Mazungumzo na Balozi Humphrey Polepole - Sehemu I | Jenerali Ulimwengu Exclusive on The Chanzo S20

  Рет қаралды 57,629

The Chanzo

The Chanzo

7 ай бұрын

Katika kipindi hiki cha Jenerali Exclusive on The Chanzo, Jenerali Ulimwengu amezungumza na Balozi Humphrey Polepole ambaye kwa sasa ni Balozi wa Tanzania nchini Cuba. Mazungumzo haya yameangazia masuala mbalimbali mtambuka
mengi ikiwemo kukua kwa kiswahili, fursa mpya na mabadiliko katika jamii.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2023 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 222
@victorjeremiah246
@victorjeremiah246 7 ай бұрын
Raisi mtarajiwa ajaye Mungu wetu amfungulie mlango mpana. Barikiwa Pole pole.
@BravidaOslo
@BravidaOslo 6 ай бұрын
Nimependa sana ulivyo zungumza kuhusu Cuba na dawa.na mimi nakuunga mkono katika hilo. Yaani nikipata pesa tu nije Cuba kufanya ungalizi wa mwili wote. Balozi wetu Mungu akupe maisha marefu na inshallah miaka ya mbele uwe Rais wa tanzania.hii duwa yangu ya kila siku.najuwa utaleta furusa na maendeleo kwa wananchi na mifumo mizuri ya miundo mbinu
@leonardmushi6128
@leonardmushi6128 7 ай бұрын
Tungepata mabalozi wa aina hii ya Polepole tungepiga hatua kubwa sana kama taifa. Babalozi wengi wa Tanzania hawana mchango wowote kwa taifa, ni hasara na wanatia aibu. Hongera sana Humphrey Polepole
@azhadsoud1433
@azhadsoud1433 6 ай бұрын
Good luck Hamfrey good conversation,watching from Budapest Hungary 🇭🇺
@robertgeofrey4118
@robertgeofrey4118 6 ай бұрын
Mungu Awabariki Sana Jenerali Ulimwengu na Humphrey Pole pole Nyinyi ni tunu ya Taifa 🇹🇿
@user-tj7oe5ni9n
@user-tj7oe5ni9n 6 ай бұрын
Hongera sana Humphrey polepole kweli wewe jembe unawajali watanzania wenzako . Asante sana Kwa kutujali watanzania. Mungu aendelee kukutunza ili uendelee kumtoa huduma zaidi Kwa watanzania. . Unaona mbali. Mungu akubariki baba.
@beddaathanas3150
@beddaathanas3150 7 ай бұрын
He's a good leader always honorable polepole.God blessing you always
@michaelemmanuel7142
@michaelemmanuel7142 7 ай бұрын
Thanks Jenerali for bringing up Amb. Polepole to your program, his political stance set aside!! He knows his stuff given the short terms he has served to both Malawi and Cuba!! Small as it is Malawi are so advanced in agri business and aquatic farms (fish caging - MALIDECO!!
@abeidmayanga809
@abeidmayanga809 6 ай бұрын
Mungu akuweke kaka tunategemea ujee kulionhoza taifa hili ambalo linaliwa kwasasa na WAHUNI ❤❤❤
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 6 ай бұрын
Mungu wa Mbinguni utupe mtu huyu kwa manufaa ya watanzania wote Ameen.
@afronur1354
@afronur1354 7 ай бұрын
One of the best interviews ‘ Hongera Generali na Hongera saana Mh Pole pole nchi inahitaji saaana watu wenye maono yako i hope Rais na wengine waliojuu yako watathamini na kuzingatia mchango wako . God bless you
@dicksonkunambi8615
@dicksonkunambi8615 7 ай бұрын
Safiii sana.....tunaomba hizi fursa zilizopo Cuba, tuzinyakue kwa haraka sana na kuondoa urasimu kuwezesha madawa ya bei nafuu yaweze kutufikia Watanzania
@Burner_Acc
@Burner_Acc 6 ай бұрын
This was gold. Mh. Polepole Always knowledgeable and informative. Afike mbali
@felistermombo7340
@felistermombo7340 7 ай бұрын
Daah I salute you Polepole...Ila Sasa kaka yangu umeji expose to to the wolf wa Dunia je utapona? Yes because you have God you serve who is able and more than able...Nakuombea rehema na neema zake Mungu
@charlesmuangirwa3240
@charlesmuangirwa3240 7 ай бұрын
Asante Balozi H. Polepole na G. Ulimwengu. Ya kujifunza kutoka Tanzania, kuhusu fedha 1. Ushirika (japokuwa umedhohofishwa na benki za biashara) Ya kujifunza kutoka Cuba 1. Afya kwa wote 2. Elimu kwa wote 3. Kukabiliana na ubeberu wa Marekani.
@ahmadateguro4886
@ahmadateguro4886 7 ай бұрын
Mungu ambariki huyu Pole pole ni mtu muhimu sana Kwa nchi yetu
@wegesawaryoba3316
@wegesawaryoba3316 6 ай бұрын
Asante sana Balozi Hamfley Polepole.Mungu akubariki.
@user-wc5dh3vy4s
@user-wc5dh3vy4s 7 ай бұрын
this guy is smart, interview nzuri sana hii.
@philipmaswi6770
@philipmaswi6770 6 ай бұрын
Hii ni zaidi ya darasa huru, Nashukuru mno kwa mazungumzo haya, nimefaidika sana.
@solutionprovider7155
@solutionprovider7155 7 ай бұрын
Hawa ndio aina ya watu ambao tunawahitaji tanzania
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 7 ай бұрын
Very keen person, wise and pure patrotic of the country. ONE TO BE
@reginakimario-lj1xo
@reginakimario-lj1xo 6 ай бұрын
Yaan Hawa ndio wazalendo tunaowahitaji Tanzania
@SarahKapella-rm2of
@SarahKapella-rm2of 6 ай бұрын
Pole pole ni kiongozi ambaye anajitambua na anaweza sana kuisaidia nchi hii. Wananchi tunamuamini na anaweza kumsaidia Mheshimiwa Raid Samia Suluhu. Anayajuwa matatizo ya nchi hii. Ana upeo na mbunifu. Ni mwanaharakati mzuri anayeipenda nchi yake. Na mpigania haki. Ni kijana asiye na Tamaa.
@8604shubi
@8604shubi 7 ай бұрын
Love Jenerali 's interview style here, allowed Polepole to properly express himself without unnecessary interruptions...
@abdulbastkassim975
@abdulbastkassim975 7 ай бұрын
Hakuna mwandish wa habar anaefanana g ulimwengu
@muhdhars
@muhdhars 7 ай бұрын
Huo ni uono wako.​@@abdulbastkassim975
@muhdhars
@muhdhars 7 ай бұрын
Indeed.
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 6 ай бұрын
Huyu NGULI sí waandishi uchwara wa vyombo vyetu
@felicianfrancis9895
@felicianfrancis9895 7 ай бұрын
Nimependa sana haya mahojiano. Asante sana, hakika kuna elimu ya kutosha
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 7 ай бұрын
Balozi Polepole , Mungu azidi kukulinda baadae uju kuwa Rais wetu.
@knight6757
@knight6757 7 ай бұрын
👀🤔
@ibrahimsaad617
@ibrahimsaad617 7 ай бұрын
Wewe unastahiki kuwa Raisi wa nchi hii polepole
@karenyunus989
@karenyunus989 7 ай бұрын
Nimeguswa sana sana kuhusu tiba ya vitiligo. Jamani ndugu yetu Balozi Polepole tusaidie dawa ya vitiligo ipatikane hapa nyumbani Tanzania. Kuna wagonjwa ndugu zetu wanateseka na ugonjwa huu.
@StereoSingasinga
@StereoSingasinga 5 ай бұрын
Balozi Polepole, maarifa ya kutosha, taarifa za kutosha. Nimeelimika sana kupitia mazungumzo haya na Mzee Ulimwengu.
@wilsonnsabe
@wilsonnsabe 7 ай бұрын
Huyo ndo Pole pole ,akili yake inaiona tz kama sebule wakati Fulani aliazisha kipindi kusikiliza matatizo ya wananchi kila jmosi ilikuwa ni balaa.Huyu mtu mungu amemjalia uwezo
@user-ne5cg4vv1h
@user-ne5cg4vv1h 6 ай бұрын
❤❤❤raisi wa badae MUNGU afungue njia
@afropatriot7769
@afropatriot7769 7 ай бұрын
Sound ya Nyerere ,akili ya Nkuruma uthubutu wa Magufuli
@danielshauri6390
@danielshauri6390 7 ай бұрын
Big brain 🧠
@boniphacealphonce1628
@boniphacealphonce1628 7 ай бұрын
Pole pole ameongea mambo mazito sana km Taifa tuyafanyie kazi hasa haya ya Malawi na Cuba,waandishi natamani wawaulize mawaziri husika (Afya ,Fedha na uwekezaji)kuhusu hoja za polepole wamezifanyia kazi Kwa kiasi gani kwani Balozi kasha tuambia ameshawasilisha hoja hizi mahala husika
@kiishful
@kiishful 7 ай бұрын
Hongera sana Balozi PolePole.Kazi nzuri.Practical day to day challenges unazipatia solutions.Good job.
@maunabelius6615
@maunabelius6615 6 ай бұрын
We are so proud of you Ambassador H. POLEPOLE
@kaikaileka5417
@kaikaileka5417 7 ай бұрын
Wisely spoken
@danielezekieldaniel365
@danielezekieldaniel365 6 ай бұрын
Mto unaitwa Mto Songwe siyo mto Rungwe. Ubarikiwe sana
@amanishipella756
@amanishipella756 6 ай бұрын
Naam, ni sahihi; na kuna Tume ya Bonde la Mto Songwe.
@mohammedmdangwe2056
@mohammedmdangwe2056 7 ай бұрын
hiki kichwa ni lulu ya tanzania 🇹🇿
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 7 ай бұрын
Hivi vichwa Ni Lulu lkn havitakiwi kuwa karibu, linganisha mawazo yake utaona Ni kifaa Cha uhakik hapa nchini, angalia anatapika data bila kusoma aogopi kuhojiwa
@gwamakapatrick4383
@gwamakapatrick4383 7 ай бұрын
Kipindi kizuri sana. Hongera sana the chanzo
@LunodzoMwinuka
@LunodzoMwinuka 7 ай бұрын
I expected a political battle😅, but this was informative.
@josephmahona3006
@josephmahona3006 7 ай бұрын
Pole pole uyu mtu ni smart sana yaani kanyooka kama mtu anamchukia ni kwa sababu ya uchama na sio fact
@deohank5995
@deohank5995 7 ай бұрын
Nchi hii watu wa Aina yako wapo wengi tatizo wa kuwatumia kikamilifu ndo Nehi! Hongera sana Balozi
@anastazialushika
@anastazialushika 7 ай бұрын
Tunakuhitaji sana mh polepole nchin Tz usukume gurudumu la maisha
@peterkafipa6515
@peterkafipa6515 7 ай бұрын
Polepole mungu akuongeze cku za kuishi utarisaidia taifa
@LishaPasha
@LishaPasha 7 ай бұрын
poa sana. a very enlightening interview. jamaa yuko daraja lake kipekee, a very rare breed. namtakia strength and perseverance kwenye matarajio na maono yake haya makuu sababu wapinzani wake among his colleagues ns wasio walazendo wamemzunguka kila upande.. looking forward for part 2....... asante sana.
@ramadhanikingi3553
@ramadhanikingi3553 6 ай бұрын
Hongera sana !
@Mku-wa-waku1
@Mku-wa-waku1 6 ай бұрын
Mtanga zajibora Afrika ❤
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 7 ай бұрын
AKILI UNAZO BROTHER..UKO NA MZEE WA KIZALENDO❤
@jameskiroka2549
@jameskiroka2549 7 ай бұрын
Huyu anatufaa kua rais wa nchi Sijasema kwa Sasa nop😅 Ila huyu ana maono makubwa
@RichadTenga-ze4vp
@RichadTenga-ze4vp 7 ай бұрын
Tupate wapi mtu Kama wewe,ambaye Roho wa Mungu,na ya kujali waTZ inakaa Nani yako😊
@user-hf7jx1zv7m
@user-hf7jx1zv7m 7 ай бұрын
Pole pole nakusubili kweny urais 🎉
@sylvestrengwelu2012
@sylvestrengwelu2012 6 ай бұрын
ASANTE sana Mungu na awatunze Viongozi wa Aina hii.
@dennisrwelamira1259
@dennisrwelamira1259 6 ай бұрын
You are so sweet for your position. Aluta continua
@raymondnlelwa427
@raymondnlelwa427 7 ай бұрын
Polepole wewe ni balozi wa kuigwa na wengine wote. Sikuwahi kusikia popote mahojiano yenye faida kama haya. Kwa kweli unastahili maua yako. Kazi yako ni nzuri sana Balozi. Mimi sijui wengine wanafanyaga nini, wanapaswa wajifunze kwako. Kila la kheri uwasaidie watz.
@christinerwezaura4524
@christinerwezaura4524 7 ай бұрын
Kazi njema saga Balozi POLEPOLE
@johnkazwika5788
@johnkazwika5788 6 ай бұрын
Polepole genius sana. Huyu jamaa ni tunu
@yusuphswaibu8532
@yusuphswaibu8532 6 ай бұрын
Safi Sana Balizi uko vzr sana kumuwakilisha mama ktk majukumu aliyo kupa
@davidnkya1696
@davidnkya1696 6 ай бұрын
Yupo vizuri sana
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 7 ай бұрын
Cant wait
@mbwilokitujime1058
@mbwilokitujime1058 6 ай бұрын
Umahiri wa kuwasiliana na kuwasilisha mambo mazito kwa umma umeuonesha Brother Jenerali Ulimwengu.Hongera na heri ya mwaka mpya 1:04:15
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 7 ай бұрын
NI KWELI HIZO MDF BORD WANAZO BUT IT HAS LOW QUALITY...MDF NZURI NI YA THAILAND...KWA KUWA TUNA MITI MINGI..IT'S BETTER TUKAMWITA MWEKEZAJI AZALISHE TANZANIA KWA SABABU HIZI BORD ZINATUMIKA SANA TANZANIA...HUYU KUMPELEKA CUBA SABABU NI LILE DARASA LA ELIMU YA UONGOZI...BROTHER AKILI KUBWA HUYU MKEREWE.
@saadamwaruka354
@saadamwaruka354 7 ай бұрын
😮 .< 0m
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 7 ай бұрын
Kazi nzuri sana...
@vancengimba9656
@vancengimba9656 7 ай бұрын
Nilikua na miaka mingi sana sijamsikiza mwanasiasa kwa zaidi ya dakika 1. Leo nimetumia zaidi ya dakika 60
@johnmoshi2
@johnmoshi2 7 ай бұрын
Manzugumzo ya maana haya. Polepole bado akili zimo sana Jenerali asante kwa kipindi
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 7 ай бұрын
BRAVO BALOZI MH. POLEPOLE.....LAKINI...LAKINI....TUWE WA KWELI...TANZANIA YA LEO IKO CHINI YA AMRI NA MAAGIZO KUTOKA MAREKANI NA UINGEREZA....VIONGOZI WETU WAMEPOTEZA DIRA YA TAIFA....NI VIBARAKA WA MABEBERU!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 7 ай бұрын
User muache afanye kazi aliyopangiwa na mama ccm oyeeeee na bado ntasema mengi kila jambo lunapangwa na Mungu Uongozi ni karama inayotoka kwa Mungu tulia muache mtoto afanye kazi
@mansourmshauri9778
@mansourmshauri9778 6 ай бұрын
Really appreciate this dude
@MegaBack2life
@MegaBack2life 6 ай бұрын
Safi sana balozi nimekuelewa Sana ubarikiwe sana
@williamkahale9752
@williamkahale9752 7 ай бұрын
Interview nzuri sana👏👏👏
@badirashid4668
@badirashid4668 7 ай бұрын
I learned a lot
@lukullikiwamba6494
@lukullikiwamba6494 7 ай бұрын
Kila siku Mimi na sema adui wa Tanzania ni mtanzania mwenyewe , mtu anaufahamu mkubwa hivi wa kujuwa dunia mnapeleka Cuba akakae offisini kisha nyumbani tunabaki na watu wajinga ndio wako serikali afrika itachukuwa Muda sana kuendelea, baniani mbaya kiatu chake dawa … mama mrudishe uyu mtu Tanzania mpe wizara afanye kazi…
@salvatorymoshi376
@salvatorymoshi376 7 ай бұрын
Generali Mpe tena fursa Balozi Pole pole, ana madini ya kutosha, huchoki kumsikiliza
@michaelemmanuel7142
@michaelemmanuel7142 7 ай бұрын
Ifikie wakati Mh Rais abadili namna ya uteuzi WA mabarozi wetu sio lazima wawe wabobezi katika diplomasia Bali uwezo WA kuchambua fursa mbalimbali ktk nchi wazoziwakirisha!! Wanadplomasia wengi no wazito kujaribu mambo mbalimbali kisa kujikita Sana kwenye elimu ya darasani
@edesaron9070
@edesaron9070 7 ай бұрын
Mungu akubariki
@davidnyakalo3293
@davidnyakalo3293 7 ай бұрын
Well said
@reginafrolence
@reginafrolence 6 ай бұрын
Good Good thanks
@peterkafipa6515
@peterkafipa6515 7 ай бұрын
Jenerali kipindi kizuri sana
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 7 ай бұрын
Karibu upo!
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 7 ай бұрын
Uko sawa
@lugwaja
@lugwaja 7 ай бұрын
Genius..
@MorganMwaipyana-tz9vc
@MorganMwaipyana-tz9vc 7 ай бұрын
Hongera sana Jenerali, hongera sana Balozi Pole pole
@juliusakilimali9424
@juliusakilimali9424 7 ай бұрын
Humphrey Mungu akusaidie kwa ajili ya Wa-TZ! Hapa Jenerali umewatendea haki Wa-Tz. Maeneo mengine hutaki kuwatendea haki Wa-Tz.
@victorjeremiah246
@victorjeremiah246 7 ай бұрын
Raisi mtarajiwa ajaye.
@zonko0488
@zonko0488 7 ай бұрын
Safi sana hii
@mohamedabdallah969
@mohamedabdallah969 6 ай бұрын
Nakukubali Sana Comred Polepole
@cHin91O
@cHin91O 7 ай бұрын
Smart man
@levidavid1156
@levidavid1156 7 ай бұрын
huyu ndo kiongozi. Bora kabisaa MUNGU amlinde sana
@ROBERTMAXIMILIAN
@ROBERTMAXIMILIAN 7 ай бұрын
Kindly Keep Keeping the Focus
@samsonmwakikuti5318
@samsonmwakikuti5318 7 ай бұрын
Uko kichwa sana balozi PolePole
@Mku-wa-waku1
@Mku-wa-waku1 6 ай бұрын
Mzalendo. Nime penda kazi zako bro
@shaabanikabwe3437
@shaabanikabwe3437 7 ай бұрын
Kazi nzuri sana Mzee Jenerali mazungumzo murwaa kabisa na madini ya kutosha pia asantee sana Balozi Polepole. Allah akuweke Mzee Jenerali kipindi chako kizuri sanaa.
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 7 ай бұрын
Tuleteee baba polepole jamani watu wanapoteza maisha tunadanganyana kina mwigulu aass
@Youngchimodzi823
@Youngchimodzi823 7 ай бұрын
Great spirits have always encountered violent opposition from Mediocre minds -Albert Einstein.
@davidbenson661
@davidbenson661 7 ай бұрын
Mzee Jenerali unafanya jambo jema sana
@Empdigitaltanzania
@Empdigitaltanzania 5 ай бұрын
safi
@nasorrboso5214
@nasorrboso5214 7 ай бұрын
Huyu jamaaa ndio mtendaji bora na ni mtanzania mwenye utendaji bora anachokisema ni sahihi na ametusaidia sana watanzania wamemtoa wa sababu awataki watanzania tusifanikiwe
@greenandbeach8134
@greenandbeach8134 6 ай бұрын
Wallah interviews tamu kwakweli
@mimosapudica1894
@mimosapudica1894 6 ай бұрын
Pole pole anarudia makosa yale yale ya kumuexpose "Tajiri" kuwa alikosea kukutoa kule na Vingi ulivyoviwasilisha kwake hajafanyia kazi sababu unaonyesha ni kama baada ya ww kuondoka mambo yamebaki njia panda Oscar Kambona once said "Never outshine your Master"😅😅
@thomasdesta939
@thomasdesta939 6 ай бұрын
Tumeona uwajibikaji wako kuanzia hapa nyumbani wewe ni mzalendo wa kweli na hata malawi na sasa cuba Mungu akutangjlie nyota yako iwake mapema
@Alkebulan-Afrika
@Alkebulan-Afrika 7 ай бұрын
@williamuphilipo2120
@williamuphilipo2120 7 ай бұрын
Nimependa sana hii interview, Mungu akubariki sana ndg yangu Humphrey Polepole
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 7 ай бұрын
Huyu jamaa Tanzania bado haijamtumia sawasawa...ingenufaika nae sana malawi
@Plus255studios
@Plus255studios 7 ай бұрын
kamaradi Polepole.
@danielshauri6390
@danielshauri6390 7 ай бұрын
VICHWA KAMA POLE POLE VINAPELEKWA MBALI , WAHUNI NA WAJINGA NDIO WANAINGIZWA KWENYE SERIKALI
@danielshauri6390
@danielshauri6390 7 ай бұрын
POLEPOLE NI BONGE LA KIONGOZI “ NATAMANI SIKU UJE KUA RAIS WA TANZANIA . Kura yangu mimi mpaka vijukuu vyangu utavipata
@user-cp8df8ik5h
@user-cp8df8ik5h 7 ай бұрын
👍🤝
@josephrutta6834
@josephrutta6834 7 ай бұрын
KUNA MWANASIASA MMOJA TANZANIA aliwahi kuzunguka MATAIFA KADHAA AKIOMBA NCHI IWEKEWE VIKWAZO, KISA KATOFAUTIANA NA KIONGOZI, Afu baadaye akaja kuomba URAIS. MPAKA LEO SIJAWAHI KUMWELEWA alikuwa ana kusudi gani. Kwamba hakujua kama vikwazo vinaumiza wananchi, au la??? TATIZO LA WANASIASA WETU """"UBINAFSI""".
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
POLEPOLE AANIKA SIRI YA MAGUFULI "YEYE NI HATUA MOJA KUFIKA KWA MUNGU"
4:51