nimewaelimisha sana wanangu mtaani kuhusu Ngoma zako ,wanaelewa sana masela
@rujeboezgreat60672 жыл бұрын
Nooma saan broo unatiixha
@thomaslima9212 жыл бұрын
Hii nchi ina vipaji iila DIZASTA aiseeh ni shida
@ellyasimon64982 жыл бұрын
Nakubal sana ulivyo nisevu me fundi bomba
@thedonmsodoki52232 жыл бұрын
Nakubali
@hamisswaleh5452 жыл бұрын
Daah mwanangu
@ayubukaduma10172 жыл бұрын
Bro haujawaikoseaaa umekua Makin daimaaa
@themetaphortz17902 жыл бұрын
Usijifanye ujui kupenda ukajiona mjanja uo ni ulemavu
@benjaminsemwenda31522 жыл бұрын
Yani ukitoa nyimbo hata kabla sijaifungua na like kwasababu najua we ni rapper conscious sana so sitapoteza bando langu wala sitajuta kukusikiliza.....
@pat-bog38312 жыл бұрын
Na hii nime ipenda ✌️🇨🇩
@demeldboy86882 жыл бұрын
Hatare bro uandishi umesimama hapa
@decoderhealthusa2 жыл бұрын
Sanaa iliyoshiba ipo kwa Dizasta.
@mullahthematrix8162 жыл бұрын
✊🏾✊🏾
@harrismalone54552 жыл бұрын
Hili jamaa Ni fundii✊✍️kuandka unajua broo 💥 ATARIII
@dogotwaanails_mafunzo2 жыл бұрын
Sanaa✌️
@manewhizzy51842 жыл бұрын
Dizasta dah nakubaly hii ngomah kunah chura lazymah nimluxhye. Umenicaidyah canah,keep your music up chiiiiiiii
@josephmtingwa83872 жыл бұрын
'uzuri hauzuii kuzeeka'⚒
@toxicfire31012 жыл бұрын
Nakubal kaka mkubwa ujawahi kukosea deliver message
@ramadhaningusi75252 жыл бұрын
Dah kaka unajua Sana
@scsumsombd30322 жыл бұрын
Kaliiii
@ibrahimkanuto35142 жыл бұрын
Nipo na album hii nainjoi nayo daily
@bullychandy65092 жыл бұрын
Eti, Queen? Quen hawezi choropoa mimba. Ungepata ngoma kinachokuokoa kinga
@moviestrailer03052 жыл бұрын
Maandishi na muandishii
@ramahashabani17722 жыл бұрын
Dah..! Ww jamaa ni hatar saaana....Ujue ni maisha ya mtu hayo umezngumzia aaaah
@sondeboy11582 жыл бұрын
Me naomb uifanye Shahid part 2
@jayabilitytz71362 жыл бұрын
Motoooo
@emanuelfitani30422 жыл бұрын
Sawa bro vina nakubali sana
@JOXX-J Жыл бұрын
Vinastar🎶🎵bless up
@waduni23262 жыл бұрын
Nakubar fundi wangu
@brownsamson51802 жыл бұрын
We jamaa ni hiphop icon aisee sema hupewi airtime
@hassankambwili9572 жыл бұрын
Kutokua kupenda sio ujanja ni ulemavu
@hajimaster76242 жыл бұрын
Siwezi kusema hautapata bwana kama mimi tupo wengi lakini utanikumbuka naamini
@igpk22752 жыл бұрын
Eti Quine 🙌🙌🙌 dizasta fundi bomba
@isalohsk47622 жыл бұрын
Mwanang D unajuw lakin haters hawajui😔
@wildtargetsafari41292 жыл бұрын
Ivi wee jamaa ulisha tambua kua upo mbele ya Muda sana
@issahkimalio30492 жыл бұрын
Ma man of hiphop
@spurnboy81972 жыл бұрын
Nikiwa na feel stress ngoma zanipoza🌹
@mswahili62472 жыл бұрын
Madini aghali yanayokosekana sokoni, Lakini! Madalali wa Mainstream bora respect mtaani
@raphaelmwangosi92952 жыл бұрын
Up up kak tusiseme mengi waache wahangaike na hao ma rapper wao ila we got this sisi tunaww ata kwa uchache huu tunajua nn ulich nach walicho xhndwa kukiona wso💯💕👑🥰🥰🎧🔝🎵🎶🎶
@muhammadchapu19732 жыл бұрын
dah! salut sana mwanangu 🙏
@phido0472 жыл бұрын
Dah nakubali sana broo umenifanya nibadilike kwenye maisha na niwe na misimamo thabiti .sitokubali niwe pekeangu nazidi kukusambaza broo japo sina watu wengi ila moja ndo inaleta mbili.pamoj sana hiphop lovee
@RomanEmpirG2 жыл бұрын
Upo juu kama human kwenye food chain,, the way you look good and rap skills ka....
@tondicharlessanga69022 жыл бұрын
Unajua bro
@japharymagesa7352 жыл бұрын
Wwn moto mzee
@Weezy_pappu2 жыл бұрын
huyu jamaa ni Genius verteller
@thomasmakala20822 жыл бұрын
Ulikuwaga mkali, bado ni mkali na utaendelea kuwa mkali wa Vina. "Let them appreciate the big names, let us appreciate the real talent in the game"
@heavystonetz2 жыл бұрын
Imekaa poa sana hii asee, nataka Tz tufanye vitu poa
@enricheliudy42622 жыл бұрын
Hahah nakubali mas vina
@jmjay32722 жыл бұрын
Dizasta vina huwa unafikilia mbali Sana nimejifuza vitu vingi San katika maisha yang hakika unahisahili kupewa heshima kubwa San dizasta vina nakutakia maisha makefu mm jm jay
@tariqkihemba69982 жыл бұрын
Siwezi sema hautapata bwana kama mimi tupo wengi ila utanikumbuka naamini ..........mstari mkali sana huuu dizasta utengwe 🔥
@nzikutv18182 жыл бұрын
Kuna marapa afu kuna mkali wa vina @Dizasta vina
@japharymagesa7352 жыл бұрын
Hujawah kukosea diz
@ibrahimjuma89692 жыл бұрын
Bro tudondoshee jiwe la halmasi nalingojea saana🔥🔥🔥💪💪🤜👍
@wamtei2 жыл бұрын
Fundi wa rap vina
@davidelias67902 жыл бұрын
Ukiniuliza mwana hip hop the best kwangu basi ni lazima number moja idondoke kwako coz sijaona anaeumiza kichwa na mbunifu kama wewe Shahidi🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@tisaduro59842 жыл бұрын
Wewe ndio msimuliaji broo
@adamsimkonda45432 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥
@samweryraphaely13322 жыл бұрын
Nakubal King 👑👑 wa mashaili sema nn ni ulemavu🤣
@stanslaussanga47792 жыл бұрын
Atar sana 💥💥💥🙌
@Thedonrboysuper_tz2 жыл бұрын
Kaka umetisha Sana 🔥🔥🔥🔥
@Lenardtz2 жыл бұрын
Kiukweli mwamba unajua sana mpaka unaboa asee
@wistonelly46172 жыл бұрын
Nilivo on kun nyimbo mpy ya dizasta nimepat na nafuu
@omaryahmed71002 жыл бұрын
Binasfi yangu dizasta vina simpingii 💥
@Izkonka2 жыл бұрын
Hata damu yangu ukiikata utakuta neno VINA linaflow🙏 bro ur the greatest
@jacksongeorge94552 жыл бұрын
unajirusha sana itakukatikia kamba....
@kevinnyasaka8722 жыл бұрын
Kutojua kupenda sio ujanja ni ulemavu
@allanezekiel27242 жыл бұрын
Tanx kwa kuniongezea one kwenye playlist yangu ya dizasta
@josephgwankisa2752 жыл бұрын
This man, dizastavina ,nyimbo Kali sana
@grationgerald45372 жыл бұрын
oya dizasta hii ngoma umetisha kinoma noma
@manewhizzy51842 жыл бұрын
Best rapper of the year dizasta vinah
@saidamour69382 жыл бұрын
Story teller nakusikiliza kutoka kisiwani Zanzibar
@permanentsolutions64942 жыл бұрын
When Dizasta drops a track, be sure its a hit...back to back..."Na kama unajiona mzuri sana jipende" sending 🖤🤍❤💚 straight outta Kenya.wapi likes za wakenya
@sondeboy11582 жыл бұрын
Unyama kiaina San
@issayarashid98452 жыл бұрын
My favorite rapper... Oya nakukubali kinoma Dizasta... Endelea kufanya mzeee 🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@tmpbusinesses12052 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@boutrouskomba81792 жыл бұрын
Unaongoza kwenye pray list yangu nakubali sanaa
@bullychandy65092 жыл бұрын
Uzuri hauzii kuzeeka 💪🔥
@lugfathertv73622 жыл бұрын
Nakubali vina
@princenzago52342 жыл бұрын
Kaka unajua sanaaa Mr u deserve sana wahuni tunakuaminia kwenye madagoo
@GibiGene2 жыл бұрын
Asantee 💔
@jimulenjohansen87512 жыл бұрын
to be honesty... most of his songs they always mean something in really life. i always listen every word
@detlantamarooned18092 жыл бұрын
Tuko hapa wadau wa Dizasta Vina
@corneliusondieki14968 ай бұрын
Natamani collabo ya disastavina ft mrisho mpoto
@luganomwambulutukutu50002 жыл бұрын
Hatari nimeamka na notifications ya wimbo mpya kutoka kwa davista vina
@modanger2 жыл бұрын
Daaah ebhana kaka dizasta hii ngoma ni bonge la burudani na ujumbe mzuri safi sana broh
@hamzaulanda45632 жыл бұрын
dizasta bwana
@allyally1422 жыл бұрын
Don't forget kuwa mlemavu sio dhambi... good lyrics and nice beat tho
@meddymaulid51762 жыл бұрын
DIZASTA VINA MWENYE VINA VYAKE
@richardmloha17622 жыл бұрын
Bongo hakuna mtu anayefanya hip-hop Kama mchizi huyu tenna narudia jamani sio rap hip-hop 🔥🔥🔥🔥
@edsonjeremiah59052 жыл бұрын
Bars
@dogotwaanails_mafunzo2 жыл бұрын
Sana
@abuunyalioto17522 жыл бұрын
Dizasta vina mpo wachache sana Kama wewe
@kelvinkeita3192 жыл бұрын
Oooooooyiiiii D vina aaaaaah salute
@officialnewherotz28482 жыл бұрын
Kichwa hazina
@29WavesTV2 жыл бұрын
Bbiti la kweli this is really talented Rapper
@Officialplatform2 жыл бұрын
I appreciate your talented bruh 🙌🙌🙌🙌
@dizastavina2 жыл бұрын
Appreciate the love brother 💪🏽💪🏽💪🏽
@machadolihame37122 жыл бұрын
Brother hii sayari yetu hajazaliwa Bado wa kukuletea makuzi kwenye rap wewe maji safi na salama. Kuoga safi kunywa ndio desturi kaka. Hongera sana unajuwa kuutendea haki ubongo wako