DIVA "ABDUL Alinipiga/Niliumia/NDOA imeniharibia Sana/NIMEDHALILISHWA"

  Рет қаралды 19,043

Rick Media

Rick Media

Күн бұрын

Kwa mara ya kwanza Mtangazaji wa Wasafi fm DIVA THEE BAWSE Amefunguka kuhusu sakata la ndoa yake na ABDUL. DIVA anasema kuwa Alishawahi kupigwa na Mume wake huyo kisha kumtelekeza Hospitali
...........................................................
Contact Us : 0742447854
-------------------------------------------------------------------------------
Instagram www.instagram....
---------------------------------------------------------------------------------
Facebook / rickmediatz
---------------------------------------------------------------------------------
Website www.rickmediatz.com
-----------------------------------------------------------------------------------
#Diva #Abdul

Пікірлер: 59
@nyotalaprincess3393
@nyotalaprincess3393 10 ай бұрын
She looks good without the glasses
@firdaussheikh4817
@firdaussheikh4817 10 ай бұрын
Huyu mwanaume asikuharibie pliz, you're sunshine 🌞 🇬🇧
@collethamahenge5631
@collethamahenge5631 10 ай бұрын
huyu kweli miss delulu😂 et mm n brand asinichukulie kama wengine😂💔 kama yeye n brand nini kimempeleka kuolewa??! uyu manzi anahitaji therapist akiii🙌
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 10 ай бұрын
Diva nakupenda ❤❤❤ ONGEA YKO, kucheka, ur good presenter. I adore u habibty. Nataman ningekua nakaka angu ukaolewa nae
@carolinelivingstone6523
@carolinelivingstone6523 10 ай бұрын
Diva ur so beautiful i dunno why u edit urself so much😢😢
@farhiyaareef9518
@farhiyaareef9518 10 ай бұрын
Yaan Diva anampenda saana Abdul sema woote wamekutana na mambo yao,.wakat Abdul anataka mke awe chini yake awe mnyenyekevu awe mkimya lkn kwa Diva ni mtu independent ambaye anaamini ktk usawa na mambo yakizungu which hizo mambo Abdul hakubaliani nazo, either waachane au kila mtu aishi kwa matakwa ya mwenzake nini anatakaa..
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f Ай бұрын
Mrejeane voòoo kweli mlipendezana
@veronicangwale7159
@veronicangwale7159 5 ай бұрын
Diva sautiii kajaliwaaaaaa❤❤❤❤❤❤
@Uwezohussein-me2gp
@Uwezohussein-me2gp 10 ай бұрын
Diva yuko very open...anajua kujisemea very very wise person
@agnesmndolwa6245
@agnesmndolwa6245 10 ай бұрын
Sijui anashida Gani lakini daah ni dada mwenye akili sana,hata point zake lakini sijui nafikiri Iko shida Mahali,huenda ndugu au watu wazuri wangekaa kumsaidia otherwise ana shida
@sumeyabakabshabakabsha8050
@sumeyabakabshabakabsha8050 10 ай бұрын
Shida yake jeuri na apenda maisha ya juu sana hata kama hana ni lazma azipate
@theresaelizabethelijah117
@theresaelizabethelijah117 10 ай бұрын
Diva nawe jifunze kuzungumza kwa utaratibu na kistaarabu sio unaropokwa unashindwa hata kuumpa interviewer nafasi ya kuuliza Mada za msingi😮
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 10 ай бұрын
Kwan lazima kua na hiyo app ya mange kwenye sim yako si uifute?
@rachidesicopa6622
@rachidesicopa6622 10 ай бұрын
Kwani Shida nini yaani hata kiswahili umesahau 😅😅😅😅
@MariamIddy-ve8eh
@MariamIddy-ve8eh 10 ай бұрын
Halafu huu ujinga watanzania tutauacha lini, kuchanganya kimombo na kibantu😂😂mbona wazungu hawashoboki na kiswahili chetu, au basiiiii
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 10 ай бұрын
Yani
@MsFaibe1
@MsFaibe1 10 ай бұрын
Kamsome Idd makengo una makasiriko diva diva yani brand ni kama huendi chooni brand ndo nini jamani wakati mwisho wetu kaburi Embu mwanamke punguza kuwa mshauri na kuwa mwanamke
@alsam4881
@alsam4881 10 ай бұрын
Ni kwanini unajiita DIVA na haupendi kujiita jina lako ulilopewa na wazazi wako LOVENESS???
@gamarmahsan8254
@gamarmahsan8254 5 күн бұрын
Huyo bwana alkuwa ataka mahala pakulala na kula asikudanganye
@josephinjulius6008
@josephinjulius6008 10 ай бұрын
Uyu si ndo alikuwa anampigia simu jana uyu diva acha kuigiza unampenda abdul na hujiwezi Shida ako anaigiza kujamba akati unaharisha penzi limekuzidi nguvu
@Misrest710
@Misrest710 10 ай бұрын
Sanaaaaaa
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 10 ай бұрын
Umeona we muda ule yupi interview anapiga
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 10 ай бұрын
Tatizo diva una macmango sana kwa mumeo 😮😮macmango dharau wanaume hawapendi kuwa na heshima na mumeo mambo ya ndan msiyaweke hadharan ktk bili abdul kasema hujawahi kumpia bili ya milion haifiki 😂😂
@judamsaki5609
@judamsaki5609 5 ай бұрын
she id a good woman....blessed
@evodutto9293
@evodutto9293 10 ай бұрын
Diva huyo nimwarabu kaa ukijua siku nikija Tanzania ninaomba nikutanenawewe nikwwambie waarabu wanapenda nini kiufupi his fullynlove to you please Dive Dont live this man my dear his love you
@anitaamuok2591
@anitaamuok2591 10 ай бұрын
Hii English yako 😢😢😂😂what are you talking about 😅
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 10 ай бұрын
Waarabu wana penda nyuma 😮😮😮
@RandB_Channel
@RandB_Channel 10 ай бұрын
Huyu Diva kichwa chake hakiko sawa . Ww unasema heshima kwanini sasa naweye hawutaki kuheshimu mwenye mko naye? Heshima nikuheshimiyana usitafute heshima wakati wewe hawuna heshima kuwengine
@brigithadidas5128
@brigithadidas5128 10 ай бұрын
Umejuaje Hana heshima madam Tereza
@RandB_Channel
@RandB_Channel 10 ай бұрын
@@brigithadidas5128 mtu asio kuwa naheshi utamutambuwa kwakuropoka ropoka majuvuno kumuvuwa nguo mtu mwenye mnalala naye kitanda ki 1 nivingi tu siwezi visema byote
@brigithadidas5128
@brigithadidas5128 10 ай бұрын
@@RandB_Channel huyo mwanaume wake ana heshima Gani?? Mwanaume unajivua nguo mwenyew kwa matendo yako yani ufanye uchafu wako uje mitandaoni afu umlaum mtu anayejibu swali aliloulizwa? Na wewe utakuwa type za mganga ndo mana unamtetea apa
@johanjoha5262
@johanjoha5262 10 ай бұрын
Uyu ni île Diva ninaonaga,Ama nimachho yangu da
@agneskighenda3795
@agneskighenda3795 10 ай бұрын
Honestly, huwezi kuwa unafanya wajibu wako kindoa halafu unakuja hapa kutuhadithia! Si unyamaze?
@jtheophil5499
@jtheophil5499 10 ай бұрын
Hayo.mambo ya kuumwa husiwe unayasema na wewe Diva.Hiyo ni kawaida sasa ulitaka nano aje kumuuguza mmeo.Hiyo ni pointless.Yote tisa uyo mkaka atakusumbua sana kimbia .
@catherinekanono4298
@catherinekanono4298 5 ай бұрын
Uliolewa ukiwa mke wa tatu unalipwa ulimfanya sabrina na mwenzake waumie ndio hii zamu yako
@zuwenaabdallah7748
@zuwenaabdallah7748 10 ай бұрын
Unajifanya mzungu sana kila kitu cha ndoa yako kiko mtandaoni😢
@RoverRoom
@RoverRoom 10 ай бұрын
😢Mwache huyo sheikh WA mchoko bure kabisa sio mume, mume ukwachu
@elisifaedsoni
@elisifaedsoni 10 ай бұрын
huyu nae kama muamiaji kaaah iv hata ugali wajua kupika dada ake au ndio yamzeee kigogooo🤣🤣jkng my dada
@akidajulius1581
@akidajulius1581 10 ай бұрын
Anajua , nakama atakuwa hajui, basi hilo litakuwa kosa la mzazi wake wakike
@RdCongoforlife
@RdCongoforlife 10 ай бұрын
Sasa unatwambiya ili sisi tufanye je?
@MaryamSimai-b9f
@MaryamSimai-b9f Ай бұрын
Nyie mfanye mrejeaje msihangaike
@evodutto9293
@evodutto9293 10 ай бұрын
Diva Diva Divaaaaaa msamehee Mumeooo usiagalie hivo vituu please Divaaaa Mumeoo anakupendaa ila anachukiaa tuuu unavopost mitandaonii please Divaa
@vumiliakilosa4548
@vumiliakilosa4548 10 ай бұрын
ivi mngeacha kufata mamb o ya mangemngedumu kwenye ndoa yenu
@gracemathias6082
@gracemathias6082 10 ай бұрын
😊
@ChristianNdewario
@ChristianNdewario 10 ай бұрын
Ongea kiswahili usijifanye sana unajua kingereza.
@JamilahDilunga
@JamilahDilunga 10 ай бұрын
Hiyo mwanaume anatatizo tatizo lipo kwa Diva alikubali Sana kusikiliza watu ikiwa kwenye ndoa unatakiwa uwe makini Sana maana binadamu siyo wote wanaopenda kuona umetulia kwenye ndoa wewe unatakiwa upambanie ndoa yako lkn unafanya ndoa ni yamtandaoni hebu acha kumtagaza mumeo mjali mpende uwone kama ataenda kuoa wengine usimsimange anaumwa umempeleka hospital ni jukumu lako yote unayoongea ni ujinga mtupu jirekebishe la sivyo utaolewa kila siku
@atutweve4160
@atutweve4160 10 ай бұрын
Akiletewa maradhi? She is absolutely okay, and very good woman 👩
@sikudhanimohammad7692
@sikudhanimohammad7692 10 ай бұрын
Kwanza jifunze kutofautisha kati ya A na H ndo urudi kucoment
@brigithadidas5128
@brigithadidas5128 10 ай бұрын
Wahuni tutawajua kwa comment zenu
@JamilahDilunga
@JamilahDilunga 10 ай бұрын
@@brigithadidas5128 yani matakataka utayajuwa tu maana yatashinikiza watu waachane ili hali wenyewe wanapendana hayo wanayopitia ni kawaida kwenye ndoa nyie mtakuja umbuka mambo ya ndoa siyo yakuyakurupukia
@HumphreykirutuKirutu
@HumphreykirutuKirutu 10 ай бұрын
Lipumbavu hili
@SamweliMwalyungu-du5ln
@SamweliMwalyungu-du5ln 10 ай бұрын
Ww nitako kwa kingereza icho mam yako anaelewa
@righitkileo
@righitkileo 10 ай бұрын
Du hii hatar sana kuonqea sana kila siku ,Nakushauri kama umeona hakufai move on. Na kama umeshindwa ishi nae hivyo na mapunqufu yake ndo alivyo.sasa dada mahubiri menqi kila siku Abdul kumove hewez keep quety pleace
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op 10 ай бұрын
Wewe ni mwanamke tena umli wako sio mdogo unatakiwa umlee huyo Abdul acha ndoa kuipeleka kwenye mitandao na ushauri mwingi kwa marafiki ni kuharibu ndoa tena hata ukiwa tajiri au maarufu sana mume lazima umpe cheo chake umuheshimu
@allykomsonde7813
@allykomsonde7813 10 ай бұрын
Usipotambua umuhimu wa kuridhika bc huezi elewa madhara ya tamaa
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 10 ай бұрын
Rudi kwa Abdul akusaidie upata mtoto utajuta baaadae na umri unaenda
@nuryatmussa9966
@nuryatmussa9966 10 ай бұрын
Abdul siyo Mungu 😢 Mwenyez Mungu ndiye muweza wayote siyo Abdul
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 10 ай бұрын
Mtt ana toa mungu Abdul sio mungu km ni rahis nenda na ww kwa Abdul akupe mtt kwan c una tundu 😮😮
@TunuVesso
@TunuVesso 10 ай бұрын
Mm napita🤣🙄
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН
BEHIND THE GRAM DIVA & SHEIKH - EPISODE 11
22:13
ZamaradiTV
Рет қаралды 9 М.