Huyu ni wewe usilidi ktka njia ya maigizo tena kumbuka mda umekwisha fanya sehemu yako hongela songa mbele
@MariettaNyoniАй бұрын
Baba wangu wa kiloho mm ni catholic ila nakufatilia sana zaid ya San naomba unisaidie naomba unibatize please
@NicolasKizanye20 күн бұрын
😅 umeshabatizwa ww ubatizo wa Roho Mtakatifu Kinachokusumbua wewe ni mafundisho.
@MariettaNyoni20 күн бұрын
@NicolasKizanye sikubatizwa na maji mengi catholic wengi wanabatizwa na maji kidogo sana ya paji la uso
@NicolasKizanye20 күн бұрын
@MariettaNyoni Ndugu kama nilivyosema unapungukiwa na mafundisho, wewe ushabatizwa katika Roho Mtakatifu imebakia uujue ukweli. Hakuna Ubatizo wa Maji Mengi au Machache.
@NicolasKizanye20 күн бұрын
@@MariettaNyoni Mimi pia ni MKATOLIKI hakuna ubatizo wa Maji mengi au Machache.
@user-ipallangyo3 ай бұрын
Tunashukuru sana watumishi wa Mungu, Bwana wa mavuno awawezeshe na kuwapa ujasiri zaidi wa kuwapa watumwa wake chakula kwa wakati wake maana tuko miisho ya nyakati, Kuna migongano mikubwa sana hata katika kanisa kuhusu uimbaji je ni midundo au noten naomba Mfafanue vizuri hili soma kwa kuongozwa na Roho wa Mungu..
@kadodochagama2562 ай бұрын
Nakushukuru mtumishi wa baba. Roho wa Mungu atusaidie tuone kile kinachoujia ulimwengu.Na atuandae kumpokea YESU ajapo kutuchukua
@RemidiussaveryАй бұрын
Ubarikiwe san pia sabato njema 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@VictorWamala2 ай бұрын
Amen, sifa na utukufu virudi kwa Bwana wa majeshi
@VedastusKarwana25 күн бұрын
Hakika mahubiri yako yananibariki,Mungu azidi kukuinua zaidi
@NicolasKizanye19 күн бұрын
unahitaji kwa haraka ujifunze vizuri kuhusu fundisho la Kristo
@BeatriceKingeli29 күн бұрын
God is able tuweke tayale all the time
@golasrichard44002 ай бұрын
Glory to God
@emmanuelymittango20 күн бұрын
Amen🙏
@RehemaGodson-c6v2 ай бұрын
Barikiwa Mtumishi wa BABA.❤
@DanielSimon-j6b2 ай бұрын
Mungu ni mwema sana
@VicentPaul-k3f21 күн бұрын
Heri Wario na mihuri ya MUNGU
@NicolasKizanye20 күн бұрын
😅 ni mwamini
@NicolasKizanye19 күн бұрын
Tangu Musa na Manabii wote hakuna hata mmoja wao aliyesema DINI MOJA YA ULIMWENGU ,fundisho lolote lisilo na Msingi katika Musa na Manbii sio la kweli.....na haliwez kutokea.
@AngelinaAlute2 ай бұрын
Amin
@VitalBariziraChanceАй бұрын
Amina
@emmanuelymittango2 ай бұрын
Amen
@MshigilaKarume3 ай бұрын
Ubarikiwe pasta
@MirajiMbugi10 күн бұрын
bwana atuokoe ktk hili maana kwa nguvu zetu hatutoboi
@FurahaSangaАй бұрын
Tunasukulu mutumishi kua utafusili muzuli mwezi MUNGU akujalie natumpe nasi ufunuo tupate kupona amina
@lucynyigana28012 ай бұрын
Eee MUNGU utujaze ROHO MTAKATIFU hadi mwisho waulimwengu huu