shekhe nakushukuru sana Allah akupe kila lenye kheri na wewe, akupe maisha marefu akulinde kila mabalaa ya ulimwengu akupe pepo y juu say amiiiin kila anaemckiliza shekhe wngu huyu
@amneothman23013 жыл бұрын
Amiin
@viviankamunde83673 жыл бұрын
Allah na akuzidishie Rehema na Neema kupitia mafundisho yako ambayo nimekuwa nayasikiliza nimejifunza Uislamu ndio Dini ya Haki na Kweli nashukuru Allah kwa kukutumia wewe nikayajua hayo Asante
@LatifaLatifa67-ho1zr4 ай бұрын
MashaAllah ❤
@kisimatikisimati99466 жыл бұрын
Mwanamke hutowa mani.. lakini haitungi mimba , hushushwa na mwanamke kuonyesha kafika kileleni tendo limefika mwisho , Mwanaume hutoa mani zenye mbegu , mtoto kufanana na upande wa mama au baba ni uumbaji wa mwnyezi mungu Allah s.wt , ukisoma kati QURAN surat at kawir .. aladhi qalaqaka fasawaka fa adalak fii surat mashaallah raka bak , mwenyezi mungu anasema amekuumba wewe mwanadamu kisha akakuweka sawa ktk sura anayoipenda.. " Sasa hapa inaonesha wazi kuwa sura ya mtub au maumbile ni ALLAH S.W.T ATAPO TAKA UFANANE NANANI.. MWANAMKE HANA JEURI YA KUMPA SURA MTOTO AU LOLOTE..LILE... SHEIKH DHULKALNAIN
@ummukulthumdaffi71856 жыл бұрын
Masha Allah sheikh lugha yako yaeleweka uzuri tuu ...Allah akuzidishie uzidi kutuelimisha
@najmaomar62626 жыл бұрын
Ummukulthum Daffi aamiin
@samirahassani8606 Жыл бұрын
Shekh ahsante mashallah nimecheka Sana iyo Kuna ikhlaf ya Wana zuoni😀😀😀😀😀
Kuna swali nyingi nataka niulize sasa sijui niulize nani
@swalhathabdulrahman71295 жыл бұрын
Mashaaalah VP Huyo ambaye bikra Hatoki damu inakuwaje
@husseinyhassany56965 жыл бұрын
Wlh mungu yuwajua vipi dada
@sayyidathmanabdulrahmanhh14673 жыл бұрын
Na kama ni bikra hatoki damu jee aoleka?
@fahadfahmy6 жыл бұрын
Abdulrasul Issa ndugu yangu dini haifichi kitu shekhe Izudin yupo sahihi kabisa.
@gavinskylar7513 жыл бұрын
not sure if you guys gives a damn but if you are bored like me during the covid times then you can watch pretty much all of the latest series on instaflixxer. Have been streaming with my gf these days =)
@maximobriggs84993 жыл бұрын
@Gavin Skylar yea, been using InstaFlixxer for since november myself :)
@abuuzuberi98873 жыл бұрын
Shehe Allah akulipe Kwa elimu hizi ktk mtandao
@samiahabubakar18636 жыл бұрын
mashaallah mwanamke akitokwa na manii raha bwana adi wewe mwsnaume mwenyewe unainjoy
@user-lw3qd3bn9z6 жыл бұрын
Samiah Abubakar 😀😀😀😀😀😀😀😀😀raha thele
@lacroquetalacroqueta68136 жыл бұрын
نجمه العلي tena kwa kina kileleni😁
@user-lw3qd3bn9z6 жыл бұрын
distinctively Pukka hpo chachaaaa
@sallysally82286 жыл бұрын
😅😅😅😅
@rukiaswadaktaamanenokuntus31256 жыл бұрын
Samiah Abubakar mashalla
@abullahkabaka87744 жыл бұрын
MASHALLAH ALEIK.SHEIKH
@doctorfaki2775 жыл бұрын
Amashallahu l akuzaidishie shekhe
@abdirahmanbonaya38053 жыл бұрын
Allah akubariki
@leilahassan67315 жыл бұрын
MashaAllah darsa zako zaeleweka na si boring unatuchekesha sana
@slowclimbertothetop45724 жыл бұрын
Maashallah anajitahid sana
@user-yn8yj5xf2p5 ай бұрын
Kwa kweli wallah
@biashaali3794 жыл бұрын
nime shkuru sn Alhamdulilah ustadh
@muriphehamza5475 жыл бұрын
جزاك اللهُ خیرا
@abdallahmuhammad47296 жыл бұрын
shukran Akhy Izzu Dyn ufaswaha wako ndio unaotufanya tufahamu vyema.Na hivyo ndivyo inavyotakiwa mas'ala ya Dyn yaongelewa waziwazi ili msikizaji km mafuhumi yake ni ndogo apate pia kuelewa vzr.Shukran
@akidalema27904 жыл бұрын
Jazkaallah kher
@RehemaMohammed-kr1cu2 ай бұрын
Je,yawezekana,kufunga,wakati,wahedi,ya,
@user-ni4ji5kp4e Жыл бұрын
Shukurani san shekhe ❤❤
@adamanthony80256 жыл бұрын
nakukubali sheikh Izudin Alwy Din
@haqiirilfaqiirilmukhtaajmi11916 жыл бұрын
Samahani sheikh allah akulipe kwanza kwakuieneza elimu .... Hapanina swali juu yakuyabaini manii maana husemekana maji yasampuli hii hufukia hadi NNE ... Afwan
@amuunyussuof52406 жыл бұрын
Nice
@omarawadh13896 жыл бұрын
Kila anaeangalia bc ni wajibu wake kuyajua na hakerwi na kinachozungumza. dini haifich kitu
@najmaomar62626 жыл бұрын
Omar Awadh naam
@abrarabgao6 жыл бұрын
JAZAKALLAHU KHAIR
@najmaomar62626 жыл бұрын
Abrar Abgao Aamiin
@rukiarukia97496 жыл бұрын
mashaanllah tabaraka nllah
@AminaJuma-o2o15 күн бұрын
Je ukatizama video kisha ukatokwa na manii je utatatiwa kuonga
j A mwanamke hatoi manii shekhe amekariri uyo atoke manii anamzalisha nani nawewe umekubali kuburuzwa nahuyu ustadhi hana elim akasome vizuti tafsiri ya vizuri
@mzeemwamguno93674 жыл бұрын
Shukraniii shekhe
@lacroquetalacroqueta68136 жыл бұрын
Mada hii inasisimua akili,Sheikh tupe ilmu SUNDUKI.waambie watie hand bireki😁
@likeothers24984 жыл бұрын
Kabisaa
@khamismusa76266 жыл бұрын
Shukran sheikh
@bintialimwahezi51236 жыл бұрын
Ustadhy this is to much😂😂😂😂
@IzudinAlwyDin6 жыл бұрын
Bintiali Mwahezi pole nduguyangu kama nimekuudhi bt ni meulizwa jee mm nimakosa kujibu aw wataka nijibu vibu vipi ? Nisaidie maoni pls ?
@bintialimwahezi51236 жыл бұрын
Hamna nimeridhia hilo jawabu naona umejibukiufasaa ndio mana nimefurahi bigup....
@IzudinAlwyDin6 жыл бұрын
Bintiali Mwahezi Sawa na nikikosea pia nirakibishe pls mm mwanadamu .
@yasobush6 жыл бұрын
Mashallah best shekh
@ilhamprecious88166 жыл бұрын
Km mwanamke haja tokwa na maniii je au asioge????
@iddysudy59105 жыл бұрын
ilham precious Mkishaingiliana tu lazima kuoga janaba
@omartehseen21286 жыл бұрын
MashaAllah
@imanikilihindi31846 жыл бұрын
Shukran
@alidingongo4436 жыл бұрын
Hahahaha kutokwa na manii kama kamasi
@maryammaram26126 жыл бұрын
Ali Dingongo 😂😂😂
@maryamomarswaleh42554 жыл бұрын
Umeskiaa eeee hhhhhh 😁😁😂😂
@swabirsalim1225 жыл бұрын
abdulrasul Issa umetumwa ww kumkashif shekhe waacha ya muhimu wapiga vita shekhe
@asiakheir64066 жыл бұрын
Shekh hakika wanaumewengi hawajui kama mwanamke hutokwana manii
@chepason72126 жыл бұрын
Asia kheir hamtoki na manii bana embu kasome vuzuri bana kama huna elim tuukize utoke na manii unamzakisha nani
@asiakheir64066 жыл бұрын
Abtwalibu Chepa , aa kwani hujui basi wanawake tunajua
@pinkymahsen79447 жыл бұрын
Shukrn
@mozasuleiman27536 жыл бұрын
Dini haifichi kitu mbona kafahamisha vizuri tuu
@mishisaidi86966 жыл бұрын
shkurani sheik ata mimi hii ilikuwa yanisumbua
@sabrimohd7533 жыл бұрын
Salama aleykum..mimi naomba kufahamu kwamba kutia nywele rangi nyeusi haramu je ndevu hukumu yake vp??
@lailat86866 жыл бұрын
a'ghlyk naomba namba yk shekh
@saumuseif91894 жыл бұрын
Shukran saan
@sahlomar63974 жыл бұрын
Apigwe mbati
@fauziamwakunena5496 жыл бұрын
😂😂😂😂je ukifikiria utokwe na manii pia uwoge
@IzudinAlwyDin5 жыл бұрын
Ndio lazma uogee
@switbebyshaheen6305 жыл бұрын
@@IzudinAlwyDin sheikh naomba number yako pls
@IzudinAlwyDin5 жыл бұрын
@@switbebyshaheen630 +254772611120
@cookinglist10043 жыл бұрын
uoge kama umefikir tu ,kama unanyo oga janaba ?au kuoga kawaida tu yatosha.
@salummsangule75136 жыл бұрын
ASANTE SHEKH
@imranshomarysalehe94926 жыл бұрын
sheikh nataka kujua wewe ni mwenyeji wa wapi
@zamilmohammed60376 жыл бұрын
Izudin Alwy Din ww amu ustadh😁😁😁😁😁😁
@zamilmohammed60376 жыл бұрын
Izudin Alwy Din ww ni wa amu😁😁😁😁
@estherchamhene2126 жыл бұрын
Imran Shomary Salehe mombasa
@hashimjuma12174 жыл бұрын
Shekh mm swali lngu ikiwa mtu katoka kwenye uzazi na tyri ameshaoga arubaini bdo anatoka uchafu ambao unatka kufanana kma manii huyu yye ataoga vipi
@imranshomarysalehe94926 жыл бұрын
asante
@somoeabdallah64847 жыл бұрын
shukran jazzakillah khairab
@somoeabdallah64847 жыл бұрын
jazzakallah khairan
@salummohamed38604 жыл бұрын
shukran
@zeddynatty93385 жыл бұрын
Sheikh nani vile yni unavo toa mawaidha nikama wapiga story nawenzio bado ujajua kutoa darsa..tna uku una laptop. Au ndo new generation..astaghafirullah..
@lutuismail77635 жыл бұрын
Zainabu Musa hayo sio mawaidha hilo nidarsah .ndio maana watu wanauliza maswali.kwenye mawaidha hapaulizwi maswali
@switbebyshaheen6305 жыл бұрын
Zainabu musa kama kitu hujui nyamaza
@zaituninassor4155 жыл бұрын
Alhamdulilha, mwenyez mungu akupe afya njema uzidi kutu helimisha,0718213803 namba yang hyo naomba niunganishe na group la wasp sheikh wang
@hamdukhamis51536 жыл бұрын
saf
@rashidsuleiman26636 жыл бұрын
Huyu shehe anapatikana Wapi kenya tanzania ?
@y6y6hg776 жыл бұрын
rashid suleiman Anapatikana Mombasa
@salwasalwa96176 жыл бұрын
rashid suleiman kenya sehemu ya lamu
@ruwaidatabdallah27696 жыл бұрын
rashid suleiman keny
@salwasalwa96176 жыл бұрын
.kenya mombasa msikiti shibu lakini kwao ni lamu
@nusurakajubu87856 жыл бұрын
mashaaAllah
@rosemarybenjamin43336 жыл бұрын
Manii ni nini
@NB-ed5qv6 жыл бұрын
Rosemary Benjamin Squirting.i think.
@ruwaidatabdallah27696 жыл бұрын
Hahaa
@ibrahimmnyeto58854 жыл бұрын
Naomba uniunganishe na group la kiislam shekh 0754967816
@mwashumunassor3184 жыл бұрын
Shekh naomba niunge ktk group yako namba zangu 0620 198301
@chepason72126 жыл бұрын
nyie ndo mnapotosha dini nyie hamna helim kasome kwanza cha kwanza janaba ni janaba hatakama umeota pili mwanamke hatoki manii kasome quraani vizuri atoke janaba kwani anazalisha we mwehu kweli mwanamke anatoa kitu kinacho itwa miyukasi sio manii
@mwasitiomtima18966 жыл бұрын
Abtwalibu Chepa 😂😂😂na nn maana ya miyukasi?? Kwan manii hayako mfumo wa mucous?? We unaebisha ndio unapaswa ulete ushahid wa kwann unapinga sio unapinga bila kuleta ushahid kama hatoki manii
@ramadhansuleyman76185 жыл бұрын
abutwalibu chepa unachuki binafsi hivi kweli hata adabu huna unamwita mwehu mtu alojitahidi kufikisha kwa uwezo wake wote.
@chepason72125 жыл бұрын
mwasit omtima @ namda sijaingia umu ngoja nikujibu miuykasi ni uteute au majimaji yanayo sababisha kulainisha uke unapo unapo tanuka asiweze kuumia pia huwa unatoka anapo zaa na manii ni mbegu namaanisha ikuta yai likiwa tayari kupokea izo mbegu basi utakuwa mjamzito tofauti kati ya manii ndio iyo uteute wakulainisha uke na mbengu nivitu viwili tofauti
@chepason72125 жыл бұрын
ramdhani suleymani mi huwa sipendi kuona mtu anapotosha watu kwa kupitia dini pia hata mimi niko poa kwenye dini
@muriphehamza5475 жыл бұрын
@@chepason7212 ungekua poa kwenye dini , ungekua na ilmu kwenye dini ,usingemjibu sheikh namna hii na kumwita mwehu, hii ni dhahiri kuwa hauna lolote bali kiburi na kujitia wajua ilhali haujui
@bebisheni43804 жыл бұрын
afu ee Shekhe unanikera maneno yako machafu
@abullahkabaka87744 жыл бұрын
Nimengi machafu na ya wanawake tu
@likeothers24984 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@greysonflams22374 жыл бұрын
Niunganishe na group la kiislam Shehe. 0783198298
@diyaosman89926 жыл бұрын
ماشاءالله تبارك الله عليكwajua sana dini lkn jifunze kuongea vizuri kilamtu asikiliza
@asiakheir64066 жыл бұрын
Diya Osman ajifumzenini? Dini haifichikitu yupo sahihi
@salamashabani41006 жыл бұрын
Diya Osman jaman kila MTU na lugha yake, mueleweni shekh
@ramadhansuleyman76185 жыл бұрын
dia osmani,hii mada yenye asingezungumza hivi isingeeleweka.amezungumza hivi kwakuwa mada yenyewe iko hivyo.
@likeothers24984 жыл бұрын
Uyo ni mlamu mueleweni
@abdulrasulissa9306 жыл бұрын
unaijua dini lakini hujuikuongea kwa hiyo kajifunze kuzungumza vizuri na Watu wanaangalia Watu wengi jaribu kujisikiliza ulioyasema
@salmasalim60556 жыл бұрын
Abdulrasul Issa
@IzudinAlwyDin6 жыл бұрын
Abdulrasul Issa in shallah nitajitahidi shukran kwa maoni yako mola akubarikie
@khalfanfaraji38026 жыл бұрын
Abdulrasul Issa kama mungu amekujalia kipaji cha kuzungumza nivizuri ukitumie vema kwani hio ni neema ktk nema, bora, ltumie vizur kila mwenyekunufaika na tamko lako mungu,hukufutia dhambi ulioitenda kwa kudhamiria na ulio itenda bila kukusudia kwani mungu,ndie anaetujua zaid kuliko kitukingine tkk dunia hii kwani kauli njema pia ni sadaka,mungu, aniongoze mm naww Tue wenyekutoa sadaka?
@maryammeme26156 жыл бұрын
Abdulrasul Issa ww ndo humwelewi sheikh lakini Yuko sahihi mbona
@rahmaomarali41236 жыл бұрын
Sibora aseme waziwazi watu waelewe kwani kuna mtoto anyonyae hapa kwahio hawajui romance nn..sikila mtu naakili yke anaeangalia..maovu yafanywa tele hamuyaoni mwajuwa kukosoa tu
@abuuruqayyah32004 жыл бұрын
Shukran
@haqiirilfaqiirilmukhtaajmi11916 жыл бұрын
Samahani sheikh allah akulipe kwanza kwakuieneza elimu .... Hapanina swali juu yakuyabaini manii maana husemekana maji yasampuli hii hufukia hadi NNE ... Afwan