Diamond platnumz - Times Fm interview ( part 4 )

  Рет қаралды 104,722

WCB WASAFI

WCB WASAFI

Күн бұрын

Пікірлер: 217
@waheed-ou4ek
@waheed-ou4ek 6 жыл бұрын
Hakuna msanii mwenye uwezo wa kujibu maswali ya Interview vzr km SIMBAAAA.... respect kwko Diamond
@msodokitv2855
@msodokitv2855 6 жыл бұрын
napenda sana confidence yako simbaaa endelea kupigania haki kwa bongofleva yetu @diamondplatnumz
@briandanny8413
@briandanny8413 6 жыл бұрын
This guy s a true icon msanii anaejali wasanii
@samwelmbwaga5940
@samwelmbwaga5940 6 жыл бұрын
nakuelewaa sana mond unanifanya nikomae nije kuwa kama wewe ingawa m co mwanamziki but hustle zako zina inspire sanaaaaa
@andersonmartins7674
@andersonmartins7674 6 жыл бұрын
Jamaa ni humble sana.....interview nzima anamuita Ommy bro
@Complexrecap
@Complexrecap 6 жыл бұрын
I like the energy
@salumwizshineshine5532
@salumwizshineshine5532 6 жыл бұрын
P funk .alisema...clouds waliua NA kumpoteza ngwair... Alipokufa... Wakijitia wanauzuni kuliko
@omegasaimon4739
@omegasaimon4739 6 жыл бұрын
siku mwenyezi nungu atakapo amua kukuchukua kwenda kupumnzika ndipo tutakapo jua umhimu wako ktk mziki broo kwasasa endelea kufanya kile unacho amini ktk imani yako 👏👏
@hazjay4671
@hazjay4671 6 жыл бұрын
Omega Saimon 👍
@alliabaraka5810
@alliabaraka5810 6 жыл бұрын
After this interview I'm now a superfan all the way from small island Newfoundland #africanbeauty
@moshimongelwa7795
@moshimongelwa7795 6 жыл бұрын
Hatari Sanaa bro hapo ndipo nasemaga sijutii kuwa wcb
@sistersade9039
@sistersade9039 6 жыл бұрын
Smart interview diamond! Masuala mpaka yanakera, Salama Chibu anaakili.
@f.almansour7240
@f.almansour7240 6 жыл бұрын
My kinda of guy !!!! smart and wiser business minded 👌🏽👌🏽👌🏽keep on doing you ... your music is heroine 👍🏽👍🏽👍🏽
@shamirik_
@shamirik_ 6 жыл бұрын
lilommy unamaswali makari kwa boss wetu....(good interview ever
@flowerjoseph2907
@flowerjoseph2907 6 жыл бұрын
hahahahahaaaa nimejikuta nacheka kwa sauti,etii Haaa bwanang hahaha I lov WCB
@maryannqueen7356
@maryannqueen7356 6 жыл бұрын
HIYO POINT YA HARMONIZE, IMENIJENGA,,, LEO NIMETOKA KULIA TUMILIONI TWANGU KADHAA! UMENIPA NGUVU:::::: YOU DONT KNOW HOW YOUR INTERVIEW WAS A LESSON TO ME TODAY::::
@Jord573
@Jord573 6 жыл бұрын
Dogo unajua...! hii serikali imepotea bila kujijua inapotea..! Fany kaz dog
@waheed-ou4ek
@waheed-ou4ek 6 жыл бұрын
Lil Ommy ni Kibokoooo...... nmependa Interview n maswali ya Kibabe.... unaweza sn....
@YahyaKimweli22
@YahyaKimweli22 6 жыл бұрын
Mond umenmalizia mb mamae😎😁unaongeaga tu af raha tu kusikilizaga, kuangaliaga...aya blessed bana
@hazjay4671
@hazjay4671 6 жыл бұрын
Yahya Kimweli 😂😂
@YahyaKimweli22
@YahyaKimweli22 6 жыл бұрын
Haz Kiss 😎😂😂
@berthanbenedict3480
@berthanbenedict3480 6 жыл бұрын
😅😅😅
@saoamy7168
@saoamy7168 6 жыл бұрын
😂😂😂🔥🔥soudy brown kashikwa matako na ruge kashindwa kupost hata habara ya maua....kisa Kuna chembechembe una WCB 🔥🔥 kweli utumwa shida😂😂😂
@mariamtambwe8665
@mariamtambwe8665 6 жыл бұрын
I wish wanao warithi akili yako lakini siyo tabiya zako BT keep it up. BT punguza kumuumiza first lady wako
@ismaillichee8785
@ismaillichee8785 6 жыл бұрын
Mariam Tambwe 😂😂😂 awez kumrudia coz ndo alianza alafu ubaya kuenda BBC kuwaga manyanga dah no aibu sana kwa zari akikubali kurudiwa.
@brilliantbrand9501
@brilliantbrand9501 6 жыл бұрын
salute….. mwanamziki anayefata… kama diamond platnumz … .naamin mm brilliant tz… salute mond
@kijukuuchamoro5710
@kijukuuchamoro5710 6 жыл бұрын
mond unatia huruma brorher
@mjukuuwabib340
@mjukuuwabib340 6 жыл бұрын
Siku zote hutakiwi kuyaogopa maisha hicho ndicho anachofanya mond maana ukifanya kosa hili unayumba kimaisha yaani kama kioo cha sanaa mond tunae ila kama chakujiangalia unapojipodoa nenda duka la vipodozi
@_____gef332
@_____gef332 6 жыл бұрын
Dooohw! Interview ya diamond kama movie.
@glover2553
@glover2553 6 жыл бұрын
Mondi nimekusoma sana kaka stay blessed na wewe lil ommy kizazi sana mzee baba 🔥👊👊💯💯🙌
@bigdon1871
@bigdon1871 6 жыл бұрын
nakukubali simba. nimedi funza kwako mambo mazito
@samwelmbwaga5940
@samwelmbwaga5940 6 жыл бұрын
lily ommy unajua sanaaa mzaziii hayo ndo maswaliii bhanaaa
@raykivuyo6871
@raykivuyo6871 6 жыл бұрын
this guy is very intelligent
@officialbeezle283
@officialbeezle283 5 жыл бұрын
Who is watching this in December 2019??
@musankwabi4047
@musankwabi4047 6 жыл бұрын
Maisha bhana yana njia nyingi sana ili ufanikiwe Mondi mungu atazidi kukufungulia coz huna roho mbaya ili ukamilike lazima uchukiwe tu achana na wanaojifanya KAA we piga mishe zako tu
@josesizy1315
@josesizy1315 6 жыл бұрын
Diamond. He is very intelligent
@shemuulenje7588
@shemuulenje7588 6 жыл бұрын
Ahsante kaka nimejifunza kitu
@stevehiraly9127
@stevehiraly9127 6 жыл бұрын
Huyo Ruge wa clouds ni fala achanen nae kabs msmjari...😃😃😃
@hamdumakame1041
@hamdumakame1041 6 жыл бұрын
steve hiraly dh hatari
@yusuphmwakafwila3431
@yusuphmwakafwila3431 6 жыл бұрын
Umetisha mond 🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿ulikuja kwa makusudi maisha aya
@leonardmamboleo4220
@leonardmamboleo4220 6 жыл бұрын
yusuph mwakafwila woyoooo
@yusuphmwakafwila3431
@yusuphmwakafwila3431 6 жыл бұрын
Nakubali mwamba nchi hii wanazingua
@leonardmamboleo4220
@leonardmamboleo4220 6 жыл бұрын
😂 😂 😂
@saoamy7168
@saoamy7168 6 жыл бұрын
Dah simba unaongea kitu true 🔥🔥🔥
@hamdumakame1041
@hamdumakame1041 6 жыл бұрын
nakukubali sana
@albogastmselejr4583
@albogastmselejr4583 6 жыл бұрын
Umeongea point sana Simbaaa kweli clouds ndo waseww..... hawaja wahi piga ngoma zako 😄😄
@hamicnecho7881
@hamicnecho7881 6 жыл бұрын
Kali
@gastocelestine5525
@gastocelestine5525 6 жыл бұрын
Media bongo zinataka kuabudiwa
@ikrissaidrissa8613
@ikrissaidrissa8613 6 жыл бұрын
poleni sana clouds luge kawapoza
@mikehjackson2277
@mikehjackson2277 6 жыл бұрын
Mamammaeee bonge moja la interview la kizaz mno lilyommy sina neno kwako welcome wasafi tv uko kizaz sana salute kwako
@dennischarles8524
@dennischarles8524 6 жыл бұрын
Sir Platnumz
@erricson7360
@erricson7360 3 жыл бұрын
Simba anaongea point sana 🙏
@erricson7360
@erricson7360 3 жыл бұрын
Ndio
@jacquelinemwaya8115
@jacquelinemwaya8115 6 жыл бұрын
Mondiiii shemelaaaa love you
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 6 жыл бұрын
presenter anakipaji cha kuhoji maswali na chibu anakipaji vile vile chakujielezea big up xnaaaa
@martinezsiwale4419
@martinezsiwale4419 6 жыл бұрын
Huyuuu ndio simbaaa keep it up brother
@annastasiajackson678
@annastasiajackson678 6 жыл бұрын
Mwenye kutoa riziki ni mungu si media ,,,,,,so diamond platinumz is with Allah
@calvindonalds5373
@calvindonalds5373 6 жыл бұрын
i can listen to this guy even a in 24hrs show......
@mikelarry8029
@mikelarry8029 6 жыл бұрын
Hapo Safi kabisa mambo ya zamani yabaki zamani #zilipendwa
@idrisahassan2076
@idrisahassan2076 6 жыл бұрын
mond baba umetisha unaongea point kinoma nakuwelewa kisha ungu akupe maisha marefuu
@pigapesa1013
@pigapesa1013 6 жыл бұрын
"Mti wenye matunda hupigwa mawe"..!!!
@nassamakaveli7363
@nassamakaveli7363 6 жыл бұрын
Anaye jua anajua tuuu bana
@nyotamy3678
@nyotamy3678 6 жыл бұрын
Daaaaaa...... Fact
@madnyalys6967
@madnyalys6967 6 жыл бұрын
Aanhanhanha,kuna nasibu ,diamond, na huyu Wa Leo in simba ,sio kwa povu hilo
@naohzebronzo4410
@naohzebronzo4410 6 жыл бұрын
naminii in you
@rehemambugulu9618
@rehemambugulu9618 6 жыл бұрын
Kila mja analizkiyake akuna wakumshusha mond ni mungu pekee.
@mwanahamisiabdallah3819
@mwanahamisiabdallah3819 6 жыл бұрын
Kunao watakao kuelewa vibaya Baba T lakini umeongea maneno ambayo mtu wa hadhi yako anapaswa kuongea....alafu mm huyu lil ommy uwa namfagilia xana....big luv 254
@fredymadonkey8973
@fredymadonkey8973 6 жыл бұрын
bro i respect you .Umeongea vitu vizuri saaana yaan.
@djgthehotstepper
@djgthehotstepper 6 жыл бұрын
Duhhh simba wewe ni mtu hatar sana kaka. TANZANIA MUANGALIENI HUYU MTU KWA MAKINI SANA
@jut1161
@jut1161 6 жыл бұрын
you are right brah
@boisalym9935
@boisalym9935 6 жыл бұрын
vyomboo viwili CLOUDS &EATV
@peteroriva6298
@peteroriva6298 6 жыл бұрын
Boi salym Vlog daaah Simba anajua kujibu maswali vizur sana ,KK pambana
@jenifamosha1611
@jenifamosha1611 6 жыл бұрын
Sawa mzee baba umetisha sana.
@elymoneyiqra8507
@elymoneyiqra8507 6 жыл бұрын
Duuh ila times FM nawaomba frequency zenu zifike mikoani bwana xaiv tunahama ni times FM na wasafi TV& redio
@maticgodwin8863
@maticgodwin8863 6 жыл бұрын
Safy simbaaaaaa
@hekimaisaya1005
@hekimaisaya1005 6 жыл бұрын
simbaaaaa
@lakasid3860
@lakasid3860 6 жыл бұрын
long live simba nakuelewa xn
@lumumbasembuli7807
@lumumbasembuli7807 6 жыл бұрын
Tanzania ni nchi ngumu sana kuendelea, katika watu wenye haiba za ajabu na mbovu Duniani nadhani Tanzania ni miongoni mwao. Mtanzania ni mtu mnafiki sana, tunao penda majungu kuliko maendeleo. Naanza kupata jibu sasa kwann Tanzania tume simama bila kupiga hatua mbele tokea Uhuru wetu ni kwasababu ya majungu na unafiki, nme msikiliza huyu kijana na kufuatilia nyendo zake nimegundua ni hazina kubwa sana (TUNU YA TAIFA) ambayo Watanzania kwa UPUMBAVU wetu tuna taka tuipoteze. Kweli siku zote wa moja hapati mia
@macmctz4829
@macmctz4829 6 жыл бұрын
Abarikiwe sana huyu mtu.. anaakili sana..
@mariamkimwaga943
@mariamkimwaga943 6 жыл бұрын
Uko juu baba tifa umeeleweka wasikukaushe uzazi bulee
@dizodi_vituko
@dizodi_vituko 6 жыл бұрын
Daimond real upo vizuri
@omegajustin9926
@omegajustin9926 6 жыл бұрын
Chibudi Chibudee nakuelewaaaaaa brooo we wa kisasa, uzamani tupia kuleeeee hii siyo karne ya utumwa 😂 😂
@hajingunge5429
@hajingunge5429 6 жыл бұрын
Komaa nao,napenda,sana kazi UK, papaaa matimbwao
@kareemmene2526
@kareemmene2526 6 жыл бұрын
Simbaaaaa
@kimukakankan.4678
@kimukakankan.4678 6 жыл бұрын
HA HA HA HAAAAA ETI TUSIFOLLOWANE.... NIMEIPENDA HIII
@tiffahtiffah7881
@tiffahtiffah7881 6 жыл бұрын
Baba waambie umenifuraish sn 😘😘😘😘😘 yan umeongea mambo ya maana sn 😭😭😭
@desmondmkuyamidiamkuyamidi471
@desmondmkuyamidiamkuyamidi471 6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hiyooo kali broo nimeipenda diamond mbao zinapatikana new product from diamondplatnumz
@wearebrozerz3279
@wearebrozerz3279 6 жыл бұрын
simbaaa noma, mazee naomba mpite kidogo kwenye channel yangu mtapenda beat nazofanya karibuni.
@isackbaton9759
@isackbaton9759 6 жыл бұрын
Brother simbaaa napenda kaz zako ila yupo mungu mmoja anatisha Kama nyati naamin atasimama
@victoriamefya6287
@victoriamefya6287 6 жыл бұрын
😂😂😂diamond mbao 😂😂😂 hii Ndio nchi yetu baba tii
@rahmahamidu6589
@rahmahamidu6589 6 жыл бұрын
hahahahahahahahaha etiii aaah bwanaa anguu nimechekaaa sanaaaa
@suleymanlutenda1316
@suleymanlutenda1316 6 жыл бұрын
saafiii Simba chibu denga mm nimekuelewa kuliko woote respect achana nao wapuuzi tu hao wanapenda kitonga waambie nawao watunge waimbe bac
@godsonshoot7438
@godsonshoot7438 6 жыл бұрын
Enterview ya KIBABEEE
@_sammyommy3387
@_sammyommy3387 6 жыл бұрын
Sanaaa simbaaa#🦁🦁
@ashurakimbisa3628
@ashurakimbisa3628 6 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 bora2 imekuwa no comment maana cyo kwa pressure niliyokua nayo hku🙊🙊
@samwelmdee5555
@samwelmdee5555 6 жыл бұрын
hahahaha
@mtasma1994
@mtasma1994 6 жыл бұрын
Daaah majibu ya diamond ingekuwa anaandika esseay...... angekuwa T.O Jamaa anabonge la IQ
@samwelnyankena9873
@samwelnyankena9873 6 жыл бұрын
Aboy from tandale
@jeffwasulaya3322
@jeffwasulaya3322 6 жыл бұрын
Hata #Aslay atengenezwe vep na #CLOUDSMEDIAGROUPS hawezi kumshusha #SIMBAAAAAAAAAAA
@zuhurajoe4376
@zuhurajoe4376 6 жыл бұрын
uko vizuri
@velyvedy5669
@velyvedy5669 6 жыл бұрын
ya kizazi sana big up kwa Mond na Lily ommy
@veronicaereneus6237
@veronicaereneus6237 6 жыл бұрын
Ahahaha diamond mbaooooo nomaa big up
@nyotamy3678
@nyotamy3678 6 жыл бұрын
Sana kakaaa
@nasrimohamed5202
@nasrimohamed5202 6 жыл бұрын
Simba mtam mpk kweny interview yaan m2 unaweza ukatka kusklza interview kulko hat kusklza nymbo hatariiii ila angalia wasjekufungia mpka interview hawaeleweki hawa
@edwinejumanne6323
@edwinejumanne6323 6 жыл бұрын
Dahhhhhhh
@boisalym9935
@boisalym9935 6 жыл бұрын
Diamond mbao 🤣🤣🤣🤣😂😂🙌
@mwajabuathuman3753
@mwajabuathuman3753 6 жыл бұрын
very nice chibu ndio maan nakupend sana dai umeongea pwenti
@omarysimion5057
@omarysimion5057 6 жыл бұрын
kizazi sana 👊👊👊👊👊
@hassanjoseph2398
@hassanjoseph2398 6 жыл бұрын
Nakubali Sana big up to u chibu
@ismailmbarak3862
@ismailmbarak3862 6 жыл бұрын
Nasib wewe ni muelewa sana kaka God bless u.
@samwelmbwaga5940
@samwelmbwaga5940 6 жыл бұрын
kibamia kawai kulala mweeee
@paulolulandala3145
@paulolulandala3145 6 жыл бұрын
npo oman sielewi kiswahili lakn mnyama simbaaaaa #kinglion nimekupata fresh you are so great brother!!! am very excited aisee😘😘😘😘😘
@dianathomas5784
@dianathomas5784 6 жыл бұрын
paulo lulandala umejuaje kuandika kiswahil boy na umeelewaje
@tilaymnyila3337
@tilaymnyila3337 6 жыл бұрын
hahahahaaa
@gibsonijames4997
@gibsonijames4997 6 жыл бұрын
Mondi ujasoma lakini unajibu maswali vzr
@mussamussaahazi5717
@mussamussaahazi5717 6 жыл бұрын
nice Mzee baba
@Joze-ko9he
@Joze-ko9he 6 жыл бұрын
Tunakupenda
@arnoldponera8032
@arnoldponera8032 6 жыл бұрын
safiii
@pascokapama3317
@pascokapama3317 6 жыл бұрын
Inshaalah kaka mondi
@tchgaming5688
@tchgaming5688 6 жыл бұрын
Pata Habari zote za Siasa,Michezo na Burudani kutoka Tanzania na Afrika Mashariki.Pakua App hii sasa play.google.com/store/apps/details?id=com.habari.leo
LIVE: DIAMOND PLATNUMZ EXCLUSIVE INTERVIEW LEO TENA CLOUDS FM
2:00:26
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН
Andro, ELMAN, TONI, MONA - Зари (Official Music Video)
2:50
RAAVA MUSIC
Рет қаралды 2 МЛН
The Lost World: Living Room Edition
0:46
Daniel LaBelle
Рет қаралды 27 МЛН
Kaa Hapa Episode 9 Diamond
26:21
MrishoMpoto
Рет қаралды 81 М.
Mkasi | SO9E10 with Ali Kiba
26:54
MkasiTV
Рет қаралды 234 М.
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 83 МЛН
Tiffah, Nillan Heartbroken
6:09
WCB WASAFI
Рет қаралды 4,4 М.
EXCLUSIVE |MBOSSO NA SIRI YA MAFANIKIO YAKE
14:01
Vimba Media
Рет қаралды 76 М.
Qchief azimia studio
10:00
Customer A channel
Рет қаралды 10 М.
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН