Nakupenda sana mkuu kwa maongezi yako napia kwa uthubutu wako,hakika tunakoenda panaonekana mkuu hii nchi yetu.Hudumu milele milele mkuu wangu Mhe Rais wetu /wetu John Pombe Joseph Magufuli
@حسامالراشدي-د9ن4 жыл бұрын
Usssitajeee chamaaa mkuuu semaa watanzania
@maryammohammed53094 жыл бұрын
Mungu akubariki mzee inshaallah tupo pamoja tunakupa mkono ntalipa kodi mara mbili kujenga Tanzania
@josephatmwambega28744 жыл бұрын
Hongera mkuu holo ni letu wote niliwahi kupita hapo mars mbili Tunashukuru kwa maono yako Mungu akubariki sana
@lucykristensen71454 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu akujalie maisha marefu na afya njema Mtukufu Rais wetu
@simonmuhoja1494 жыл бұрын
Hongera Sana Mh. Rais tunaomba Mungu akupe maisha Marefu wewe nichaguo la Mungu.
@makaveliomari72114 жыл бұрын
Mimi uwa namuita mfalme wa chato anaefanya tanzania ya watanzania kuwa bora mungu ibariki tanzania mungu ibariki Zanzibar mungu tubariki wote
@florashauri92284 жыл бұрын
Hongera sana Rais wetu mpendwa Dr.JPM .MUNGU AKUBARIKI SANA KWA KUIPIGANIA NCHI YAKO, MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU YENYE HERI,AFYA NJEMA NA BARAKA
@marianmartin74834 жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU akubariki sana raisi wetu. Hongera sana kwa kutupigania sisi watanzani. Viongozi wa afrika tuige mfano huu wa uzalendo anaouonyesha mh. JPM. Kiukweli, hapa kazi tu.
@allystideforever65944 жыл бұрын
Asanteee muheshimiwa nilpita juz tar 25 /12 aisee Mungu awe nawe
@zenj19864 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marefu ili ushuhudie Tanzania mpya. .
@sunyareh4 жыл бұрын
Hakuna vyama vingi CCM yatosha. Vyama vingine vyote ni wabinafsi na pia wanatumiwa na wazungu wasio penda kuona maendeleo ya mwana wa afrika. Mugufuli ndio mkombozi wa bara la afrika nzima. Mungu akulinde Mh Raisi wa watu.
@andulilemwakihabha20484 жыл бұрын
Mungu akubariki Sana raisi wetu mpendwa John Pombe Joseph Magufuri kwa maono yako kwa watanzania
@mariamjackson71563 жыл бұрын
Safi of job highs UK 6
@peterandrew27953 жыл бұрын
Naumia sana nikimsikiliza hyu baba
@um_1854 жыл бұрын
Tanzania is truly thriving. Keep it up Mr president. May God Bless Tanzania and all Tanzanians.
@marianapatrick59933 жыл бұрын
Amen
@j_gh8124 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki na kulinda raisi wetu kamanda wetu mkombozi wetu....
@bchikop4 жыл бұрын
My presider💪💪 Gonga kazi baba💪💪🤝
@wisemanking0014 жыл бұрын
Hadi natamani niombe uraia niwe mtanzania...JPM sio wa kawaida aisee! Mungu akuongoze rais wangu wa Afrika! Mimi mKenya 🇰🇪
@bojopa74 жыл бұрын
Tuko pa1 sana ndugu yetu cc watanzania tunakupenda sana
@jumachilundajr48534 жыл бұрын
@@bojopa7 omba tu uraiya hamna shida fata vigezo tu mwamba
@hashimabdallah6734 жыл бұрын
Ahsante sana uaweza kuomba kwa kigezo hicho karibu tZ
@lulanjamd38864 жыл бұрын
Kwa mkenya kupata uraia Tanzania ni rais sana karibu Sana ndugu yetu
@lukandotv81014 жыл бұрын
Ingekuwa inawezekana tungebadilisha
@petermanda42414 жыл бұрын
Pole sana mh!! Rais kwa yote hayo Mungu akutangulie katika harakati zako
@mamukassim40754 жыл бұрын
Mnaotaka magufuli. Asiondoke madarakani like ili tujuane
@pci_tanzania3 жыл бұрын
🤣
@Jamesmwakisambwe3 ай бұрын
Walau angetoka madarakani tu sio duniani inauma sana naangalia sasa 2024
@rugendorunene5454 жыл бұрын
A Successful Tanzania🇹🇿🇹🇿 is Success to East Africa and Africa as a whole... 🇰🇪 🇰🇪.
@maikobruno68154 жыл бұрын
Big YESSS
@jonathanmaengo42814 жыл бұрын
Umesema vyema sana jirani yangu wa Kenya na ndugu zetu 👍
@elishamkasu51914 жыл бұрын
Mungu akubariki Baba(Mweshimiwa Rais Wangu)
@mussajohn81824 жыл бұрын
Heshima kwako mtani wangu magufuli mungu akuongoze kazi zako zoooooote ilatu na sisi apo Dodoma mpunguzi tulete maendeleo hata uwanja za ndege weka mahala pazuli sana
@ashaimohammedi67544 жыл бұрын
Mungu akubariki raisi wetu akulinde inshaallah
@liliansamson6744 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu anamakusudi na wewe rais wetu.
@hermanshingisha84714 жыл бұрын
MUNGU AZIDI KUKUBARIKI NA KUKULINDA RAIS WETU MPENDA MAENDELEO. HONGERA SANA KIONGOZI WETU MAKINI
THIS MAN IS MAKING US PROUD..... JPM MAKE TANZANIA GREAT AGAIN 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿✔
@alicejames8933 жыл бұрын
@Darron Cherpak hhdd
@alicejames8933 жыл бұрын
@Darron Cherpak l
@alicejames8933 жыл бұрын
@Darron Cherpak h
@alicejames8933 жыл бұрын
@Darron Cherpak hhhgg
@alicejames8933 жыл бұрын
@Darron Cherpak nnn
@ilynpayne74914 жыл бұрын
Mungu ame kuepusha na kifo miaka hiyo kweli Mungu ni mwema
@muharamiesther59084 жыл бұрын
Asante sana Rais wetu JPM na Mungu akubariki kwa mawazo mema na akulinde ukamilishe kusudi la utumishi wako kwa Taifa letu Tanzania.❤🇹🇿🙏
@enockoward26564 жыл бұрын
Nasemaga huyu jamaa aongezewe Muda aiseee Kama na wewe unawaza kama mm gonga like
@dominicikuja73924 жыл бұрын
Hongera sana mhe rais kwa uzalendo huu ulionao
@mrigojohn73264 жыл бұрын
Mzalendo wa kweli no hypocrisy in you our president.
@shimmymayeye32824 жыл бұрын
Mmmh ulisomea wap Mr Daudi
@peterandrew27953 жыл бұрын
Nakupa mfano wa yesu....umekufa kwa ajili yetu baba
@ramadhaniharuna81104 жыл бұрын
Chuma kazini🔥🔥🔥🔥🔥
@ipyanaamos51054 жыл бұрын
Maisha Marefu Muheshimiwa RAIS 🙏🏿
@rezegerezege6913 жыл бұрын
😭😭😭
@gloriakiria60964 жыл бұрын
Pongez sana mh rais mungu akupe nguvu na afya tele
@AliMohamed-kd1uc4 жыл бұрын
Nakupendaga sana, nakuombea sana na Mungu akupe nguvu na hekima utuongoze
@fatmamatola3934 жыл бұрын
Safi baba yetu Mungu akulinde sana na akuongoze zaidi na zaidi na atawale miaka 20
@thomastemu33324 жыл бұрын
Raisi hongera Sana unapiga kazi tunaona
@hoseakavubu28444 жыл бұрын
Sina shaka na uongozi wa Raisi JPM. Mungu akulinde Watanzania tunakuhitaji.
@rezegerezege6913 жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@johnsalyungu15703 жыл бұрын
Babababababa we !!
@batatukatotolabikay52964 жыл бұрын
Mwenyezi mungu akulinde, kiongozi kama wewe afrika ajawayi tokeya hata mmoja. May Allah protect you all the time our hero.
@marthaleonard24444 жыл бұрын
Wewe nakupenda bure !Mungu akubariki sana !Na tumbo lilokuzaa libarikiwe mno !!Nakemea kila mpango ovu juu yako !Malaika wafanye kituo kukulinda!Umenigusa moyo wangu ,naahidi kukuombea !
@brysonmalongoza54224 жыл бұрын
Mungu wetu mkuu amlinde!
@christiankambuga93384 жыл бұрын
Asante sana mheshimiwa
@matukionavichekesho46784 жыл бұрын
Dah mungu akulinde mzee
@peterokalo96324 жыл бұрын
Congratulations 👏🏽 Tanzania 🇹🇿 of People’s and have love 💗 of his owns people’s citizens populations country ❤️
@angelqwaray91744 жыл бұрын
Nakupenda sana mh rais wetu Mungu akupe maisha marefu baba nasisi tutaenda one day kutalii huko
@faraolion68224 жыл бұрын
Hongera rais wetu
@elizabethmwandu69374 жыл бұрын
Mungu akutunze Mh Rais 🙏
@omarymasalu50724 жыл бұрын
Raisi wetu mpendwa❤
@gwajiboiboi86644 жыл бұрын
Sithani Kama Atakujaga Kutokea Raisi Mwenye Maono Makubwa Kama wew Mzee Wangu Upendo wangu kwako Mungu ndio anajua
@mushtaqdada98044 жыл бұрын
Tanzania first magufuli beloved President
@eliufoowiliam88824 жыл бұрын
Mungu akubariki sana na akulinde.
@chuwafamily4964 жыл бұрын
Walio kuwa wanasubiri mkoa wao utajwe lakini haijatajwa naombeni like zenu😅😅😅
@husseinmkanga77944 жыл бұрын
Alisema Watanzania wote wamechangia. Kwahiyo ni mikoa yote.
@starlonejadamskp82244 жыл бұрын
🔥🇹🇿😜❤️ Mungu akupe maisha maref mkuu
@deusrobert13434 жыл бұрын
Asante sana rais wetu kutuongoza kuelekea nchi ya asali na maziwa🇹🇿🦒
@jescajulius80234 жыл бұрын
Nimependa sana hii hongera mzee
@erickchitumbi13084 жыл бұрын
Hakika ni kazi kubwa sana unayofanya mh.raisi.asiyekubali ni mfu.
@peterokalo96324 жыл бұрын
Congratulations president John Magufuli 👋🏽👍🏽🪐🌍🌏❤️💗🎉🥳💐🌹🥂👏🏽🙏🏽
@brazilrianto79483 жыл бұрын
Magufuli
@zaharaniiddy55724 жыл бұрын
Mungu akubariki sana raisi wetu mpendwa JPM
@jpintrospection13154 жыл бұрын
Mungu ibark Tz kw kupta kiongz mweny maon Kam huy
@eischerschwederm78764 жыл бұрын
Tujenge na ZANZIBAR rais wetu..daraja
@happyjohn58824 жыл бұрын
Nadhani atajenga la underground mpka Zanzibar kama la Uk
@المهلهلالحراصي4 жыл бұрын
Zanzibar akawajengea Rais wenu huko na sisi huku bara atatujengea MAGUFULI
@jarsaduba26264 жыл бұрын
Serikali ya mwendo Kazi duo maana ya hapa Kazi tu JPM hoyee
@Directorjax554 жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU akusimamie utuongoze vyema mzee wetu
@exaudvahaye88734 жыл бұрын
Tunakushukuru MUNGU kwa ajili ya Rais huyu Magufuli we love u
@charleskaozya99244 жыл бұрын
Kiki toka chuma kinakuja chuma after magu I wish aje majaliwa Kassimu weweeeee Kama ulaya kazikazi safi Sana JPM
@methuselayusto97084 жыл бұрын
Mungu akulinde rais wetu
@shibilitimedia33124 жыл бұрын
Yani nilipoona Lissu anajigamba kuwa kwa vyovyote atangazwe yeye kama Rais alinitia hasira kabisa nikaamua kufunga biashara yangu kwenda kupiga tu kura ya Rais, maana hii nchi ingeuzwa kwa mabeberu, Magufuri Mungu akulinde wewe ni Baba wa Taifa hili, ungefuatia wewe baada ya Nyerere hii nchi tungekuwa mbali
@jacobmakono69834 жыл бұрын
Hahahaahaha!
@bojopa74 жыл бұрын
Hongera sana mi niliwakuta kijiweni nikawauliza mmepiga kura wakasema hapana nikasema yess atapitaje
@bojopa74 жыл бұрын
Atapitaje huyu Tundu wenu na hamkupiga kura
@hashimabdallah6734 жыл бұрын
Aliyepashwa kufuatia baada ya Nyerere walimuua wahujumu uchumi lakini nawao wanateseka kwa sasa Sokoine
@azizawadh59734 жыл бұрын
Mzee baba na pikipiki ushagonga uko sawa
@godfreyleka58394 жыл бұрын
Mbeba maono hafiiiiii,.
@adammwita31504 жыл бұрын
MUNGU akupe maisha marefu, 🇹🇿🙌
@petermandu40744 жыл бұрын
Kazi nzuri Mh!👏👏👏
@saiddhore79764 жыл бұрын
Kusbabu mimi ni musomali wa mwanza makufuli hongera good bless you
@josephramsonmtukufu31494 жыл бұрын
I'm proud of you mr president
@hashimabdallah6734 жыл бұрын
Our president not yours alone
@gladynicolaus9564 жыл бұрын
Mungu akubariki na akulinde raisi wetu
@simonjoseph17754 жыл бұрын
Sawa kabisa rais mzalendo tunaweza sisi ni matajiri ila ufisadi ulituchelewesha, tawala miaka mingi mpaka roho za kifisadi ziishe.
@leebronkasianlh31024 жыл бұрын
Hongera sana JPM tunakukubali sana.kigongo busisi nakumbuka nimewahi kuvuka kwa pantoni nikielekea sengerema,Leo daraja !! Mungu akulinde mkuu.
@alexandermutakha8823 жыл бұрын
Mungu airehemu roho yake hayati Rais John Pombe Magufuli Kwa maono mema Kwa wananchi wa Tanzania.
@rubenisaitoti36124 жыл бұрын
Hongera san mungu akulinde
@raymond_anthony954 жыл бұрын
Kweli ulikuwa ni mpango wa Mungu
@julianacharles60144 жыл бұрын
Mungu akubariki Rais wangu 😢
@emmanuelbuganga73254 жыл бұрын
Ila we mzee uko karibu sana na mungu, Apo uliponea chupu chupu, na kwenye kupewa sumu, mungu, akusimamie. Maana una nia njema na nchi yako.
@saiddhore79764 жыл бұрын
Hongera wa rasi zetu mungu akubarikiye inshallah
@vivianusrwezaura35554 жыл бұрын
Love you Mr. President. Our visionary leader
@filbertodilo80354 жыл бұрын
😢😢😢 ingekua ridhaa yangu ungeendelea hadi kifo
@temuemanuel46714 жыл бұрын
Pamoja Ako Magu. Tunakuombea
@kakawamashariki89784 жыл бұрын
"Tanzania ni tajiri" Watanzania tunaweza bila msaada kutoka kokote,isipokuwa kwa Mungu pekee. Salaam kwako Jpm.
@johnfrancisbahati43204 жыл бұрын
Mungu akubaloki Sana rais wetu umeokoa weng sana mungu akuzishie balaka
@tatuta65294 жыл бұрын
Mashaallah mungu akuongoze baba etu magufuli
@dicksoncario33654 жыл бұрын
indeed Tanzanians u av the very best prezo ever in the whole world hata natamani awe mkenya wetu lakini tuombeeni tupate kiongozi mwenye kuhudumia wakenya bila tamaa
@eliamsigwa15334 жыл бұрын
Make Tanzania great viva JPM
@jastinekanjost80734 жыл бұрын
Dream became true 🙏
@ayoubsuleiman25814 жыл бұрын
Duuuh Mungu anamakusudi yake kwakwel huwa anamwandaa MTU na kumepusha na mabalaaaa kwa njia anazo zijuwa mwenyewe Mungu ni Mungu kwakwel akurinde daima inshallah.
@herbertluoga51604 жыл бұрын
We mheshimiwa mungu akulinde
@kakaziller4 жыл бұрын
nakubali
@simonntibaziyaremye56074 жыл бұрын
Wewe Rais Magufuli Mungu akulinde tu sina mengine .wenzako majilani kuliko kutekeleza wanainchi wawo wanawawuwa tu eti sio wanachama au wanapinga chama.Hivyo wenzako kila siku hewani safali kwenda kwa Mabelelo !!!!!
@belzylucas72752 жыл бұрын
Me nitakukumbuka daima ❤❤❤
@salvatorsalvation14554 жыл бұрын
Goooooooooood
@rogatiusscarion7264 жыл бұрын
Man of the people ✊
@levokatusideusi57964 жыл бұрын
Mungu akupe maisha mlefu m
@mohamedindalo26634 жыл бұрын
TANZANIA RAHA SANA
@kassimm.kassin54724 жыл бұрын
Hongera Magu
@kenicemkaka28244 жыл бұрын
Dah jamani mungu atupe nini ndotumshukuru, watanzania ebu tumshukuru mungu kwakutupa kiongozi mwenye maona makubwa kama haya, mwenye udhubutu mkibwa kama huyu,aa huyu mtu cyo wakawaida inawezekana duniani hawez kutokea miaka mingi ijayo. binafisi natamani hata uongoze miaka mia aisee tubadishe katiba tusikubali watanzania kumpoteza joni asitafu tutampata nani kama yeye?