DEBATE. Prof. Mazinge azima mbwembwe za Mch. Ndacha kutoka Kenya.

  Рет қаралды 586,205

OBA Online tv

OBA Online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 512
@amirhemed2483
@amirhemed2483 Жыл бұрын
Professor mazinge Allah atakuhifadhi na atakulipa ajra Yako,from🇰🇪
@lizndunchez720
@lizndunchez720 Жыл бұрын
Professor pastor ndacha sio mazinge bado mko chini kbsa
@MayaOuthman-bd8bg
@MayaOuthman-bd8bg Жыл бұрын
Allah amzidishie Uhai na nguvu Ma sheikh wote wanao pambana
@abbakarmwangio7066
@abbakarmwangio7066 Жыл бұрын
Pro. Mazinge Allah akuzidishie maisha marefu ili uzidi kutupea elimu inshaAllah
@abdallamasoudrashid7358
@abdallamasoudrashid7358 2 жыл бұрын
Hongera shekhe mazinge kiukweli mungu akulipe pepo inshaallah wakristo wanajaribu kupambana lakini hawakuwezi kuhoja
@rhiophiri6857
@rhiophiri6857 2 жыл бұрын
Professor Mazinge, you are leaving us wordless, you are making us prove that Islam is a true religion,be blessed Mazinge
@leilaathumani3611
@leilaathumani3611 2 жыл бұрын
Yaallah tujalie mazinge jannatul furdaus 🤲🤲🤲🤲🥺
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Allahum Amiin 🤲 🤲 🤲 🤲
@lizndunchez720
@lizndunchez720 Жыл бұрын
😂😂😂😂 naskia tu kucheka ju y nyinyi
@ABDULKIPAGWILEJR
@ABDULKIPAGWILEJR 11 ай бұрын
amiin
@hakizimanasaidy510
@hakizimanasaidy510 9 ай бұрын
​@@AAA-zu1vypppp
@Hearts_4_Islam
@Hearts_4_Islam 27 күн бұрын
Aamiin Yaa Raaab 🤲🏻❤️
@PetroDeo-s2v
@PetroDeo-s2v 4 ай бұрын
Ndacha fundisha Hawa watu waijue kweli Na mungu awasaidie
@Kitabu_tv
@Kitabu_tv 3 жыл бұрын
Mazingeeeeeeee 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
@yasrially8261
@yasrially8261 3 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu shekhe mazinge
@bhaiyasuba6310
@bhaiyasuba6310 2 жыл бұрын
Allah akubariki na ww
@zwuenakhalfan2098
@zwuenakhalfan2098 2 жыл бұрын
Mashaallah Prf Mazinge Mungu akubarik akuzitishie uzima na Afya uzidi kuelimisha watu wote
@nailahsaeed837
@nailahsaeed837 2 жыл бұрын
Shekh Mashallah Allah akuweke akupe Afya na umri Shekh Mazinge.
@rihanawanzala4335
@rihanawanzala4335 2 жыл бұрын
Yesu ni Bwana... Mukatae mkubali shauri yenyu Hata mkimbinga pole nyinyi
@AlverSmith-lf1np
@AlverSmith-lf1np 10 ай бұрын
Allah akuhifafhi SHEIKH MAZING, from USA
@akeem1221
@akeem1221 3 жыл бұрын
Ndacha kashindwa nyumbani kenya eti kavuka kwenda TZ, huko napo wembe ni ule ule. Shukran Bw Mazinge.
@maherzain615
@maherzain615 3 жыл бұрын
Yap cku hz amegundua tz🤣🤣🤣
@sarahkudoyi4371
@sarahkudoyi4371 2 жыл бұрын
Nani kamvukisha kma sio huyo mazinge wenu na ubishi mwingi na kumbe quran yenyewe hajui na hoja zake duni na bored!!!🙄😏
@jessikaakinyi8445
@jessikaakinyi8445 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Ndacha KAZI nzuri yenye utajiri wa Mungu na team yote
@sawdaasawdaa7903
@sawdaasawdaa7903 3 жыл бұрын
Hatuna la kukulipa sheikh wetu mazinge nawenzake Allah ndiye atawalipeni inshaallah
@abedibrahim671
@abedibrahim671 2 жыл бұрын
Mwalimu Mazinge, le professeur ✊✊ nimekunja ngumi
@emanuelkilanga6446
@emanuelkilanga6446 3 жыл бұрын
Hongera ndacha
@mirajiramadhani8128
@mirajiramadhani8128 Ай бұрын
Mazinge wewe sio mwalimu, Bali wewe unaonyesha njiaaa ya kwenda peponi mashallah ❤❤❤❤ mazinge
@chimamymammy4111
@chimamymammy4111 2 жыл бұрын
Wafundishe sheikh Mazinge watakuelewa 2 inshaallah na watasalimu inshaallah
@ndugumalila3296
@ndugumalila3296 3 жыл бұрын
Alllaah awape kila lakher kwa elimu wanayotoa ya kuwaelimisha wakristo na kufru yao ya mungu ana mtoto
@saidiyusufu5032
@saidiyusufu5032 3 жыл бұрын
Aamiin
@enockkibona7522
@enockkibona7522 2 жыл бұрын
Ndacha anajua sana kujieleza mpaka unaelewa safi sana Mtumishi Ndacha
@eduosamo849
@eduosamo849 2 жыл бұрын
mazingeee is a genius Allah akupe umri mrefu ameen
@mohamedmmuni6189
@mohamedmmuni6189 3 жыл бұрын
Hongereni mashekh wetu kwa kazi mzuri Nina neno kwenye utupiaji video hizi mungetuma video ilio kamili hii ya vipande inasumbua
@MwalimuRichardMwangi.7202
@MwalimuRichardMwangi.7202 Жыл бұрын
Kongole sana mwalimu Ndacha. Kongole sana Ustadhi
@mullahmobam1195
@mullahmobam1195 2 жыл бұрын
Allah akubariki sheikh
@faridahramadhan7180
@faridahramadhan7180 2 жыл бұрын
Mwenyezi mungu ajalie mazinge jannatul firdaus
@jadidially1696
@jadidially1696 2 жыл бұрын
Subbhana manta waahada bil mulki...Ametakasika mola wa viumbe vyote..inshallah allah awalipe nyote mnaoenda fiisabihillah 💪🕌📿
@sarahkudoyi4371
@sarahkudoyi4371 2 жыл бұрын
Watutukane,,watupige mawe,,watudharau na kutucheka ila kwa Yesu ndo hatuondoki ngo'!!!! Jesus is the way,true and life forever!!,,,,,thank you so much our pastors for the good job of preaching the gospel to the lost ones 🙏🙏🙏🙏
@seeker1179
@seeker1179 2 жыл бұрын
lost soul ....may God guide you
@graceatworkanne7670
@graceatworkanne7670 2 жыл бұрын
Jesus Christ name above other names😇 👍🙏
@khuzeimaabdul4275
@khuzeimaabdul4275 2 жыл бұрын
Hujalazimishwa ww ulishapotea ukiwa tumboni
@halfanimwakalinga9894
@halfanimwakalinga9894 2 жыл бұрын
Na Moto nao unahitaji watu usitoke baki huko huko
@abdallahyunus7538
@abdallahyunus7538 2 жыл бұрын
We respect your opinion
@NkurunzizaAudace-u4t
@NkurunzizaAudace-u4t 4 күн бұрын
Rwandan na Burundi tunakupende sana sana P mazing Mungu akubarikiye
@lulmohamed4076
@lulmohamed4076 3 жыл бұрын
Maanshaallah tabarakallah Mazinge.
@issaally7607
@issaally7607 3 жыл бұрын
Wachungaji ukweli wanaujua hawausemi subhanallah
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Wa naogopa ili wa silipwe sunajua wa past mwisho wa mwenz wa na pewa mushahara
@enockkibona7522
@enockkibona7522 3 жыл бұрын
Ndacha yupo vizuri sana safi sana
@MaryamJumwa-mp2ds
@MaryamJumwa-mp2ds 10 ай бұрын
Sheikh mazinge Allah akupe maisha marefu ili uzidi kutufunza dini ya Allah Insha'Allah 🤲🙏
@AyubuIkaku
@AyubuIkaku 6 ай бұрын
Mashaallah. Mwenyezimungu mmoja akuzidishie elimu Sheikh Mazinge.
@michaelocheing6618
@michaelocheing6618 3 жыл бұрын
Kazi nzuri mashekhe Allah.awalinde
@saidiyusufu5032
@saidiyusufu5032 3 жыл бұрын
Aaamiin
@hassanbinsalman1437
@hassanbinsalman1437 2 жыл бұрын
Ndacha huna hoja jibu ulichouliza.Qora'n ni Bahari huwezi kuichambua.
@mwanahalimamwachili9679
@mwanahalimamwachili9679 3 жыл бұрын
Takbir Allahu Akbar, Maa Shaa Allah, Shukran Sana Ma Sheikh, Allah Awabariki. Muzidi Kutuelemisha.
@hamadsultan6305
@hamadsultan6305 3 жыл бұрын
Kazi.mzur.mashekhe.Allah. awalinde
@taifaletutanzanialisingeku8123
@taifaletutanzanialisingeku8123 3 жыл бұрын
Hivi huwa unaangalia na kusikiliza kwa makini mambo haya au upokishabiki?.
@reubenbushiri1753
@reubenbushiri1753 3 жыл бұрын
@@taifaletutanzanialisingeku8123 Hata nashngaa sana naona wanakomenti kwa ushabiki tu.
@ms.zeyana7175
@ms.zeyana7175 2 жыл бұрын
Ameelewa ndio maana aka comment sasa km ww hujaelewa in shaa Allah Mungu akuongoze.. hakika viongoz wetu wa dini wanafanya kazi nzur sanaa alhamdulillah Allah awalipe kheir pale aliporidhia amiyn
@victormtani7170
@victormtani7170 2 жыл бұрын
Ndacha Mchungaji uko sahihi hakika Yesu kristo ndiye Mungu na hakika Waislamu hamuwezi kujipanga na kristo Yesu.
@ismailyussuf1805
@ismailyussuf1805 3 жыл бұрын
YAA ALLAH,MUEZESHE SHK.MAZINGE AWASILIMISHE MAKAFIRI HAO.
@nurunuruadam8110
@nurunuruadam8110 2 жыл бұрын
mazinge hanalolote. vitabuvyakuluanivinginevikowapi. .nikuluanitu
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Allahum Amiin 🤲 🤲 🤲
@AminaSheekh-b5j
@AminaSheekh-b5j 9 ай бұрын
Masha Allah shekh mazinge napenda sana unavopambania dini yako Allah akupe pepo ya firdows.
@hamisibwanamdogo8708
@hamisibwanamdogo8708 2 жыл бұрын
Mashallah shekh mazinge
@AliMohamed-ng5ps
@AliMohamed-ng5ps Жыл бұрын
Mashaallah mazinge wafunze
@hemedijuma6393
@hemedijuma6393 3 жыл бұрын
Hakika mungu awadhidishie kher nyingi kwakazi nzur yakuitangaza dini
@anwarambar6141
@anwarambar6141 3 жыл бұрын
Takbir zitakuchoma Sana,
@hassansaddam-g5o
@hassansaddam-g5o 3 ай бұрын
Dr Mazinge Allahu Akbar Allahu akbar Allahu akbar 💪💪💪💪💪
@SAMUELSIMIYU-cg6jr
@SAMUELSIMIYU-cg6jr 11 күн бұрын
Kongole mwalimu ndacha ❤❤❤ wambie wasikie😢
@KevinKeter-te6yi
@KevinKeter-te6yi Жыл бұрын
Allah atujalie mwisho mwema
@eleasemugo5371
@eleasemugo5371 3 жыл бұрын
Mchungaji watezea wembe......... Mazinge moto wa kuotea mbali Sanaaaaaa........ Sana
@allyissa6705
@allyissa6705 2 жыл бұрын
Mazinge daaaaa hatari
@munirashughuli7224
@munirashughuli7224 3 жыл бұрын
Ndacha humjui Mazinge kiboko wa makafiri
@najmaawadh1359
@najmaawadh1359 3 жыл бұрын
Mm mkenya huyo ndacha naona mkikuyuu maana Kiswahili yke haieleweki
@sarahkudoyi4371
@sarahkudoyi4371 2 жыл бұрын
Aty nani kiboko ya ndacha,?!!!! Na venye anawapiga nyundo za vichwa hadi mizinge yenyewe inachanganyikiwa kma sokwe mtu mzee mmmmh!!!😂😂😂😂
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Ata mujua tuuu😂
@lizndunchez720
@lizndunchez720 Жыл бұрын
Ww ujui nn unasema ndacha moto wakuotea mbli tulia bdo tunasonga uyu mazinge akna ktu anajua
@lizndunchez720
@lizndunchez720 Жыл бұрын
​@@najmaawadh1359ww unaelewa nn unaskia wpi akisoma kma mkikuyu wacha story z jaba kma ww unjua verse gani kma ujui enda ukalale
@jumamatata6690
@jumamatata6690 3 жыл бұрын
Mashallah Sheikh Mazinge Mungu akujalie leo na kesho uwaelimishe walioghafilika
@nailahsaeed837
@nailahsaeed837 2 жыл бұрын
Mashallah shekh wewe kiboko wa Ndacha nimekubali kweli wamueza juu yeye apenda kuweka viraka Sana natoka KENYA
@عائشةعيس
@عائشةعيس 3 жыл бұрын
Mashaallah
@halimahassan8633
@halimahassan8633 3 жыл бұрын
Wallah Raha xna..Allah hwaifadh mashekh wetu jannat iwe makaaz yenu.Amin
@innoipolit5424
@innoipolit5424 3 жыл бұрын
Daaaa ndacha yuko vzuri sana
@benyoussoufaboubcar1575
@benyoussoufaboubcar1575 3 жыл бұрын
Allahuma barik
@amuribacamumihigo5162
@amuribacamumihigo5162 2 жыл бұрын
Kweli kabisaa mazinge Allah akulipe
@twalibusikilinde6255
@twalibusikilinde6255 2 жыл бұрын
Lailah hailahlah
@winnyk.
@winnyk. Жыл бұрын
Congratulations Dacha for standing with the truth about Jesus Christ 🙏
@habibuissa6992
@habibuissa6992 3 жыл бұрын
Allahu akbar
@liyanahilwa9666
@liyanahilwa9666 3 жыл бұрын
Brother Mazinge yangu kwako ni Du'a tu nakuombea na wote wahadhiri Allah awape nguvu,afya,awakinge nakila Bala Shari, NK..na awape Jan'ah Firdaus bighairi hisaab. #Nawapenda mno kwa ilmu na ukakamavu mlo nayo
@ajumaakange1483
@ajumaakange1483 3 жыл бұрын
Mazinge unastaili kuitwa profesa gd
@saidiyusufu5032
@saidiyusufu5032 3 жыл бұрын
Naam
@ajumaakange1483
@ajumaakange1483 3 жыл бұрын
Umeonaeeee gd
@jorammakanya1571
@jorammakanya1571 3 жыл бұрын
Kuna pepo ndani ya mazinge
@halinishibakari5402
@halinishibakari5402 2 жыл бұрын
Muogopeni.Allah wacheni.kupotosha wasiojielewa
@HassanMoshi-v6h
@HassanMoshi-v6h Жыл бұрын
Mashaallah prof mazing-- jazaka llah khayra
@Abdishukriolat
@Abdishukriolat 2 ай бұрын
Petro nenda nyuma yangu, shetani wewe 😂😂😂 mashallah Allah akuwekee sheikhe
@akaniwasamweli5249
@akaniwasamweli5249 3 жыл бұрын
YESU NI NJIA YA KWELI NA UZIMA
@Abdishukriolat
@Abdishukriolat 2 ай бұрын
Hizo ni porojo zako ndo munaamini yesu alikufa sababu ya madhambi yenu ebu wacha kumkejeli yesu kama ww ulifanya zina au ukaiba utajibu ww siku ya kiyama yesu hawezi ekewa madhambi ambayo sio yake😂😂
@albertpike6208
@albertpike6208 2 жыл бұрын
Mathayo 26:62-63 Luka 9:27 maandiko yote yesu anapinga kuwa si mwana wa mungu
@zahratinsaleh1004
@zahratinsaleh1004 3 жыл бұрын
Mazinge ni 🔥🔥🔥🔥🔥
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 2 жыл бұрын
Kinyogoli anamwogopa ndacha ndacha is Geneous
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Mmhhh hakun sik hata moj mwislam agop mukristo
@martinwanjala7658
@martinwanjala7658 Жыл бұрын
Mazinge ata ajielewi mungu ni spirit na sisi ni wanadamu mazinge ana lolote ni uwongo mtupu
@TekkenBeatz
@TekkenBeatz 2 жыл бұрын
Masha allah
@rezikomer9552
@rezikomer9552 3 жыл бұрын
Wacha kukufuru wewe mucrito yote hayafahamiki hata kwa mtoto alozaliwa lewo atajuwa ni uwongo uko wazi unayo yasema ili usikose mkate wako baba subhanallah
@josephsulusi9037
@josephsulusi9037 3 жыл бұрын
Mazinge unapotosha watu wa mungu
@ipyanapaul8268
@ipyanapaul8268 2 жыл бұрын
Mchungaji ndacha ubarikiwe sana mtumishi
@riziwaniismail9373
@riziwaniismail9373 Жыл бұрын
Mabruki mkopi 24:35
@rbagha5280
@rbagha5280 2 жыл бұрын
This Sheikh is Fantastic and Amazing! May Almighty Allah bless him. He is indeed blessed by the Lord of all mankind. Christians, please listen to him without bias. He will guide you, using the Quran, and Bible, to HEAVEN. His arguments make sense. Turn your intellectual cup the right side up so you can receive guidance. If your cup is upside down because of BIAS, you will not get any guidance. Listen to him. It is what your LORD wants. May God, ELAHA in Aramaic, wants you to do. So you too can be SAVED!
@geffkemei1320
@geffkemei1320 2 жыл бұрын
Marko 1:11 Na sauti ikatoka mbunguni, wewe ndiwe mwanangu, mpendwa wangu, nimependezwa nawe. Yesu ni mwana was Mungu aliye hai.
@jumasamgugu8797
@jumasamgugu8797 2 жыл бұрын
Too
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Toa andiko
@hassaniharuna1010
@hassaniharuna1010 Жыл бұрын
Huyu ndacha anatumia nguvu nyingi sana kupotosha watu wenyewe wanashangilia tu
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Sadak ni mbay
@omarymonjera8095
@omarymonjera8095 2 жыл бұрын
Allahawalipekilalkherimashekhezangu
@JumaIsamkombozi
@JumaIsamkombozi 11 ай бұрын
Allah nakuomba mazinge umzdishie maisha marefu azd kutupa raa!
@adeshqura4293
@adeshqura4293 3 жыл бұрын
ALLAH akuongezee siku ya kuishi ndo ueneze ukweli
@saudahassam3031
@saudahassam3031 2 жыл бұрын
Proud to be muslim...dini ya uislam unakuw free kuuliza na kujua sio mpaka mchungaji aseme,,maana wanaongeza porojo zao ambazo ndizo wakristo wanazifuata
@ismailponda1269
@ismailponda1269 3 жыл бұрын
Allah akbar
@erickmaisha4773
@erickmaisha4773 2 жыл бұрын
Title mnaiweka nzuli lkn ujumbe waislumu hawana
@tahiraabdul1701
@tahiraabdul1701 3 жыл бұрын
Au sio Mazinge!! Nakubali shehe wangu
@madarakamarumbo6102
@madarakamarumbo6102 3 жыл бұрын
😀😀😀 Mazinge bana
@fatumakassimrashid9867
@fatumakassimrashid9867 2 жыл бұрын
ALLAH azd kutuongoza na mafunzo mema 🙏🤲
@vincentasava1529
@vincentasava1529 2 жыл бұрын
Kazi safi Ndacha
@danielernest8588
@danielernest8588 3 жыл бұрын
MAZINGE HANA HOJA ,NI TAPELI NA NI MUONGO MKUBWA,NS HANA UBAVU WA KUMZIMA FRANCIS NDACHA
@mazuhumazaha4236
@mazuhumazaha4236 3 жыл бұрын
Wew uyo ndacha hawezi kuruani ndio maana anaropoka tuu
@ipyanapaul8268
@ipyanapaul8268 2 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji ndacha wewe niwalimu bora asie kuelewa ni shetani
@kudramzee5769
@kudramzee5769 3 жыл бұрын
Kuwa muislam raha sana
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Kbs❤❤❤❤❤
@HassanAden-n4x
@HassanAden-n4x Жыл бұрын
Huyu hamjui mazinge
@daimonmalekano6086
@daimonmalekano6086 2 жыл бұрын
Allow me to introduce chrislum
@mohamedalio5795
@mohamedalio5795 2 жыл бұрын
Hiyo pasta mungu akulahani .....penda usipend Islam is truth religion
@مريم-ه2ز9ق
@مريم-ه2ز9ق 3 жыл бұрын
Bado bado Sana kijana rudi Kenya mazinge wetu tuachie Allah mpe umri daidi aitete dini yako wakenya wamekushida utaweza mazinge wetu wee mazinge babalao Mashallah
@taifaletutanzanialisingeku8123
@taifaletutanzanialisingeku8123 3 жыл бұрын
Nawewe nimiongoni mwa watu wasiojua kusoma yaani wale walio danganywa na majini na wanafiki kuwa muhamadi ni mtume?.
@aliothmanmohammed2477
@aliothmanmohammed2477 3 жыл бұрын
Mashallah 😘❤️🙏
@AAA-zu1vy
@AAA-zu1vy Жыл бұрын
Allahum Amiin 🤲 🤲 🤲
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 3 жыл бұрын
Hi Mijadala Mizuli Sana Nazani Hata Ali Shababu Na Makundi Ya Kigaidi Wangetumia Njia Izi Wasingekua Wanamuuzi Mungu Kwa Kuuwa Watu Wezao Mtu Aingie Kwa Kukosa Cha Kusema Hi Mijadala Mizuli Sana Sana
@joelwachira2459
@joelwachira2459 Жыл бұрын
Kip up Ndacha
@rsfdzxzx2274
@rsfdzxzx2274 Жыл бұрын
Amin
@annawamboi4518
@annawamboi4518 2 жыл бұрын
🙄🙄nakushngaa Mazinge..unajua kucheza na maneno lakini hujui kutoa point..uongo unaugeuza kichekesho..tukueke kwa vitimbi😂😂!!
@albertpike6208
@albertpike6208 2 жыл бұрын
Kiufupi hakuna mkristo anajua Yesu ni nani Mara mungu, mwana wa mungu mara mungu
@alsamali6964
@alsamali6964 3 жыл бұрын
Yan Mazinge anapita mulemule alimopita Ndacha anaweka sawa yan tafsiri yake Ndacha hayaelewi maandiko vizuri ndo anafundishwa 🤣🤣🤣🤣🤣
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 41 МЛН
DEBATE | Sheikh  Mazinge Jibu Yesu ni Mungu au ni mwana wa Mungu
13:16
IBILISI MKE WAKE NI NANI?- NDACHA VS Pr MAZINGE
19:27
arkas online tv
Рет қаралды 131 М.
053 HABIB MAZINGE | JE SACRAMENTI NI MWILI WA YESU 2/2
58:24
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 443 М.
Wakristo wapata dozi yao kwenye mdahalo wa Mbezi
1:05:38
Straight Path Dawah
Рет қаралды 364 М.
MAZINGE KAJIBIWA SWALI LAKE KI RAHISI MNOO NA PASTOR NDACHA
11:59
Bernard Mwaipopo
Рет қаралды 39 М.