Pamechimbika Kihoja -Ustadh Shafii Amtandika Mchungaji Ndacha -Inshu ya Utambuzi wa Yesu kwa Mungu

  Рет қаралды 9,909

Ustadh Shafii Online Tv

Ustadh Shafii Online Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 124
@mohagurey2214
@mohagurey2214 4 ай бұрын
Napenda how humble ustadh shafi is, hana fujo Wala kelele but to the point with hikma
@JuniorTz-s7x
@JuniorTz-s7x 2 ай бұрын
Penda sana shehe wangu mungu akujahalie uwe na mwisho mwena penda sana uislam god is one 🙏🙏🙏🙏🙏💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖❣️💖❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Shafii umesafisha leo. Kila kitu cheupeeee pe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@OmanOman-il3dc
@OmanOman-il3dc 4 ай бұрын
Ustadhi shafii wew unajua had unajua tena wallah niburudani kubwa😊
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Sanaaaa
@SukariSukari-sq9tf
@SukariSukari-sq9tf 4 ай бұрын
Wlh sikuizi Zote ulimwnguni waislamu huvunja hoja ya wakristo.
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 4 ай бұрын
Hivi ni moja katika vibano walivyopokea wakristo wakiongozwa na ndacha ambavyo watakumbuka maisha yao yote
@BintalliMbakuha
@BintalliMbakuha 4 ай бұрын
Shafi mwalimu mzuri ,hanafujo
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Wakristoooo yesu si Munguuuuu ni mtume wa Munguuuuuuuu
@hamisiwesonga2496
@hamisiwesonga2496 4 ай бұрын
ukweli kabisa
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 4 ай бұрын
Wengi wanajuwa hilo lakini watawashije kondoo wao
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
@@nassorsharifu9837 hatari kweli
@ziadayasin711
@ziadayasin711 4 ай бұрын
Mashasllah ❤ ustdhi wetu shafii Allah akujalie kherr ❤❤
@sheikhaswalehsalim3392
@sheikhaswalehsalim3392 4 ай бұрын
Ameen Ameen Ameen
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Amiin
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Njoooni njoooniiii kijana wa mafya kafunga dimba🎉🎉🎉❤❤❤❤. Shekh shafiiii ni kijana maridadi sana. Tunashukuru 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
@samxx411
@samxx411 4 ай бұрын
Shafi kampiga ndacha nyundo za kichwa vibaya sana
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Sheikh Shafii umememaliza mjadala leoooo case closed. Takbiiiiiii. Kijana wa kinyagatwa kafanya vitu vyakeeeeee. Njoooniiii. Kimeumana hukuuuuu. ALLAH AKBAR 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@MrishoRamadhani-k1s
@MrishoRamadhani-k1s 4 ай бұрын
shekh shafi allah akuongezee umri mrefu wenye baraka ndani yake
@selemanihamisi-yu5uw
@selemanihamisi-yu5uw 4 ай бұрын
Masha-allah sheikh shafii, Allah akuzidishie ziada katika elimu na akuzidishi ufahamu
@UswegeJohn-ov3ym
@UswegeJohn-ov3ym 4 ай бұрын
NDACHA WEWE NI MSOMI HASWAA!!
@alidingongo443
@alidingongo443 4 ай бұрын
Maa Shaa Allah km hawakuelewa hawataelewa maana katika macho yao na masikioni mwao mna visibo
@favoritebrayo
@favoritebrayo 4 ай бұрын
waislam hawawezi jielewa ata siku moja
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Shafiiiiiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ 🔥 🔥 🔥 🔥
@MiriamMtende
@MiriamMtende 4 ай бұрын
Shafii Mwalimu mkuu🎉🎉🎉🎉
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Sheikh shafii leo umemmaliza Ndacha kweupe peeeeeeee.
@amoursalum797
@amoursalum797 4 ай бұрын
Ndacha sijui kama si mgonjwa, baadhi ya midahalo yako unasema yesu Mungu ss sijui tukueleweje
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Sheikh shafii moto wa kuotea mbali
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Leo Ndacha kasema yesu si mungu. Bali ni mwana wa Mungu.
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 4 ай бұрын
Mashetani na mapepo ndio walioanza kumwita Yesu mwana wa mungu na shetani mkimbwa ni petro
@charlesmapunda-g5l
@charlesmapunda-g5l 22 сағат бұрын
Kazi ya Waislam ni kusema mashalha pamoja na kwamba wanasikia kwamba Yesu alikuwepo kabla ya ulimwengu kuwepo lakini bado wameziba masikio kwa kujilazimisha ili tu wabaki na Mungu wao anaejua kiarabu tuu
@BoboManya
@BoboManya 4 ай бұрын
Shafi ule ni masikini tu na awezi juwi kitu kama aujuwi maadiko sema tu kwambiye siye bazazi yako ba christu siyo kwa ule shafi acha moyo mungumu majini uko nazo kuya kwa yesu atazitowa
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 4 ай бұрын
Eti ana amkia rehma na amani ziwe juu yenu hakuna tena yesu asifiwe ana anza taratibu kufahamu ukweli. Subhana Allah
@ShaukhanSaidy
@ShaukhanSaidy 4 ай бұрын
Mungu asimfishe mpaka asilim inshaallah❤❤❤
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 4 ай бұрын
Ndacha anafahamu ila anahofia mafao
@MrishoRamadhani-k1s
@MrishoRamadhani-k1s 4 ай бұрын
wakristo hamna jambo mnaipinga hadi bibiia yenu wenyewa
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 4 ай бұрын
Kumbe kwa ukristo kuna waungu wawili,leo ndio nimejuwa
@MrishoRamadhani-k1s
@MrishoRamadhani-k1s 4 ай бұрын
wafundishe ao shekh shafi
@albertmwangi3297
@albertmwangi3297 4 ай бұрын
Kwa kweli nimeamini kua Yesu ni mwana wa Mungu halisi
@ismailkasim9060
@ismailkasim9060 4 ай бұрын
Sisi wenyewe mungu baba yetu , tusalipo tunasema " baba yetu wa mbiguni , Jina lako litukuzwe , ufalme wako uje , utusamee mazambi yetu"
@HassanMadura
@HassanMadura 4 ай бұрын
Kubalini nkataba muiliyoo kubaliyana na wazungu, ukristo sio Dini ila tu munafata hela.
@rajabusira400
@rajabusira400 4 ай бұрын
Ndacha pole sana, umeyakanyaga
@ShebbyTheparadiso-hf6fz
@ShebbyTheparadiso-hf6fz 4 ай бұрын
Kwa according ya biblia mm na ww pia mwana wa mungu kwa mujibu ya maneno ya Yesu Yohana 20:17
@mussamohd-b4h
@mussamohd-b4h 4 ай бұрын
MUNGU Hana mwan ww mpofu
@ShebbyTheparadiso-hf6fz
@ShebbyTheparadiso-hf6fz 4 ай бұрын
@@mussamohd-b4h Yeah mungu hana mwana kwa mujibu ya waislamu ila nimemjibu hiyo kwa upande wa ukristo
@MrishoRamadhani-k1s
@MrishoRamadhani-k1s 4 ай бұрын
tatizo ndacha hajui ki2 apewe elimu tu
@sonnyr1899
@sonnyr1899 4 ай бұрын
Waislam tuisome dini yetu kwa kweli huyu ndacha akikutana na mbumbu anaweza muumiza ila ongera Sheikh Shafi unajibu kisomi sana.
@KhamisJuma-ni1vk
@KhamisJuma-ni1vk 4 ай бұрын
Masha Allah Sheikh Shafii
@abdulnasuma9729
@abdulnasuma9729 4 ай бұрын
Ila shafii ni nomaaa sana
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Shafii yuko vizuri sana
@ShakurAKBAR
@ShakurAKBAR 4 ай бұрын
ALLAH akuzidishiye kheri ya sheikh
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Ndacha anatia huruma
@muryangoissa794
@muryangoissa794 2 ай бұрын
Kweli wa kristu kama mnaakili timamamu ndacha anawapoteza anayumba yumba
@BobgIsmail
@BobgIsmail 4 ай бұрын
Wakiristo lau kama wengujua kitawakuta kitu hiki wasingeichagua hii mada .maana wao husema yesu ni mungu leo mwana yaani hawaeleweki
@evansmogusu8113
@evansmogusu8113 4 ай бұрын
Myopic thinking 😊
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Kumbe ndacha ni comedian leo ndiyo nimejuwa.
@farajsogoma9370
@farajsogoma9370 4 ай бұрын
Shafii ...🔥🔥🔥🔥🔥
@WaziriSalehe
@WaziriSalehe 4 ай бұрын
Ndacha hoiiiiiiii
@rajabusira400
@rajabusira400 4 ай бұрын
Ndacha hayo makelele hayaonyeshi kama umetoa point, ongea taratibu kama kidume Shafii
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Mungu kamzaa yesu kumbe du🤔
@BoboManya
@BoboManya 4 ай бұрын
Manda gani weye miye nilishaka shangala Na mweye baesilamu muwe nasoma maadiko kwanza ule siyo mutume ni mutume wa mweye sharati amujuwi mungu ata kidogo
@BoboManya
@BoboManya 4 ай бұрын
Weye ni muesilamu auwezi elewa lakini ujuwe mwisho wako ni moto siwezi Fata mutume mwenye aliowa mtoto wa miaka 6 mpaka Na dada yake Fata yesu upate uzima wa milele dungu yangu
@huseinshedrack6180
@huseinshedrack6180 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂wamepigwa tena😂😂😂😂😂😂😂wallah ahsant Mungu kunitoa kwenye ukafir
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Kina nani wamepigwa
@jorgitolucasbaluth8903
@jorgitolucasbaluth8903 4 ай бұрын
Ndacha Anaweza sana
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 4 ай бұрын
Anaweza nini mara ngapi kaweka viraka maaandiko karudishwa
@salehrwigemagisa81
@salehrwigemagisa81 4 ай бұрын
Anaweza makelele ndio!
@AbdulRahman-ds5iq
@AbdulRahman-ds5iq 4 ай бұрын
Ndacha afundishi anashindana
@jorgitolucasbaluth8903
@jorgitolucasbaluth8903 4 ай бұрын
Ndacha Atali
@WaziriSalehe
@WaziriSalehe 4 ай бұрын
Uatar wake upo wapi anapiga kelele
@salehrwigemagisa81
@salehrwigemagisa81 4 ай бұрын
Ndacha anavyopaparikaga utamuona mjuzi kumbe debe tupu!Hana lolote kichwani zaidi ya makelele.
@HemedSerious
@HemedSerious 4 ай бұрын
Mr. Makelele kamalizika 😂😂😂😂 ndacha hoi😂😂😂😂
@bibleknowledge-b1y
@bibleknowledge-b1y 4 ай бұрын
Yohana 3:14-15 [14]Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; [15]ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye. Ivi ambao hawaamini Kristo aliteseka, kufa a kufufuka msamaha wa dhambi zao wanautolea wapi… Angalia Mawazo ya kibinadamu/ibilisi ambayo hata petro kabla hajajua alikuwa nayo.. Mathayo 16:21-23 [21] Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaonya wanafunzi wake ya kwamba imempasa kwenda Yerusalemu, na kupata mateso mengi kwa wazee na wakuu wa makuhani, na waandishi, na kuuawa, na siku ya tatu kufufuka. [22]Petro akamchukua, akaanza kumkemea, akisema, Hasha, Bwana, hayo hayatakupata. [23]Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu. Kwa damu ya Yesu tunapata msaaha wa dhambi tuliupata kalvari( Alilipa deni zetu kwa sisi tunaookolewa)… Yohana 3:14-15 [14]Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; [15]ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye. Yesu aliteseka, kufa na kufufuka kwa ajili ya dhambi zetu.. Bila hivyo hakuna msamaha... Wakolosai 1:14 [14]ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi; Warumi 3:25 [25]ambaye Mungu amekwisha kumweka awe upatanisho kwa njia ya imani katika damu yake, ili aonyeshe haki yake, kwa sababu ya kuziachilia katika ustahimili wa Mungu dhambi zote zilizotangulia kufanywa; Dhambi zilizotangulia(watu wa agano la kale)ziliachiliwa kwa njia ya kuteseka, kufa na kufufuka YESU KRISTO.. Yeye ni njia ya kwenda mbinguni... Kama ulidanganywa amini leo...Watakwambia muamini Ibrahimu,yusufu nawengine haita kusaidia chochote kama hutoamini Yesu Kristo aliteseka ,kufa na kufufuka... Yesu kristo ndio njia ya kwenda mbinguni...Yeye pekee anasema mimi sio wale sisi au yoyote bali yeye tu...( Yesu Kristo ni uhalisia kama vile walivyokuwa wanaenda kutoa sadaka za wanyama hekaluni sio kivuli tena) Yohana 14:6 [6]Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. 1 Yohana 2:2 [2]naye ndiye kipatanisho kwa dhambi zetu; wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa dhambi za ulimwengu wote. Yohana 3:14-15 [14]Na kama vile Musa alivyomwinua yule nyoka jangwani, vivyo hivyo Mwana wa Adamu hana budi kuinuliwa; [15]ili kila mtu aaminiye awe na uzima wa milele katika yeye. Yesu aliteseka, kufa na kufufuka kwa ajili ya dhambi zetu.. Bila hivyo hakuna msamaha... Wakolosai 1:14 [14]ambaye katika yeye tuna ukombozi, yaani, msamaha wa dhambi; Warumi 3:25 [25]ambaye Mungu amekwisha kumweka awe upatanisho kwa njia ya imani katika damu yake, ili aonyeshe haki yake, kwa sababu ya kuziachilia katika ustahimili wa Mungu dhambi zote zilizotangulia kufanywa; Dhambi zilizotangulia(watu wa agano la kale)ziliachiliwa kwa njia ya kuteseka, kufa na kufufuka YESU KRISTO.. Yeye ni njia ya kwenda mbinguni... Kama ulidanganywa amini leo...Watakwambia muamini Ibrahimu,yusufu nawengine haita kusaidia chochote kama hutoamini Yesu Kristo aliteseka ,kufa na kufufuka... Yesu kristo ndio njia ya kwenda mbinguni...Yeye pekee anasema mimi sio wale sisi au yoyote bali yeye tu...( Yesu Kristo ni uhalisia kama vile walivyokuwa wanaenda kutoa sadaka za wanyama hekaluni sio kivuli tena) Yohana 14:6 [6]Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. 1 Yohana 2:2 [2]naye ndiye kipatanisho kwa dhambi zetu; wala si kwa dhambi zetu tu, bali na kwa dhambi za ulimwengu wote. Yote aliyoyapitia ilileta suluhu kwamba yeye ambaye hakutenda dhambi alipitia aliteseka(alitukanwa, alidharauliwa, alitemewa mate, aliitwa amechanganyikiwa, ndugu zake walimkataa alipigwa na kuharibiwa licha ya hilo tu alienda kaburini yaani alikufa.... Isaya 53:3-5 [3]Alidharauliwa na kukataliwa na watu; Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko; Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu. [4]Hakika ameyachukua masikitiko yetu, Amejitwika huzuni zetu; Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa, Amepigwa na Mungu, na kuteswa. [5]Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona. Waebrania 4:15 [15]Kwa kuwa hamna kuhani mkuu asiyeweza kuchukuana nasi katika mambo yetu ya udhaifu; bali yeye alijaribiwa sawasawa na sisi katika mambo yote, bila kufanya dhambi. Sasa hayo yote aliyoyapitia kama sisi wenye dhambi tunaweza fanyiana dhambi na kusema tumeonewa ni mfano tu wa habili ambaye alivyuliwa na kaini na kulalamika mbele za Mungu (Mwanzo 4:10 [10]Akasema, Umefanya nini? Sauti ya damu ya ndugu yako inanililia kutoka katika ardhi.) lakini Sasa kama sisi wenye dhambi tunaweza kukoseana na kulalamika mbele za Mungu( kuacha madeni) kwa maana maandiko yanamuonesha kwamba Yesu Pekee ndio hakuwahi kutenda dhambi hivyo Mungu aliweza kuleta suluhu za dhambi kwamba akimtazama Yesu Kristo mbona huyu hakutenda dhambi ambaye hakufanya dhambi lakini aliteseka mpaka kufa hiyo ilikuwa inaleta suluhu bila bila na kuleta haki kwamba kwa njia ya hayo aliyoyapitia ndipo tupate msamaha / Ondoleo la dhambi… Yesu Kristo alitukanwa, alidharauliwa, alipigwa, alikataliwa na ndugu zake( Wayahudi), alikufa lakini waliyo yafanya Yote hay oni watenda dhambi…… TUMEPATA USHINDI KWA DAMU YA YESU… Waebrania 2:17 [17]Hivyo ilimpasa kufananishwa na ndugu zake katika mambo yote, apate kuwa kuhani mkuu mwenye rehema, mwaminifu katika mambo ya Mungu, ili afanye suluhu kwa dhambi za watu wake. Amini Amini... Hakuna ondoleo la dhambi bila damu yake Yesu... Mwamini Yesu Kristo kwamba alipitia hayo kwa ajili ya dhambi Maana wapo wanaohubiri Yesu Mwingine ambaye siyo wa kweli kitabu chochote mfano kila mwandishi wa biblia lazima aandike habari za Yesu Kristo wewe ni nani ukatae.... 2 Wakorintho 11:4 [4]Maana yeye ajaye akihubiri Yesu mwingine ambaye sisi hatukumhubiri, au mkipokea roho nyingine msiyoipokea, au injili nyingine msiyoikubali, mnatenda vema kuvumiliana naye! 1 Wakorintho 1:18 [18]Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. injili ni kuteseka, kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo.. NDO USALAMA WETU NA KMBILIO LETU TUMTAZAME YEYE ALIYEWEKWA KAMA MUSA ALIVYO MUINUA NYOKA WA SHABA... Mathayo 12:40 [40]Kwani kama vile Yona alivyokuwa siku tatu mchana na usiku katika tumbo la nyangumi, hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakavyokuwa siku tatu mchana na usiku katika moyo wa nchi. ~ASIJE AKAKUDANGANYA MTU AMA KUKUPOTEZA.....YESU KRISTO NI HAKI ALIOONESHA MUNGU NI UZIMA WETU... Wapo ambao wanasema hivi wanasema vile ili kudanganya... Wapo wanao sema malaika amewatokea.... Kuwa makini Hta shetani anaweza jigeuza kujifanya kama malaika... 2 Wakorintho 11:14 [14]Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru. TATIZO KUBWA LA MWANA DAMU NI DHAMBI NA SOLUTION YAKE NI YESU KRISTO....Kwamaana dhambi ndio iliyotufarakanisha na Mungu... Mwamini Yesu Kristo upate msamaha wa dhambi... Nje ya hapo utakuwa umeluka step... Manabii wote Musa, isaya, nehemia, Ezekiel, Daniel kwa ujumla vitabu vya agano la kale(Manabii) na Agano jipya(Mitume) lazima mwandishi andike habari za Yesu Kristo aliteseka, kufa na Kufufuka…..Mwandishi ambaye hajaandika hayo epuka upoyevu… Matendo ya Mitume 3:18 [18]Lakini mambo yale aliyohubiri Mungu tangu zamani kwa kinywa cha manabii wake wote, ya kwamba Kristo wake atateswa, ameyatimiza hivyo. Apo anasema manabii wote lazima waandike ukombozi ulio katika Yesu Kristo kuteswa….
@BintalliMbakuha
@BintalliMbakuha 4 ай бұрын
Ndacha nendaukasome kiswahili,kiswahili anachokielewa nimuislam
@MiishHassan-qm1et
@MiishHassan-qm1et 4 ай бұрын
Shafi umejua kumnuoosha 😂😂😂😂😂 akasome huko asituchoshe😂😂😂
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Ndacha kumbe hana akili , leo ndiyo nimejuwa
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Yesu si Mungu kumbe. Kumbe baba yake ndiyo mungu. 😂😂😂😂😂
@SukariSukari-sq9tf
@SukariSukari-sq9tf 4 ай бұрын
Ndacha mkikuyu hawezi elewa kiswahili , inabidi ajifunze kiswahili kabla asimame kwa jukwa
@swabrahassan9191
@swabrahassan9191 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 pole ndacha umeyakanyaga mbona poleeeee
@TuliOreshnik
@TuliOreshnik 4 ай бұрын
Ndacha tatizo kiswahili hajiwi lakini kwakupiga kelele na vitisho ila nimtupu
@ukweliwauislamu9590
@ukweliwauislamu9590 4 ай бұрын
Ndacha hana lolote bali kutumia tu ujanja
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 4 ай бұрын
Wewe achana na dini isio ya kweli rudi katika imani ya kweli ulio zaliwa nayo, ikiwa mwalimu wako ame ukubali Uislam Wewe uta kuwa ahsani kumshinda yeye
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Mwalimu wa ndacha ni nani?
@rayaalhabsi1725
@rayaalhabsi1725 4 ай бұрын
@@Catherine-mh8sw mu ulize yeye ndacha ata kujibu
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
@@rayaalhabsi1725 OK. Isiwe tabu. Nimekuuliza wewe kwa kuwa ndiyo uliyesema
@MarKarim-km2yh
@MarKarim-km2yh 4 ай бұрын
Yaan leo ndo nimejionea kama ndacha amna kitu 😂😂😂😂😂😂
@sosdododo5653
@sosdododo5653 4 ай бұрын
Hizi sasa ni vichekesho va wakristo yani comedy,,kama kweli waislamu ni bahari kubwa wamewatega wakristo leo siku zote yesu ni mungu kilasiku yesu ni mungu lakini leo wao wenyewe wanapigania tena wapigania kisawasawa kuonyesha wazi kua yesu ni mwana wa mungu lakini sio mungu vichekesho jamani ndio nikasema ndacha hana elimu hata kidgo ni bonzo huyo ni mchekeshaji tu
@abdallahally842
@abdallahally842 4 ай бұрын
Neno babayangu kilugha hata musaa kasema babayangu ikimanisha mungu wangu
@samwellekuraa32
@samwellekuraa32 4 ай бұрын
Poor judgemental, lack of understanding indeed, elimu ya roho mumpewa kidogo, hivyo basi mnashauriwa mshaurianane na dini zilizo tangulia Kaa elimu hamna, sivyo
@sosdododo5653
@sosdododo5653 4 ай бұрын
@samwellekuraa32 I think all this put it to poor Christians really I'm very sorry for Christians,,you have the book but you sit on it not read on it,,that's why you people still blind people Christians,,,,logical how can you take almighty God from highest level to the lowest level not only lowest I think it's the highest lowest level you take the almighty God,,don't play with almighty God you will be in the hell fire forever,,the bible is clear about the almighty God,,but you people doesn't agree with it
@sosdododo5653
@sosdododo5653 4 ай бұрын
@samwellekuraa32 38 Simple Reasons Why Jesus (peace be upon him) ls Not God 1-God Doesn't Change His Nlature lames 1:17 2-GOD Almighty is Greater than Jesus. (John 14:28 ) 3-No one is "Good" including Jesus. Oly GOD is" Good" (Luke 18:19) 4- Jesus said he doesn't know when the Hour will come. Only GoD Knows. (Mark 13:32) 5-Jesus said that" OUR God is one GoD (Mark 12:29 ) 6-Jesus also said "My GOD and your GOD" (John 20:17) 7- Jesus bowed his face down to the ground to GOD Almighty. (Matthew 26:39) 8-Jesus was tempted by satan for 40 days (Mat1:4), while GOD Almighty can not be tempted (Jacob 1:13) 9- Jesus said he is a man (John 8:40) 10-God is neither a man nor a son of a man (Numbers 23:19) 11-No one can see God (1 John 4:20) but
@samwellekuraa32
@samwellekuraa32 4 ай бұрын
@@sosdododo5653 verses are very clear y you saying not
@BintalliMbakuha
@BintalliMbakuha 4 ай бұрын
Ndacha anamaliza mda kwakuzungumza nonsense, lakini kakwepa maandishi
@SukariSukari-sq9tf
@SukariSukari-sq9tf 4 ай бұрын
Ukiona mtu anapiga kelele ujue ilmi ndogo
@swabrahassan9191
@swabrahassan9191 4 ай бұрын
Ndacha Acha kelele tunajua kua dini yakweli unaijua ila unatetea ugali wako tu apo
@amoursalum797
@amoursalum797 4 ай бұрын
Msinishike Kwa maana sijapaa kwenda Kwa baba nanyi ni baba yenu Mungu wangu nanyi ni Mungu wenu mgonjwa ndacha fahamu maandiko biblia yako lakini huifahamu na wakiristo wenzako wanaokusikiliza mbumbumbu
@BoboManya
@BoboManya 4 ай бұрын
Weye Acha poyoyo ule shafi ajuwi kitu weye ku akili yako kweli unaweza sema mutume mwamede ni mutume wa mungu yesu yéyé alitabiriwa Na manabii wote mu bibilia mutume mwenye tu ndo amujuwi sasa weye Acha rohoo mungumu kuya kwa yesu upate uzima wa milele
@ibrahimmsafiri2656
@ibrahimmsafiri2656 2 ай бұрын
ikiwa Mungu anamwita Yesu MUNGU hapo kuna maana kuna Miungu 2. Mbona Mbona wasitangaze wanao miungu 2? Ndacha ni muigizaji tu hana elimu ya kikristo
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 4 ай бұрын
Mnataka muimbiwe wimbo mwengine wkt huo mmoja miaka nenda miaka rudi bado hamujaujuwa
@salimamugeni3568
@salimamugeni3568 4 ай бұрын
Ndacha yeye ukweli ana ujuwa. Ateteya mchahara wazungu waone anafanya kazi 😂
@MrishoRamadhani-k1s
@MrishoRamadhani-k1s 4 ай бұрын
Ndacha unajikweza tu lakini ukweli unaujua kama yesu ni mtume 17 .3 yohana unaikataa
@swabrahassan9191
@swabrahassan9191 4 ай бұрын
Hi Hivi ndacha nikuulize tukasome sie waislam au nyie wakristo maana naona nyie ndo hamjielewi
@mustafamasudi8093
@mustafamasudi8093 4 ай бұрын
Ndacha hana akili timam huoni hata kichogo hana
@saidichemasuet
@saidichemasuet 4 ай бұрын
Biblia inasema mungu ni roho ankesema roho ata zaa roho na mwili ata zaa mwili mbona roho akamuza mwili kwani mungu ni mwili
@hamzayesu2017
@hamzayesu2017 4 ай бұрын
Huku kenya tuliwacha kusumbuana na ndacha maana sio mwalimu bali ni shabiki tu...hana mashiko tena!!
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Tanzania mbona wanaishindwa
@charlesmapunda-g5l
@charlesmapunda-g5l 22 сағат бұрын
Wasilam kila mtu anatakiwa ajitafakari mwenyewe sio kufata mkumbo wa uislam. Kama kweli unamtafuta Mungu wa kweli acha kujitoa akili fanya yako mwenyewe usiogope kuchinjwa kama maandiko yenu yanavyo sema
@ismailkasim9060
@ismailkasim9060 4 ай бұрын
Nafasi ya yesu kwa mungu😅😅mbona Kama Mada Ina mtego ivi kwani yesu si ndio mungu mkuu TITO 2 :13
@amoursalum797
@amoursalum797 4 ай бұрын
Kafiri hili halina akili Wala maarifa
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 4 ай бұрын
Amidu 😂
@mudiali4506
@mudiali4506 4 ай бұрын
Yesu yesu yesu hi ni wimbo tu. Ukiona kelele tu. Mada hazieleweki. Mtume. Mara mungu mara. Bwana. Mara, katailiwa. Kafa msarabani. Huyo Mungu yesu. Kweli avenue n zambi za, watu. Wakati shawishi zambi. Ina maana, Mungu yesu a a muogopa sheetan. Had azibebe zambi. Kusliza huyu ndacha, mtafakari ni saana. Huyo ni imeyumba. Bibliyaa yake haielewi,atatafsiri Vip Quran. Walla, mdaharo mungine, msipiteze, mb za Watu
@basilejuma
@basilejuma 4 ай бұрын
Huna lolote Kwa ndacha wewe, ukweli usemwe
@PeninaElia-v3n
@PeninaElia-v3n 4 ай бұрын
Ndacha kiboko yao
@jacksonmwafongo1917
@jacksonmwafongo1917 4 ай бұрын
Huo ni mfano tu ametowa shafii sio kweli mwana wa mungu ndo maana akamalizia Kwa kusema mwanasimba Kwa hiyo wamezaliwa na Simba ww ndacha vipi? Mbona mafundisho Yako Niya kulazimisha haya eleweki unashindana badala ya kufundisha kelele nyingi hueleweki
@ShebbyTheparadiso-hf6fz
@ShebbyTheparadiso-hf6fz 4 ай бұрын
Mm na ww wote watoto wa mungu kwa maneno ya Yesu Yohana 20:17
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 4 ай бұрын
Nikweli ndacha haeleweki katika mafundisho yake mm nimemfatilia kipindi kirefu lkn nimebaini sio mwalimu
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 68 М.
UNABII WA 2025 KUNA  RAIS ATAFIA MADARAKANI... MASANJATV
28:54
Masanja TV
Рет қаралды 1,5 М.
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН