No video

DAWA YA UCHAWI, UGANGA, HASAD NA MAJINI

  Рет қаралды 105,407

Izudin Alwy Ahmed

Izudin Alwy Ahmed

Күн бұрын

Пікірлер: 120
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin 6 жыл бұрын
Unaweza kuDownload Uradi Huu Kupitia; Maandishi : drive.google.com/file/d/1zuFsPhHrdJ4KTpVnqitsJEYqxzpX32AL/view?usp=drivesdk Sauti : drive.google.com/file/d/1zxn94hp9dytpQy9SieJffjpfy231_8r-/view?usp=drivesdk
@yahyabashir7394
@yahyabashir7394 6 жыл бұрын
Kwaiyo nazisoma hizo zote asubuhi na jioni?
@halimaalikhalid5857
@halimaalikhalid5857 6 жыл бұрын
uradi
@motemohammedmote234
@motemohammedmote234 6 жыл бұрын
Izudin Alwy Din Assalam aleikum vipi hali yako ustadh na swaum mm nko na dadangu huu mwaka wa tano asumbuliwa na ruhani naomba no.ya sheikh au ustadh ambae husomea watu uradi kwa hisani yako
@kingoman7895
@kingoman7895 6 жыл бұрын
Shukran sheikh
@reemiiomar9386
@reemiiomar9386 6 жыл бұрын
Mote Mohammed Mote msome huo uradi n mutawakal kwa Allah inshaaAllah itakuwa Tiba kwake
@nabilarukundo779
@nabilarukundo779 3 ай бұрын
Alhamdulillah ime ni saidiya sana
@mariamriziki366
@mariamriziki366 5 жыл бұрын
Asalam alekum. Na. Shukuru. Sana she he kwa. Dual imeni saidia sana nae ndelea vizuri mungu a. Kupe umri akupe afia. Njema akuzidi. Shie imani ya dini akulipe malipo. Mema. Inshaa. Alaa
@afric01
@afric01 2 жыл бұрын
Aslm alkm ww.... Shukran sana Sheikh wetu kipenzi. Jazakallah kheir 🙏
@latifahkhalid7261
@latifahkhalid7261 2 жыл бұрын
Assalaam alykm sheikh Kwa tulio nje ya nchi hatuko Nairobi tunapataje huo uradi sheikh tafadhal msaada wako.shukran
@hamisimuhammad3656
@hamisimuhammad3656 Жыл бұрын
Nenda ktk play store andika wirdul imaami nnawawi itakuja alafu download kwahiyo itakaa ktk simu yako utakua unasoma mwenyewe
@allyrashid8738
@allyrashid8738 6 жыл бұрын
Nakukubali san sheikh wang na napenda sna mawaidha yako huwa nayafahamu san
@muhammadkhatwab
@muhammadkhatwab 6 жыл бұрын
Ally Rashid Jiunge na group la sheikh Izuddin Uliza ujibiwe ya whatsap +254 701 662152
@kingoman7895
@kingoman7895 6 жыл бұрын
Hili group ni la mchanganyiko au wanaume tuu
@muhammadkhatwab
@muhammadkhatwab 6 жыл бұрын
Kuna la wanaume kando.. Na la wanawake kando
@safiachilumba4913
@safiachilumba4913 6 жыл бұрын
Shukran Sheikh....Allah akulipe Kwa wema wako,Allahumma Aaamin.
@zainabuhmbabazi4928
@zainabuhmbabazi4928 5 жыл бұрын
Jazakallah khayr fidunia wal Akhera
@zainabuhmbabazi4928
@zainabuhmbabazi4928 5 жыл бұрын
Ndo mawaidha nimeskia leo asbuh kwa Radio jazakallah khayr
@user-vu3rh4ve5w
@user-vu3rh4ve5w 11 ай бұрын
Allah atufanyie wepes inshaallah 🤲
@samirseifalhinai3975
@samirseifalhinai3975 3 ай бұрын
Akhuy wetu Allah akulinde
@muhammadahmedaliyyu3854
@muhammadahmedaliyyu3854 4 жыл бұрын
BAARAKA LLAHU LAKA FII AHLIKA WA MAALIKA ❣️ ❣️ ❣️ jazak Allah khayri kwa faida muhimu Sana ❣ Alhamdulillah nimeupata Alhamdulillah RabilAallameena 🙏
@ashurarajabu5720
@ashurarajabu5720 4 жыл бұрын
Namim naitaj
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 2 жыл бұрын
Ni_saidie_na_mie_niupate_plz
@nadiaba6418
@nadiaba6418 2 жыл бұрын
Uradi Nawawy na ratibul hadad ukisoma kwa kuamini nusu saa kabla maghrib haigi wala mchawi wala jini na kutoacha kusoma suratu baqara ndani ya nyumba
@munaabdullahi6796
@munaabdullahi6796 3 жыл бұрын
allah s.w akuhifadi amiiiin allahuma amiin
@imransalim6352
@imransalim6352 6 жыл бұрын
Shukran na mungu akuongoze akupe afya njema uwe na uwezo wakutupa elmu
@mohamedjuma8153
@mohamedjuma8153 5 жыл бұрын
mbona siuoni huo uradi naomba niuone
@maulajr922
@maulajr922 3 жыл бұрын
@@mohamedjuma8153 ingia play store andika wird imam nawawy
@shuklaniakimana6057
@shuklaniakimana6057 3 жыл бұрын
Ni uradi yupi
@mariamriziki366
@mariamriziki366 5 жыл бұрын
Asalam alekum Tue tusome huo uradi. Sababu nisubiani m baya. Nanina majini. Wacha. Fu pamojana hasadi maana. Ziko nyingi kwenye. Enter. Nete. Sijui. Ni IPI .mungu akuli. Pe duni ani. Na. Ahera lnshaa laa
@nasraabdi1529
@nasraabdi1529 5 жыл бұрын
Jazakallahu kheir Sheikh
@maisaalawi5399
@maisaalawi5399 4 жыл бұрын
Subhana Allah.
@SautiSalim-ev1sy
@SautiSalim-ev1sy Жыл бұрын
Dua gani ustadh
@bintkirunga1407
@bintkirunga1407 5 жыл бұрын
Shukran naomba kuliza sauti pia uoisikiliza yaan niwachi usiku mzima he yafaa ndani chumban
@abubakarsalim1977
@abubakarsalim1977 4 жыл бұрын
Yafaa
@abubakarsalim1977
@abubakarsalim1977 4 жыл бұрын
Yafaa
@pilimusa3217
@pilimusa3217 2 жыл бұрын
@@abubakarsalim1977 huu uradi unaweza kusikiliza tuu ukiwa hujuwi kusoma?
@al-islammuongozo5635
@al-islammuongozo5635 4 жыл бұрын
Salaam alaykum. naomba kuuliza vipi hii dua waeza kuandika kwa zafarani na kutumia. Salaam alaykum
@monnyselly2317
@monnyselly2317 5 жыл бұрын
In sha Allah sheikh
@minaraweso9058
@minaraweso9058 5 жыл бұрын
She he naomba jina la hiyo dual Mimi Niko tz
@abubakarsalim1977
@abubakarsalim1977 4 жыл бұрын
Unaitwa : Wirdul imamu nnawawiy
@hishamadnan860
@hishamadnan860 6 жыл бұрын
شكران يا شيخ
@hadyahaydar31
@hadyahaydar31 5 жыл бұрын
مشاءالله ❤❤
@neemacharles8046
@neemacharles8046 Жыл бұрын
Sheh Mimi nasmbuka na pepo
@zindunambaruku7975
@zindunambaruku7975 10 ай бұрын
Shekh naomba nami nitumie huu uradi nisome
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 2 жыл бұрын
Ambae_kapata_hizo_Dua_atupe_na_sie_wengine_TUNASHIDA
@gitonga7054
@gitonga7054 6 жыл бұрын
Mashallah Tabarakallah
@buherokozi5662
@buherokozi5662 6 жыл бұрын
Tufundishe sheikh wengi tunautaka kuujuwa tupo mbali
@abdallaali3133
@abdallaali3133 4 жыл бұрын
Tutaupataji huu uradi shkhe
@maulajr922
@maulajr922 3 жыл бұрын
Andika wird imam nawawy Play store utaiona
@hiyqnghiyqng
@hiyqnghiyqng 3 жыл бұрын
Aa sheikh nauliza nko n mtu nmemkodisha nyumba yngu n sai naskia fununu n mtu w kufanya ramli mm sijamuona naskia tu. Hukmu yang n gni n je naeza muacha aendelee kuishi ama
@maryamhassan1154
@maryamhassan1154 11 ай бұрын
Tafuta ushauri kwa sheikh ili ujue
@athumanikhamisi3377
@athumanikhamisi3377 Жыл бұрын
شكرا جزيل
@shekhaswaleh5654
@shekhaswaleh5654 11 ай бұрын
Jioni ya saa ngapi baada ishaa ama
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 4 жыл бұрын
MashaAllah
@samiyamwinyihaji1351
@samiyamwinyihaji1351 Жыл бұрын
mashallah
@husseinmwatamu896
@husseinmwatamu896 2 жыл бұрын
Sheikh ni sahihi kwa muislamu kutumia dawa kutokana na miti ili kutibu uchawi mwilini?
@hamisimuhammad3656
@hamisimuhammad3656 Жыл бұрын
Hakuna tatizo kutumia miti ktk kujitibu kwani kilichokatazwa ni kumshirikisha mwenyeezimungu Yani kuombwa asiekua mwenyeezimungu au kumtegemea asiekua mwenyeezimungu (Allahu aalam)
@tumahmoha3478
@tumahmoha3478 5 жыл бұрын
Haipo sheikh hio dua..
@bxgdhydydh6505
@bxgdhydydh6505 5 жыл бұрын
Mm nnayo nipe namba nikutumie ..ila nimejifunza sana na bado naumwa sana
@tumahmoha3478
@tumahmoha3478 5 жыл бұрын
@@bxgdhydydh6505 ntumie please +97332308541
@bxgdhydydh6505
@bxgdhydydh6505 5 жыл бұрын
Sawa nakutumia Ukhty
@noreenalriyam2892
@noreenalriyam2892 5 жыл бұрын
Na mimi naomba plz nyiraad
@bxgdhydydh6505
@bxgdhydydh6505 5 жыл бұрын
@@noreenalriyam2892 ntakutumia baadae niko bzz mwenzio but send your contact first
@repentingservant4384
@repentingservant4384 4 жыл бұрын
sheik kwa sasa hizo dua nitapata hadi wa leo
@maulajr922
@maulajr922 3 жыл бұрын
Ingia play store andika wird imam Anawawy
@samirseifalhinai3975
@samirseifalhinai3975 3 ай бұрын
Nataka nifundishe mm nipo Tanga
@shekhaswaleh5654
@shekhaswaleh5654 11 ай бұрын
Assalam aleikum na yasaidia kama mtu ana jini mahaba?
@zalhaally9717
@zalhaally9717 4 жыл бұрын
Sasa kama huezi kusoma je yafaa kusikiliza tu
@mudhihirimwasha264
@mudhihirimwasha264 2 жыл бұрын
Mudhihiri mwasha
@kingoman7895
@kingoman7895 6 жыл бұрын
Sheikh kwahisani yako nitaupataje huo mm nipo mbali tafadhali nauitaji sana huo uradi
@reemiiomar9386
@reemiiomar9386 6 жыл бұрын
King Oman ipo KZbin ww andika wirradatul nawawi itakuja
@kingoman7895
@kingoman7895 6 жыл бұрын
Reemii Omar shukran sana jazzakaallah kheri
@salmamukeshimana6720
@salmamukeshimana6720 5 жыл бұрын
Sheikh naipataje mm niko bali Belgium
@bebisheni4380
@bebisheni4380 4 жыл бұрын
ustadhi unauza dua umenikera
@shuklaniakimana6057
@shuklaniakimana6057 3 жыл бұрын
Aالسلام عيكم ورحمة الله وبركاته
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 3 жыл бұрын
Rudia kuskiliza taratibu , sikiliza vizuri , Shekh hauzi hiyo Duaa , ameiandaa kamkabidhi kijana ana stationery office yake hapo nje ya msikiti , ambae utamlipa gharama ya photocopy anakupatia hiyo Duaa . Hebu Mtake radhi Shekh .
@warda7373
@warda7373 5 жыл бұрын
Shuqran
@athmanndurya714
@athmanndurya714 Жыл бұрын
Wapi
@rehemamsuya2263
@rehemamsuya2263 6 жыл бұрын
Shehe naipataje hiyo
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin 6 жыл бұрын
rehema msuya Unaweza kuDownload Uradi Huu Kupitia; Maandishi : drive.google.com/uc?export=download&id=14Hlqh7xHnwOX1MtpDNkkqP3iozTbwqI- Sauti : drive.google.com/uc?export=download&id=1JomKI0Kvwna4ocyM89SZuhULl65fnwie
@wazirimathayo9266
@wazirimathayo9266 6 жыл бұрын
Nakuelea San shee wang
@ramseydigitalempire4117
@ramseydigitalempire4117 6 жыл бұрын
rehema msuya Kim
@ashajuma5981
@ashajuma5981 5 жыл бұрын
mie nadownload lkn siupati naomba mnitumie kwa whatsapp jamani 0687 500988
@fabianjordan5837
@fabianjordan5837 4 жыл бұрын
Asalaam aleikum mashallah nafaidika na mswaidha yako nimejaribu Ku down load imenikataa naomba nitumie kwa whatsap 0711260953
@amanihamisi5687
@amanihamisi5687 4 жыл бұрын
Naomba namba yako Shekhe
@mlowombozi9726
@mlowombozi9726 4 жыл бұрын
Tulio mbali unatusaisiaje mi nipp mbeya
@IzudinAlwyDin
@IzudinAlwyDin 4 жыл бұрын
Mbeya sio mbali ukitaka waweza kusaidiwa in sha allaah
@maulajr922
@maulajr922 3 жыл бұрын
Ingia play store andika wird imam nawawy
@abdulmbaruku9177
@abdulmbaruku9177 Жыл бұрын
@@IzudinAlwyDin shekh dua kuondosha chale toch ni hipi na dawa ya kifuta chale ni hip maana mi nasoma sana huo urad ila shida sasa nimewekwa chale toch nafanyeje
@almasmkenga6675
@almasmkenga6675 4 жыл бұрын
Asalamaleykm nasumbuliwa na jini kuanzia 2015 mpaka sasa la sihiri upande wa kifuani naomba msaada o745043984
@kangarohomarandu5843
@kangarohomarandu5843 4 жыл бұрын
0769723247
@mikealeck6447
@mikealeck6447 3 жыл бұрын
Una pumu ww.
@jafalyadam6126
@jafalyadam6126 3 жыл бұрын
Nitumie,wasapu namba 0714821741 helanakutumia ninashida nakuomba nakuomba sana shekh ninashida
JE NI LAZMA KULIPA SWALA?
20:54
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 1,7 М.
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 14 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 16 МЛН
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 6 МЛН
NAMNA YAKUJITOA KWENYE MATATIZO NIHIVII.
20:35
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 14 М.
DUA YA MATATIZO YOTE
3:27
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 19 М.
ALAMA ZA HASAD
46:59
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 156 М.
SWALA YA TASBIH
47:43
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 69 М.
JE MWANAMKE HUTOKWA NA MANII
10:26
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 152 М.
NAMNA YA KUOKOKA NA HASARA
1:30:54
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 8 М.
UMUHIMU WA KUSOMA AYATUL QURSII
11:13
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 30 М.
ALAMA ZA KUPENDWA NA MOLA (1)
27:11
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 66 М.
VIPI UTAOGA JANABA
17:27
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 289 М.
NAMNA YAKUONDOSHA MATATIZO
1:09:56
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 21 М.
王子原来是假正经#艾莎
00:39
在逃的公主
Рет қаралды 14 МЛН