DIPLOMASIA || Mazungumzo na Balozi Humphrey Polepole

  Рет қаралды 14,350

Azam TV

Azam TV

Күн бұрын

Baada ya kuanza kazi ya ubalozi nchini Malawi, Balozi Humphrey Polepole amealikwa tena ndani ya Diplomasia ili kueleza namna mambo yanavyokwenda kwenye majukumu ya kibalozi yanayojumuisha kuifungua Tanzania kibiashara kimataifa.

Пікірлер: 42
@simonkabuka9170
@simonkabuka9170 Жыл бұрын
Hongera Hamfrey. Ungerudishwa na upewe wizara ya nishati, tunaamini mambo ya mgao itabaki historia. Sarakasi zinazoendelea hivi Sasa kwenye hiyo wizara ni maangamizi ya Taifa letu.
@fikabmwakabungu1128
@fikabmwakabungu1128 Жыл бұрын
Fursa kwa Watanzania zinaonekana. Asante Mhe. Balozi.
@muhdhars
@muhdhars Жыл бұрын
Safi sana kwa kumleta tena Mh. Humphrey 🔥
@sdeshnjwetr6707
@sdeshnjwetr6707 Жыл бұрын
Great thinker
@octavianlunyanya9358
@octavianlunyanya9358 Жыл бұрын
Flexibility will always make you trusted, bigger, wise, and successful person as people's leader. #JehovahAkusimamieNaKukuongoza
@kinigarm8239
@kinigarm8239 Жыл бұрын
I like this young man. Anaongea kama mama Tibaijuka.
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Жыл бұрын
Safi sana kamanda Mama Samia hajakosea kumchagua huyu kijana
@muganyiziluharara9668
@muganyiziluharara9668 Жыл бұрын
Mungu nimwema akupe afyanjema hayamazuri unayoyaandaa yaweze kukamilika na Muheshimiwa mama yetu asikutoe Malawi Kwanza yakamilike hayo
@ephraimndelwa4073
@ephraimndelwa4073 Жыл бұрын
Natamani uwashawishi Malawi wajiunge na A/mashariki
@katotodrivingschool4603
@katotodrivingschool4603 Жыл бұрын
Mungu akulinde
@br.samwelmparange4986
@br.samwelmparange4986 Жыл бұрын
Kwa kukisikiliza Tu kichwa Hilo unaweza kusema no moja ya vichwa vinavyohitajika Kwa maendeleo yetu Watanzania na Afrika Kwa mapana yake. Tuachilie tofauti za mitazamo yetu ya kisiasa lkn kijana huyo is working for our common good.
@Willygs18
@Willygs18 Жыл бұрын
Powerful!
@augustinejobmkongwa7599
@augustinejobmkongwa7599 Жыл бұрын
Kiukweli Akili hii ni kubwa sana kuliko kufikiria Bandari ya Bagamoyo Bandari ni Mtwara Sasa.
@dennistemu4545
@dennistemu4545 5 ай бұрын
polepole nakuelewa kwa kuwaonyesha wahuni ari ya kuwakabili.
@gaboudghussein527
@gaboudghussein527 Жыл бұрын
Balozi tunakukumbusha biashara ya chumvi vipi?
@abdallahmanula1627
@abdallahmanula1627 Жыл бұрын
Mtanzania wa kweli
@qasammamachinya4448
@qasammamachinya4448 Жыл бұрын
Tumekumis cana comred
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 Жыл бұрын
Mtu asiyekuwa na msimamo juu ya anayoyaamini ,akipewa madaraka sehemu anabadilika .
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Жыл бұрын
Aise huyu jama ana nyota Ya uongozi.
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 Жыл бұрын
Polepole nipe namba yako
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Жыл бұрын
Ilizoeleka mara nyingi mabalozi huchaguliwa wastaafu ndio hupelekwa kuwa mabalozi wetu nje, tunaomba Rais Samia uongeze mabalozi vijana kama hawa
@patkrinsliy7389
@patkrinsliy7389 Жыл бұрын
Hawa watu kama Pole Pole ni tunu ya Tanzania ila mafisadi wapo wengi wanaowapiga vita.
@anuarymyekakimolo4785
@anuarymyekakimolo4785 Жыл бұрын
Heshima yako
@saidimpako5186
@saidimpako5186 Жыл бұрын
Kuupiga mwingi ndio huku sasa
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 Жыл бұрын
Safii sana balozi.
@abassjuma6248
@abassjuma6248 Жыл бұрын
Kaka uko VIZURI SANA .UNAKIPAJI FLANI VILE.Siotu Shule.Nakuomba Utulie.SERIKALI IWEZE KUKUAMINI ZAIDI
@meddymushmaz551
@meddymushmaz551 Жыл бұрын
Tumemic sana mawazo yawatuhawa....wanaifanya nchiyetu kuwa nawamwanga nakuitoa gizani.....nchi ikiwa nawatu kama kibatala nakina Msukuma inawanya watanzania kukatatamaa nanchiyao, mawazoyao hayawapi matumaini wananchi
@zabroncharles3022
@zabroncharles3022 Жыл бұрын
Good
@anuarymyekakimolo4785
@anuarymyekakimolo4785 Жыл бұрын
Jamaa anajua kuongea huyu Bw. Polepole
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Жыл бұрын
Tunakumis Hamprey 😭😭😭😭
@mailacamillius
@mailacamillius Жыл бұрын
Muhuni aliyekomeshwa na anaowaita wahuni, na akakoma hasaaa🤣
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 Жыл бұрын
Mzee wa vA v8 na p/n diplomatic 😁
@adam-saffi211
@adam-saffi211 Жыл бұрын
Opportunist little boy, Hana msimamo wowote
@josephrutta6834
@josephrutta6834 Жыл бұрын
wewe ni nini sasa
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
Huyu ndio anae upiga mwingi lakini si yule 🤣🤣🏃🏃
@alliyrubea5731
@alliyrubea5731 Жыл бұрын
Kweli njaa! shida sana,siku hizi kana adabu!
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 Жыл бұрын
Kazee haka kataoa lini?! Au mitambo yake haifanyi kazi?! 🤦‍♂️🤣🤣
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
@@j.c.maxima816 mpe mama yako ndio ujue kama jogoo linawika au laa 🤣🤣🤣🏃🏃🏃
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 Жыл бұрын
@@shinipapaya846 Sinaye tena, Kaka 😪😭
@fulgencemark7640
@fulgencemark7640 Жыл бұрын
Unafiki unzaa adabu gizani.
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Жыл бұрын
@@fulgencemark7640 we nawe choko nn ndio umeandika nn? malizeni shule msiishie njiani ona sasa faida yake full kuropoka 🤣🤣🏃🏃
2 MAGIC SECRETS @denismagicshow @roman_magic
00:32
MasomkaMagic
Рет қаралды 29 МЛН
🕊️Valera🕊️
00:34
DO$HIK
Рет қаралды 20 МЛН
CAN YOU DO THIS ?
00:23
STORROR
Рет қаралды 47 МЛН
60 MINUTES WITH KIJAH | HUMPHREY POLEPOLE
1:20:01
Wanene Tv
Рет қаралды 1,5 М.
Usalama barabarani wakati wa Sikukuu za mwisho wa mwaka
26:16
‘Trump wil Poetin vrije hand geven om Oekraïne te veroveren’
9:01
Gaat Nederland de klimaatdoelen wel halen?
19:50
WNL
Рет қаралды 6 М.
2 MAGIC SECRETS @denismagicshow @roman_magic
00:32
MasomkaMagic
Рет қаралды 29 МЛН