Je Muhammad ni Mtume wa Mungu

  Рет қаралды 8,236

Ustadh Shafii Online Tv

Ustadh Shafii Online Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 156
@Ismailmusa-y6b
@Ismailmusa-y6b 2 ай бұрын
MashaAllah,imani inazidi kunijaa dhidi ya dini ya Allah mmoja,nawapenda walim wangu na Allah awazidishie upambanuzi wa maswali ya mitego mitego
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 2 ай бұрын
Maashallah Sheikh Shafii uko vizuri sana
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 2 ай бұрын
Shafii yuko vizuri sana
@AliHassanAli-jd9ru
@AliHassanAli-jd9ru 2 ай бұрын
maskini ndacha amwagika povu hana jipya🤣🤣🤣🤣
@ZakiyaAnwar-w1r
@ZakiyaAnwar-w1r 2 ай бұрын
MashaAllah Allah awabariki sana kwa kazi zenu inshaAllah
@HamimuRashid
@HamimuRashid 2 ай бұрын
Allahumma amyn
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 2 ай бұрын
Ustadh saidi juma kinyogoli Maasha Allah
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 2 ай бұрын
Kinyogoli yuko vizuri sana
@Maarifa_Film
@Maarifa_Film 2 ай бұрын
Ndacha Hana Hoja maskinibkang'ang'ania Andiko lake ilo ilo la wema uliokufikia na Ubaya, hajui hata ayo Maneno Mungu alikua akikwambia Mtume kwamba Ndivyo Makafiri walivyokua wakimwambia Mtume hivyo😂😂
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk 2 ай бұрын
Hapo sio mungu anaongea bali ni mtu anamsemea mungu kwenye hio aya.
@Maarifa_Film
@Maarifa_Film 2 ай бұрын
@@JanethAnton-fx1mk Ukisoma kwa kudokoa Andiko huwezi kujua Maana ili Upate Ukweli halisi Kasome chanzo Cha mtiririko wa hyo Aya, mbona ikowazi2,, Hyo Aya Mungu anasema kumwambia Muhammad kuwa hao Mayahudi iweje waseme Wema unaokufika utoke kwa Mola wako Bali ukipatwa na Mabaya waone Umetoka nafsini mwako bac wambie Mazuri na Mabaya yote yanatoka kwa Mola wako👈
@brightzone.
@brightzone. 2 ай бұрын
@@Maarifa_Film na ndio maana Allah anakupangia uende Jehanam au Pepo. Hata ufanye nazuri vipi Allah kama amekupangia moto utaupata. Kwa Allah mazuri yako au mabaya yako sio kitu kinachoeleza utaenda wapi bali ni jinsi atakavyokuamulia.
@Maarifa_Film
@Maarifa_Film 2 ай бұрын
@@brightzone. Ndivyo ilivyo icpokua ww hutambui undani wa hayo Maandiko nakupa Mfano mdogo unapopatwa na Maradhi ni Mazuri au Mabaya?unapopatwa na msiba ni Kheri au Shari? Hyo yote inatoka kwa Mungu naye ndiye Mpangaji wa yote na hapangiwi Wala Hana makosa ktk Maamuzi yake 👈 Hiyo ndio mana ya Aya ya Qur'an 4:78-79 Mema na Mabaya yote yanatoka kwa Mwenyezi Mungu, ila nyinyi hamuelewi Maandiko kwakua ni wakanushaji hoja za Mungu Kuna mnazozipokea na kuzikanusha kuwa hazikutoka kwake👌
@selemanihamisi-yu5uw
@selemanihamisi-yu5uw 2 ай бұрын
Masha-allah masheikh wetu, Allah awajaalie elimu zaidi na awazidishie ufahamu
@omariselemani6578
@omariselemani6578 2 ай бұрын
Shafii Leo umetushusha hadi kutokuwepo online kwenye debate hii hadi tukaenda ku online zingine Waliochukizwa na hili like hapa
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 2 ай бұрын
Daniel mungu akubariki zaindi kwa elimu yako
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 2 ай бұрын
Ustadh shafii Maasha Allah Allah baarik
@paulmushi2428
@paulmushi2428 2 ай бұрын
Ndacha 💪💪💪💪💪💪💪🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@innocentndikumana8928
@innocentndikumana8928 2 ай бұрын
Mashallah uwislam nuru ❤❤
@SalimZahor-y1j
@SalimZahor-y1j 2 ай бұрын
Mashaallah tatizo lenu mnatangaza na uganga homo humo muigeni Ramadhani kuria
@omariselemani6578
@omariselemani6578 2 ай бұрын
Wanaomkubali video hii ya sheikh Shafii online tv haipo quality like hapa
@omariselemani6578
@omariselemani6578 2 ай бұрын
Kesho jumamosi na jumapili Shafii online tv hakikisheni tv na video ziwe quality
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 2 ай бұрын
Sauti sio safi
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 2 ай бұрын
Maulana Alahabshy Maasha Allah
@anwarabdallah7095
@anwarabdallah7095 2 ай бұрын
Hawa sio makafiri ni zijikafiri makafiri nikina firaun nakina Amana nakarun Hawa hawana kitu ni ma mbumbu tu Muhammad kiboko yenu ngojeni kiama mtajuwa hujuwi? 😂😂
@paulmushi2428
@paulmushi2428 2 ай бұрын
Maamuma msujudia Jiwe jeusi Al hajar Al aswad lililoko Makka unaumia kutoka pande zipi?😂😂😂😂
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk 2 ай бұрын
Hapo sio mungu anaongea bali ni mtu anamsemea mungu kwenye hio aya
@dullahbatuf9223
@dullahbatuf9223 2 ай бұрын
Hahah kwa iyo ndacha kautaka sio
@ShebbyTheparadiso-hf6fz
@ShebbyTheparadiso-hf6fz 2 ай бұрын
Mm nilisema ndacha abadilishe hii hoja ni ngumu sanaa kwake
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 2 ай бұрын
Ndacha ashindwi kitu
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 ай бұрын
Yaani nolivyomuona Sule2 kwenye mhadhara mood ya kutazama ikaisha
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@saiddgsmg
@saiddgsmg 2 ай бұрын
Wewe ni munafiki ndo mana muddy ikakuishia,muislamu.hamchukii muislamu mwenzie,lakini wewe ni munafiki.
@sulimankarusi8345
@sulimankarusi8345 2 ай бұрын
Very poor audio and picture quality. Echo bouncing. Tomorrow, you need to correct the mentioned features.
@MusinHamad
@MusinHamad 2 ай бұрын
Mbona mnarusha matangazo vbya mnatumia vifaagani au mnarecodi kwa nokia tochi
@kusweymohamed
@kusweymohamed 2 ай бұрын
Aya ulio soma inasema wata kuja manabii wa uwongo sio na bii so hiyo aya inawachapa nyingi wa kiristo kwenyu nyingi ndio Kuna manabii niwangapi kwenyu nn wanaitwa manabii
@MusinHamad
@MusinHamad 2 ай бұрын
Nimecheka sn jamni mtoto kautaaa
@ramadhanishabani1644
@ramadhanishabani1644 2 ай бұрын
Mikiritso kama walisomea wapi uwa sielewi upeo wao ni mdogo sana
@Ibrahimsalim-z4r
@Ibrahimsalim-z4r 2 ай бұрын
Hakuna mtume hata mmoja alie pewa utume kwa kukabwa nimhadi tuu mashaka sana
@AliHassanAli-jd9ru
@AliHassanAli-jd9ru 2 ай бұрын
ww kasome inshallah utakua muislam
@HamimuRashid
@HamimuRashid 2 ай бұрын
Wakrsto wawe wanaacha tu mabishishano hawana hojaa.
@felixgitonga6783
@felixgitonga6783 2 ай бұрын
Kuna haya kwa Quran Allah ametuma mwamendi tua hio?
@SaideAliSaide-d4o
@SaideAliSaide-d4o 2 ай бұрын
Kuweni makini na utowaji wa sauti
@shafimussa6321
@shafimussa6321 2 ай бұрын
Very poor audio and picture quality
@kijanamwepesi6997
@kijanamwepesi6997 2 ай бұрын
Rekebisheni sauti mhadhara unaongea mara mbili mbili
@hashimksuedi7657
@hashimksuedi7657 2 ай бұрын
Quality Mbovu Sana.
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 2 ай бұрын
Kwa dunia ya sasa na maendeleo ya technologia yaliopo kwa sasa, sijawahi kuona video iliorekodiwa hovyo zaid kuliko hii kwa mwaka huu wa 2024, kwa video zilizorekodiwa na kusimamiwa na vyombo maalumu. Kuanzia sauti hadi picha.
@kusweymohamed
@kusweymohamed 2 ай бұрын
Ndacha wata urongo zicha za mohamed na makafiri ni kuwakachaza kuabudu masanamu kama mohamed angekua ana abudu sanamu a hangekua na vicha na makafiri
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk 2 ай бұрын
Afu mbona huwa hamuweki full kama ilivyo hadi mkate kate vibande vingine muondoe nyie waislamu wajanja sana mbona chanel ya ndacha anawekaga yote na huwa anakuwa live
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 2 ай бұрын
Kaangalie kwa ndacha
@EricManirakiza-g6d
@EricManirakiza-g6d 2 ай бұрын
Ndacha unapoteza pumuzi bule😅unaelimisha ao umezaniya nindani ya kanisani,ila Batu banakuskia 🤷
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 2 ай бұрын
Bandugu huyambo
@mwinyiswaleh8388
@mwinyiswaleh8388 2 ай бұрын
Nndacha unacho kifanya chakumpiga Mohammad kilifanyika kitambo na watu waliokua na uwezo.hawakuweza wewenina.
@AdilHadad-storyteller
@AdilHadad-storyteller 2 ай бұрын
Tulikua na hamu lkn sauti imetuchosha
@SaideAliSaide-d4o
@SaideAliSaide-d4o 2 ай бұрын
Kuweni makini na sauti
@SukariSukari-sq9tf
@SukariSukari-sq9tf 2 ай бұрын
Imagine hyo ndacha anatafuta umaarufi na wahadhri wa Tanzania. hapa kenya wanafunzi wa wakislamu na debate na yeye wakristo wanaingia kwa dini ya haki. Yeye anabki ubishi kuchunga mfuko wake.
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 2 ай бұрын
Labda hajaelewa vizuri uislam
@rashidimahmud8605
@rashidimahmud8605 2 ай бұрын
Sauti mbona ninyingi?
@davidbarnabas-e8f
@davidbarnabas-e8f 2 ай бұрын
si muwataje walio mtuma mbona chenga nyingi
@earlyali8895
@earlyali8895 2 ай бұрын
Poor sound quality rekebisheni
@ahmadhaji6038
@ahmadhaji6038 2 ай бұрын
Jifunze kujua tofauti ya jini na shetani ndo uingie kwny hoja
@ahmadhaji6038
@ahmadhaji6038 2 ай бұрын
Anakataliwa Muhmmad Kama Mtume kupitia kitabu alichokuja nacho ni Muhammad, Du! Nadhani akili zinahtaji kukombolowa
@jumaamsuya5
@jumaamsuya5 2 ай бұрын
Kiukweli kanisa wamedondokea pua awanahoja
@mustafaamade7836
@mustafaamade7836 2 ай бұрын
Shekh sauti na video, aviko ki ubora tunaotaka inapasa ku edited kutowa izo sauti za pembeni.
@MusaBashir-p5l
@MusaBashir-p5l 2 ай бұрын
kama muhamadi ali wasilimisha majini 😮 inabidi mtu ujiongeze tena mpaka alimsilimisha shetani
@ZakiyaAnwar-w1r
@ZakiyaAnwar-w1r 2 ай бұрын
Haina tofauti ju hayo majini yalikuwa na yesu wakimnyenyekea na pia shetani alikuwa mwanafunzi wa yesu sometimes muelewe wacha kudakia mambo huyajui
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 2 ай бұрын
Jini si shetani dumb dumb dumb
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 2 ай бұрын
😂inaonesha wakristo munawapenda sana majini ndio maana miaka yote mnalalamika wameslimu
@SebastianKisokola
@SebastianKisokola 2 ай бұрын
Hakuna mtume wa mungu wa kweli eti mwarabu
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 2 ай бұрын
Kwahiyo hao kina mwamposa ndiyo wa kweli
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 2 ай бұрын
Ila wanyakyusa ndiyo watume wa kweli wa mungu
@brightzone.
@brightzone. 2 ай бұрын
@@Catherine-mh8sw Upeo wako wa kufikiri ni mdogo sana.
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 2 ай бұрын
@@brightzone. kama wewe mkristo
@SebastianKisokola
@SebastianKisokola 2 ай бұрын
Baada ya yesu muhamed andiko gani hivo yesu ndio mwanzo na mwisho usituletee elimu yako yasikitin wewe vitabu vyote vilivyotangulia havimjui muhamed ni kuruan tu cjui kwanza ilitoks wp
@princematumbo
@princematumbo 2 ай бұрын
Acha usenge,,yesu hata hujuwi jina lake
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 2 ай бұрын
Utabiri sio lazima itaje Jina bali sifa zake anae kuja atakuwaje na atafanya nini.
@brightzone.
@brightzone. 2 ай бұрын
@@abdullahmasakata170 Quran inasema muhammad ametajwa kwa Jina. Quran 61:6 Mtuoneshe sasa wapi ilo jina limetajwa kwenye vitabu vilivyotangulia. Mkionesha tu - Quran itakua ni ya kweli
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 2 ай бұрын
@@brightzone. Jina la MUHAMMAD S. A. W ni lugha ya kiarabu lenye maana ya mkweli na mwaminifu kwa kiswahili sasa tafuta utabiri wa nabii alie tabiriwa kwa jina hilo la ukweli na uaminifu. Ingekuwepo biblia ya kiebrania au Aramaic ungeliona jina la Ahmad ambayo ni sawa na MUHAMMAD S. A. W, Shida huna maandiko ya asili ya manabii bali ulicho nacho ni tafasiri na sio maandiko halisi kama ilivyokuwa wakati Wa manabii na mitume. Ndio maana hata Jina Yesu sio kiebrania wala kiaramaiki bali ni Kiswahili lakini asili ya jina Jesus Christ ni Yehoshua ambalo limetoholewa kiswahili na kuitwa Yesu. Hili Jina Yesu sio jina la asili ila ni mchongo maana malaika Gabriel hakumpa Jina hilo, Shida Wewe unabiblia ambayo hata manabii na mitume hawaijui isipokuwa wewe na wazungu wako na ndio maana hata torati hamna ila mna kumbukumbu la torati na sio torati yenyewe asilia.
@paulmushi2428
@paulmushi2428 2 ай бұрын
Mwalimu Ndacha 🔥🔥🔥💪💪💪💪🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🔥
@cleverommy5706
@cleverommy5706 2 ай бұрын
Sasa ndacha baada ya yesu ndy kaja nabii mohamad ndacha ana ng'ang'ania kua hakuna nabii aliyesema yesu si mwana wa mungu isipokua mohamad nataka ndacha aniambie baada ya yesu alikuja nabii gan mwengine ?
@brightzone.
@brightzone. 2 ай бұрын
Baada ya Yesu hakuna mwengine. Na ndio maana Yesu akasema Jiadharini na manabii wa Uongo.
@dkasfilmstudio4641
@dkasfilmstudio4641 2 ай бұрын
Swala la Allah kua shahidi wamelielewa wafundisheni na hiyo nasi
@kautharBihaki-wv7kd
@kautharBihaki-wv7kd 2 ай бұрын
@@brightzone.pole yako mzee,utabiri anaoutoa yesu juu ya ataekuja kumalza kaz alioleta duniani ulikua wa nn km yy ndio wamwisho?
@samxx411
@samxx411 2 ай бұрын
​@@brightzone.Yesu hakusema Haji nabii lazima ujuwe kiswahili, amesema jihadharini na manabii wa uongo, it means watakuja ila wamo wa uongo na ametoa sifa zao...hizo sifa zote ni za mitume yenu wanaotoa Pepo
@brightzone.
@brightzone. 2 ай бұрын
@@kautharBihaki-wv7kd wapi yesu alitabiri atakuja Muhammad. Wapi katika biblia kuna utabiri wa muhammad. Ni jinsi gani quran ni uongo tena quran inasema yesu alitabiri ujio wa Ahmed. Kwaiyo Ahmed ndio muhammad? Swali. Nioneshe wapi katika Zaburi, Torati na Injili kuna hata sehemu moja ametajwa muhamad au hata nionesh Ahmed kama quran ilivyodai. Ni uongo Mtupu.
@SebastianKisokola
@SebastianKisokola 2 ай бұрын
Dini ya shetani hy ndo maana magaidi
@samxx411
@samxx411 2 ай бұрын
Umenuna 😂😂😂
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 2 ай бұрын
​@@samxx411😂😂😂 asinune ndugu yetu Allah atakupa Nuru siku moja uingie kwenye dini ya Haq ya uislam raha❤
@salimMohammed-v5m
@salimMohammed-v5m 2 ай бұрын
Ww jamaa huujuwi uislam kaa na ujinga wako maana hujuwi kitu unaropokwa tuu uislam ni ugaidi wakati nyinyi makafiri ndio mnauchafuwa uislam kwa kutengeneza makundi ya kigaidi kama kundi la Islamic state .mmchinjaji mkuu anaitwa John jihad
@samxx411
@samxx411 2 ай бұрын
@@mobilespecialschool4216 tusigongane vichwa mie Muslim 100% ila rekebisha kauli dini ya magaidi ni ipi??
@mobilespecialschool4216
@mobilespecialschool4216 2 ай бұрын
@@samxx411 hata usimuulize kwa ukali siku akifungua moyo na kutafakari atayarudi maneno yake atajua ugaidi ni nini na nani hasa gaidi na ana agenda gani??
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk 2 ай бұрын
Hapo sio mungu anaongea bali ni mtu anamsemea mungu kwenye hio aya
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk 2 ай бұрын
Afu mbona huwa hamuweki full kama ilivyo hadi mkate kate vibande vingine muondoe nyie waislamu wajanja sana mbona chanel ya ndacha anawekaga yote na huwa anakuwa live
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 2 ай бұрын
Sasa hapa unafanya nini Si ukaangalie kwa ndacha
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk 2 ай бұрын
Afu mbona huwa hamuweki full kama ilivyo hadi mkate kate vibande vingine muondoe nyie waislamu wajanja sana mbona chanel ya ndacha anawekaga yote na huwa anakuwa live
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk 2 ай бұрын
Afu mbona huwa hamuweki full kama ilivyo hadi mkate kate vibande vingine muondoe nyie waislamu wajanja sana mbona chanel ya ndacha anawekaga yote na huwa anakuwa live
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk 2 ай бұрын
Afu mbona huwa hamuweki full kama ilivyo hadi mkate kate vibande vingine muondoe nyie waislamu wajanja sana mbona chanel ya ndacha anawekaga yote na huwa anakuwa live
@JanethAnton-fx1mk
@JanethAnton-fx1mk 2 ай бұрын
Afu mbona huwa hamuweki full kama ilivyo hadi mkate kate vibande vingine muondoe nyie waislamu wajanja sana mbona chanel ya ndacha anawekaga yote na huwa anakuwa live
Muhadhara kakara kukuru ujumbe wafika kisawasawa kumeeleweka
1:01:17
Salim Daawah Kenya TV
Рет қаралды 4,3 М.
Family Love #funny #sigma
00:16
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
Sigma baby, you've conquered soap! 😲😮‍💨 LeoNata family #shorts
00:37
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶 #gen
00:21
TheSoul Music Family
Рет қаралды 33 МЛН
IPM ATOA YAMOYONI MADHABAUNI
4:16
USHINDI CHOIR CEPAC A2
Рет қаралды 1,1 М.
MCHUNGAJI ASHANGAA KUONA MAKATAZO YA ULAJI NGURUWE KWENYE BIBLIA
1:00:32
Straight Path Dawah
Рет қаралды 13 М.
Yesu sio Mungu
1:56
KATOTO KAYESU
Рет қаралды 3,8 М.
Ustadh Shafii Amfundisha Daniel Mkemwa Utume wa Muhammad Ambabanisha na Bibilia Yake
20:29
Family Love #funny #sigma
00:16
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН