DENIS MPAGAZE: Fahamu Historia Ya WAHA Wa Kigoma Na Utajiri Uliolala Ukanda Huo Wa Maziwa Makuu (1)

  Рет қаралды 130,876

Ananias Edgar

Ananias Edgar

Күн бұрын

Unataka kutuunga mkono? Tuchangie chochote kuanzia Tsh 500 nakuendelea. Kiwango chochote ni kikubwa sana kwetu na tunathamini sana. Unawezakutuchangia ukiwa popote pale duniani.
Bofya hapa chini kutuchangia;
flutterwave.co...

Пікірлер: 191
@user-ys3fg8rf3s
@user-ys3fg8rf3s 5 ай бұрын
waha niwahutu (wanapatikana tanzania, drc, rwanda, burundi na ouganda). hakuna kabila la wanyarwanda duniani. nawapenda sana waha kama wabantu wote ulimwenguni. Africa my home, waha ( wa hutu) my family.
@Uyrvanology
@Uyrvanology Жыл бұрын
Waha ndo wazawa wa Tanganyika. Muha gonga like hapa😊
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Жыл бұрын
Watoto wa Kigoma gonga chazzzzzzzzzzzz
@adrophinambona2993
@adrophinambona2993 Жыл бұрын
Asante sana mwl wangu wa kiswahili kama nipo kibondo girls ,Hongera sana Kwa histolia ya mkowa wetu
@African511
@African511 Жыл бұрын
Ndiyo maana jpm aliona fulsa,akaweka lami toka nyakanazi hadi kigoma mjini,gonga like kama bado jpm ulimkubali.
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 Жыл бұрын
Katu hatumkubali maisha
@bashirnkunzimana7745
@bashirnkunzimana7745 Жыл бұрын
Tunaomba urefu zaidi wa theresa ntare juu ni familia yetu.from bujumbura
@jumakimtanange8177
@jumakimtanange8177 Жыл бұрын
I'm proud to be Muha 👏👏👏
@iraakasubete8287
@iraakasubete8287 Жыл бұрын
Yaani tangu nikufahamu sijaacha kufuatilia stori zako,leo nakushukuru sana coz umeongelea Waha ambao hata huku mikoani tunaitwa Warundi
@MugishaJordy
@MugishaJordy Жыл бұрын
Enjoy mkoa wetu na bila haya mnafurahia kutukejeli Warundi eti sisi wabishi wakati hatujabisha kurudisha mkoa wetu Kigoma ni sehemu ya Burundi
@SylvesterSimion
@SylvesterSimion 10 күн бұрын
nimeipenda hii jamani waha tujuane
@amirinestory
@amirinestory Жыл бұрын
Hongereni kwa kufikilia kidogo kuhusu waha...hili Ni kabila langu na najivunia sana
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 Жыл бұрын
Mkuu uko vizuri sana. Tunamshukuru sana kwa kutoa kitu kipya. Nimekuwa nikisubiri maana za zamani zote nimezisikiliza zaidi ya mara mbili. Tunashukuru sana tena sana.
@AwezaeMwali-ir1oe
@AwezaeMwali-ir1oe Жыл бұрын
Mimi ni mmbwari mmanyema kweli kwa historia yako upo vizur sana
@youngzubelyzubely2288
@youngzubelyzubely2288 Жыл бұрын
Kigoma kigoma tumesahaurika sana na taifa inafika hatua samak wa migebuka ndege ndo inakuja kubeba wenyewej tunakula mchuzi😢😢😢 miundombinu haipo barabara kipande pale haragaras had uvinza ni mwaka wa 5 sasa hakijaisha. Rasrimal zipo ila tatzo taifa limepasusa kigoma .. mungu bless kigoma😢😢😢
@jamesautomajorjimmy7895
@jamesautomajorjimmy7895 Жыл бұрын
Tz support this it's your talent
@harunayussuf6866
@harunayussuf6866 Жыл бұрын
Home sweet home, kigoma home town
@nelsonbisi6499
@nelsonbisi6499 Жыл бұрын
Safi Sana kwa kazi tunaomba utuletee history ya mgogoro wa Sudan
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 Жыл бұрын
Asante sana kaka Denis
@twororeturimekijambere5491
@twororeturimekijambere5491 Жыл бұрын
unajuwa biru sana mpaka burundi unapajuwa vizuri🙏🙏🙏❤❤❤
@trillionthamani
@trillionthamani Жыл бұрын
Asante sana brother kwa story hii,nnakukubali sana mpka najisemeaga wewe ndo namba moja kwenye kusimulia
@barakabahati6600
@barakabahati6600 Жыл бұрын
Hata Uganda kuna kabale district❤
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 Жыл бұрын
Unanishawishi kukupenda aisee hadi raha thank you bro for ur representation ❤❤❤❤
@boashamah3642
@boashamah3642 Жыл бұрын
Watoto waha tujuane
@selestinfrancis5904
@selestinfrancis5904 Жыл бұрын
Safi sana mtumishi kwa matashi mema kwa historia yetu waha,Heko muhenga wa karne ya 21
@user-kx5dz2sp3m
@user-kx5dz2sp3m 2 ай бұрын
Yes 🙌
@user-ql4vq9gv3h
@user-ql4vq9gv3h Жыл бұрын
Bro be blessede sana tunajifunza na kujua ambayo hakuna ambaye angetuambia
@issakawaya8315
@issakawaya8315 Жыл бұрын
Ukweli
@mugenzimikizi5595
@mugenzimikizi5595 Жыл бұрын
Mimi ni Muha katika North-kivu, mwa Congo. Apa DRCongo tupo kbsaa. 😁 Tangu nikiwa mtoto niliambiwa kwamba babu yetu alitokea Burundi mpaka Congo kupitia Rwanda. Mahali babu huyo alifika na kukaa ni katika Jomba mnamo territory ya Rutshuru; (na hapo ni before ujio wa wazungu). 😊😊
@johnatanasijamesmalimungum3860
@johnatanasijamesmalimungum3860 Жыл бұрын
@Aninias Edgar, Makabila ulioyataja sio only yapatikayo Kigoma Umesahau kabila la Watongwe waliozunguka hifadhi ya Mahale wanaopatikana wilaya ya Uvinza
@AnthonKilaziwe
@AnthonKilaziwe Жыл бұрын
Upo sahihi
@kavorama983
@kavorama983 Жыл бұрын
Ingekuwa vizuri sana Tanzania na Burundi waungane iwe nchi moja
@NzeyimanaMoussaAlfan-pw8di
@NzeyimanaMoussaAlfan-pw8di 7 ай бұрын
Ujama nimkweli izo sehemu zote zipo Burundi yani kweli wazungu Bana wametutenganisha big up bro
@BarnabaBuhoma
@BarnabaBuhoma Жыл бұрын
Ifike mahala tubadilike kweli kweli…wakisikia unaongea wanakuita mhamiaji haramu kutoka Burundi. Wakisikia ukiongea kiingereza hawakuiti mhamiaji haramu wa Uingereza. Aisee!!
@rajabuchanika
@rajabuchanika 4 ай бұрын
mmi naitwa mc kilometer/james vicent innocent kutoka lindi tanzania nakuelewa sana kaka simulizi zako znanipa nguvu katlk kufundsha sa naitwa professor wa historia huku kusini kaka ila unachangia san blessed san
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 3 ай бұрын
my Home time
@FurahaMeckson
@FurahaMeckson Жыл бұрын
Mindblowing. Bakure imipaka mubihugu vyacu.
@sadamkhamis9043
@sadamkhamis9043 Жыл бұрын
Safi sn braza...braza tunaomba historian ya wachaga
@EbondoSounds
@EbondoSounds Жыл бұрын
Babùngwe na Bashim’minji Are you there guys?😊
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Ninakuheshimu sana home boy.ubarikiwe.Hakuna kitu mhimu kama kuifahamu historia yako
@EmiliaKasalila
@EmiliaKasalila 3 күн бұрын
Chazzzzzzzzzz🙏🤝tulihamweeeeeee, mwidiwe aho iwanyu
@bwirechrispus3092
@bwirechrispus3092 Жыл бұрын
Listening in nikiwa Busia Uganda
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 Жыл бұрын
Home boy
@eninganyange9403
@eninganyange9403 Жыл бұрын
kaka umeongea point kweli mipaka imebaki afrika tu,mimi nipo marekani yani wazungu hawangushani,yani huku waukreinia wanaingia huku sana,lakini chakushangaza wiki moja tu anakua ameanza kazi.ila naomba siku moja uje usimulie makampuni ya marekani yanayo hendesha dunia
@kadoayubu9000
@kadoayubu9000 Жыл бұрын
Nakukubali
@eslonblack8096
@eslonblack8096 8 ай бұрын
Kuna kigoma ya TZ na kigoma ya Burundi
@user-gt7zk4ui9d
@user-gt7zk4ui9d 8 ай бұрын
hakika wewe ni mkombozi wa fikira za mwafrica mungu wa africa akulinde zaidi
@flavafleury
@flavafleury Жыл бұрын
Mutanga Burundi 🇧🇮 🇧🇮 kwetu juu sana 👍 😂😂😂 huku Burundi tupo ✌️💪
@Twistanboy05
@Twistanboy05 11 ай бұрын
Fact
@StephanoJoseph-j5b
@StephanoJoseph-j5b Жыл бұрын
Thank youuuuuuu Iblovee 🇹🇿🇷🇼🇧🇮
@shukranikimba7660
@shukranikimba7660 Жыл бұрын
Napenda sana stories zako ninaweza kukupa support kidogo,naishi UK 🇬🇧,utaniambia njia ya kutuma support yangu
@AnaniasEdgarTV
@AnaniasEdgarTV Жыл бұрын
Asante sana. Tafadhali unawezakuchangia kupitia GOOGLE PAY, APPLE PAY, Credit & Debit Cards kwakubofya hapa kwenye link hii flutterwave.com/donate/uznwvj3q1jox ila pale kwenye TZS badilisha kwenda kwenye pesa unayotaka kuchangia kama $ au Euro. Asante sana sana.
@robertamsini1256
@robertamsini1256 Жыл бұрын
​@@AnaniasEdgarTVplease mr nipe history fupi ya wa luba na ufalme wao
@robertamsini1256
@robertamsini1256 Жыл бұрын
Nasikiyaka tu story fupifupi eti walikuwa nguvu Sana na makabila moja apa tanzania yalitoka kwenye ufalme wao history kidogo tu brother
@ramadhanboi6485
@ramadhanboi6485 Жыл бұрын
Wamanyema tujuane ❤
@cosmasnzioki7105
@cosmasnzioki7105 Жыл бұрын
Mungu akulide , mimi sijawahi kupata Mutu kama wewe kwa kusimulia ata sinjuii naesa sema nini,, ubora
@alexandrebucumi7376
@alexandrebucumi7376 Жыл бұрын
Asante sana kwa History hii
@ericnimubona4365
@ericnimubona4365 Жыл бұрын
Mimi ni mrundi lakini nilisikia kama Kuna sehemu ya mpaka wa Burundi uko sehemu za uvinza sijui Ikoje.niambie ukweli
@EmiliaKasalila
@EmiliaKasalila 3 күн бұрын
13:31 ❤
@SylvesterMbonimpaye-oc9yi
@SylvesterMbonimpaye-oc9yi Жыл бұрын
Second to comment,thanks brother
@shadyasalum192
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Miee napendaga hizi story jamani tunajua mengi kwa kweli🥰🥰🥰
@josephatgasparymlanga669
@josephatgasparymlanga669 Жыл бұрын
proudly muha
@cansuremwiga7282
@cansuremwiga7282 Жыл бұрын
Umesahau kabila la watongwe. Mbembe ndio mmanyama. Muha ndio mludi.
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 4 ай бұрын
Ni kweli waasisi wa mji wa kigoma ni Manyema toka Kongo walikuja ndugu wawil ambao Ni Kigoma na Ujiji kigoma alikaa eneo la Mwanga na Ujiji alikaa UjijiWaha walitoka Burundi waliposafiri kigoma waliulizwa ninyi was wapi wakajibu "bhitu baha" (sisi ni wa hapa)
@Onesmoboyz
@Onesmoboyz Жыл бұрын
Good brother very stro❤
@mementomori6569
@mementomori6569 Жыл бұрын
Next time uongelee mukowa wa kagera nawo, maana hio ilikua nisehemu ya Rwanda 🇷🇼 kbs, Wakoloni wakawakabizi nyinyi.
@muhirepatrick851
@muhirepatrick851 Жыл бұрын
first king of burundi ntare rushatsi come from kigoma Tanzania
@mhabimina4023
@mhabimina4023 Жыл бұрын
🔥🔥🔥👌
@blandinamyinga9489
@blandinamyinga9489 Жыл бұрын
Kigoma ni njia kubwa ya kufungua uchumi wa 🇹🇿bandari za ziwa Tanganyika zikikaa vizuri biashara nyingi sana zitafunguka sana
@hachimanadamascene8603
@hachimanadamascene8603 Жыл бұрын
Ukweri nikwamba kigoma ni mkowa waburundi na itarudia burundi kigoma siyo Tanzania
@complex7582
@complex7582 Жыл бұрын
Naishi kigoma Sasa hivi ila kiukweli kigoma na Waha wenyewe wanachangamoto nyingi sana,hili la uchawi sijui Kwa sababu hawajaniloga lakini wanachangamoto sana,Elimu,maendeleo exposure vyote hivo ni changamoto
@stephanobhiva4996
@stephanobhiva4996 Жыл бұрын
Nmeipenda story yako aiseee!!!!.........
@kakosokigassu3211
@kakosokigassu3211 Жыл бұрын
Asante bwana mtangazaji. Denis Mpagaze... MPAGAZE pia ni Kirundi. Maana yake nimesimama 😂
@iddybakundukize9428
@iddybakundukize9428 Жыл бұрын
Abaha ( waha) sio waamiaji , warudi Burundi vipi wakati Buha ( kigoma ) ilikuwa Burundi? Kigoma ilipogeuka kuwa sehemu ya Tanzania kipindi cha ukoloni , hata wakazi wakigoma kipindi hicho walipita wanakuwa wa Tanzania wakiwaambia waha warudi Burundi basi warudishe Kigoma kuwa sehemu ya Burundi pia . Hata kiha pia ni kirundi mtupu
@AmiBoy-vs2td
@AmiBoy-vs2td Жыл бұрын
Mfano Mimi Ni Muha mzaliwa wa kigoma mwandiga na Sina na Saba yoyote na kiburundi, nivyema kufaham kuwa, mipaka ya nchi za Afrika iliwekwa kipindi Cha ukoloni na baada ya ukoloni kabla ya Karne ya 19, kabla ya ukoloni maeneo ya kiafrika yalitofautiana kutokana na Tamaduni,kabila na himaya za kienyeji hvyo hakuwezi kuwa na ushahidi Kama Kuna maeneo ya kigoma yalikuwa Sehemu ya Burundi,. Na kuhusu Swala la kiha na kiburundi hizi Ni lugha mbili Tofauti kiha kinazungumzwa kigoma na kiburundi kinazungumzwa maeneo ya Kongo, Rwanda na Burundi, kuhusu kufanana haliwezi kuwa Jambo la kushangaza kwani hizi Ni lugha za kibantu na zinamuundo sawa hivyo kutokana na ukaribu na muingiriano wa waha, warundi na wahaya Kuna baadhi ya maneno yanakuwa yanashabiiana,. Ukisema kuwa kunakipindi wakazi wakigoma waliwahi waambia waha warudi Burundi it means unashida ya historia Sababu waha ndio kabila asili mkoa wa kigoma na Ndio kabila mwenyeji katika Mkoa huo.
@sabatoferdinand
@sabatoferdinand Жыл бұрын
Nakupenda saaàana Tena saaaaa na
@Runkiller1
@Runkiller1 Жыл бұрын
Tabia za waha na wabembe hakuna utofauti wowote Ila ki ukweli waha kuna mchanganyiko wa wabembe na warundi
@alhandumtalemwa8468
@alhandumtalemwa8468 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana wewe na muaandaaji wako pia
@amo530
@amo530 9 ай бұрын
Jamaa anatisha
@shashemuzyo4537
@shashemuzyo4537 Жыл бұрын
Mwakeye mwese...
@boobohhh3029
@boobohhh3029 Жыл бұрын
❤❤❤❤
@sabatoferdinand
@sabatoferdinand Жыл бұрын
Mwezi Mungu Muumbaji wa mambo yote akupe Maisha malefu saaaaana. Nashukuru kwa kunukulru historia hii. Na Tena nahitaji number yako ya whatup
@stefanokasomi9199
@stefanokasomi9199 Жыл бұрын
Nimetafuta sana sehemu ya pili sijaipata
@migoshimself3204
@migoshimself3204 3 ай бұрын
Burundi 🇧🇮 ❤ ndonyumbani 😅😅😅
@maduamussa
@maduamussa Жыл бұрын
Correct broo kunywa pepsi nalipa
@innocentbangirinama5008
@innocentbangirinama5008 Жыл бұрын
Bro you so intelligent kweli ila Kwanini unakwepa kusema kama Kigoma ni sehemu ya Burundi 🇧🇮 wakoloni waligawa vibaya ila Kigoma ni ya Burundi 🇧🇮 ila kweli Hiyi history niya kweli bila kupapasa
@AnthonKilaziwe
@AnthonKilaziwe Жыл бұрын
😀😀😃😃😃😃😃 Burundi ni sehemu ya Tanganyika
@innocentbangirinama5008
@innocentbangirinama5008 Жыл бұрын
@@AnthonKilaziwenani kakudanganya kama Burundi 🇧🇮 ni sehemu ya Tanganyika ao nipe history hiyo ao kitabu kimeandika hivyo ila Kigoma ni ya Burundi 🇧🇮 na ndomaana ma rais wa Tanzania 🇹🇿 wengi hawaijali Sana kivile kwasababu wanajuwa ukweli wa Kigoma
@selemanikazingini5566
@selemanikazingini5566 5 ай бұрын
Mpagaze ni muha wahaa asili Yao Burundi na Rwanda acha kudanganya kigoma asilia ni ujiji na uvinza na wamanyema ndo wenye maeneo ayo Muha ni mtusi na muhutu
@masendetv5942
@masendetv5942 Жыл бұрын
Waha tujijue
@boashamah3642
@boashamah3642 Жыл бұрын
Ananias uko vizuri nipe namba yako basi nitakutumia soda kabisa
@ntunzwenimanasamson9428
@ntunzwenimanasamson9428 2 ай бұрын
Huuu ni mrundi ariye poteya hapo pote anapajulia wapii
@bukururamadhan2442
@bukururamadhan2442 Жыл бұрын
Big up mze nimegundua kama We ni mtu wa Burundi wakwetu 😂😂🙌🙌🙏🙏
@tresorkabongo8758
@tresorkabongo8758 Жыл бұрын
Wabembe tupo hapa 🤣🤣
@BONGOINMOTION
@BONGOINMOTION Жыл бұрын
Waha wamewafanyia noma mbeya city
@salminabuhudhaifa4273
@salminabuhudhaifa4273 Жыл бұрын
👍
@DanijaJewandre
@DanijaJewandre Жыл бұрын
@moud2560
@moud2560 Жыл бұрын
Nyamaliza clan hoyeee
@user-gk5hx7rd2c
@user-gk5hx7rd2c Жыл бұрын
Kigoma oyeeeeeeeee
@AmiBoy-vs2td
@AmiBoy-vs2td Жыл бұрын
Haya Mambo ya history sijawah kuyaelewa hata Siku Moja
@jamsonjasson7591
@jamsonjasson7591 9 ай бұрын
Daah Leo nimejua kitu kuhusu kabla langu.
@user-dc4dh4hr2v
@user-dc4dh4hr2v Жыл бұрын
Ulakoze chane
@denisirumva1614
@denisirumva1614 Жыл бұрын
Tuko wote kaka majina yangu Denis, yaani uko sahibi haswaaaaa
@leonardchoma3765
@leonardchoma3765 10 ай бұрын
Wazungu walituvuluga tukavulugika Sana.
@deusisindwa616
@deusisindwa616 Жыл бұрын
Asnt sn Usichelewe kutuletea muendelezo,
@godrickbilala1853
@godrickbilala1853 Жыл бұрын
Hapo kwenye kitambulixho upo xahihi kabxa
@vt-kn6qf
@vt-kn6qf Жыл бұрын
Historia kama hizi serekali izitaki mashuleni kwa sababu wazidi kuleta mtafaruku baina ya Raia
@fidelissimooni-or8ox
@fidelissimooni-or8ox Жыл бұрын
Ekaye waha jama sisi tukojuu
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 Жыл бұрын
Christina Shusho ni mtoto wa Kigoma! Yeye ni Mmanyema! Philip Mpango Makamu wa Rais naye ni Mha wa Kigoma! Kigoma oyeee!
@kavorama983
@kavorama983 Жыл бұрын
From France 🇫🇷 Hapo umepatia kabisa😂😂
@josephjohanes9327
@josephjohanes9327 Жыл бұрын
Hakuna anayemfikia Ananias Edgar kwa simulizi
@issakhan260
@issakhan260 Жыл бұрын
Pia kuna bukulilo ya ngara kaka nahisi hii imekua nzuli zaidi katika simulizi hii
@isaacvtv547
@isaacvtv547 Жыл бұрын
Hapo kuna usiri mbona hawasemi kaka zake au baba zake. Maana ulikua jauwezi kutawala kama hautoki kwenye familia ya watawala. Majina ya NTARE wanaume ndio wameiongoza Burundi. NTARE RUGAMBA NTARE RUSHATSI Sasa Theresa nae ni NTARE. Ila kumbuka Kigoma ilikua upande wa burundi ila upande wa Kigoma ukakabithiwa kuto ubergiji kwa mwingereza ili wajenge reli ya kutoka north hadi south africa. Cha ajabu haikujengwa.
@AnthonKilaziwe
@AnthonKilaziwe Жыл бұрын
WWE Burundi ni sehemu ya Tanganyika..kabla ya uhuru...
@rwenenahomechannel1634
@rwenenahomechannel1634 Жыл бұрын
Kweli Afrika sote ni ndugu.
@johnbidya119
@johnbidya119 Жыл бұрын
Kuna kabanga kasulu kuna kabanga ngara nadhani..
@akilichristopher3202
@akilichristopher3202 Жыл бұрын
Mbona mnatuhoneya wanembe
@belardbelard9477
@belardbelard9477 Жыл бұрын
Mpagaze n jina la Kiha
HISTORIA YA CHIFU MKWAWA / WAZUNGU WANAYOIFICHA!
25:56
Global TV Online
Рет қаралды 942 М.
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 21 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 57 МЛН
HISTORIA YA OPERATION ENTEBBE(Part 1)
40:32
Global TV Online
Рет қаралды 2,1 МЛН
#LIVE : DENIS MPAGAZE - CHANGAMSHA UBONGO NA FIKRA TUNDUIZI
1:18:16
Uhai Online Tv
Рет қаралды 12 М.
HISTORIA YA NG'WANAMALUNDI / MATUKIO YA AJABU NA YA KUTISHA
33:08
Mount Kenya | A classic attempt by three Italians | Julius Manuel
1:44:25
THE STORY BOOK: JULIUS CAESAR SHUJAA WA ROMA ALIYEFIKIA KUITWA MUNGU
36:34
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 21 МЛН