MTUME MALIYABWANA MAKUBWA KUHUSU RUTO, SAMIA NA VIONGOZI WA AFRICA

  Рет қаралды 13,690

Ukweli Ministries

Ukweli Ministries

11 күн бұрын

Пікірлер: 194
@marygichiri8894
@marygichiri8894 9 күн бұрын
Ulisema Ruto atakuwa president but wakenya tuombe Sana na ukatuonya mala ya pili.God bless you.
@Mjakazisafi8361
@Mjakazisafi8361 9 күн бұрын
Amen Amen hapo ni kweli ulisema nakuambuka ukituambia wakenya lakini hatukusikia Amen
@DanielMukora-jx1bh
@DanielMukora-jx1bh 9 күн бұрын
Haya uliyasema kweli,Mungu aikumbuke nchi yetu kenya 🇰🇪 pamoja na Africa
@Redeemed-oTL
@Redeemed-oTL 5 күн бұрын
Mtume, ume hama Marekani kabisa ama utarudi? Mimi bado niko huku lakini najipanga kurudi Africa. Nakumbuka prophecy zote ulizo peana kuhusu Kenya. Pia nakumbuka prophecy zote warning Africans in the US wajenge kwao na warudi nyumbani. Tafadhali endelea kutuombea, *TUTOKE HUKU MWAKA HUU* Thank you for speaking the truth, servant of God. Ruto ni JOKA na pia Samia wa Tanzania ni lishetani likubwa sana - Washindwe kwa Jina la Yesu! Amen @ 9:56 Hata mimi mtu aki nipa land Tanzania for free, siwezi kuchukua na siwezi kuishi huko. Rotten country!!! Afrika yote ime oza but Tanzania ni mbovu kuliko zote.
@calebmuchiti1357
@calebmuchiti1357 8 күн бұрын
Amen,ahsante saana mtumishi wa Mungu Meshack Mungu akulinde na akupe amani katika jina la Yesu kristo
@user-ef4dh2gg3j
@user-ef4dh2gg3j 9 күн бұрын
Amen mtume MaliyaBwana,Kama Kuna kitu Mimi ufuatilia na sisahau Ni unabii,huwa Niko makini Sana na unabii,kitu ambacho unishida Ni kuomba Sana,naomba Mungu aniuhishe kwa upande wa maombi Niweze kuomba.ubarikiwe mtumishi wa Mungu aliyehai.
@susanireri8228
@susanireri8228 8 күн бұрын
Shalom Nabii. Asante kwa kulia na sisi,na kutuombea Kenya inafagiliwa na Mungu sasa Kenya lazima ipangwe ili kutimiza unabii wa ufufuo Kweli tulipubazwa Uhu muoba shetani Mungu atuondolee Kenya imeshauzwa kwa madhabahu ya Giza na Ruto,Biden and Obama,King charles #OnTheKneesForKenya
@epmzmusifiwar6694
@epmzmusifiwar6694 9 күн бұрын
From Uganda 🇺🇬 Int'l Congo DRC 🇨🇩 Ubarikiwe Mzeeh Wangu ❤️
@babybossfr
@babybossfr 7 күн бұрын
Everything you said is happening right now brother, be bless and may the Almighty God continue to bless you with more AMEN.
@judithhemali1569
@judithhemali1569 9 күн бұрын
Amen, hallelujah. Thank you servant of God. More grace and blessings.
@sophy112
@sophy112 8 күн бұрын
Lakini mtume wakati ulisema president n Ruto tulikuambia Sio mzuri n mbaya Sana Mungu aturehemu...asante Kwa ujumbe wako mwema mtumishi .. God bless you 🙏🏽
@CHRISTOPHERKIMWAGA
@CHRISTOPHERKIMWAGA 9 күн бұрын
Kweli kabisa unaesema mtumishi wa mungu Samia analiuza taifa letu
@mwaminimwangaza
@mwaminimwangaza 7 күн бұрын
Mupendwa anza na herufi kubwa M kumwandika Mungu wa mbinguni ili kumutofautisha na miungu na pia kumheshimu hata ndani ya biblia Mungu sio mungu
@angel54223
@angel54223 9 күн бұрын
Amen, Barikiwa sana Mtume,
@queenesther2639
@queenesther2639 9 күн бұрын
Shalom Shalom MtumeMaliyaBwana
@elizabethmbithe7954
@elizabethmbithe7954 9 күн бұрын
Amen Amen mutumishi mali ya BWANA umeongea ukweli MUNGU akumbaliki na tinakuitaji tena kenya kalimbu tena
@KnjueLawremuresh-uf9sz
@KnjueLawremuresh-uf9sz 7 күн бұрын
Amen, I have been following you, and sincerely your prophecy come to pass, still you teaching is absolutely true... Amen
@nestorypesambili7341
@nestorypesambili7341 9 күн бұрын
Amen, ubarikiwe mtumishi wa Mungu.
@patriciachangawa1754
@patriciachangawa1754 9 күн бұрын
AMEN MTUMISHI ATA MM NAKUMBUKA SANA UKI TABIRI KUHUSU RUTO BWANA ATUPE NGUVU YAKUPAMBAN KIMAOMBI
@silvianyangai1903
@silvianyangai1903 9 күн бұрын
Very true. I listened to you before kenyan elections about ruto and indeed kenya is in pain.
@agathamugure1713
@agathamugure1713 9 күн бұрын
Shalom ,pia wewe Mungu akubariki
@chekaelia4282
@chekaelia4282 9 күн бұрын
Shalom kaka Mungu anakutumikisha kabisa maana mimi nilisikia unabii wako nikweli unatimia mungu asaidie inchi ya Kenya na incho zote za african
@DaHasha2025
@DaHasha2025 9 күн бұрын
Amina
@user-gm6pt9qm3i
@user-gm6pt9qm3i 7 күн бұрын
Asante sana mtumishi wa mungu zidi kuombea inji yetu ya Kenya tena ombea sana awa vijana wetu mungu apitie kwa awa vijana waogoe Kenya
@Deboraclementgm
@Deboraclementgm 9 күн бұрын
Amen amen ubarikiwe pia Na Mungu
@user-bg4uw3gr3u
@user-bg4uw3gr3u 9 күн бұрын
Amina MTUME MALIYABWANA AMINA CONTINUE OF MAFUDISHO YAKO NA BWANA YUPO PAMOJA NAWE AMINA
@adylineamutamwa959
@adylineamutamwa959 9 күн бұрын
Amen God bless you too
@chaleetch9394
@chaleetch9394 9 күн бұрын
Amen Amen mtumishi
@suvenkanyolo6104
@suvenkanyolo6104 9 күн бұрын
Amen baba ❤❤❤
@christovercomers
@christovercomers 9 күн бұрын
Amen. So you were here and I never new you.
@dfc8558
@dfc8558 7 күн бұрын
amen amen yesu ni bwana
@user-oq5cy9rc4s
@user-oq5cy9rc4s 6 күн бұрын
Amen 🙌🙏 Mungu akubariki sana Amin Amina 🙏
@IsaacNdalu-r5q
@IsaacNdalu-r5q 9 күн бұрын
Amen,,,, mtumishi wa Mungu
@hellenmnyazi220
@hellenmnyazi220 7 күн бұрын
Amen barikiwa sana mtumishi Mungu azidi kukufunulia na Mungu airehem inchi yetu ya Kenya
@jkconsolata2672
@jkconsolata2672 8 күн бұрын
Ubarikiwe pia unapo fanya kazi kwenye mwili wa Kristo. Kweli Meshack nilisikia unabii wako ruto alipochaguliwa ulisema ooi wakenya ombeni sana sana maana yajayo mmmh huwezi sema....
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 8 күн бұрын
Hallelujah Amen 🙏🙏🙏💞
@asminmakoha6889
@asminmakoha6889 9 күн бұрын
Nawe pia ubarikiwe
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 20 сағат бұрын
Amen Amen Amen
@asminmakoha6889
@asminmakoha6889 9 күн бұрын
Amen nikweli mtume MALI YABWANA
@christovercomers
@christovercomers 9 күн бұрын
I never knew that you were here. I could have come
@babybossfr
@babybossfr 7 күн бұрын
May God bless you servant of God 🙏🏽🙏🏽🙏🏽❤
@GodisOne-JesusChrist
@GodisOne-JesusChrist 9 күн бұрын
Amen, wrong choices without prayer. Huruma
@marympochela7903
@marympochela7903 9 күн бұрын
Amen mtumishi wa MUNGU
@queenesther2639
@queenesther2639 9 күн бұрын
Wasiomkubali waangalie unabii alioutoa kuhusu Kenya na sasa Kenya kukoje!
@leticiamakoye4871
@leticiamakoye4871 8 күн бұрын
AMINA BWANA YESU kiristo wa nazaleti akulinde baba (zekaria 2:8)
@chekaelia4282
@chekaelia4282 9 күн бұрын
Mungu atusaidie sana
@luhelusonline682
@luhelusonline682 9 күн бұрын
Amen Amen mtumishi wa Mungu
@JUMAMwambeule
@JUMAMwambeule 9 күн бұрын
Amen daddy
@EstherChadi-xe7se
@EstherChadi-xe7se 9 күн бұрын
Amen Amen
@tumainipeter458
@tumainipeter458 7 күн бұрын
Amina mungu aupe upeo zaidi
@suluchristina6487
@suluchristina6487 6 күн бұрын
Amen 🙏🏻 🙏🏻 🙏🏻 🙏🏻
@susankitaga758
@susankitaga758 7 күн бұрын
Amen 🙏
@faithe4063
@faithe4063 8 күн бұрын
Kama wewe ni mtumishi wa Mungu wa kweli kakangu usiwe unahukumu mtu kwamba ni wa shetani kwa sababu huyo shetani umjui wewe jiangalie mwenyewe kwa maana huu ni nyakati za mwisho ata Yesu alisema kwamba hayo lasima itimie kwa hiyo basi ubiri injili ya Yesu watu waokoke sio kuita wakubwa shetani au wewe ni agent wa shetani?
@rusiafrancoise2396
@rusiafrancoise2396 9 күн бұрын
Shalom shalom
@adelesifa2257
@adelesifa2257 7 күн бұрын
Bwana Yesu ahisaidie Afrika zima mana hatujii tufanye nini na tuseme nini Ee Bwana Yesu
@florarwegerera8025
@florarwegerera8025 6 күн бұрын
Mtu anaeita watu ni washetani inawezekana yeye ni agent wao wameshindwana kwenye ulimwengu wa roho. Mungu akusamee unatakiwa kufanyiwa cancelling
@ELIZABETHMTAITA-nr4vp
@ELIZABETHMTAITA-nr4vp 9 күн бұрын
Mungu awalinde kwa kweli
@irenekaran5325
@irenekaran5325 9 күн бұрын
Amen
@GestinaKuya-xv6qy
@GestinaKuya-xv6qy 5 күн бұрын
Jamani mimi sina maana mbaya juu ya huyu mtumishi anainena kweli ya Mungu ila mimi huwa ninamaswali moyoni juu ya mwonekano wake sasa ona amefuga rasta mimi ananichanganya
@JulieniKashindi
@JulieniKashindi 9 күн бұрын
🙏🙏🇺🇸
@kellyroselwinga7999
@kellyroselwinga7999 9 күн бұрын
Ameeen AMEN
@queenesther2639
@queenesther2639 9 күн бұрын
Waaaaà!
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 6 күн бұрын
Mungu atusaidie Tanzania, maana yule mama nilimkataaa rohoni
@GodenBMDaniel
@GodenBMDaniel 9 күн бұрын
Bwana atukuzwe milele Amina
@immaculateforchrist3518
@immaculateforchrist3518 8 күн бұрын
Yametimia kwa kweli.Mungu atabaki kuwa Mungu tu.tuhurumie eeh yesu kristo
@joannekesa1835
@joannekesa1835 9 күн бұрын
Amen amen
@raphaelzama4748
@raphaelzama4748 9 күн бұрын
Ni kweli na kumbuka
@aimemuharabu3003
@aimemuharabu3003 9 күн бұрын
amen amen vyote vimetimiya kabisa
@Sara.11148
@Sara.11148 8 күн бұрын
Ruto na mke wake walijificha kwa kanisa weeeh kuna wakati rachel aliombea maji ya sewage ilikuwa nyuma ya nyumba yao eti hiyo maji ya sewage ilingeuka ikawa maji safi ya mineral water😂 hiyo miracle ni kali sana.
@Mwasame_Official1
@Mwasame_Official1 9 күн бұрын
Ni ukweli kabisa mtumishi wa mungu
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 7 күн бұрын
Pumbavu ushakula bangi unajiita mtume
@user-ge1zy8fj6s
@user-ge1zy8fj6s 9 күн бұрын
AMENA SANA NDUGU KATIKA KRISTO .
@ledeajoasu3119
@ledeajoasu3119 9 күн бұрын
Mungu atatusaidia wakenya tutapenya shalom Kenya
@irinenanciebarasa5566
@irinenanciebarasa5566 9 күн бұрын
😭😭yes oooh ruto ni mtu wa shetani kabisa 😢😢MUNGU atukumbuke ruto achelewi kanisani damu ya wakenya itembea na ruto, amekaa 2years Adi zake ya uwongo mtumishi wa MUNGU ooooh more blessings nakufuata nikiwa Kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@faithe4063
@faithe4063 8 күн бұрын
Ni vizuri ukanyamasa kwa sababu ujui shetani wala Mungu alafu sio wewe unaye hukumu ni mwenyezi Mungu pekee cha muhimu ni kujiombea wewe na ichi yako. Bado ujekudhua kwamba ni nyakati za mwisho? Basi heri ukatulie usiwai hukumu mtu kwamba ni shetani au anaabudu shetani na ujui shetani anakaa aje heshimu maneno yako kabla ujetoa
@Izo3102
@Izo3102 8 күн бұрын
Am in great shock 😲..., Mungu atusamehe
@irinenanciebarasa5566
@irinenanciebarasa5566 8 күн бұрын
@@faithe4063 dadangu sitanyamasa nitasema ukweli wangu unichukie Sana Shetani alitupwa Hapa duniani kuharibu Kama huyo ruto wako mzuri Sana na wewe swali yangu uliona wapi president wako ameokoka Sana anasema uwongo Shetani usema uwongo ruto wako ameleta nini Kenya kwa miaka 2?? Mm niniko na dhambi kubwa Sana lakini siwezi sema promise ya uwongo sitaki Shetani aniongozea na uwongo mtoto wa MUNGU usema ukweli uwongo ni washetani umesikia Ata Shetani uomba Sana twagalia moyo Safi dadangu
@irinenanciebarasa5566
@irinenanciebarasa5566 8 күн бұрын
@@Izo3102 yes MUNGU atusamehe Sana...wakiristo wengi utumia uwongo ni wa shetani lazima tuseme ukweli lazima kusema na kufanya ruto na uwongo wake hafanyie wakenya huruma amsamehe na MUNGU uwongo mwingi Sana hakuna lolotea nimekiona kwa taifa la Kenya maisha iko juu masikini wainbea wapi ?
@gracekariuki236
@gracekariuki236 7 күн бұрын
Tulikanywa vikali na Raisi mstaafu Uhuru Kenya, hatukusikia.
@carolkosgei254
@carolkosgei254 9 күн бұрын
mungu akubarike
@mwaminimwangaza
@mwaminimwangaza 9 күн бұрын
Ukiandika Mungu wa mbinguni anza na herufi kubwa M ili kumtofautisha na miungu pia kumuheshimu
@godsfavour5665
@godsfavour5665 8 күн бұрын
😮😮😮😮😮😮😮😮mmmmmh na vile Mimi husifiaga mama Samia🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔mungu aturehemu basi
@mwaminimwangaza
@mwaminimwangaza 7 күн бұрын
Ndugu jikaze ukiandika Mungu wa mbinguni anza na herufi kubwa M ili kumutofautisha miungu hata ndani biblia anaandikwa Mungu sio mungu
@user-tt7cu2et1x
@user-tt7cu2et1x 7 күн бұрын
Ukimsifia kwa mama gani anayoyatenda tzd😢😢
@user-tt7cu2et1x
@user-tt7cu2et1x 7 күн бұрын
Mema yapi ametenda mpka umsifiee😢
@margaretingasia6346
@margaretingasia6346 8 күн бұрын
Hata Ezekiel akienda hukoBado akuna raha
@linetkerubo5392
@linetkerubo5392 8 күн бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏 amen 🙏
@EvangelistMathayo2604
@EvangelistMathayo2604 9 күн бұрын
Amina amina sifa na utukufu zimurudiye Mungu wa Mbinguni Bwana Yesu Kristo wanazareth
@Nani-ww8yg
@Nani-ww8yg 9 күн бұрын
Ulitoka Amerikani
@user-wl6ns9hb6j
@user-wl6ns9hb6j 7 күн бұрын
Kweli kabisa hata mimi niliona hayo
@chekaelia4282
@chekaelia4282 9 күн бұрын
Niwengi sana wenye kua na shida
@theresiakasandatedi5341
@theresiakasandatedi5341 7 күн бұрын
Kwa nini nywele zako ziko hivo?
@gitongaz
@gitongaz 9 күн бұрын
Kaa congo hubilia wafrika sasa
@Reginajohnson19884
@Reginajohnson19884 6 күн бұрын
Na uganda
@miriamwangari7417
@miriamwangari7417 7 күн бұрын
Hakuna mamlaka itokayo kwa shetani. Mamlaka zote hutokana na Mungu. Haya ni maandiko..Mungu huruhusu mamlaka zote... Mungu hakuahidi ya kwamba mambo yatakuwa rahisi kwa raisi na nchi ya kenya, lakini kwa yote Mungu atatupigania. Vita sio zetu, ni za Yehovah.
@scholasticakariuki6775
@scholasticakariuki6775 6 күн бұрын
Ulisema kabisa hatukuamini
@daudiskorei5987
@daudiskorei5987 Күн бұрын
Nyoa hizo nywele kwanza
@doricemrema2177
@doricemrema2177 9 күн бұрын
Amen Amen,,,tuzidi kuwaombea ndugu zetu.
@revojomo
@revojomo 8 күн бұрын
Tanzania wote ni mashetani hamna shukrani, mtume kasema hatorudi tena Tanzania, kwani mlimfanyia nini Tanzania?
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv 8 күн бұрын
​@@revojomoTubu maana Ufalme wa Mungu umekaribia ,Hao hao unaowaita mashetani watakutangulia kuurithi uzima wa milele usiwaite watu mashetani Ipo siku utatoa hesabu
@revojomo
@revojomo 8 күн бұрын
@InjiliyaUfalmetv wewe umetokea wapi ndugu, au una using usingizi sikiliza hiyo crip Aliyesema watanzania wote nimashetani ni MTUME MALIYABWANA, siyo mimi ndugu, kasikilize hiyo crip yote alafu uje useme unayosema
@revojomo
@revojomo 8 күн бұрын
Watanzania ni mashetani na Rais wetu samia ni joka ibilisi mkubwa, maneno hayo ameyasema MTUME, mimi nimenukuu tu,
@InjiliyaUfalmetv
@InjiliyaUfalmetv 8 күн бұрын
@@revojomo Sawa Mpendwa nimekuelewa ,Inaumiza kuitwa mashetani inamaana mpaka watoto wadogo Ee Mungu atukumbuke
@RehemaMtono
@RehemaMtono 9 күн бұрын
Watu wamemkataa MUNGU ndo maana machafuko yataikumba hata tanzania
@Blessedpeace
@Blessedpeace 7 күн бұрын
eti Samia kweli vile umesema? mbona mimi namuhenzi kwa uongozi wake
@Sara-ne3xl
@Sara-ne3xl 9 күн бұрын
Ni kweli ulitoa unabii huo kuhusu Kenya na ruto
@saidabdalla8996
@saidabdalla8996 8 күн бұрын
Kweli ndugu Tanzania chafu kweli nimeliona ilo
@tabithambweka8179
@tabithambweka8179 8 күн бұрын
Huruma 16:03
@winnyrocha190
@winnyrocha190 8 күн бұрын
Yanatimia kweli yaliyo tabiriwa MUNGU aturehemu sana Africa na ulimwenguni kote.
@catherinemuoka1322
@catherinemuoka1322 7 күн бұрын
Huyu ni ndugu ya aliyepata ajali hama Tena alifufuka?
@margaretingasia6346
@margaretingasia6346 8 күн бұрын
Mimi mdogo tafadhali nisaidie mimi haki kenya imeharibika
@rosekalu309
@rosekalu309 8 күн бұрын
MUNGU akulinde na azidi kukutumia
@EzekyZacky-rr2hd
@EzekyZacky-rr2hd 9 күн бұрын
rudi kenya
@MobileDawat
@MobileDawat 7 күн бұрын
Mtme gani wee Kenge we!!
@Niget-us1np
@Niget-us1np 6 күн бұрын
Kayoe njwer mjing wee
@juliettsori2108
@juliettsori2108 8 күн бұрын
Unaongea ukweli mtumishi hii kitu nlinenewa kwamba ruto alileta finance bill ili asababishe umwagikaji wa damu mungu asaidie Kenya yetu
VIJANA WALIOWEKA HISTORIA KWENYE MAANDAMANO KENYA
7:08
Wasafi Media
Рет қаралды 204 М.
UNABII WA BALAA KENYA NA TANZANIA WAANZA KUTIMIA
38:02
huduma ya kristo
Рет қаралды 20 М.
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 4,7 МЛН
Неприятная Встреча На Мосту - Полярная звезда #shorts
00:59
Полярная звезда - Kuzey Yıldızı
Рет қаралды 7 МЛН
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 5 МЛН
MEGA BOXES ARE BACK!!!
08:53
Brawl Stars
Рет қаралды 35 МЛН
CASSIAN AMKEMEA PASTA TON KWA KUPOTOSHA   MAFUNDISHO POTOFU EV PASCHAL CASSIAN
1:26:11
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 28 М.
KIMEUMANA CASSIN NA KIBOKO YA WACHAWI KUZALILISHANA HAZALANI EV PASCHAL CASSIAN
1:11:12
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 28 М.
TANZANIA WAUNGA MKONO MAANDAMANO YANAYOENDELEA KENYA
7:00
Lasalo Comedian
Рет қаралды 288 М.
MZIMU KUIONGOZA KENYA!!! JE, RUTO NI RAIS…?
6:13
Haleluya Tv
Рет қаралды 200 М.
ALICHOKIONGEA ROLINGA JUU YA MTOTO ALIYEUWAWA.
15:50
Haleluya Tv
Рет қаралды 15 М.
Дибала против вратаря Легенды
00:33
Mr. Oleynik
Рет қаралды 4,7 МЛН