Kila siku nasemaga huyu diamond ni mwili mdogo lakini akili bahari kama nawewe unamkubali chibu usione aibu acha uteam acha acha majungu kama mtu anajua anajua tu like nyingi kwake please👏👏
@deus37664 жыл бұрын
kabisa mimi pia namkubali huyu dogo.
@darisimauridi81836 жыл бұрын
My favourite artist in the world diamond platnumz mfalme wa mbugan tisha shanaaa
@alisaidi75836 жыл бұрын
Mrisho mpoto unajitahidi sana kufanya kila jambo vijana waamke hongera sana pia hongera mr simba bwana ee we ndo simba original yani ndo basi tena diamond diamond diamond yan unan'gara kama jina lako
@marjanmahrez54656 жыл бұрын
Chibu nakukubal jinsi unavyoongea kwa busara respect to u
@chiefkaitaba.m.94666 жыл бұрын
Dah! Simba maneno yako na life style yako ni sawa na Elimu ya chuo kikuu,nimejifunza mengi kupitia kwako Ubarikiwe,pia mjomba umebuni kipindi bora zaidi ya vpnd vyote TZ
@mrchainz45246 жыл бұрын
You are so GENIUS CHIBU
@vivianminja63326 жыл бұрын
Jaamani ukifanya intavyu na chibu hutamani iishe💥💥🔥🔥
@salumuhaji41826 жыл бұрын
Pongezi zimwendee pia Mrisho Mpoto a.k.a mjomba naye ni mbunifu wa burudani, Salute kwa Diamond platinum ushauri wangu mm muweke Mungu karibu yako bado ukiwa kijana
@miracleayoub41956 жыл бұрын
Kama unamkubali Chibu Dee Twende like hapa
@mrishompoto6 жыл бұрын
Uko vizuri sana @Miracle Ayoub
@miracleayoub41956 жыл бұрын
MrishoMpoto ni kazi yangu kuhakikisha nafatilia kipindi kizuri zaidi kama hiki Hongera sana
@mrishompoto6 жыл бұрын
Nashkuru sana Miracle kwa ushirikiano endelea kutufuatiia hapa hapa na usubscribe sasa hapo chini
@miracleayoub41956 жыл бұрын
MrishoMpoto tupo pamoja Mjomba Kipindi kizuri @mjomba Hongera
@mrishompoto6 жыл бұрын
Mjomba mjomba nashukuru sana tunapambana
@christinarichadi79936 жыл бұрын
daaa diamond umeniongezea kufikili kwa upya tena daaa nakukubali sana
@bekarpaul6 жыл бұрын
dah, kiukweli na kiuharisia kila nnaposikiliza interview za diamond huwa najihic km nimeshafanikiwa tayari, anajua kushauri anajua kumfanya mtu ajihic ni wa thamani kuliko anapojifikiria. mungu akuongoze ktk kila unachokifanya bro kiwe na mafanikio zaidi na zaidi.
one of the best show ever. Hekima na busara kwa wingi, utanashati, ujasiriamali, mtazamo wa maisha kwa ujumla. Yaani kipindi kimetulia saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana.
@omegajustin99266 жыл бұрын
Hahahahahaaa Mjomba unamuelewa Chibuu mpaka raha, safi sana bonge la lnterview.
@suleimanali37166 жыл бұрын
Diamond unajua kujibu mashwali, si lile senge
@nakafuirene42586 жыл бұрын
nakupendaga bule nakikubwa unajuwa kujieleza safi kabisa
@brendaduncan81216 жыл бұрын
I love this Man🤗
@fatumamachemba98876 жыл бұрын
asante mpambnaji wangu
@simpletv27086 жыл бұрын
Dahhhh wcb4life Yani nilitaman mahojiano yasishe waraiii makini San hyu ndugu
@callmangumbo15526 жыл бұрын
Kwanza Hongera mjomba, pili samahani kama nitakukwaza tatu nilikuwa nakaushauri kidogo mjomba, "mjomba Pindi unapouliza swali tafadhali wacha mtu ajibu mpaka mwisho kisha umuulize lingine, Maana umekuwa ukishamuuliza, hajamaliza kujibu, umeuliza lingine, akhsante
@rivaldoshirima49666 жыл бұрын
Kipindi kizur....congrat Kaka Mboto...tuletee Alikiba kaka...
@ThobiasMarandu4 жыл бұрын
Mpoto Anabahati haishi Marekani, Hayo Mavazi yake Angeeleweka Kivingine sana!
@middobraves37406 жыл бұрын
Mchizi anafanya kaz hilo ndo ambalo najifunza kutoka kwake anajituma xana
@misalabacharles27286 жыл бұрын
Mjomba ndo Legend wa Tanzania
@fadhiliabiudi12446 жыл бұрын
chibu ake ...toa #yai brooo
@newAfrikaTV6 жыл бұрын
Big up Diamond #hata usiku lazima kiza kiingie ndio nyota zionekane " that is a tweetable quote... kipindi kizuri sana "mjomba" i used to listen your song "Adela" , i loved it !
@asallymbwego59066 жыл бұрын
Watuache WCB miaka 100%
@richiedexter63026 жыл бұрын
JE UMEJIFUNZA NINI LEO...TOA COMMENT. Mimi nimepata haya; 1) 4:35 "Matusi nayageuza nayafanya yawe hela; yani kama wewe ukiniambia siwezi hiki kitu, naenda kukifanya kusudi nikuonyeshe kwamba nakiweza" 2) 4:55 "Kila mtu ana mtazamo wake" 3) "Unajua watu wengi wanapenda kufatilia tamthilia kama za movie; tengeneza maisha yako yawe kama tamthilia watu wakufate" 4) 21:35 "Kila kitu kinawezekana ila tu unakipa mda wa kufikiria; mjomba, mwanadamu kwa siku lazima ajipe walau lisaa 1 la kuwaza maisha yake" 5) 20:49 "Kidogo ulichonacho unakitumia vipi kiwe na manufaa kwako na kwa jamii" 6) 5:38 " Mimi sijafika hapa kirahisi nime-hustle sana. Ukizungumzia hao vijana ama watu ambao wana usingizi mchache ni mimi. Yaani mimi naweza nikalala saa 10 nikaamka saa 2 asubuhi; nimezidisha sana masaa 4 ndio nimelala" 7)"Hakuna maendeleo pasipo kufanya kazi; mi nafanya sana kazi...mimi nafanya kazi kikweli kweli" 8) "Imeandikwa lazima iwe ngumu ili wawe nayo wachache. Kwa hiyo usikubali kuwa kwenye group la wale WENGI wanaokubali kufeli; kuwa group la wale WACHACHE wanaofanikiwa' 9)"... Na hakuna kilicho rahisi, hata usiku lazima giza liingie ndio nyota zionekane; ukiona kiza kinatanda sana ujue karibu kunapambazuka" 10)"Hakuna maisha yaliyo mepesi; kila kitu kina ugumu. Watu wanadhani unapokuwa MTU FULANI ndio kuna wepesi...NDIO UGUMU UNAONGEZEKA" "THANKS"
@mrishompoto6 жыл бұрын
Mjomba mjomba uko vizuri sana nimependa ulivyochambua point tupu moja moja safi sana mjomba @Richie Dexter
@richiedexter63026 жыл бұрын
MrishoMpoto Asante sana mjomba. Nimependa ubunifu. Ni kipindi kizur sana na unauliza maswali vizur sana. Tuletee na wengine zaidi ili tuendelee kujifunza.
@nyangejr07536 жыл бұрын
Mjomba mpoto chonde chonde mimi nakuomba sana tuletee na alikiba ili tufahamu pia na yeye anauwezo gani wa kujieleza ilo jambo ninaloliitaji sana NASEEB ABDUL JUMA ISAACK a.k.a DIAMONDPLATNUMZ Kwa kujieleza nimempa asilimia 100
@subiramagembe2276 жыл бұрын
Richie Dexter 😂
@dorcasgitari82786 жыл бұрын
Richie Dexter ahsante man.
@aleyslaim49356 жыл бұрын
Mond nimekulewa mkuu
@lastseen68156 жыл бұрын
Clouds media walitaka kukupoteza lkn naona watapotea wao manake wasafi tv sio ya nchi hii
@sergeishimwe39696 жыл бұрын
ana sauti nzuri
@sizzyzed5106 жыл бұрын
Mjomba umenichekeshaaa..ila kaka Naseeb una wise words God bless you
@wilsonwizzo24836 жыл бұрын
daaaah simbaaa anajua sanaa
@mpendwalove43906 жыл бұрын
You the best and will always be @Mond........and that's why I like watching your interviews...you speak points and facts
@King_Shark3606 жыл бұрын
kweli brooo weka ukweli wako bayana hata mungu hupenda hivo mondi kaza brooo hakika muziki wetu uko mbari sana
@chapeesalum31626 жыл бұрын
Me nataka kuimba @simba
@ngowated36576 жыл бұрын
watching from Kenya.
@mwanajumaomahundumla65046 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa kukumbuka mtoto wako wa Kwanza Mwanza
@subiramagembe2276 жыл бұрын
kwel chibu..hapo umeongea..napenda kuona life yako mzee baba.
@athanastheonest67286 жыл бұрын
Simba mwenye mziki wake
@brajurajise45836 жыл бұрын
Safi sana mjomba nimeitamani hii sana
@madini49136 жыл бұрын
Kama unamkubali Simba Mondi gonga like
@hassanrashid55996 жыл бұрын
Noma sana jamaa yuko vizuri
@philoteuslwena30826 жыл бұрын
bonge la show mzee wa pekupeku... kaza buti na ongeza juhudi
@alcantaraahmed98186 жыл бұрын
Huyu jamaa anazungumza maneno unayasikia na kuelewa...hit like kama unaamini hivo...
@khadijahomankweliyamjahaya74216 жыл бұрын
Ndo maana wanakuandama sana maan , saf
@martinezsiwale44196 жыл бұрын
Mwalimu wa hii bongo fleva ili kuwafundisha namna ya kupata pesaa this is chibu evara
@josephmateru88926 жыл бұрын
Ukizingatia Dangote Ndani Ya Nyumba Chibu deee Lps Dendaaa Mnyamaaa Simbaaaa Tisha sanaa
@emmanuelimbanga8 ай бұрын
Mjombaa ❤❤❤
@faumash8316 жыл бұрын
😂😂😂😂aki baba tee nakufananisha na mtu flani najua akuku danger himself bt cha msingi ni ati unapenda wanao n that’s the spirit daddy 😍😍
@martinedavison97376 жыл бұрын
Diamond kweli we ninoma saana maisha marefu kwako broo kweli unatixha xana
@jeanmalilo24656 жыл бұрын
Huyo ndo simbaaa
@fadhilplatnumz62094 жыл бұрын
Gd- sanaa MjombA
@simpletv27086 жыл бұрын
Japokuw unatow madini lakini watu hatar hawashugurik nayo wao wanang'ang'ania ujinga TU na hauchuji ng'o MTU asiekuw n roho mbaya bhan hanashidaaaaaa!!
@fabianfrank86426 жыл бұрын
Sauda Ally et ehh mtazamo Wang mama
@adolfmjungu40006 жыл бұрын
natamani kuwa kama wewe mrisho mpoto
@mrishompoto6 жыл бұрын
Pambana sana mjomba @Arafati
@nohatredbutlove57866 жыл бұрын
Anza kutembea bila ya viatu utakua umeanza hatua moja😀😀😀
@nohatredbutlove57866 жыл бұрын
Samahani mjomba nimetania😀😀😀
@jemedary62716 жыл бұрын
arafati mjungu inawezekana
@nickalreadyknows5 жыл бұрын
MrishoMpoto 😅🤣😂😂🙂 anataka kuwa kama wewe na wewe utakuwa nani
@zyaadtrue85266 жыл бұрын
Kuch kuch hota hae ..my best movie...tunaendanisha...naona..@diamond platinumz
@moshimongelwa77956 жыл бұрын
Kama. Unakubali Simba usisite gonga like
@melkiadgangai5271 Жыл бұрын
Diamond Platnumz, Tanzania One wa muda wote
@josephmateru88926 жыл бұрын
Bonge La Kipind Mjombaaaa tisha Sanaaaa
@mapenzimatamu52896 жыл бұрын
Huyu anaongea positivity
@fatihiyaally35026 жыл бұрын
upo juu chibuuuuu💯
@shubackmashinga35356 жыл бұрын
Diamond on 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mr.piellenoposzi33026 жыл бұрын
Kak diamond are u a hero ma bro god continue to help u to blessing u
@kakamau03846 жыл бұрын
Diamond platnumz 💎💎💎 you are great artist from Tanzania no one like you brother
@zachariamishai72586 жыл бұрын
Hiki kipind ni 🔥🔥 sana... 🙌
@shabanimemashabani9376 жыл бұрын
nimejifunza kitu kutoka kwa bro
@chandengao87956 жыл бұрын
Kaka mpoto wewe genius kubwa kwako
@enzytiller27256 жыл бұрын
hhhh mpoto muongeaji sana😂
@hawahawae64426 жыл бұрын
jaman niambien mrisho mpoto kavaa nnkanzu au dera
@moshimongelwa77956 жыл бұрын
Navyo kupendea ahuna majigambo
@dorcasgitari82786 жыл бұрын
Mrisho Mpoto ni icon wa kwangu I say.
@millicentauma27536 жыл бұрын
Nice movie, thanks for uploading.
@frankyotham93982 жыл бұрын
Hii interview nilikuwa naitafuta Sana
@mwinyimadk.longwa63276 жыл бұрын
Upo vzr xn
@zakayomollel77786 жыл бұрын
hiyo ni kweli simbaaaa watabaki na labda
@malpesaomar95686 жыл бұрын
Simbaaaaa
@albinob71226 жыл бұрын
Upo sawa kijana
@nadiahallymussa24416 жыл бұрын
una akili nyingi sana proud of you
@alsharifudaddy25756 жыл бұрын
Lisaa limoja la kufikiria kwa cku.
@ameenaameena12243 жыл бұрын
Mashaallh
@YamunguYb6 жыл бұрын
Huyu jamaa yupo safi
@ibrahimibrahim22386 жыл бұрын
Jitu Baya 👌
@RamSimiyu12311 ай бұрын
❤it's good
@miyangafadhili22146 жыл бұрын
Huyu jamaa ni fundi aisee
@kizaabwe7266 жыл бұрын
Ndo simba uyo
@D-Man.B-Free6 жыл бұрын
Daaah,lazma mwana mke anajiweza,hakuweka live...
@godkanuya36186 жыл бұрын
hhahhaahah
@tumainjohn10556 жыл бұрын
Safi sana simba
@halidyndete35776 жыл бұрын
Daaah mjomba wewe ni mbunifu kwa kipindi iki wewe ni moto pia simba ongela kwa darasa