamani gari lilikuwa na matatizo ila nipo naombeni maji Asante DM kwa kazi nzuri
@realestjazmine72613 жыл бұрын
Nawaombea Sana Musa na Davi Mungu aendelee kuwaeka salama siku zote. Davi you are doing such an amazing work, God bless you abundantly!! Ni mengi nimejifunza kupitie video zake. Thank you so much.🙏🏾
@marymeshack36873 жыл бұрын
Kweli kwa Yesu kuna raha umenenepa sana bro
@pilimusa77703 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@capteinchuimchafu78943 жыл бұрын
Yaaan Kuna raha sana
@nicholasgikunju35623 жыл бұрын
Mr everything kazi nzuri kaka brother
@mwitawakimara36493 жыл бұрын
Daaa pole kaka asant kwa kulud kwa mungu
@nelsonpatricioestanislaus71443 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa epusha na shetani.
@ismailkatala47923 жыл бұрын
Huyu mwamba nimewahi kumsikia kwenye njia panda ya clouds kipindi cha nyuma kidogo but story haikuisha.....God is good leo yupo hapa tena 🙏
@sheikhanasser47143 жыл бұрын
👏🏼👏🏼😀 A well come back Umechange kidogo muonekano umenona umekuwa Tokeo moja sijakusahau alipokamatwa na Polisi kuiba kwenye traini usiku amekupiga na bunduki haikuingiya mwili kwako ukaishika bunduki na kuwatayari kuelekeya kwa Polisi anaomba umsameh kuwa ana watoto na ukaingiya huruma kumuacha huru Mola Akusimamie uwezo kuokowa wengine
@veeinn79653 жыл бұрын
Wow mussa Chesa nilikuwa nikimsikia mama akimzungumzia Mungu asifiwe 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@moramora44143 жыл бұрын
Zipporah Amen mungu akuonekanie
@joelmutie21492 жыл бұрын
Asante kwa kumkubali yesu ubarikiwe Sana
@jamesngalijah37103 жыл бұрын
Mzee babaa ww mkali 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@الوردالورد-ز4غ3 жыл бұрын
Amen amen Yesu ainuliwe alikuokoa ili uwataje wataje ndio damu ya watu isidaiwe mikononi mwako
@mwamure1313 жыл бұрын
Imeweza story devistar mata story Appreciate you story ni moto🔥🔥🔥🔥naitazama kutoka swaziland
@rosecruiz43483 жыл бұрын
Nataka nije huko nakujaje🙈
@eshalibaba11953 жыл бұрын
Story tulikua tunasubirii sana🔥🔥🔥🔥🔥Mr everything
@jazzymkalitv55353 жыл бұрын
Mmmh! Mwenyezi Mungu ni mwema. Usije rudi huko uliko toka, endapo maisha ya kawaida yatakushinda.....🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@KariukiRoysambu3 жыл бұрын
Na kweli Mungu hubandilisha watu....sifa Kwake
@akrammahtabi9353 жыл бұрын
Msema kweli mpenzi wa mungu
@matanobaya76603 жыл бұрын
Musa anaeleweka freshi mbona 👍👍
@dallasabinchar51283 жыл бұрын
Story ya kweli kabisa natena ina onekana this is memory yake ya ukweli adja exaggerate kitu na ni life yake akiongea brother good job tuna subiri next kipindi
@rehemabakari4150 Жыл бұрын
Namjuaa huyu ametikisaa kazuramimba uvinza pale yeyey 😅😅😅 alijua kong'oa madaraja ya serikali hehehe mungu Mwema umeokokaaa yesu uinuliwee
@ليلىفاكي3 жыл бұрын
🌹🌹🌹🌹😁😁 Year mungu ni mwema daima milele
@bikaseharsan14673 жыл бұрын
Nakupata from Dubai
@tatuhongeranurushaus4853 жыл бұрын
Mr everything 🥰🥰🥰🥰🥰😘😘😘😘😘😘😘
@peninahmwangi50983 жыл бұрын
Woooi Musa i nee your namba am pastor penina mwangi from kenya
@josephmaganga19313 жыл бұрын
Muyobozi ni sehemu ninayotokea napafaham vizuri sana
@elizanzula83753 жыл бұрын
Very good Mr fact mussa chessa ndani ya channel yetu ya Nguvu.
@answarmusaanswarmusa57973 жыл бұрын
Kaka uko juuu Sana tuuu Leo musa uko naye Wewe hatari🙏🙏salut
@catherinewanjiru71363 жыл бұрын
Mr everything 💓💓💓💓
@macamezunguzungu56973 жыл бұрын
Pamoja saana broo🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿
@danieljoseph16103 жыл бұрын
Hi story tumeisubiria sana afu unatupia kipande kimoja kimoja! Duhh, tupia hata vinne viinne!
@mgenirasimi77713 жыл бұрын
Aaahh huyu mtu leo tupo nae...vzuri sana
@janealowic79832 жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu kwaajili yako
@stevehmc3783 жыл бұрын
First one today 8 second's 😂😂😂😂
@germainndayishimiye868411 ай бұрын
Mungu ni mwema siku zote
@abdimohamed39533 жыл бұрын
👏👏👏👏mussa chesa utambulisho wako tuu unanifanya niwe na imani nakuijua kweli
@ramadhangona90853 жыл бұрын
Hiyo dawa ya kutoungia silaha mwilini huku mwambao wa kenya inaitwa Pufya na masharti ni hayo hayo
@angelicamomoya76823 жыл бұрын
Amen nabarikiwa sana na vipnd vya Davistar, Mungu aendelee kukugusa na kukusaidia tupate mafunzo meng zaid
@mercylinmoraa62296 ай бұрын
Tangu nianze kuwatch davistar chanell av been surprised yaani tanzanias wanapenda ushirikina😢 this is so scary ...Kenyans mko wapi muone wonders
@mamafaiza26513 жыл бұрын
Ilov uu
@jeanbb13853 жыл бұрын
Story nzuri Sana
@nellyrhn43493 жыл бұрын
Story inaonekana ni kali sana tunasubiri party 2
@kashuradiocles10683 жыл бұрын
Ebwana stori Tamu sana
@uwimananadia60663 жыл бұрын
Story ya Musa nishawahi kuiskia akitowa ushuhuda ni nzuri kweli afu umenenepa Musa Mungu ni mwema sana
@husseintayar6993 жыл бұрын
Big up
@suleimaniyasri21663 жыл бұрын
big up dav
@sarahyvonne45803 жыл бұрын
JESUS CHRIST IS MA EVERY THING
@rehemadiye60263 жыл бұрын
Jamani kwa yesu kina raha sana musa chesa kanawili nanilisubiri sana
@nickolousrajabu50013 жыл бұрын
Nakumbuka story ya mussa . Njiampanda ya cloud akiwa na Dr Issac maro . mwaka2014
@stevenrichard1893 жыл бұрын
Aiseeeeee
@africano98.3 жыл бұрын
Mr fact asee tuandalie historia ya Chief kingalu kutok morogor kamtafute ana vitu muhim watz wanapaswa kujua lifanyie ilo kazi ase
@ismailiddy482 жыл бұрын
Twende kwenye point
@mamafaiza26513 жыл бұрын
Nipo Qyuba nakuskia vizurii lov
@hildaernest10903 жыл бұрын
Amen,
@nakiwalahjulliet92083 жыл бұрын
The truth will set us free.
@hadijashabani8903 жыл бұрын
Kaseke kandaga mwakizega muyoboz kote napajuwa hapo nawapata vizur kutoka dubai hapa
@mgalulamatongo40793 жыл бұрын
Huyu jamaa anaongea sanaaaaaaa
@Sarah-hl9lr3 жыл бұрын
Part 2 davy kila saa naja kuangalia nakuta bado
@moshimgaza56423 жыл бұрын
Kapata faida gani zaidi ya laana yam.mungu
@roseuwambe80893 жыл бұрын
Nafurahi kumuona mussa chesa nilikua nasikia jina 2
@linkreuben58043 жыл бұрын
Umefanya jambo la maana SANA Devista kumtafuta Musa. Jamaa story zake zina mafunzo mazuri!
@sarahyvonne45803 жыл бұрын
Musa nakufunika kwa damu ya YESU KRISTO,usiogope kusema, najua kwa kusema tu wengi watafunguliwa,Muda wa dhambi umeisha
@nindemkeremi37083 жыл бұрын
hakuna siku atasema...anazinguaga hivhiv
@daudlangson56393 жыл бұрын
@@nindemkeremi3708 mbona huwa anataja sema zile tv online zilizokuwa zinamuhoj walikuwa wanakata maneno ya majina aliyokuwa anataja
@dorcaskidoti2492 жыл бұрын
@@daudlangson5639 vp una kuwa na number yake?
@aishaally88113 жыл бұрын
Jina limefika kabla ya muhsika hii story itakuwa tamu sana mussa chess uwanja wako
@paulinadavid15393 жыл бұрын
amen amen
@gmdecoration60443 жыл бұрын
Mkianza na mungu tunamaliza namungu aise mziki mnene huu mpaka muda tunaona mdogo davsta ww nijembe zee🙌🙌🙌
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
kabsa shem wngu😂😂😂😂🤝🤝
@gmdecoration60443 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 umemsikia musa chesa niitie nduguzetu uko mambo💥💥💥
Story zako zinafundisha xna na zina2fanya 2imalike kiiman
@kawtharsaleh92293 жыл бұрын
Mussa mwenyewe mzuriiiiii hata hufanani namambo ulokua ukizifanya
@shamilakalinga4373 жыл бұрын
Alhamdulillah wa 15
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
hongera
@shamilakalinga4373 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 😁😁asante san
@bintkijangwa43053 жыл бұрын
Duuh kazi ipo
@vaghoghontweki98273 жыл бұрын
#CHESA NDAN YA NYUMBA,,,WADAU WA MR FACT NJOONI🥰
@fatmaalrshdii76153 жыл бұрын
Nimekuja mdau mwenzangu pamoja Sana
@Fidel60752 жыл бұрын
💯💯
@florencerose8593 жыл бұрын
Handsome man ni mchawi kama Babu makumbwua hayo
@zubedakilenza99983 жыл бұрын
Umewaza kama mimi
@allyndingo18123 жыл бұрын
Htr hii kitu daaaah
@tatukhalid70743 жыл бұрын
Huyu ashawahi kuongea clouds njia panda kitambo sanaaaa namkumbuka huyu wanamuitwa mo chesa
@Teacher_013 жыл бұрын
Kumbe huyu ndio mussa chesa mama eeeee🙉🙉🙉🙊🙊 . Dunia🌍 simama nishukee jaman🙈❣️❣️ Shadow. Fatima. Aiyam. Aisha. Neema. Pillow. Zabia. Mariam. Good luck. Credooo. Good luck.somoe Mjee Jaman mabestie
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
Nmefka kipenzi changu 😍😍😋😋 Asante😘😘🤝🤝
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
umeshndaje dogo wngu😋😋😍😍😍😍
@Teacher_013 жыл бұрын
@@ayshamahariq6665 uwiii nakupenda Sana Dada jaman ❣️❣️❣️❣️❣️
@ayshamahariq66653 жыл бұрын
@@Teacher_01 pia mie mdgo wngu kipenzi😍😍😘😘🤝🤝
@pilimusa77703 жыл бұрын
Ndiyo nimefika asante❤❤❤
@gilberttarimo43353 жыл бұрын
Nakingine kuna wale wezi wanaingia watu wakiwa wamelala na hawasikii je wanatumia dawa gani na ni jinsi gani yakutengua au ni nini chakuweka ili wakitaka kuiweka isifae na wasikike?
@bingwa40393 жыл бұрын
Wanaho dislike hii video ndowachawi wenyew hawa , musa chesa endelea watu wanataka kukomboka kupitia ww ushuuda wako mungu akutie nguvu
@ireneassey7533 жыл бұрын
😄😄😄itakua awaelew kiswahil
@ivaniavianarodrigo72013 жыл бұрын
umeona ee?
@bulugukayala92413 жыл бұрын
Jitahd kutupa elimu
@trixiecyja25133 жыл бұрын
Ndugu mchawi ni huyu Musa .tena ni tapeli jipya mjini, kuwa mwangalifu mimi kashanitapeli..li Agent la kuzimu full mkorogo.
@ireneassey7533 жыл бұрын
Hello bby dav I miss u
@ombeninnko93323 жыл бұрын
Huyu mwamba ni mwizi wa zamani sana 93 nna miaka minne
@tayanabenard43923 жыл бұрын
Sasa Davister part 2 ndio atatuletea kesho muda kama huu....ebu tuwaishie mambo bwana...kwan sh ngapi!!
@badymsuya60933 жыл бұрын
Aisee kwel Yan part 2 tutasubir San 🤣🤣
@tayanabenard43923 жыл бұрын
@@badymsuya6093 tunataka tumuaibishe shetani🐍🐍
@zakariamaina94563 жыл бұрын
Safi kaka amin
@zakariamaina94563 жыл бұрын
Amina
@zakariamaina94563 жыл бұрын
Mimi ni dada ni kerobu
@pili37503 жыл бұрын
Dan kaishia wapi jaman mmalize dan kwanza ila huyu nae yuko ok ❤💋