DHAMBI YA KUMKUFURU ROHO MTAKATIFU (WAEBRANIA 6:4--6, UFUNUO

  Рет қаралды 6,631

Ukweli Ministries

Ukweli Ministries

2 жыл бұрын

DHAMBI YA KUMKUFURU ROHO MTAKATIFU (WAEBRANIA 6:4--6, UFUNUO 2:20-21, 1 YOHANA 5:16)

Пікірлер: 52
@bernadethakimoga5776
@bernadethakimoga5776 2 жыл бұрын
Amina
@pizzaboy3640
@pizzaboy3640 Жыл бұрын
MUNGU AKUBARIKI SANA MT. WA MUNGU NAPOKEA KUTOKA MOC'AMBIQUE , AMENI.
@Nyota1-en4oq
@Nyota1-en4oq 8 ай бұрын
amen
@perrywanjiru2754
@perrywanjiru2754 2 жыл бұрын
Amen
@Deborakasa
@Deborakasa 10 ай бұрын
Amen sana
@annamkilo3133
@annamkilo3133 Жыл бұрын
Najutia sana makosa yangu Naijona si kitu kabisa mbele Za Mungu
@christeternallifetv5959
@christeternallifetv5959 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtu wa Mungu
@muthonijgatia4350
@muthonijgatia4350 Жыл бұрын
Asante Mungu mbarikiwa sana
@HabilyTech
@HabilyTech 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa neema ya kutufundisha vitu, vya uzima wa milele
@truphenayossi985
@truphenayossi985 2 жыл бұрын
Aki nimekuona leo nimefwatilia haya mafunzo yana Roho was kweli Mungu anisaidia aki
@UKWELIWAYESUKRISTO
@UKWELIWAYESUKRISTO 2 жыл бұрын
Asante sana kwa chakula. Mungu abariki mtumishi wake.
@kweliyakristoyesu
@kweliyakristoyesu 2 жыл бұрын
Amen Amen mtume meshak Mungu atunze nakuilinda sana huduma hii maana wengi tunawekwa huru
@ivonaevarista4654
@ivonaevarista4654 2 жыл бұрын
Bwana Yesu na atukuzwe sana kwaajili yasomo lake na Mungu akubariki sana kakangu
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Amina mtumishi wa mungu barikiwa sana
@angelanaftael7965
@angelanaftael7965 2 жыл бұрын
Asante mtume wa Mungu asante sana kwa kazi hii kubwa baba.Mungu azidi kusema nawe
@marypeter4584
@marypeter4584 2 жыл бұрын
AMEN BWANA TUREHEMU, TUPE MIOYO YA NYAMA YENYE KUKUBALI MAONYO
@kituzakalembire2072
@kituzakalembire2072 2 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mutumishi wa Mungu
@apazmunisi2133
@apazmunisi2133 2 жыл бұрын
Ameen, YESU WANGU NISAIDIE KUAMUA KUKUFUATA WW TU KWA MOYO WANGU WOTE NA ROHO NA NGUVU ZANGU ZOTE.
@suvenkanyolo6104
@suvenkanyolo6104 2 жыл бұрын
Mungu atusaindiye sana kabisa Ee Mungu wangu utusaindiye mutuombeye
@philomenanzisa4685
@philomenanzisa4685 Жыл бұрын
Nashukuru kwa mafunzo mema ya roho mtume mungu akumbariki na akuongezee
@Sara-ne3xl
@Sara-ne3xl 2 жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwaajili ya watumishi wake kama huyu anayeongea ukweli,Mungu azidi kukutumia na akubariki sana.
@marykassanga5374
@marykassanga5374 2 жыл бұрын
Amen Mtumishi wa Mungu aliye hai mungu akubariki sna kwa kumtii Mungu na kupokea mafunuo toka kwake na kutufundisha kweli hii yote.
@emmashariff6622
@emmashariff6622 2 жыл бұрын
Ameeeen Ameeeen eeh Mungu nisafishe kwa damu yako Bwana uniwezeshe kuacha dhambi uinuliwe juu yangu barikiwa sana
@samweliishiabwe2986
@samweliishiabwe2986 2 жыл бұрын
Amena
@shantal6030
@shantal6030 2 жыл бұрын
Shalom shalom mtume wa mungu mungu azidikukulinda na kukupanguvuili unidirectional kutuhonya na kutuweka kiroho mimi ninakuwamini wewe nina again yakuongeya na wewe please 🙏
@christinaisanguisangu2974
@christinaisanguisangu2974 Жыл бұрын
Duh naogopa sana ole wangu mimi
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 2 жыл бұрын
asante kwa huďuma ya kweli ya MUNGU
@SawasingshOzilVeronick-dj6ky
@SawasingshOzilVeronick-dj6ky 2 ай бұрын
Wewe utaenda mbinguni kwa ajili ya matendo mazuri
@FurahaExpress
@FurahaExpress 2 жыл бұрын
Asante kwa neno Mungu akubariki
@tatumluv6054
@tatumluv6054 2 жыл бұрын
Amen Amen barikiwa sana Mtume wa BWANA
@theopistamlelwa1167
@theopistamlelwa1167 2 жыл бұрын
MUNGU nikumbuke nikutumikie ktk Roho na kweli
@queenesther2639
@queenesther2639 2 жыл бұрын
Eeh MUNGU Baba Utusaidie sana tunakusihi
@kizajacqueline8583
@kizajacqueline8583 2 жыл бұрын
Amena alleluia
@odiliaamnaay4429
@odiliaamnaay4429 2 жыл бұрын
Mtume wa Mungu Bwana azidi kuku paka mafuta mabichi. Mtume niombee ninaumwa Nina uvimbe mkubwa mwilini na kutoa damui Mara kwa Mara.
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Жыл бұрын
Pole Sana na MUNGU wa mbingu na NCHI AKUPONYE MAANA HATUNA MWINGINE zaidi ya MUNGU wetu mkuu
@mwinjilistimarcy8375
@mwinjilistimarcy8375 2 жыл бұрын
Amen 🙏 😭
@rosewacharo3336
@rosewacharo3336 Жыл бұрын
MUNGU wa mbinguni akulinde Ili uzidi kufunza ukweli
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 Жыл бұрын
Mtume wa BWANA wetu Yesu Kristo naomba unifafanulie dhambi ya mauti ni ipi je ni kuua mtu au ni ipi tafadhali sana unisaidie hilo?
@alifridahocharo
@alifridahocharo 2 жыл бұрын
Let God bless you nilikuwa naomba kama nawesa nena na lugha and how can I start please pastor pray for me my legs are swollen at the ankle (oedema) it's now 20 yrs am living with this condition I have bè going yo the hospital but hakuna matumaini please please pray for me
@lightness183
@lightness183 2 жыл бұрын
Amen Apostle. Naomba uliza je, ikiwa mtumishi mwenye karama za rohoni na ashakufuru Roho anaishi kwenye dahmbi, hv akiwa anawaombea kwa Mungu waumini wake Mungu anajibu maombi yake ? Na je km ni mhudumu Mungu anakueka utumike mahali, badae mtumishi anakufuru tayar na ur expecting ur deliverance there, utabaki hadi ufunguliwe au?
@justinministry001
@justinministry001 Жыл бұрын
Nilikua sijajua hili Neno ambalo umefundisha nilikua najua kila dhambi inasamehewa...swali langu ni je Sasa Kwa kuwa nimejua Kuna dhambi ya mauti je naweza kusamehewa tena?....naomba unisaidie...
@holylostborn
@holylostborn 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@failaprince9250
@failaprince9250 Жыл бұрын
Jambo mtumishi sasa tutajuwaaye mtumishi mzuri?
@nisetameena9276
@nisetameena9276 2 жыл бұрын
Dhambi ya mauti ni kuuwa?
@failaprince9250
@failaprince9250 Жыл бұрын
Tutamujuwa aje mtumishi mubay namzuri?
@johnshirima9995
@johnshirima9995 2 жыл бұрын
Dhambi ya kukufuru ni kama dhambi ipi?
@UkweliMinistries
@UkweliMinistries 2 жыл бұрын
Dhambi ya mauti. Kuua, Uasharati, yaani dhambi zanazo hua nafsi ya mtu.
@chengeson
@chengeson Жыл бұрын
@@UkweliMinistries sasa mtu akitubu atasamehewa au
@JifunzeNenoLaMungu
@JifunzeNenoLaMungu 2 жыл бұрын
Mtumishi tuombee roho atujae tuwe na nguvu ya kukataa dhambi kila siku.. hii dhambi ya kumkufuru roho kila siku unatutisha sisi tunaojifunza kuokoka... Kwani tu wachanga tunaanguka anguku Kama mtoto ajifunzavyo kutembea... Haya masomo uandike ni specific kwa wachungaji na waliokomaa.... Sisi unatutisha unataka kutukatisha tamaa tunajiuliza Sasa tumeshapotea au bado tuko kwenye mstari... Vita ni vikali kwa sisi wachanga... Tuombee tupatee nguvu ya kutembea na roho wakati wote
@UkweliMinistries
@UkweliMinistries 2 жыл бұрын
Hapana ndugu usiseme hivyo. Mungu anatambua uchanga wa mtu. Yaani sisi wote ni wachanga kwa kuwa sisi ni watoto wa Kristo. Somo zote zina lenga ku ngo’a mtu katika uchanga na kumuimarisha katika kweli. Yesu ndo huyo kweli. Nasi atutamuona katika uchanga bali kwa ukamilifu wa kiroho.
@felicianvictor8223
@felicianvictor8223 2 жыл бұрын
@@UkweliMinistries amina!
@editarichard3590
@editarichard3590 2 жыл бұрын
Amina
KUMKUFURU ROHO MTAKATIFU (MARKO 3:28-30, 2 PETRO 2:20-21)  | Mtume Meshak
35:18
Neno, Maono, na Ushuhuda | Meshak Maliyabwana Mausa
53:28
Ukweli Ministries
Рет қаралды 3 М.
Must-have gadget for every toilet! 🤩 #gadget
00:27
GiGaZoom
Рет қаралды 12 МЛН
Wait for the last one! 👀
00:28
Josh Horton
Рет қаралды 137 МЛН
FOOLED THE GUARD🤢
00:54
INO
Рет қаралды 64 МЛН
Пробую самое сладкое вещество во Вселенной
00:41
Ìdúpẹ́
31:34
TheSola Allyson
Рет қаралды 70 М.
NAWEZAJE KUUWA MWILI| IBADA 60| 07/06/2024
1:29:39
Ukweli Ministries
Рет қаралды 519
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 27 М.
MTUME MALIYABWANA MAKUBWA KUHUSU RUTO, SAMIA NA VIONGOZI WA AFRICA
16:29
Ukweli Ministries
Рет қаралды 13 М.
Teachings of Jesus - Gnostic Gospel of St Thomas - Christian Mystics
36:41
Samaneri Jayasāra - Wisdom of the Masters
Рет қаралды 370 М.
SAFARI YA KWENDA MBINGUNI
45:28
Ukweli Ministries
Рет қаралды 1,9 М.
Usifurahie Kuanguka Kwangu | Mika 7:8 | Mtume Meshak Maliyabwana
11:53
Ukweli Ministries
Рет қаралды 4,6 М.
Fundisho Kuhusu kukufuru Roho Mtakatifu.
16:00
FUATA BIBLIA IKUONGOZE
Рет қаралды 2,3 М.
Must-have gadget for every toilet! 🤩 #gadget
00:27
GiGaZoom
Рет қаралды 12 МЛН