DIAMOND PLATNUMZ ANAJUA WATU WAKE WANAPENDA NINI NDIO MAANA ANAFANYA VIZURI NCHI ZA NJE

  Рет қаралды 10,974

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Follow us on Social Media Platforms
Instagram:
Crown FM - / crownfmtz
Crown TV - / crowntvtz
Twitter (X):
CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
Facebook:
CROWN MEDIA: www.facebook.c...
TIKTOK:
- www.tiktok.com...
SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

Пікірлер: 49
@kadito-o3j
@kadito-o3j Ай бұрын
Huyo dem kauwaaa unyama mwingi international ❤
@Dasmaila
@Dasmaila Ай бұрын
Hio remix ya huyo mdada ni Kali kuliko original ya fallen angel 💥🙌
@LobikiekiMarko
@LobikiekiMarko Ай бұрын
EBU NIPENIA ATA LIKE 5 TU NIJIFUNIE PIA NIKIWA KENYA
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k
@Johnsonnsteven-zs1pg5cx9k Ай бұрын
Kwani tokea uzaliwe Kenya ujawah kujifunia upo Kenya😂😂
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h Ай бұрын
Asante dulla kama planet
@miguelvintany993
@miguelvintany993 Ай бұрын
Huyu demu noma🇲🇿
@Waitarakariuki-hf8bg
@Waitarakariuki-hf8bg Ай бұрын
That Girl is spitting fireee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@kilchofkilali9926
@kilchofkilali9926 Ай бұрын
Show yenu ni nzuri ila najiuliza kwa nini kichwa cha habari kimekuwa Diamond wakati yeye ka kuchukuliwa kama mfono tu kama ilivyo kwa Harmonize na wengine! Kwa nini msiweke mbele challenge ya Kiba na Bilnas!?au ndo kile ;bila jina la Diamond mambo hayaendi!? Sijui kama mnahelewa kuwa mnamtangaza zaidi msani mmoja kuliko wengine!!ningependa mnijibu
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h Ай бұрын
Kaka tony wakati huu umebadilika sana umekuwa bora zaidi
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h Ай бұрын
Asante kwa huu mjadala. Lakini rais hana uwezo wa kusaidia mziki wa Tanzania bali tunatakiwa kujua wapi tumekosea nanini tufanye naiwe zaidi yahapo mana kunavitu haviko sawa, kwamfano watanzania wanao ishi inje ya inchi waanze kucheza nyimbo zetu kila wanapo kuwepo iwe kwa kuomba zipigwe ama wao wazipoge
@ahmed59122
@ahmed59122 Ай бұрын
Hapa Canada Ally kiba ndio anapendwa hasa Toronto .mnamfagilia sana Diamond. Au sababu kiba asuki nywele
@allyharoub-rl6rb
@allyharoub-rl6rb Ай бұрын
Usilete hoja binafsi sas ... haujalizwa swali lolote kuhus icho kitu
@PatrickRichlimu
@PatrickRichlimu Ай бұрын
Ooooooo ase huyo dada haina kujadliwa kiba ampe shavu bila kupingwa
@salekhkhamissalekh
@salekhkhamissalekh Ай бұрын
sweet music 🎶 ❤❤
@abdullahkazungu4025
@abdullahkazungu4025 Ай бұрын
Nice kwa kweli
@AbilahSalumu-qx1cb
@AbilahSalumu-qx1cb Ай бұрын
Pamoja
@nyandichearts
@nyandichearts Ай бұрын
Uyo roshiiii ni mnyamaaa sana anajuwa sana
@kaya.o5483
@kaya.o5483 Ай бұрын
huyo nimkali sanaaa. ALIKIBA amupe collabo
@mosescalvinnyoha120
@mosescalvinnyoha120 Ай бұрын
❤❤❤
@HasanalRushima
@HasanalRushima Ай бұрын
👑 👑 👑 👑 👑 👑 🔥 🔥 🔥
@user-yn7mt4mh8n
@user-yn7mt4mh8n Ай бұрын
Lesa yuko mimba nini
@oscarcanan5068
@oscarcanan5068 Ай бұрын
Huyo dada anaitwa nani sijapata vizuri jina lake
@UwamuregeyeSamuel-rq7jz
@UwamuregeyeSamuel-rq7jz Ай бұрын
Ongela♥♥♥🔥🔥🔥🔥💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
@Shokolokobango9385
@Shokolokobango9385 Ай бұрын
Now days wasanii wanaimbia hela hawaimbii mashabiki kumekua na uhaba wa muziki mzuri
@nyandichearts
@nyandichearts Ай бұрын
Huyo roshi alikiba amsaini kabisa sababu ni mnomaa sanaaaa
@michaelseti1287
@michaelseti1287 Ай бұрын
Kiba sajili uyo dada
@muhsiniamiri9310
@muhsiniamiri9310 Ай бұрын
kiba mzngatie huyo mmmh mmmh anajua ten anaimba internatianal
@jemaarsen6996
@jemaarsen6996 Ай бұрын
Mmnh? Mbona kama @_traveler ni team WCB maana sio kwa kuwatetea huko;ilankama huna D mbili huwezi elewa😂😂😂
@SufianMzee
@SufianMzee Ай бұрын
Remix ya uyo dada kali kuliko original version
@jemaarsen6996
@jemaarsen6996 Ай бұрын
Kwa Nini ushindwe kumalizia kua huenda style yake ya kuimba inaweza kumfanya alikiba na mondi kufanya colable umtaje tu kiba Kisha useme na naaa Leonardo?
@nyandichearts
@nyandichearts Ай бұрын
Roshie jamani hiyo nyimbo hata kwa kulipia nahitaji nisikilize
@AlfredoManuelbaloManuelbalo
@AlfredoManuelbaloManuelbalo Ай бұрын
huyu dada ninoma from Moz
@BrunojnrMz
@BrunojnrMz Ай бұрын
The Throne kipindi bora
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm Ай бұрын
Simba la madongoti diamond platnumz
@Commentsplus
@Commentsplus Ай бұрын
Travella una midadi
@NurudinZuberi
@NurudinZuberi Ай бұрын
Uyo Lisa side kashashiba tyr
@EzekielSaiguran
@EzekielSaiguran Ай бұрын
Mleten nacha ck1
@ahmed59122
@ahmed59122 Ай бұрын
Mnamuongelea sana Diamond it's not cool, just leave him alone. Mbona wasafi awamzungumzi sana Ally.
@ISSACKRICHARD
@ISSACKRICHARD Ай бұрын
Awo wote ni team mondi 😂😂😂😂
@kaya.o5483
@kaya.o5483 Ай бұрын
Wanamuzungumziaga
@gloirekidigi8385
@gloirekidigi8385 Ай бұрын
Wote pale bila simba, akuna habari ya kuongelea
@mbwaralali5049
@mbwaralali5049 Ай бұрын
Mondi ni content bwana
@PatrickRichlimu
@PatrickRichlimu Ай бұрын
Oyaaa achen uchawa apo sio wasaf mbona kama mnàjipendekeza mnatuboa diamond ndonan kwaza
@HeriRamadhan-q7m
@HeriRamadhan-q7m Ай бұрын
Unateseka ukiwa wapi 😂😂
@mukithedon9767
@mukithedon9767 Ай бұрын
Jamaa anaongea poit sn
@YohanaJoseph-ty7vk
@YohanaJoseph-ty7vk Ай бұрын
Mtafukunzwa kazi na alikiba nyie
@jemaarsen6996
@jemaarsen6996 Ай бұрын
Harafu dullah planet anapigilia msumari kuwatetea akina @_traveler harafu kwa mbali nahisi Kuna nyimbo ya kiba na msanii mkubwa wa malekani inakuja soon so Simba kwa kutulia na dance zako sisi tunakuja na nyimbo sio dance tuu😂😂😂
@KhamsoSule
@KhamsoSule Ай бұрын
Poa
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 17 МЛН
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 42 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 56 МЛН
大家都拉出了什么#小丑 #shorts
00:35
好人小丑
Рет қаралды 82 МЛН
Nurse's Mission: Bringing Joy to Young Lives #shorts
00:17
Fabiosa Stories
Рет қаралды 17 МЛН