USTADHI MAZINGE KAJIBIWA SWALI LAKE KIRAHISI MNOO NA PASTOR NDACHA #imani #elimu #gospel #mdahalo #debate
Пікірлер: 83
@sichulac6 күн бұрын
Blessings from Zambia to pastor Ndacha
@ShilohPraise049 ай бұрын
Ndaca tunakutaka Burundi wewe ni mwalimu kabisa Mungu akubebe Mbali sana
@IpyanaPaul Жыл бұрын
Ukristo Raha sana nashukuru Mungu kwa kujua ukweli najivunia sana
@BernardMwaipopo Жыл бұрын
Amina
@EmanuelJulyas5 ай бұрын
Najivunia,kuwa, mukilist
@YaaHoldings11 ай бұрын
Mazinge kwisha 😂 .. Hana la kusema ...hasira tuu lakini Hana hoja .. porojo tuu . Tisha toto .
@deogratiussaru30749 ай бұрын
Mazinge bora uokoke tuu ukweli umeshaujuwa
@RojasMtali17 күн бұрын
Mim naomba ndacha , awekewe ulinzi, 🎉🎉
@RebeccaJaphety11 ай бұрын
Najivunia kuwa na Yesu
@alicemaitapo29327 ай бұрын
Asante mwalimu wang ndacha
@frankmpembu Жыл бұрын
Waislamu njoeni kwa Yesu, Yesu ndiye Njia, Kweli na Uzima
@BernardMwaipopo Жыл бұрын
Amina
@jacksonmwamkinga87299 ай бұрын
Waislamu kubalini ukweli huo, yesu ni njia
@shakiraissa25175 ай бұрын
Nimeingia ukiristo zamani sana 😂 asnte mungu
@RaimamomedSaidi-wz1yu2 ай бұрын
Umepotea ww@@shakiraissa2517
@johnkamangara54263 ай бұрын
Ndacha kamaliza kabisa. teacher teacher
@EmmyRowland-ir5gh9 ай бұрын
Hilo andiko hakuna kwa BIBILIA vitabu hivyo wameandika wenyewe soma mathayo 24:24- Mazinge anarukaruka hana options huyo professor ni mwigizaji tuu🤣🤣🤣 Ndacha wacha kutoboa sirii jamaniiiii
@denisrukangula2227 Жыл бұрын
Waislamu acheni kudanganywa mtakuja kuenda jehanamu. Kubali kumfuata Yesu Kristo
@KhadijaMohammed-z8c Жыл бұрын
Ndacha kafili nanyie mnao muona anaenda vizur wote makafili mnapotea uyo mnae muita yesu hakuukuta ukristo ukristo ulianziswa baadae ya yeye kuondoka Tena miaka kumi na tatu mbele makafili nyie tubuni
@NdayiragijeTharcisse7 ай бұрын
Amina sana Pasta ndacha
@kimanidatch6096Ай бұрын
Mazinge siyo mwalimu...Ni shabiki tu...amejaa ubishi tena wa kitoto KABISA.
Nashindwa kuwaelewa hawa waislamu siwaelewi kama walimsilimisha shetani sasa nani anauharibu huu ulimwengu
@peris79073 ай бұрын
Napenda huyu ndacha Yani siku ikisha bila kusikiza injili yake sifel poa mungu nimwena
@Mutua-h9r3 ай бұрын
Mazinge njoo kwa yesu ama tukuchinje xmas😂😂😂❤
@peacemwesiga8 күн бұрын
❤❤❤❤❤Ndacha jesh la Mtu mmoja
@elijahmutembei66839 ай бұрын
Nakupenda ndacha
@RIO-jf9mo Жыл бұрын
Ati profesa..😩🤣🤣🤦 ,...duuuh maswali ya kitoto jamani...profesa wa kuuza samaki hapo buza..🤣🤣🤦 huyu anaeza mshauri mtu mwenye akili ajiunge na uislamu akapulizwe matako..🤣🤦 upuzi upuzi upuzi
@RojasMtali5 күн бұрын
@@RIO-jf9mo atar sana
@AlmoBaba-m5g5 күн бұрын
Allah akujalie mwisho mwema ammiin
@ReyzDon3 ай бұрын
Nashkuru bro
@AugustinoKambenga28 күн бұрын
Hawa waislamu siwaelewi kama walimsilimisha shetani sasa nani anauharibu huu ulimwengu?
@SamsonKatana-f9vАй бұрын
Ndacha Ako Na Ukweli
@TchudaDecouverКүн бұрын
Pasta d'achat batiza mazinge Aachen moyo mugumu❤❤❤❤
@GILBERTNOIR-i3mАй бұрын
Bwana yesu asifiwe kwamwalimu ndacha
@filsamedeojkibundilaКүн бұрын
Mungu Baba akubari
@MickeyWanjeАй бұрын
Mchungaji hongera..baatiza hao watu juu hawana muelekeo..hasa huyo mwalimu wao..kumbe hata hajui Biblia ni mkusanyiko wa vitabu..wakenya wanajua hio wakiwa grade 2
@Inkubutembo777911 ай бұрын
Mazinge iko siku atabatizwa tu.
@RaimamomedSaidi-wz1yu2 ай бұрын
Alianza kuhubiri kabla ya ndacha sahau kuhusu hilo,ndacha hana hata umakin wa majibu yake na masuala yake,anawazuga nyie wakristo tu..ila hawezi kumfanya muislam hata mmoja kuwa kafiri.
@bernardjohn8788 Жыл бұрын
Huyu jamaa mazinge ana akili ndogo Sana. Dini kwao ni kitu mechanical? Sisi kwetu jina la dini sii kitu
@BernardMwaipopo Жыл бұрын
Amina ndugu
@jumarobertonyancha860511 ай бұрын
Sulle ni dr wa huwongo😂😂😂😂,anashindwa kuitetea dini ya mtu aliyekufa pale macca
@BernardMwaipopo11 ай бұрын
asante
@YunisnafulaTaabu24 күн бұрын
Sulle ni mganga tu hana lolote tang lini ngiza na nuru zikaambatanaa
@GILBERTNOIR-i3mАй бұрын
Ndacha mungu akufanizie nini tunakutaka apa kwetu kalemie
@LilianMiheso-w8r4 ай бұрын
Nko nyuma ya dini ya ukristo na Mungu yu pamoja nasi
@peteremanuel802211 ай бұрын
Wewe mazinge muongo mkubwa hata jehanamu inakungoja. Yesu kasema tumfate yeye
@peteremanuel802211 ай бұрын
Harafu kumbukeni njia ya kwenda kwa mungu ni moja tu . Hakuna nyingine. Fundisheni njia ya kwenda kwa baba
@YunisnafulaTaabu24 күн бұрын
Wakristo amukeni kw pamoja vita yetu sio ya mwili na nyama wanapanga vita za damu na nyama na sisi wakisto tupanga vya kiroho halleluuyaaa
@MakameSilima-t7oКүн бұрын
Mazinge mpe doz ndach
@GilbertNhigula9 күн бұрын
Mtumishi Batiza Wote Hawa Somi Vitabu ,.!
@ENOSBAHATI-c9d4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅ndacha mwalimu tosha
@MarkNyongesa-f9pАй бұрын
Kama kuna jamaa kachanganyikiwa sana ni huyu Mazinge.
@OchoaHomeDecor_ Жыл бұрын
4:39 huyu jamaa hana akili kabisa 😂 afu bado eti kunawatu wanasikika wakipiga makofi Uislamu ni usafi mtu ukiwa mchafu ukasilimu basi unakuwa msafi, Sasa Shetani kusilimu kwakw kumemfanya awe msafi, Mfano leo Mchungaji akienda wanapojiuza makahaba akawabatiza kwahiyo sisi waislamu tunahaki ya kusema dini ya makahaba na malaya ni ukristo? Embu basi angalau muwe mnaongea vitu ambavyo vinaeleweka
@BernardMwaipopo Жыл бұрын
sasa ndugu ni tusaidie kama shetani alivyo silimu kawa msafi nae pia??! Kama sasa ni msafi basi anae fanya machafu hovyo duniani anaitwajeje
@IpyanaPaul Жыл бұрын
Waulize walimu wa kiislamu walio wajinga wanawapotosha hamjui kutu Kama wao. Njoo kwenye ukristo nidini ya uzima na kweli. Achana na mashetani hayo ya msikitini
@BernardMwaipopo Жыл бұрын
@@IpyanaPaul amina
@RubeniBernard22 күн бұрын
Tatzo nihuyoo mpuuzi wenu mazingeee
@willymaulidi399116 күн бұрын
Waisilamu ukijuwa vitabu vyao unawamaliza kilaini!!
@saijize3 ай бұрын
Mazinge hata Mimi namuweza
@peacemwesiga8 күн бұрын
Jamani huyu shehe anaongeaje anabana pua kama........hata smuelwi kabisa mmm
@DesderiusHaule6 ай бұрын
Ndio maana sheikh shaffi hataki mdahalo na pastor ndacha kwasababu haijui quran sawa sawa
@johnsamwel469513 күн бұрын
Hakuna kabila bishi kama islamu😂
@BonifaceLameck-bx5xe5 ай бұрын
Ukiwlewa vi baya utaishi vibaya
@Jonas-t9h5 ай бұрын
Huyu ndacha huyu ni gumzo kuwahi kutokea
@SibomanaAsumana19 күн бұрын
naomba muniambiye nikweli yesu arikufa msarabani?
@stephenmwaniki280315 күн бұрын
Huyu masinge anakuwanga tu na uchambiki Hana lolote ingekuwa ustadhi shafi shomali ingekuwa afadhali lakini masinge apana
@legendaction2029 күн бұрын
Uislamu umenyooka walai ndacha anabandika
@ERICKANDERSON-zt2nh4 ай бұрын
Maznge haelewek NA hafai kabsa kuwa mwalmu
@KhalifaMaganzaАй бұрын
Bora uwe chizi kuliko ukisto
@emmanuelmwambeta4359Ай бұрын
Hujui usemalo,Mungu akuhurumie
@sebastiansalamba313 Жыл бұрын
Pf feki
@RamadhanMohd-q8l Жыл бұрын
Ukiristo c din yes hajaumb Alie umb yey ndiy an juw kulik manen y wachungaj waong
@emmanuelmwambeta4359Ай бұрын
Mmeshindwa kwa hoja,huko uliko sio,njoo umpokee Yesu awe mwokozi wako
@KhalifaMaganzaАй бұрын
Njie ndacha kafiri kashapotea muda mrefu
@emmanuelmwambeta4359Ай бұрын
Pastor Ndacha amewashinda kwa hoja,unastahili kuokoka
@JohnBura-xr2hw9 ай бұрын
Hawa jamaa hawajui hata kukomendi hakuna dawa waislam okokeni a cheni kudanganywa
@jumarobertonyancha860511 ай бұрын
Sulle ni dr wa huwongo😂😂😂😂,anashindwa kuitetea dini ya mtu aliyekufa pale macca