Thank you for watching, Pakua audio hapa www.audiomack.com/artist/dizasta-vina
@davidlendoro48195 жыл бұрын
Much respect.... Getting you from +254
@gun_vina72835 жыл бұрын
U are ze best rapper and my roll modal
@khalidyndi4 жыл бұрын
2020 weka vitu master
@mussamasanja58424 жыл бұрын
uko saw jietekeze
@chipanta Жыл бұрын
Tunaosikiliza 2023 tujuane
@johngodlovenderingo.75916 жыл бұрын
Afadhali nimekutana na ngoma kali nilikuwa nazitafuta kila siku. Ahsante sana brother Dizasta
@kapolesyaba31336 жыл бұрын
unatumia lugha ya kiswahili kwa ufasaha, pongezi sana kwako. ni vema wasanii mufahamu zaidi namna ya kuwa na mtiririko mzuri wa lugha, mfano MSTARI MMOJA NI VEMA UKAWA NA LUGHA MOJA HATA KAMA WIMBO UMEIMBWA KWA LUGHA ZAIDI YA MOJA. sio mambo ya "yoooh! nilimove fasta na binti nikamkonyezaa, she was pretty haswaa mwenye macho ya kulegeza....nk" hiyo inakuwa sio sanaa bali kinyaa. BIG UP sana #Dizastavina
@yaedlifemedia32034 жыл бұрын
Uyu mchiz fundi
@dizastavina3 жыл бұрын
Thank you for watching, subscribe
@PaWahMusic3 жыл бұрын
Maaad bars. KE follwing
@dennishullu8703 жыл бұрын
Daaam
@silasmwamburi9284 Жыл бұрын
Hakuna story Kali kama siku mbaya aisee anayebisha atoe ngoma tuiskize
@SamuelCharles-1115 жыл бұрын
Duuh unaweza kulia aisee hii movie hatarii...!!(kumbe nyimbo) unajua kilichoongelewa chote kinakuja Kama picha kichwani.🙌🏼🙌🏼
@stanleydancertz40993 жыл бұрын
Point bonge bonge#🙏
@dkensmopainvevo36835 жыл бұрын
Nikiona wanavyo pewa promo mabwege nahisi kulia kiukweli😭😭 Pia mimi nina kipaji ila cha kwako ni moto kaka🔥🔥🔥🔥💯💪💪🇰🇪
@yaedlifemedia32034 жыл бұрын
Yah kwel kabisa
@neibuilomoo64193 ай бұрын
nimuda Sasa wa Dunia nzima kujua hip hop IPO Kwa dizasta vina
@mbarakasijaona76383 ай бұрын
Bongo Kuna wasanii wanajua Sana aisee duh movie
@niyitegekaedson6702 жыл бұрын
This channel diserve my Subscription.🔥
@salimgeyana75476 жыл бұрын
Dizasta broh ubongo wako una kitu kukuubwa sana hii ni moja ya ngoma nnayoikubali sn toka kwako..Endlea kushusha zana mwana.
@enockmelita346 жыл бұрын
Jamaa ana chora sana. Kazi safi'
@yaedlifemedia32035 жыл бұрын
oya d ww unafanya real hip hop wasikubadilishe mwana stay kwenye njia yako boy u made it.nitafute muhim sana D
@hassanaman51435 жыл бұрын
I wish ningekuwa presenter wa radio au Tv ningekuwa na bonge la show kwa hizi ngoma mtaani.... tungefunika show zao zotee mbovu za mchana...
@godmwasikili5254 жыл бұрын
Naelewa mziki wako upo kihalisia isee we jamaa ni hataree
@dizastavina4 жыл бұрын
Thanks, please share
@sadamkasimumsagati55483 жыл бұрын
Nakubali uwezo wako dah nooooma Sana
@KasekeKm-pz9uq10 ай бұрын
Brother, unajua mpaka unawakera wanaaaaaa,😂😂😂😂😂❤❤❤❤
@greysonkisinda7390 Жыл бұрын
The verteller again the verteller bro u got huge gift from God
@erickfestor45426 жыл бұрын
safi sana mwanangu... kuna kimdundo fulani kama cha Jayz FT Alicia keys NEW YORK
@remyathuman3699 Жыл бұрын
😭😭😭😭nikisikiliza ngoma zako uwa nalia kaka
@mahaboubabdallakhamis75996 жыл бұрын
Da hip hop inatuweka sehemu yaani.niivyooo sisi hatuharibu umeme kwa wabana pua.no ngumu na kweliiii tuuuu.hiphophiphop.
@petersimon21156 жыл бұрын
Uko vzur sana Braza kazi nzur sana hii hongera
@KIREDIOO5 жыл бұрын
Kila nikiskiliza ngoma zako najifunza kitu
@FrankAdammwansansu11 ай бұрын
fund mkal dizasta Ngoma Bado ya moto
@mahaboubabdallakhamis75996 жыл бұрын
Nyumba ndogo.kanisa.no body safe.du hii ni kweli dizasta.Ila ni dizasta kwa fake rappers
@abantuboy2 жыл бұрын
Daiiim ..! Yo day was fuckd up foreal
@hassancrip2372 жыл бұрын
All the way from kenya...uyu mnigga ni hatari
@UmarAMbuzi Жыл бұрын
Bigap kaka❤🎉
@ballisticsound47965 жыл бұрын
daah asee apart from otherswe want these kind of artists too
@daudminja81183 жыл бұрын
Salutiii zebabaaa 💪
@greysonkisinda7390 Жыл бұрын
2023 twende bado tunasikiliza
@poisontz92985 жыл бұрын
Naelewa xana uandishi wako kaka noma xana
@richardyusuphmsongolomakat20496 жыл бұрын
Maandishi makubwa sana mzeee unachora kwa bikari nini....hahaaaaaa Rap
@aidangeorge98426 жыл бұрын
proffesa wa tungo dizasta vina.
@donmgabotz2639 Жыл бұрын
Salute homie
@nellylwitiko6377 Жыл бұрын
Daaah Hawa watoto wasijaribu kumpima Dizasta miaka 100
@JohnMkula-n1o3 ай бұрын
2024 bado la moto
@hamisimtimbile56793 жыл бұрын
dizasta ngoma zako ziko powa sana my Brother Big up
@barackbakari48026 жыл бұрын
disaster nakuelewa xana bro
@godfreymbwanga77506 жыл бұрын
jamaa anajua mpaka unaboa
@twaibunyoni40206 жыл бұрын
Tishaaaa SaNa ma boi Wewe ndie mC pekee tz
@kochaa60962 жыл бұрын
We jamaa hufai🤣🔥
@hillarykerry63852 жыл бұрын
ONE LOVE FROM KENYA DOGO LANDU
@rajabseif23016 жыл бұрын
ila sio mbaya ukapiga double double hizi za kwetu na mainstream pia tunahitaji kuona unafanikiwa kupitia kipaji chako
@ussikhamisussi48826 жыл бұрын
Duh! Mwana unaandika vtu almasi.
@fredrobnson45993 жыл бұрын
Story teller mnoma sana Dizasta
@Pigwanabutwaa3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥😅😅😅daaah nakosa la kusema
@BRITONOCHIENG-s3p2 ай бұрын
You are generous bro
@iddymbarak9709 Жыл бұрын
My favorite song
@hashimjombaa61296 жыл бұрын
Nakusikiliza sana vina we ni mtu hatari
@amondimani23755 жыл бұрын
Yani dizasta ulijua nilichokua naitaji dahh
@permanentsolutions64943 жыл бұрын
informative content, big tune +254 love
@donmgabotz2639 Жыл бұрын
ur lyrics Live homie,big up
@erickfidelis80733 ай бұрын
Hizo dakika kumi tu zinakutisha
@ZakariaJRobert3 ай бұрын
Unawez❤
@fadhilykaduma30263 жыл бұрын
So sensitive...
@martinmendrad35315 жыл бұрын
Daaaaah mwanangu husikate tamaa kuandika hizi lyrics za kibabe
@leolaswai57846 жыл бұрын
bad day...... shsss, this is fire Man.... one for the record.
@boda2bodaAfrica Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🎤🎤🎤 much love from kampala Uganda
@AmereZ-q6h9 ай бұрын
Vinaaa
@isayamichael4 жыл бұрын
Uko vizur broo
@erickdioniz8277 Жыл бұрын
Shidaaa sana
@Shirimatunda Жыл бұрын
Hii ni movie
@meshack25594 жыл бұрын
Dizasta vina ni achecheee achecheaaaa noma
@timothmwakakusyu4563 Жыл бұрын
Bongo bahati mbaya
@ramadhanimrisho2564 Жыл бұрын
Vip xx kuhusu video
@KIREDIOO4 жыл бұрын
Vina vimekaaa
@manjpaul_johnsonmaula1672 жыл бұрын
Bro.... Nakukubali sana
@jacksonimwasoni25203 жыл бұрын
Great
@nayraahmed83492 жыл бұрын
NC one
@delymoebright9326 Жыл бұрын
2023🔥🔥🔥
@MRNYUKITV6 жыл бұрын
iko pw san
@austinkomba57925 жыл бұрын
Life time Experience in a Day. Too deep mzee
@zittotv99725 жыл бұрын
austin komb
@hamadmasud60925 жыл бұрын
Sana iko poa
@youngsamaritan64482 жыл бұрын
motoooo huo
@miseleyetutv63282 жыл бұрын
Yeyeeee
@cassimmwinyi57643 жыл бұрын
Anzia leo nipo kwenye boat yako
@dizastavina3 жыл бұрын
Karibu
@paulnchanjiwa86695 жыл бұрын
Still watching
@selemanihussein68204 жыл бұрын
Respect bro
@yaedlifemedia32035 жыл бұрын
ebwana blessed sana d vina
@mkuryawadarmkuryawadar52233 жыл бұрын
Nomaaa
@alonsodachi35645 жыл бұрын
Oyoo 2019 twende sawa
@tariqkhassim4059 Жыл бұрын
OH MY GOD
@mosesabwao26735 жыл бұрын
good idea bro
@salumshambani35275 жыл бұрын
extra odinary!
@legawayz60935 жыл бұрын
Skills💪
@godfreymbwanga77506 жыл бұрын
komaaa kk
@jafetlaizer91915 жыл бұрын
wejamaa noma
@dullysix66834 жыл бұрын
Dizasta
@winsonvincent28833 жыл бұрын
Bro siongei sana ila una akili kubwa
@daudmaikomwakapoma2132 жыл бұрын
The verteller
@petromamba5777 Жыл бұрын
💯💯
@godfreycleophas137110 ай бұрын
🎉🎉
@manjalejuniorlg70246 жыл бұрын
mzee mbona nyimbo zako ni nzuri ila zote hazina chorus
@dizastavina6 жыл бұрын
mrmanjale jr napenda zikiwa hazina chorus
@manjalejuniorlg70246 жыл бұрын
POA POA MZEE BABA NYIMBO ZAKO CONTENT IKO POA SANA NIKUOMBEE KILALAHERI KTK SAFARI YAKO YA MUZIKI UTAFIKA MBALI KIKUBWA NI KUKAZA TU
@WoltaBenad11 ай бұрын
Nc
@mospeciol6 жыл бұрын
Fundi
@EmmaMakwela4 ай бұрын
😮
@Joseph-hp7ws5 жыл бұрын
🔥🔥
@ziggyhendrixx74454 жыл бұрын
ziggy hendrix signed
@richardyusuphmsongolomakat20496 жыл бұрын
Maandishi makubwa sana mzeee unachora kwa bikari nini....hahaaaaaa Rap