Pr mungu akubarki saana jina lake litukuzwe Mungu atanitendea kwa Umani
@victoriasarwat473616 күн бұрын
Mchungaji Mungu akubariki sana.
@faustermtavangu8212Ай бұрын
Bwana ni mwema Mchungaji wangu naomba muombee mwanangu Paty ajifungue salama na kwa wakati maana kuna siku zinazidi kupita naamini Mungu ndiyo Mtendaji mkuu.
@faustermtavangu82124 күн бұрын
Naamini ombi hili.litaniponya homa Asante kwa uponyaji kupitia ombi lako Mchungaji Amina
@monicakilatu578013 күн бұрын
Ninamwomba Mungu ufalme wa mungu uje ktk ndoa yangu na uje kwenye uchumi wangu na uje kwa uzao wangu
@onestasimogope-zb5cj28 күн бұрын
Nabarikiwa na mafundisho yako Pr. Mungu azidi kukuinua.. naomba uniombee napitia changamoto ya afya naomba Mungu aniponye
@Everline-hq1ld17 күн бұрын
Bwana yesu asifiwe mchunhaji naomba uniombee naumwa na kifua
@lydiamuturi-yp6hxАй бұрын
Ubarikiwe Sana mchungaji nimebarikiwa
@Joycependopendo-dv2tbАй бұрын
Amen mungu akutunze mtumishi Kwa mafundisho haya
@gladysmochere7193Ай бұрын
Pastor ninateseka sana ,maombi yenu jamani nilisimamishwa KAZI mwaka 2016,nimehangaika,naomba mungu anisaidie nirudishwe nakosa Hela fungu la kumi
@dinahk.7622Ай бұрын
Hallelujah
@annamuyengi5170Ай бұрын
Asante mchungaji Mungu akubariki
@gilbertchweyaАй бұрын
Ubarikiwe mchungaji ,mahubiri yako yamenisaidia sana. Ningeomba tu nikuje vile nitaongea na wewe.
@HappinessAhia-ey1lqАй бұрын
Amen pastor.
@dinahk.7622Ай бұрын
Very powerful
@christinamafuru4784Ай бұрын
Bwana asifiwe Mungu akubariki na akupe afya njema aendelee kukutumia kwa ajiri ya mafundisho unayotupatia , naomba utuombee na mume wangu tuweze kupata mtoto
@maulidimgovano6649Ай бұрын
Amina. Na Mungu akutendee lilotamanio lako
@HappinessAhia-ey1lqАй бұрын
Amen mtumishi wa Mungu
@happykubini8798Ай бұрын
Naomba umuombee kijana wangu Michael aachane na urahibu wa pombe na kufunguliawa ktk kazi
@cerecere5758Ай бұрын
Barikiwa Sana mtumishi
@maulidimgovano6649Ай бұрын
Amina
@AsteriaMontgomeryАй бұрын
Ameen barikiwa sana mchungaji
@valentinanduku8718Ай бұрын
Asante mchungaji kwa kufunua haya mafundisho
@maulidimgovano6649Ай бұрын
Amina
@denisenabindu2876Ай бұрын
Alleluia kwa yesu ❤❤❤
@judithnjalambaya245022 күн бұрын
Amen 🙏
@DAVIDMAGHANGA5 күн бұрын
Wewe n MTU wa maana
@cerecere5758Ай бұрын
Amen Mungu Nisaidie ata kama napitia magumu nisije nikakuwaxia upumbavu
@elizabethgodfreytondo3052Ай бұрын
Amen!
@ElizabethJames-r6nАй бұрын
Ameen pastor
@MamaSamu-ro8zjАй бұрын
Much mim namshukul mungu maana mahubiri hayo yamekuwa mbaraka kwang ila mchungaj ninachangamoto ya familia , mtoto Wang azimianga
@RoseRashidi-p9bАй бұрын
Ameen
@AdaAmos-pp5jt7 сағат бұрын
Huyu mtoto anaitwa inocent
@AdamKisapi26 күн бұрын
Pastor mbaga nakiri kubalikiwa sana tokea nilipo ingia katika chanel yako ya mahubiri tv fikira na mtazamo wangu vimebadilika kwa kasi kubwa bwana yesu apewe sifa.
@HellenAonnohАй бұрын
Amen
@CarolineMwambireАй бұрын
Ufalme wa mungu uje kwa kila kitu ninacho kihitaji sasa
@happyness-bs3trАй бұрын
AMINA AMINA
@GadielGadiel-c6yАй бұрын
😢❤
@irenelucas5204Ай бұрын
Mchungaji naomba umwombee mdogo wangu anaumwa.
@blandinakimbe8910Ай бұрын
Nimpende Mungu zaidi na kutafuta utakatifu
@RAZALOCHUMAАй бұрын
Naomba niombee nimekua na loho ya uoga
@LovenessTgАй бұрын
Mchungaji Mungu awe nawe kwa kazi nzr uifanyayo mi nisaidieni namba yako
@LovenessTgАй бұрын
Kwa kweli nafurahia mahubir yako mungu awe nawe
@JoyfullRwechunguraАй бұрын
Baba WA Mbinguni asante Kwa kunipigania, nauona ushindi Kwa familia yangu
@maulidimgovano6649Ай бұрын
Barikiwa
@StellaKemunto-el8um13 күн бұрын
Bwana ni mwema,mchungaji naomba uombee familia yangu mume wangu ametukataa na watoto na masomo yenye ninasoma nipite mtihani na tena unipe hekima na maarifa nikilea watoto umetubariki nao.
@LoynesMalkusi-zx4ynАй бұрын
hakika mcheni mungu na kumtukuza mwabuduni yeye maana saa ya hukum yake imefika mchungaji mbaga ubalikiwe sana
@HappinessAhia-ey1lqАй бұрын
Mchungaji niombee ufalme wa Mungu utawala kwenye process za kupata green kadi na travel document mapema. Bila Mungu naona ugumu ila kwake naona Ushindi mkubwa. UFALME WA Mungu ufunike Kila hatua
@AdaAmos-pp5jt7 сағат бұрын
Mchungaji Mwombee Mwanangu INOCENT januari anatimiza miaka2 Aje awe mchungaji kama wewe.
@FloraNgwadaАй бұрын
Nabarikiwa sana na mahubiri haya naomba umuombee samsoni mtoto wangu anakunywa pombe,ananavuta banging yaani Ana kila aina ya uovu,nimeshaomba sana naomba unisaidie
@mamajd251Ай бұрын
Nipataje kitabu hicho? "Siri ya maombi yaliyojibiwa".
@NICETECHSHOP21 күн бұрын
Pr uniombee familiar yang mume wangu ameacha familia yako na kendal Kwa mama mwingine
@RoseKimishabhalemiАй бұрын
Mchungaji umegugi inategemea mwelekeo kwa nani? Maana hata walioko kuzimu wanamwita shetani baba., au mungu hivyo inategemea.
@TheresiaBwire-wn7exАй бұрын
Naomba uniombee watoto wangu wapendane
@Jacqueline-y2g1vАй бұрын
Mchungaji naomba unihombeye nirudi kwenye mahombi
@maulidimgovano6649Ай бұрын
Mungu akutendee
@faustermtavangu82124 күн бұрын
Naomba uniombee niongozwe na roho natamani kuwa mwanamaombi Nisaidie Namwomba Mungu animiminie Roho mtakatifu .
@JoohslinJosephАй бұрын
bwana yesu asifiwe mchungaji naomba uniombee Nina changa moto ya moyo kifua na vidonda vya tumbo na uchumi wangu unayumba na nikipata pesa haikai
@maulidimgovano6649Ай бұрын
Mungu akuponye
@maulidimgovano6649Ай бұрын
Mungu akuponye
@dinahk.7622Ай бұрын
Amen
@CharlesJumanne-zh4oz25 күн бұрын
Amen!
@MamaSamu-ro8zjАй бұрын
Much mim namshukul mungu maana mahubiri hayo yamekuwa mbaraka kwang ila mchungaj ninachangamoto ya familia , mtoto Wang azimianga
@MamaSamu-ro8zjАй бұрын
Much mim namshukul mungu maana mahubiri hayo yamekuwa mbaraka kwang ila mchungaj ninachangamoto ya familia , mtoto Wang azimianga