Mziki mzuri suruali zimekaza viunoni,Dunia ya kizazi ilichojitambua Mungu awarehem wengi wao hatunao tena duniani,wametuachia hazina kubwa ya muziki wenye mashairi safi,Hamisi Dale USA
@mwaitamlanga14857 жыл бұрын
Hii nyimbo mtunzi ni ilunga banza mchafu nikama alimtunga baba yangu tulikua tukiishi nyumba moja mtaa wa mikumi.. Jina alilotumia la arafa ni la mama yangu wa kambo alikua anaishi na baba na hiyo watoto wanne tulikua wanne sisi watoto mimi na wenzangu wawili baba yetu alikua huyo aliyemfumbia kwa Jina la maburuki alafu mama yetu wa kambo alikuja na mtoto mengine ambaye akuzaa na baba yetu na pale nyumbani tulikua kweli tumepanga
@mapimwankemwa67786 жыл бұрын
sasa unambishia Vumbi yaan we bana
@bintiiddy70435 жыл бұрын
Hatar sana polen sana
@SaidMohamed-j2v Жыл бұрын
Duh aisee. mziki unaweza kukupeleka kumbukumbu za mbali sana
@mpunga40 Жыл бұрын
Wow, nami najiona kama Mabruki wa Dar. Mwaita hope umetokezea
@patricksagai7093 Жыл бұрын
Tumba ilipigwa na Siddy Mori🪘🪘
@MrSinafungu14 жыл бұрын
wimbo mzuri , ujumbe bado una nguvu ktk dunia yetu ya leo, ingawa wimbo una miaka mingi, ahsante kwa kazi nzuri bro, huu ni urithi wetu acha hizi nyimbo za nailon za bongoflavam unatungwa leo kesho umeyayuka
@msponab2 жыл бұрын
That song touches my soul heart so much. I am Nigerian an African Daughter. Could you please tell the Song Mabruki is saying🙏
@msponab2 жыл бұрын
@datch mkally That song touches my soul heart so much. I am Nigerian an African Daughter. Could you please tell me what the Song Mabruki is saying🙏
@shabaniabdallahmwendi-h8r6 күн бұрын
Natoa macho tu
@bensonmero8919 Жыл бұрын
Nyimbo nzr sana
@twilamtumbi264711 жыл бұрын
maburuki miaka 10 ya kazi hata msingi huna hatari kwa family, hili kweli selebuka chekecha rumba limetulia
@isayamazani223 жыл бұрын
Nakumbuka mwaka 1987 mwezi June siku nimefika nyumbani likizo ya muhura wa kwanza F1 Kantalamba nilipokelewa vizuri sana na baba nazi r.i.p
@christophermpanji29612 жыл бұрын
Dah hiyo likizo ya f1,,,umenikumbusha nami likizo ya f1 kigonsera sec 1993,, baba alinihusia sana,,,RIP mzee mwl mpanji
@twilamtumbi26479 жыл бұрын
Da poleni sana, pole na mimi pia sababu mi mpenzi mkubwa wa Tumba,dada Grece, Dekula2 kahanga na wana maquis du zaire. lakini kazi kweli ni nzuri imefanyika.
@bcamerounne13 жыл бұрын
I can hear the voice of Kasongo Mpinda Clyton, big up Dekula
@kudramasoud26947 жыл бұрын
Kwenye saxophone namuona king maluuu
@mbujifrancis58607 жыл бұрын
Sidi Moris R.I.P ni habari ingine ati
@THEGSMGSM11 жыл бұрын
Nazikia hizo Tumba zilipigwa na mjomba wangu marehemu Siddy Moris.
@victormkongewa23510 жыл бұрын
ooo pole sana kumpoteza mjomba wako hua mimi nachanganyikiwa na hizo tuma
@PatricksagaiSagai8 жыл бұрын
nikweli Morris six ndo aligonga hizo thumba
@PatricksagaiSagai8 жыл бұрын
Namkumbuka sana mjomba wako Morris sid kwenye rumba alikuwa vzr
@patricksagai70933 жыл бұрын
Nikweli siddy Morris alikuwa fundi kweli na hapa naitikia mikito ya Tumba
@pambasr234510 жыл бұрын
Though by that time nilikuwa sihudhurii kumbi za dansi kwa kigezo cha umri ,bado hizi nyimbo zinanikumbusha mbali sana mkuu,nakumbuka baba yangu mdogo(now retiree army man) na Shangazi Zahra(R.I.P) alikuwa akija kutoka zenji kufata hizi mambo almost kila mwisho wa mwezi
@ibrahimmwasambili97995 жыл бұрын
Safi sana Hawa jamaa walikuwa ni shida ya mjini jama i
@michaellimu23326 жыл бұрын
Mafunzo tosha.
@gilbertmasaki29657 жыл бұрын
Asante kwa hizi Nyimbo za mawaida.
@twilamtumbi264711 жыл бұрын
Grace huyu mjomba wako bado yupo hai? kama yupo mpe hongera kwa kazi nzuri,
@twahamtumbi78233 жыл бұрын
@@Dekula2 kwa kweli kaka Dekula kazi mlifanya yani mnastahiri pongezi zote bila kupepesa Macho. Dekula mola akupe maisha marefu..
@patricksagai70933 жыл бұрын
Alisha tangulia mbele ya haki
@patricksagai70933 жыл бұрын
Alisha tangulia mbele ya haki
@bintiiddy70435 жыл бұрын
Nilikuwa nasemaga Jina la Arafa halijawahi tumika kwanyimbo 😂😂😂😂
@patricksagai7093 Жыл бұрын
🎉
@senatormwinyi90659 жыл бұрын
@Grace nakumbuka marehemu Mjomba wako Sid Moris Marquis walimtoa Msondo kisha ilipokuja kuanzishwa bendi ya The Mk Group akaamia huko Ngoma za maghorofani
@patricksagai70933 жыл бұрын
Thumba ilipigwa na sid mpaka raha
@johnmundo81611 жыл бұрын
Enzi hizo kule kwetu kusini mwa Pwani ya Kenya radio zote stesheni ilikuwa RTD na Idhaa ya Biashara tu.Miziki ni kama hii kwenye vipindi kama vile -wakati wa kazi,mchana mwema,jioni njema,mziki ni upendao,club raha leo,kipindi cha majani chai cha idhaa ya biashara,.......Watangazaji mahiri kama vile uncle J Nyaisanga,Khalid Ponera,Samadu Hassan,Sarah Dumba .......bado wapo kweli?
@bernhardtpaulmlisumwandu66737 жыл бұрын
john mundo kumbe Samadu Hassani ni mkongwe?
@gilbertmasaki7957 жыл бұрын
Hata Mimi nilikuwa napenda vipindi hivyo via RTD
@gilbertmasaki7956 жыл бұрын
Nilikuwa napenda hivyo vipindi vikiletwa na hao watangazachi
@jeniferruta36756 жыл бұрын
john mundo - Uncle J alishatangulia mbele ya haki
@yusuphmligiliche83535 жыл бұрын
Hivi nani anamiliki masters za hawa waheshimiwa?Nani ana mamlaka ya publishing?