Рет қаралды 1,096
Karibu Kuungana nasi katika Maombi ya Siku Ishirini na Moja (21) Maombi yakiongozwa na Mwl Renald Mlawi
AGENDA: BWANA YESU UWEKE WAVIZIAO JUU YA WATESI WANGU
2 Mambo ya Nyakati 20:22
Nao walipoanza kuimba na kusifu, BWANA akaweka waviziao juu ya wana wa Amoni, na Moabu, na wa mlima Seiri, waliokuja juu ya Yuda; nao wakapigwa.
+255 758 306 109
+255 677 968 604