MAPENZI YAKIISHA ISIWE SABABU YA KUZUA CHUKI

  Рет қаралды 13,701

Dina Marios tv

Dina Marios tv

2 жыл бұрын

Пікірлер: 34
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
Da Sophia ushungi wakupendeza zaid my
@gracejonh4022
@gracejonh4022 2 жыл бұрын
😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hapo kwenye yebo yebo tangia nov yaani huyo ni mimi
@rizikiabdalla3308
@rizikiabdalla3308 2 жыл бұрын
Yani hata nikichwa sijitiii usingo mazaaaa loo sijitwishii majukumu loo pooo Ahsante kaka angu
@OmanOman-um1ct
@OmanOman-um1ct 2 жыл бұрын
Vipenzi vyamungu niwachamungu nawale wanao tubia kila wakikosea.
@mariamalex8934
@mariamalex8934 2 жыл бұрын
Umetisha kak
@lillianbarongo2807
@lillianbarongo2807 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣Prof Kumbuka
@evaristkiiza5071
@evaristkiiza5071 2 жыл бұрын
Doctor kumbuka io mada naomba please uirudie tena uiongelee kwa mapana zaid yan wanawake wanatunyanyasa kwa watt wetu tunapowahtaji kuwa nao kwa mda mchache,, nakukubal doctor
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
Wanaume wa sasa wapo kwa ajili ya mbegu tuu
@stelamwakatulile174
@stelamwakatulile174 2 жыл бұрын
Asante kumbuka umenigusa sana Leo kunywa soda nitalipa
@donmonda7150
@donmonda7150 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣.... Thumps up. Sisi wanaume tuko
@ashudahiza7871
@ashudahiza7871 2 жыл бұрын
Wakwangu nachukulia.t kashakufa hajui mtoto anakula nn wala kaamka vip wala kala nn hajui.hivyo mm najihesabia. mtoto wangu ni yatima.hana baba yuko na mama yake tunaish tumewaacha watu wale bata
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Tuko wengi ndugu
@jamilahabdalah6228
@jamilahabdalah6228 2 жыл бұрын
On points
@mozasaid3869
@mozasaid3869 2 жыл бұрын
Kumbuka bhana eti hicho kisamvu chako cha kutia kitunguu swaumu!😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
@nowelaraymond5986
@nowelaraymond5986 Жыл бұрын
Maneno kuntuu🧐🧐
@sylviermuhonjah8411
@sylviermuhonjah8411 2 жыл бұрын
Kuna wanaume wengine hata salamu za bure hawaleti itakua robo ya unga
@MohammedAli-rh5si
@MohammedAli-rh5si 2 жыл бұрын
Hao wanaume wa ivyo walikufa zamani kumbuka leo hapana kumbuka siungi mkono zay wa ughaibuni
@junuferjinu1444
@junuferjinu1444 2 жыл бұрын
Nakuna wanaume ambao unawaachiq watt lakini ukimtaka mtt mbinde
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 2 жыл бұрын
Swadakta joogoo
@nassirmasoud2545
@nassirmasoud2545 2 жыл бұрын
Hpo umenimaliza.nipo kwa mtihani huo.mtto wngu cfai hta kumuona nkipeleka nguo zarudishwa.
@khdigahk4246
@khdigahk4246 2 жыл бұрын
Odo wangu inamuhusu hii anawachamba wazazi wenzie mpaka aibu
@fatialamri2258
@fatialamri2258 2 жыл бұрын
Uyo dada mwislam gani mgomgo wote wazi mpa sidilia yote ina onekana sub hana Allah
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 2 жыл бұрын
Halafu hajjat huyu jamani,Leo amenishinda,naomba Allah anisamehe Kama nimemsema vibaya Ila uislamu ni kuusiana
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Mm. Nimeshangaa ujue mpaka nimemwambia a jistili dijada matangazo daaa mtihani
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Mimi mbona sijakataa nae na wala sisaidiwi majukumu.
@khadijacali8142
@khadijacali8142 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@laymashabani832
@laymashabani832 2 жыл бұрын
Wenye mabwana zetu majina ya shabani jamani mbona mnatuonea
@beatricemmbaga3772
@beatricemmbaga3772 2 жыл бұрын
Nakupenda bure kumbuka 🤣🤣🤣🤣🤣
@zaydelabay9776
@zaydelabay9776 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@sophiabryson2735
@sophiabryson2735 2 жыл бұрын
😷🛀
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 2 жыл бұрын
Ww dada mwenye mawani hiyo sijida au nini kama ni sijida mbona unaitangaza nahichokilemba ujistili ila kama siyo basinisamee
@hadijamandanje6189
@hadijamandanje6189 2 жыл бұрын
Sio sijida tu,amehiji huyu hapa sijui anatufundisha Nini tunaohangaika tupate wasaa wa kwenda kuhiji
@evaristkiiza5071
@evaristkiiza5071 2 жыл бұрын
Kumbuka doctor yaan mada io km nimekuadithia yanayonikumbuka watt wang nanyimwa kuwa nao japo wiki moja ya likizo wanawake wengne nuksi
@fatialamri2258
@fatialamri2258 2 жыл бұрын
🤣
ALI KAMWE AFAFANUA MAANA YA KEY DAY YA YANGA
26:36
Dina Marios tv
Рет қаралды 41 М.
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН
Useful gadget for styling hair 🤩💖 #gadgets #hairstyle
00:20
FLIP FLOP Hacks
Рет қаралды 7 МЛН
MAZINGE ATAKA MAJIBU YA MASWALI HAYA KWA WAKRISTO
13:18
DHIKRI ONLINE TV
Рет қаралды 13 М.
MC Eliud Samwel akiwavunja watu mbavu kwenye mkesha wa THE ICON 2023 | CCC UPANGA
21:43
Sigma girl and soap bubbles by Secret Vlog
00:37
Secret Vlog
Рет қаралды 13 МЛН