SIFA TATU (3) ZA MUME | DEO SUKAMBI

  Рет қаралды 47,327

Deo Sukambi

Deo Sukambi

Күн бұрын

Karibu katika kipindi cha UPONYAJI WA FAMILIA na Pastor Deo Sukambi. Leo tunajifunza SIFA TATU (3) ZA MUME.
Unaweza Kusapoti huduma hii
TIGO PESA 0715 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
M PESA 0746 104 034 (DEOGRATIUS SUKAMBI)
Endelea kunifuatilia kwenye kupitia
/ deosukambi
/ deosukambi
/ deosukambi1
Usisahau ku subcribe kwa mafundisho zaidi
www.youtube.co...
Deo Sukambi is Counselor | Mentor | Pastor | Public Speaker | Corporate trainer | Author
#DeoSukambi #Familia #Malezi #Watoto #Ndoa #MahusianoUnaweza Kusapoti huduma hii

Пікірлер: 145
@joycesethmwangonda8088
@joycesethmwangonda8088 5 күн бұрын
Ubarikiwe sana mch kwa somo zuri la uponyaji wa ndoa zetu.Mungu tusaidie na uponye ndoa zetu.
@marianaduncan6330
@marianaduncan6330 6 ай бұрын
Ktk vitu sivipendi simpendi mwanaume muongo
@sein.208
@sein.208 6 ай бұрын
Kabisa
@andrewmallya1704
@andrewmallya1704 3 ай бұрын
We ni mkweli???
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 ай бұрын
Yaani mtu unatulia ,ila unakutana na balaa Mwanaume muongo muongo
@DavidMgunya
@DavidMgunya 3 ай бұрын
Bosi chukuwa saloot zako upo vizuri sanaktk masuala hayo asante
@eliudkasule7503
@eliudkasule7503 7 ай бұрын
Mafundisho adimu kwenye kipindi hiki adhimu. Mungu akubariki Pastor!!
@user-ux9po6ip7c
@user-ux9po6ip7c 6 ай бұрын
Mtumishi mm nimelia sana sana kweli ww nimwalimu nimekuelewa ukweli mm Mume wangu kwenye changamoto za hisia mtacheka t ila changamoto zingine zikija usimuilize maisha yangu yote sasa nimechoka
@jennytugara9470
@jennytugara9470 7 ай бұрын
Very true Wanawake anatusaidia kuwafahamu Wanaume, pia wanaume kutufahamu vizuri. Ndoa nyingi hazifiki sababu ya wanandoa kutotambua nafasi zao🙏🏾🙏🏾
@alicemwinuka9714
@alicemwinuka9714 6 ай бұрын
Na wakati mwingine sio kama tunapenda kudanganywa wanawake lakini kwasababu katika swala la uaminifu tayari ulishakuta hilo tatizo kwka mume kwa hiyo hata siku akisema ukweli inakua ngumu kuamini
@theresiakessy4747
@theresiakessy4747 6 ай бұрын
Asante sana kwa mafuzo yako ila mume wangu nampenda sana lakini anafanya matukio ya kuniumiza sana
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Ukiendelea kuweka uchungu huo moyoni mwako ni wewe ndio unayeumia sio mumeo
@d.m453
@d.m453 5 ай бұрын
​@@DeoSukambiNi nini kifanyike katika hayo maumivu
@user-we5zc7xk8x
@user-we5zc7xk8x 5 ай бұрын
Asante ziti kuwafunza waume zetu ili wajuwe kutulea na kututunza kama vile tulivolelewa kwa wazazi wetu maana walipokubali kuwa waowaji walikubali kubeba majukumu yote ya mke au wake kimaisha yao
@eliminachristopher2662
@eliminachristopher2662 5 ай бұрын
Je kama mume hawezi kutatua changamoto za finance na kihisia za mke wake ambalo ni tatizo sugu hapa inakuwaje
@OrnellaHabonimana-gr7wp
@OrnellaHabonimana-gr7wp 6 ай бұрын
Past ubarikiwe sana kwamana changa moto yandoa nishida kabisa Mungu atusaidiye tu wanaume unawapenda hawapendeki unawaeshimu awawoni mwisho wanatoka iche ya ndoa mbaka uvumilivu unatushinda Mungu atuwezeshe kabisa
@alicemwinuka9714
@alicemwinuka9714 6 ай бұрын
Kwa kweli somo ni zuri sana lakini sasa unakuta mwanaume mwingine ni mtata tu kama ulivyosema anatumia nguvu kutaka kuheshimiwa lakini kiukweli hana 2nd & 3rd ..ndo mara ya kwanza nakusikiliza lakini nimependezwa sana
@saicaglory6834
@saicaglory6834 6 ай бұрын
Kwa kweli nimebarikiwa sana na somo hili
@SendamaNgusa
@SendamaNgusa 6 ай бұрын
Umekuwa baraka sana kwenye maisha yangu mtumishi
@user-ux9po6ip7c
@user-ux9po6ip7c 6 ай бұрын
Yeeeeesu Wangu mm mtumishishi ww umeniliza mm mtumishi kama unaniona vile inauma sana yesu nidamehe nahisi kushidwa sasa mume wangu niwacheti toka naolewa mtumishi nimechoka mwili na roho yangu Mungu akubariki sana kama umeniona Mungu ametuma kwangu yani hili langu kabisa hata awe na pesa mbora ufe
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Pole sana dada yangu..endelea kujifunza naamini majibu yako yapo
@user-ux9po6ip7c
@user-ux9po6ip7c 6 ай бұрын
Amina sasa nafumbuka mtumishishi ninaanza kuona mwanga
@AgnessenestKibwana
@AgnessenestKibwana 4 ай бұрын
Hauko peke yako ktk hilo
@user-ex4hi7fj5c
@user-ex4hi7fj5c 5 ай бұрын
Shukrani Sana mwl nimejifunza mengi ubarikiwe
@Coachsamwel
@Coachsamwel 7 ай бұрын
Asante sana.. Nimebarikiwa sana
@rabilubinza7661
@rabilubinza7661 7 ай бұрын
Mafundisho ni mazuri sana🙏
@anitamwamini2646
@anitamwamini2646 7 ай бұрын
Thanks pst Deo
@DonatilaMwacha
@DonatilaMwacha 2 ай бұрын
Wengi ni waongo mnooo
@estherkalwira9799
@estherkalwira9799 6 ай бұрын
Ubarikiwe Pasteur
@samwelilucas1970
@samwelilucas1970 7 ай бұрын
Najifunza naona wanaume hatutakiwi kutumia hasira kabisa
@annandemo9743
@annandemo9743 4 ай бұрын
Nashukuru kwa mafundisho haya yanatujenga sana
@Norrisnoriega
@Norrisnoriega Ай бұрын
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@FunnyAlligator-fo2eg
@FunnyAlligator-fo2eg 6 ай бұрын
Interesting darasa
@mamadoromamadorothea-ij9zd
@mamadoromamadorothea-ij9zd 6 ай бұрын
Ahsante sana kaka unachokisema n kweli
@samwelilucas1970
@samwelilucas1970 7 ай бұрын
SoMo ni zuri Sanaa
@DesteriaMakumbuli
@DesteriaMakumbuli 7 ай бұрын
Asante nimebarikiwa Je hata kama akapoteza hizo sifa 3 na mke ukatambua na kumuonyesha kuwa ni mke kabisa unamuheshimu lakini akakosa kutambua kuwa upo upande wake na akaonyesha kuwa hatambui kuwa amempoteza sifa akajiona yupo sahihi je mke anatakiwa kufanya nini.
@DeoSukambi
@DeoSukambi 7 ай бұрын
Jukumu lako ni kuwa MKE sio kumsaidia au kumfundisha mumeo jinsi ya kuwa MUME..ikiwa amepoteza sifa unatakiwa ubaki kwenye nafasi yako ili aone matatizo yake..ukianza harakati za kumfix ataanza kuona wewe ndio tatizo..usibebe majukumu yake kama mume na kadiri anavyozidi kupoteana ndivyo unapaswa kurudi nyuma kumpa nafasi zaidi ya kujitafuta ajipate..si mara zote utafanikiwa lakini ikiwa atashindwa kujipata hautakuwa kwenye lawama za kuchochea yeye kupotea
@user-ws2cy7xz3b
@user-ws2cy7xz3b 6 ай бұрын
😢😢😢😢 asant kwa jibu hii ulio mpa nami ime nifunza nta jitahidi sana ​@@DeoSukambi
@MariamObote-lg5pu
@MariamObote-lg5pu 5 ай бұрын
Safiiiiii, ushauli wako niliutumia mimi, mwanaume wangu amejifunza!!!!!!!
@JacklineMacha-cv9rz
@JacklineMacha-cv9rz 7 ай бұрын
Asante..maama..umenigusa..nitapata.cha..kufanya.
@sarahbuluma9837
@sarahbuluma9837 6 ай бұрын
Well and good 👍❤ na ss mwalimu wetu sisi tuliolewa ile ndoa ya come and stay) tunasaidiana aje jmn😢 😱 hatutambuliki maskini
@HekelaKidibule
@HekelaKidibule 6 ай бұрын
Somo zuri saana,wanaume wangekua online wangejifunza
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Wanajifunza kimya kimya
@barakadeusdedit8273
@barakadeusdedit8273 6 ай бұрын
kabisa@@DeoSukambi
@ThéophileBadesirwe
@ThéophileBadesirwe 7 ай бұрын
Asante sana kwa mafundisho haya
@user-ty5ek9ne3t
@user-ty5ek9ne3t 6 ай бұрын
Ninakupongeza sana mchungaji uendelee kutushauri
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Asante sana
@FrolinaIlomo-jw9yn
@FrolinaIlomo-jw9yn 6 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho muhimu
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Amen amen
@BizimunguAdolphe-vp7xp
@BizimunguAdolphe-vp7xp 7 ай бұрын
Asante sana mwalimu🇷🇼
@bishengadau681
@bishengadau681 4 ай бұрын
Ubarikiwe sanaaa Mtumishi Nimejifunza
@sylviesaidi5740
@sylviesaidi5740 6 ай бұрын
Mbona wanaume wengi wamekuwa wahongo sana
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Hata wanawake ni waongo pia
@generalkenny8952
@generalkenny8952 4 ай бұрын
Nimejifunza Sana kwakeli asante sana
@Teaching356
@Teaching356 6 ай бұрын
Nimeipenda sana hii Asante.
@user-ze4sc1fh6p
@user-ze4sc1fh6p 6 ай бұрын
God bless you paster kwamafunzo mazuri❤❤❤
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Amen ameen
@SarahTsuma-w3v
@SarahTsuma-w3v 6 ай бұрын
Ahsante barikiwa
@user-js8zu6ld7n
@user-js8zu6ld7n 6 ай бұрын
Mwalimu nashukuru kwa mafundisho
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Asante sana ndugu
@AllenSalewa
@AllenSalewa Ай бұрын
Be blessed pastor
@lukasmbondo
@lukasmbondo 6 ай бұрын
Nini tofauti ya be kumilikiwa na kutawaliwa pastor
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Nimeelezea kwenye somo
@CatherineMakokha-dg6ws
@CatherineMakokha-dg6ws 6 ай бұрын
Thanks for the good teaching, I'm single mother, but my question is why every time, when I meet any man, we start talking about how we can get married, before we meet man start asking me to send him money, it's that right, it's that love or he just come to me because of money
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
It is not right, its is not love..run
@jullymwaikenda564
@jullymwaikenda564 6 ай бұрын
Ubalikiwe
@wahidakisingo3588
@wahidakisingo3588 6 ай бұрын
Asante pastor,,,,,,,i just wish baba chanja apate huu ujumbe umbust kwenye Moyo,,,,,nitumie njia gani kumfikishia hii link bila kumkwaza asijesema nimemuona anakasoro
@bas2823
@bas2823 7 ай бұрын
UPSOLUTY WRIGHT👌! N TRUE👍! 👏
@sarahbuluma9837
@sarahbuluma9837 6 ай бұрын
True said 👍 pos- wow Big up 💪🙏
@sylviesaidi5740
@sylviesaidi5740 6 ай бұрын
Na mimi nihitaji kujifuza zaidi
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Karibu sana endelea kutufatilia
@user-od2ty3po6o
@user-od2ty3po6o 4 ай бұрын
Ubarikiwe mwalimu
@sylviesaidi5740
@sylviesaidi5740 6 ай бұрын
Yes nakukubali sn😊
@AnithaSamwel-wc5ze
@AnithaSamwel-wc5ze 6 ай бұрын
Sanaa yupo good
@sylviesaidi5740
@sylviesaidi5740 6 ай бұрын
Kabisa Asante sana kwaio
@loycep7785
@loycep7785 6 ай бұрын
Nashukuru sana kwa maneno mazuri lkn wanaume wengine wanatuchukulia zarau kwa ufhaifu wetu sasa wanatumia nguvu sasa ndoa hiyo inakuwa haina Amani Comand bila hekima ndoa haiendi
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Ina maana huyo mwanaume hana zile sifa za mume ndio maana..ukipata mwenye sifa wala hanaga tatizo hilo
@adeladaudi2047
@adeladaudi2047 4 ай бұрын
Hapo ndio sielewi unamaanisha huyo amuache ampate mwenye hizo sifa 3, au afanyaje?
@user-gh3zf4ow4c
@user-gh3zf4ow4c 3 ай бұрын
​@@adeladaudi2047Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake HEKIMA Ni dawa
@user-yk6un2gl8j
@user-yk6un2gl8j 6 ай бұрын
That's very good advice b blssed
@HyleneGesare
@HyleneGesare 6 ай бұрын
True pastor
@user-vo9bh4jw2d
@user-vo9bh4jw2d 6 ай бұрын
Ubarikiwe
@VeronicaThomas-pb1cp
@VeronicaThomas-pb1cp 7 ай бұрын
Pastor nashukuru Sanaa, ila ni Nina swali moja unakuta mwanaume uwezo wa kuwa na hela yuko vizuri lakini hatekelezi majukumu yake?? Shida inakuwa n nini
@mariahyera3737
@mariahyera3737 7 ай бұрын
Huyo ni mchoyo na mbinafsi. Na wapo wengi sana kwa sasa.
@anitamwamini2646
@anitamwamini2646 7 ай бұрын
May god bless you for this message
@HekelaKidibule
@HekelaKidibule 6 ай бұрын
Amina
@ephraimkabeya9648
@ephraimkabeya9648 6 ай бұрын
Very good Lecture
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Thanks and welcome
@user-xw3qf6ii9m
@user-xw3qf6ii9m 6 ай бұрын
Safiii sana mr Deo
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 ай бұрын
Aisee wengine baba zetu vimeo Ila ndo wazazi hakuna namna
@LilianSulubu
@LilianSulubu 6 ай бұрын
Somo Zuri linanijega
@MariannaJoseph-uv2sp
@MariannaJoseph-uv2sp 5 ай бұрын
Dah mimi nimetengana na mumu wangu kwakua kiuchumi nina vumilia kwakua sio mzuru au nimeweza kuvumilia yote ila katika kurizisha hisia zangu niziro nihivi uwezo wa tendo nimdogo napiya mpaka ajisikie yeye napiya wakati mwingine hatuwez kufanya tendo mpaka waje wagen ndipo huwa anajisikia so sijamuelewa hata hivo anaamsha hisiya akisha maliza yeye bas hajalitena kuhusu mimi hivo yan
@MariannaJoseph-uv2sp
@MariannaJoseph-uv2sp 5 ай бұрын
Ila nimkweli napiya sio cheateng hayo anajitahid sana love tu kwake ni ziro
@bahatinahimana5695
@bahatinahimana5695 6 ай бұрын
Sasa mbone mwanaume izo namna 3 zikimushinda anaamua kwenda kuwowa ungine mwanamke na anataka asikuache nawewe muke wakwanza we muke wakwanza utafanya nini jamani?
@user-js8zu6ld7n
@user-js8zu6ld7n 6 ай бұрын
Mafundisho nimazuri
@hajatyyusphu334
@hajatyyusphu334 6 ай бұрын
Vyote kwangu changa moto
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 ай бұрын
😂 kwakweli mpk pastor umecheka, point ya 3 Balaa linaanzia hapo
@happiness_713
@happiness_713 6 ай бұрын
Wonderful advice... from Kenya
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Glad it was helpful!
@happiness_713
@happiness_713 6 ай бұрын
Those who will follow your teachings will go far! ... that's my thoughts 👊
@user-we5zc7xk8x
@user-we5zc7xk8x 5 ай бұрын
Mwalimu mafunzo yako mazuri hakika wanaume wameshindwa kujitambuwa kwamba wao waliumbwa kwaajili ya kujenga na so kubomoa ila wanaume leo wamukuwa wabomozi kuliko kujenga wamejiondowa kwenye kitengo cha ualimu wamejiweka kwenye kitego cha uwanafunzi
@user-lr9lx2nu3k
@user-lr9lx2nu3k 6 ай бұрын
Cjui nipo nje ya mada vp kuhusu mwanaume ambae hajali Wala hahudumii
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Hana sifa ya kuwa mume japo ni mwanaume.
@Dr.witness02
@Dr.witness02 7 ай бұрын
Habar kwa mwanaume alien Muaid mwana mke kumuo na akajikuta ame mpa mwanamke uyo uja uzito na aka kubali mimba na kulea mimba kisha kuamua kumuacha mwana mke huyo shida ina kuwa nini
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Mwanaume kuahidi kukuoa haina maana atakuoa..ilipaswa huyo mwanamke asubiri aolewe ndo apate mimba..hiyo ya kuwa mwanaume aliahidi atakuoa sio guarantee kabisa..mwanaume akiwa anataka kukupata anaweza kukuahidi chochote kile lakini haimaanishi ndicho atakachofanya
@annamnyazi8206
@annamnyazi8206 3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@LucyMichael-pn6pr
@LucyMichael-pn6pr 6 ай бұрын
🙏🏼
@preceenosent6324
@preceenosent6324 6 ай бұрын
Jama hiyo ya mwisho ni ngumu jamani
@user-od2ty3po6o
@user-od2ty3po6o 4 ай бұрын
Asnte
@MiriamEzekiel-d1p
@MiriamEzekiel-d1p 6 ай бұрын
Mafundisho mazuri tunashukuru
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Asante sana
@MagrethLyimo-vm5wk
@MagrethLyimo-vm5wk 3 ай бұрын
Na mke akizikosa sifa zake tatu afanyeje??
@SuzanaMgoja
@SuzanaMgoja 5 ай бұрын
Samahani mimi ninamchumba lakini anawivu mnooo na anataka kila ninachofanya nimuambie na nikisahau kumwambh ananisema maneno machafu pia anataka niwe nae karibu yaani niwe naishi nae kwanza then NDIPO ataenda nyumbani .je huyo ni mume au mwanaume?
@DeoSukambi
@DeoSukambi 5 ай бұрын
Huyo ni mwanaume HATARI..nenda kaangalie somo la AINA TANO ZA WANAUME
@SuzanaMgoja
@SuzanaMgoja 5 ай бұрын
Sawa
@user-hd5xi3yl5q
@user-hd5xi3yl5q 6 ай бұрын
Mm nipo single napenda sana kuwa na mume lakini naopa kusalitiwa na nimeshasalitiwa sana
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Kama unaogopa kusalitiwa basi jifikirie mara mbili kuhusu suala la kuolewa maana hofu yako itakufanya usalitiwe sana..kuwa mke inahitaji IMANI na uaminifu..kama huwaamini wanaume then ni ngumu kuwa mke..jitahidi kuishinda hiyo hofu
@msekenicarlo2206
@msekenicarlo2206 6 ай бұрын
Nimecheka kwa sautiii😂 "Bwana atawapigania nanyi mtanyamaza kimya" 😂
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Oooh yeah😆😆😆
@user-um9dt1cu9z
@user-um9dt1cu9z 7 ай бұрын
Mimi nnasifa zote 3 ila sjaolewa
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Utaolewa tu tulia
@user-ly7ur3iz8o
@user-ly7ur3iz8o 4 ай бұрын
Mmmmh hapo kwenye kutatua mahitaji ya kiuchumi hapo na kihisia mhmm
@gracemlawa0015
@gracemlawa0015 6 ай бұрын
35:51
@SarahTsuma-w3v
@SarahTsuma-w3v 6 ай бұрын
Sasa kama mm nko Kenya hyo elfu tano pesa ngap ya kenya
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Semina ilihairishwa
@user-ps4vh7hu3i
@user-ps4vh7hu3i 6 ай бұрын
Hicho kitabu ni whoumch
@aishavogelmann5021
@aishavogelmann5021 5 ай бұрын
Hii Nb yako code ni yawapi? Tafadhali nisndikie.
@DeoSukambi
@DeoSukambi 5 ай бұрын
Ni code ya Tanzania
@aishavogelmann5021
@aishavogelmann5021 5 ай бұрын
@@DeoSukambi +255
@pishoniprinting2284
@pishoniprinting2284 6 ай бұрын
Is true
@mapinduzisylvester1903
@mapinduzisylvester1903 6 ай бұрын
Takataka
@Neema-fh1wp
@Neema-fh1wp 6 ай бұрын
😂😂😂 Kama kakukera sema malaya wewe...
@beera.g5302
@beera.g5302 5 ай бұрын
😂😂😂😃😃😅​@@Neema-fh1wp
@RUCKY_
@RUCKY_ 6 ай бұрын
Unavyo anza wah kwenye mada point za msingi unaongea sana mpka unamchosha msikilizaji
@DeoSukambi
@DeoSukambi 6 ай бұрын
Kama ni mvivu wa kusikiliza hii channel itakuboa..fatilia zenye clip fupi fupi ndugu yangu hapa nafundisha na kufafanua
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 6 ай бұрын
Ni vema kusikiliza vyema maelezo, kuliko kupata point. Hata ukipewa point utacomplain tu mfn; point ikisema" mwanaume unatakiwa kuwajibika" hapo unaweza kuelewa kuwajibika kwenye nini na nini na ninavyotambua akili za watanzania watasema mimi nawajibika sasa huyu anaongea nini sasa.
@RUCKY_
@RUCKY_ 6 ай бұрын
@@DeoSukambi sio uvivu wa kusikilia unapo chekewa kupoint maneno ya kawa mengi una sahau ya mwanzo hivyo hivyo hata kwenye mafundisho ya bibles hawasomi vifungu vyoote ni vichache na vyenye kufafanulika haraka vichwa vina mambo mengi basi ata walimu wangekua wana fundisha page za vitabu vyoote sasa oky WACHA NI BAKI KWA CHRIS MAUKI.
@RUCKY_
@RUCKY_ 6 ай бұрын
@@judithmwambe4767 sorry kila mtu na mitizamo yake wengine tuna thamini muda wa kusikiliza na mengine
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 6 ай бұрын
@@RUCKY_ kama u mvivu kusikiliza its better ukaachana na mafundisho haya maana hayatakusaidia kwa kweli mpendwa.
@Norrisnoriega
@Norrisnoriega Ай бұрын
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
SIFA TATU (3) ZA MKE | DEO SUKAMBI
1:03:07
Deo Sukambi
Рет қаралды 142 М.
MAKOSA YA WANAWAKE #mapenzi #upendo #ndoa #uaminifu #love
36:21
TOFAUTI YA UPENDO NA MAPENZI | DEO SUKAMBI
1:00:20
Deo Sukambi
Рет қаралды 22 М.
Kwenye Ndoa ni Afadhali mgombane kuliko kuigiza, Hamtodumu
19:24
Madam Leila Abubakar
Рет қаралды 7 М.
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Topten Tv
Рет қаралды 337 М.
TOFAUTI YA MKE NA MSAIDIZI | DEO SUKAMBI
53:50
Deo Sukambi
Рет қаралды 6 М.
Bora Mtu akuvuruge kichwa kuliko awe amepoa, maumivu yake ni makali sana
1:01:20
Jinsi MADHABAHU inavyotenda kazi katika maisha yako || PASTOR GEORGE MUKABWA || 23/06/2024
3:05:35
Pastor George Mukabwa (JRC Church)
Рет қаралды 39 М.
SHERIA 4 ZINAZOATHIRI NDOA NA MAHUSIANO |  DEO SUKAMBI
56:44
Deo Sukambi
Рет қаралды 2,1 М.