Mimi ni mwanamke,, nimekuelewa, sana kaka Deo, uko sahiiiiihiiiii asilimia 💯, yaani nakuelwa sana. Wote tukiishi hayo, hakuna ndoa itavunjika,
@amosibilingi4299 Жыл бұрын
Stella hakuna binadamu me/ke anayeweza hayo asemayo DEO 100% Kila mtu ni dhaifu eneo flani vile na mwingine eneo kingine ktk maisha yaleyale. Dawa ya yote ni kumuonea mwenzio huruma kwenye udhaifu wake
@kaachonjo263 Жыл бұрын
Mke akiwa na stress anangeuka kiumbe hatari sana kwa mume na watot
@yassinmndeli2156 Жыл бұрын
@@amosibilingi4299 ❤❤❤❤❤❤a❤❤
@ndavadumayai4250 Жыл бұрын
Kaka uko vizuri sana,na sahihi sana, wanaokupinga ni wale vilaza ambao hawajui majukumu yao, wanataka wafanyiwe majukumu yao na wake zao,& huku wakitaka kuheshimiwa km mume wapi ndugu zangu, mwanaume ukitaka heshima kuwa provider kwa mke& watoto wako, la sivyo mwanaume utaona dunia chungu
@AgnessMsacky Жыл бұрын
Mimi naomba nyie wanaume mnapoona mwanamme mwenzako hatendei haki familia yke mumuite mumkanye nakumueelewesha tatizo lenu mnaogopana ni wachache anaeweza kumshaur mwanaume mwenzie na akabadilika
@geofreysinkala6064 Жыл бұрын
Be blessed pastor
@jenipherkavusha1661 Жыл бұрын
Asante Kaka wasikie na kuelewa
@RuhamaJulius Жыл бұрын
Natamani mtumishi uunge group la Whatsapp hata kwa kulipia tuwe tunapata masomo yako hapo,Mimi umenibadilsha sana
@aminamrisho8878 Жыл бұрын
Exactly brother
@happynessmduma609610 ай бұрын
Kitabu Bei gani?
@yaelijoseph6338 Жыл бұрын
Kaka Deo umeongea uhalisia wa ndoa za sasa...I wish wanaume wote wangesikia jamani 😢
@amosibilingi4299 Жыл бұрын
Uongo wenye sumu Kali sana, Kuna watu wanapaswa kupewa hizo mike but wanaonekana mburula, afu wale mburula kabisa ndo wanapewa mike, huu ni uangamizaji wa jamii kupitia wanajamii wenyewe
@rosemarykipesha4242 Жыл бұрын
Kweli
@amosibilingi4299 Жыл бұрын
Nikupe hii DEO, chukua itakusaidia, Ikiwa binadamu aliumbwa na Mungu akiwa si mkamilifu asilimia 100, vip atatekeleza majukumu yake Kwa mkewe Kwa asilimia 100?,. Hilo haliwezekani, Kila mtu hufanya Kwa kiasi katika Kila jambo, ni vyema wote mke na Mme ambao si wakamilifu watambue kuwa waliumbwa wakiwa hivyo, then waishi Kwa kuhurumiana pale ambapo Mmoja wao anapomiss majukumu yao
@lysaaljanes9078 Жыл бұрын
Listening to you brother makes me question our understanding of men and our position in our society in the 21st century. I think we want to live in 21st century but at the same time we want to treat our wife's/daughters as we are in the 15th century. Some words used in this presentation doesn't respect our wife's/daughters.
@amosibilingi4299 Жыл бұрын
Acha uongo wewe, na vitabu vyako viko slightly useless perspectives. Acha kufanya hii kazi, nenda kakae chini utilize kichwa na hisia Kuna kitu Bado kinamiss kidogo,
@zakiamseka9698 Жыл бұрын
Sindano imeingia
@QueenSophie-rj7hu Жыл бұрын
@@zakiamseka9698 umeonaee😅
@josephjulio6112 Жыл бұрын
Tatizo kubwa la watanzania hawapendi kukosolewa
@EdnaEdna-bl9we Жыл бұрын
Baba umenena akika mungu akupe nguvu zakuweza kutujuza tusio yajua akika umebariki nafsi yangu
@sarahezekiel3301 Жыл бұрын
Wenye hekima ndio wanauwezo wa kuelewa umuhimu na somo kama hili na wanaume wajinga swala la kutimiza majukumu yao wataona ni upuuzi no wonder they are unhappy and they mess up their families big time .