#diamondplatnumz Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi
Пікірлер: 96
@channyanjen9047Ай бұрын
Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah diamond akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen
@GrataaaaaАй бұрын
Shehe iyo duwa me naona hujajuwa vya kumuombeya
@hawasaid7151Ай бұрын
Ameen
@JokhaJokhaablaАй бұрын
@@Grataaaaa mancheke kwanza 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Die gut
@JokhaJokhaablaАй бұрын
Die gut imejipost loh 😂😂😂😂😂
@Oldskulgemini9991Ай бұрын
Shehe anaombea diamond kufungua kumbi za starehe😂😂😂 dini Bila elimu ni ujinga kusema kweli!😃
@kekiplus1andonlyАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉this is what we want,focus on great things za kuweka nchi yetu kwenye ramani
@nellymtambo8432Ай бұрын
Napenda vile wanapromote biashara yao wanajua na wanajua nini wanafanya nini wanataka big up tunakuja kuenjoy❤ 🎉
@AKINYIEUNICE-w6vАй бұрын
Allah akubariki Diamond❤
@kolokokoloko9276Ай бұрын
Eeee!! Mungu m'bariki Diamond atimize ndoto yake
@EdigarSamweliАй бұрын
Mim namin diamond anaweza kuwa ndie BOSS
@MrTop-wj7noАй бұрын
Kwani hata ikiwa ya Diamond unafikiri hao watakwambia na mwenye kitu hajasema? Au kuwapa ruhusa ya kuongea?😂😂😂
@subrynerysegerow1323Ай бұрын
Kwan mlisahau diamond aliahid kipind magu yupo hai kuwa atajenga kiwanja ama ukumbi ambao utaongiza watu wengi na utakuwa sound proof
@rajimuashirafa8265Ай бұрын
Wewe jidanganye na akili zako hizo endelea kujidanganya sikiliza watu wanaongea vipi hapo unadhani kumiliki hivyo vitu ni kuongea mdomoni tu ,,,,vitendo ndio kazi snaaa hapo wanaenda wasanii wengi snaaaa kwanza hupajui ndio maana unajidanganya yani msanii kumiliki kitu kama hicho sio pesa za madafu ,,,,na maboss waweke pesa sasa acha kuendelea kujidanganya hakuna msaani bongo wa kumiliki hiyo kabisaa
@KEENGSTVАй бұрын
@@rajimuashirafa8265maskini
@section8ight174Ай бұрын
@@rajimuashirafa8265Kwani nini cha kustaajabisha hapo?
@rosamanjau6685Ай бұрын
❤big up Natasha ❤
@ThomasMagoti-it4tyАй бұрын
Diamond ndiye Boss Nishasema
@sandrauwasezoe1031Ай бұрын
WoW ❤
@johnnchora3215Ай бұрын
Waooo
@Shadia544Ай бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥😂😂😂
@JundikiFoodproductionАй бұрын
Kwani hili si ndio lile ghorofa simba alilopost na wachina ikasemekana ndio itakuwa makao makuu ya wcb, au mm nimesahau????
@richkaja3317Ай бұрын
Eee mungu mjalie mond
@godfreymgaya2025Ай бұрын
Gwambina ni mali ya Mnyeti. Watz wengi hamko informed mpaka mnashangaza!
@MichellhimselfАй бұрын
🔥🔥🔥
@kakaaignas3675Ай бұрын
Castle light bei gan
@section8ight174Ай бұрын
😂
@dullymsafi3149Ай бұрын
Jamaa From Jisachi mpk leo namfatilia ana kitu
@TariqTV-p5eАй бұрын
Hyo ni ya gwambina lounge wakuu
@AlbertyMangasila-o8oАй бұрын
Yan ongeraa
@kitomondoАй бұрын
Buffet inatamkwa Bafe-et.
@section8ight174Ай бұрын
Kwani hujaenda shule?
@VictorLyimo-so9xrАй бұрын
Nahisi tu atakuwa balozi
@JAMBOBoy-v3kАй бұрын
Kumbee
@Gdjn974Ай бұрын
Nilicho gundua wengi hawajaelewa ndio maana wana amin D n mmililik muwe mnasikiliza vzr na kusoma ujembe vzr jamn
@rajimuashirafa8265Ай бұрын
Hakuna msanii bongo na Africa anayo pesa ya kumiliki kumbi kama hiyo ,,,,kuna watu wanajidanganya snaaa eti msanii bongo amiliki kujidanganya nayo ni tatizo snaaaa
@abuumohamed7090Ай бұрын
We mtangazaji ni tahira, title gani hiyo au mnatafta attention
@dullymsafi3149Ай бұрын
Huyu jamaa mfano wa Vijana wa Tz ila huwezi pendwa na wote
@Sidrasidra636Ай бұрын
Eti ndie mumiliki😢
@humbleshoalАй бұрын
Ukweli ni upi?
@teacherpascal894Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 bear 5000
@djskykidАй бұрын
Hiyo ni ya Gwambina not diamond pl
@RamadanPaulАй бұрын
unaroho mbaya wewe
@djskykidАй бұрын
@@RamadanPaul sanaaaa
@RamadanPaulАй бұрын
@@djskykid 😅😅 Au sio
@shefukoro6968Ай бұрын
Nyie nsn mshakua mnazingua ilatunajua mkoupande wa wasaf
@rumdeesonsoa1811Ай бұрын
Ww ulitamani wawe upande upi?
@aminitaycoonАй бұрын
Sasa tatzo liko wapi mkuu kwani kuna tatzo mtu akiwa upande flani 😂😂😂vijana wa siku iz mnambo ya kiswahili sana
@davidsika5292Ай бұрын
Kwan akiwa wasafi kuna tatizo???
@athanaswilliam6940Ай бұрын
Hamna mtu wa marketing hapo... Sifa tu
@VictorLyimo-so9xrАй бұрын
Maelezo ya jamaa ni kweli
@EDENILYIMOАй бұрын
Hamna lolote Apo
@BarakamussaBarakamussa-go7nvАй бұрын
Diamondi Hana huo uwezo. Huache ujinga
@agapemunyi2095Ай бұрын
Kwa sabb ni msanii
@mfalmekaitaba2425Ай бұрын
Uwezo wa kufanyeje? Kwamba hawezi kufungua mgahawa?
@IddyJuma-g3fАй бұрын
Uwezo unao ww
@mbezzoprince9462Ай бұрын
Hata wakkugeuza wew tumbiri anao
@georgedaniel4962Ай бұрын
Mwamba kesh ipo ama nikwake au sio kwake, lkn akitaka anawezafanya hata zaidi ya hiyo.
@StillrunlikeaballАй бұрын
Maisha yawa Tanzania Nimagumu watu hawana pesa Sijajua kwanini huko bei Nyinyi zavitu Niza kuropoka ropoka tu kama hiyo gym laki mbili umesema wakati Ulaya classic gym na swimming pool pamoja Namichezo Mingine yote 15 Euro or 20 unalipa kwa Mwezi na Uingereza unalipa £15 or 20 kwamwezi hiyo kwa shilling unakuta ni Elfu stini na kidogo tu au Elfu hamsini tu vitu vingi vya kawaida Tanzania vinafanywa hali kuliko hata Ulaya
@IveenEmmanuelАй бұрын
Sasa si uende ulaya
@PaulNdaukaАй бұрын
Maaandishi meeeengi...halafu haileweki..miyayusho
@StillrunlikeaballАй бұрын
@@IveenEmmanuel Mimi Niraia wa Ulaya Napanda Ndege kama Daladala vile😷
@StillrunlikeaballАй бұрын
@@PaulNdauka kajifunze kuandika Ndio ujee ku comment Choko wewe😷
@StillrunlikeaballАй бұрын
@@PaulNdauka kwanza kajifuze kuandika halafu ndio ujee ku comment Choko wewe😷